MAKONDA APIGA MKWALA "Nitawanyoosha, Tunawajuwa wala Rushwa, mnaokwamisha Miradi ya maji

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @hassanchuji8965
    @hassanchuji8965 25 днів тому +2

    Uyu ndie haliye takiwa kuiongoza tanzania yetu na sio mtu yoyote sema hayo ni mawazo yangu sema hiki mpendeza mwenyezi mungu hatupe kijana wetu koda boy hatuongoze kwa roo safi tu yani konda boy hana fahaa

  • @emmadeprincetv6133
    @emmadeprincetv6133 25 днів тому +7

    Chuma ndani ya nchi 🎉

  • @user-pw9ir4fg7x
    @user-pw9ir4fg7x 24 дні тому +1

    Yaan mim naingia woga jamaniiii makonda nataman sijui iweje ili uwesalama to kila iendayo Kwa mungu maan wanainch wachini tunakuombea maisha malef walau sk moja uwe mtawala mkubwa hat kwa miaka mitano to ❤️❤️❤️❤️

  • @emmanuelmashishanga7141
    @emmanuelmashishanga7141 22 дні тому

    Makonda never give up 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @OmarMihulu
    @OmarMihulu 25 днів тому +1

    Nakufuatilia Sana mkuu wamkoa nautendajikazi wako mungu akulinde

  • @amosmachibya1800
    @amosmachibya1800 24 дні тому +1

    Sichoki kukusikiliza broo

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 23 дні тому

    Natamani ungekuja Arumeru idara ya maji ungekutana na madudu tunashida sana

  • @KisholiMj
    @KisholiMj 24 дні тому

    Good leader

  • @OmarMihulu
    @OmarMihulu 25 днів тому +1

    Uongozi wako mkuu wa mkoa umetukuka

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 25 днів тому

    viongozi wakati wanaapishwa juzi (kina Kabudi/Lukuvi etc) Jaji mkuu alisema swala la uadilifu lazima liendane sambamba na utekelezaji

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 25 днів тому

    Piga spana wala rushwa hao hovyo kabisa

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 25 днів тому

    jmni nchi zetu hizi...hebu ona pesa nyijngi imetolewa na Awamu ya Tano Magufuli/Samia 500 Billion kwa maji, ss kaja huyu kongozi kagundua mambo mabaya mno. changamoto nyijngi - design ilikuwa hafifu

  • @shabaniathumani1789
    @shabaniathumani1789 24 дні тому

    Mkuu wa mkoa wetu wa tanga ikumbuke handeni yetu maji niyamto ruvu ila Bei