Assalam alaykum wallaykum salaam maratulahi wabarkatul twashkuru sana kwa kufungua umma akili zao allah awatendee wema mimi kama mwislam wa kusilimu nasaindika sana naomba unitafutie quraan ya kiswahili na kiharab hili nijifunze mambo ya allah
Hawa watu tunafikishia ujumbe ni katika umma wa Nabii Muhammad salallahu allaihi wasallam nani megudua yakwaba wengi wallahi hawaja wahi pata habari kuhusu Uislamu,kazi inatakikana ifanywe sana,tulipoaaza it was so hostile but today as we talke 90% ya wasililizaji wetu they support our teaching May Allah have Mercy to us All,and make many people embrace Islam
Sheikh Salim hao wengi wanasema wapo katikati, mie nimeona hao wengi washajuwa kuhusu ukristo na uislamu ila kuhama na kuingia uislamu ndio wanafikiria...ila washajuwa uislamu ndio haki. Mungu awaongoze inshallah.
Allah will destroy Riba (usury) and will give increase for Sadaqat (deeds of charity, alms, etc.) And Allah likes not the disbelievers, sinners. Suratul Baqarah Ayah 276
Inshallah mungu akipenda kesho..nitawasupport peny uwez wangu uko ili kuchangia dawa yenu inshaallah
Allah akulipe kwa nia yako hapa na kesho akhera
Masha Allah... Allah awafanyie wepesi panapo unzito
Aameen ameen ameen sote
Masha Allah sheikh salim big up kwa kuwagumua wasifanye riba kwani riba ni mbaya sana hata mimi huwa naikataa
Mash Allah barikiweni sana
Salim mwalimu walai mungu akuzudishie
Aameen ameen ameen sote
MashAllah MashAllah MashAllah
Masha allah
Mash'Allah ❤
Assalam alaykum wallaykum salaam maratulahi wabarkatul twashkuru sana kwa kufungua umma akili zao allah awatendee wema mimi kama mwislam wa kusilimu nasaindika sana naomba unitafutie quraan ya kiswahili na kiharab hili nijifunze mambo ya allah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Safi ustadh ❤
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu...Maa Shaa Allah... Allah awahifadhi
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen
MashaAllah
Wa pili leo sjui au wa mwanzo MashaAllah😊
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
@@salimdaawah123Nakupendeni Pia kwa ajili ya Allah😊
Allah afanye wepesi
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
Ishaallah
Hawa watu tunafikishia ujumbe ni katika umma wa Nabii Muhammad salallahu allaihi wasallam nani megudua yakwaba wengi wallahi hawaja wahi pata habari kuhusu Uislamu,kazi inatakikana ifanywe sana,tulipoaaza it was so hostile but today as we talke 90% ya wasililizaji wetu they support our teaching
May Allah have Mercy to us All,and make many people embrace Islam
That is the truth Ustadh.....May Allah make the work of daawah easy In Shaa Allah
Sheikh Salim hao wengi wanasema wapo katikati, mie nimeona hao wengi washajuwa kuhusu ukristo na uislamu ila kuhama na kuingia uislamu ndio wanafikiria...ila washajuwa uislamu ndio haki. Mungu awaongoze inshallah.
Yeah wanafunguka macho
Inatumwa kwa number gani
Sh salum kwa sisi wa Tanzania tunachangiaje
Kwenye hiyo video Kuna namba WASILIANA na sheikh kwa watsapp
Asante@@zuberinzibo
SHEIKH SALIM , KUNAWENGINE WANAANDIKA YAKWAMBA "wanatibu kufaulu masomo shuleni " . WAPO HUKU TZ 😅😅😅😅😅
Hahaaaaaaa 🤣😂😂😂🤣
Allah will destroy Riba (usury) and will give increase for Sadaqat (deeds of charity, alms, etc.) And Allah likes not the disbelievers, sinners. Suratul Baqarah Ayah 276
asalam aleikum waramtulah wabarakatu Walimu wangu wapendwa tuongezewe rehema tele akhera
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Makafiri wamepewa miba yashetani...
Acha kutumia hiyo jina...ita watu majina za heshima
Makifiri ni non-muslim@@Aladeide
Si matusi ni sifa
Haaya mkiitwa magaidi basi mkubali hiyo sifa pia
@@Aladeidembona hata Biblia imeita watu Makafiri