FAHAMU MUNGU WA MPENYO || PASTOR GEORGE MUKABWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • #pastorgeorgemukabwa #jrcchurch
    Gospel Teachings for soul winning Purpose.

КОМЕНТАРІ • 65

  • @HELLENKOGO-q1w
    @HELLENKOGO-q1w 3 місяці тому +2

    Nimenenewa mtumishi God bless 🙌

  • @godwinkasanga1533
    @godwinkasanga1533 Рік тому +1

    Asante Sana mtumishi wa Mungu . Mungu akubariki Sana baba. Mungu amekutumia Sana kuwa majibu yangu na maelekezo yangu kutoka Kwa bwana . Sikujua kuwa Mungu Yuko kazini kunifanyia mpenyo ndio nimejuwa Leo baada ya kuisikiliza Somo la mpenyo . Kwa kweli namshukuru Sana Bwana Yesu amenipa kujua Jambo Hilo. Mungu akutunze Baba yangu.

  • @nguzofuraha
    @nguzofuraha Рік тому +1

    Napokea upenyo katika jina la Yesu kristo Amen

  • @blessmwambeta3329
    @blessmwambeta3329 Рік тому +1

    Hakika MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU! Wewe ni mchungaji wa Taifa
    Wala sio wa mwanza tu!
    Unainua mioyo ya wengi mno!

  • @zenamgalula2828
    @zenamgalula2828 8 місяців тому +4

    Napoleon mentor kwa jina la 55:23 YESU

  • @jacklinejackline2539
    @jacklinejackline2539 Рік тому

    Amen Amen Amen blessings more pastor 🙏🙏🙏👏👏👏

  • @BayaganakandiLydia
    @BayaganakandiLydia Рік тому +1

    Amen amen Yesu kristo aendelee kukupa nguvu uendelee kufanya kazi yake kwa uaminifu zaidi 🙏

  • @Milkah-br4gz
    @Milkah-br4gz Рік тому

    God bless you umenitoa mbali

  • @cerecere5758
    @cerecere5758 Рік тому +1

    Amen pastor zidi kubarikiwa sana

  • @bonifacedeljaykay1221
    @bonifacedeljaykay1221 Рік тому

    Amen...very encouraging Pastor. God bless you

  • @SuzanaMsengi
    @SuzanaMsengi Рік тому

    Mungu akubariki sana sana mtumishi sasa maisha yangu yanaenda kubadilika sitakuwa maskini tena

  • @blessingmapazia9545
    @blessingmapazia9545 Рік тому +2

    Napokea mpenyo kwa Jina la Yesu Kristo

  • @justingeorge2451
    @justingeorge2451 Рік тому +6

    Bwana Yesu asifiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai kwa kweli nabarikiwa sana na mafundisho yako Bwana Yesu akuinue zaidi katika jina la YESU KRISTO

    • @TinaSenja
      @TinaSenja 5 місяців тому +1

      Asante mchungaji na Mungu akubariki.

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 3 місяці тому

    Napokea mpenyo kwa jina la YESU KRISTO wa nazareti alie hai

  • @ElikaKishai
    @ElikaKishai Рік тому

    Ameni anabarkiwa sana 41:30

  • @judymunaniemunanie726
    @judymunaniemunanie726 Рік тому

    Napokea mpenyo katika jina la yesu kristo

  • @DianaOlotu
    @DianaOlotu 7 місяців тому

    Ameni nabarikiwa sana Mungu akutunze pastor

  • @elizabethjackson3865
    @elizabethjackson3865 Рік тому

    Amen Amen Naomba MUNGU aniletee watu wa kunivusha viwango vya juu zaid 😊

  • @happyidza7091
    @happyidza7091 5 місяців тому +2

    Amen 🙏🏾 nabarikiwa sana na mafundisho yako mtumishi mungu akuinue zaidi 🙏🏾🙏🏾

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك 4 місяці тому

    Amennnnn amennnnn. Amennnnnn. Amennnnn

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 Рік тому

    Ameeeen ameeeen kubwa mtu kwa neno zuri hili neno limenipa nguvu mpya barikiwa sana pastor

  • @salomemrembo7482
    @salomemrembo7482 Рік тому

    Hasanti sana mtumishi wa mungu..humekuwa baraka wangu..na familiya yangu piya..mungu azidi kukunemisha..kuwa wa baraka kwa mwengi

  • @linetnafula2570
    @linetnafula2570 Рік тому

    Amen napokea mpenyo katika jina la Yesu Kristo

  • @susanwanyoni249
    @susanwanyoni249 Рік тому

    Amen Amen and Amen, Mungu akubariki sana pastor Maisha yangu yamebadilika Najenga

  • @leabuseko9869
    @leabuseko9869 Рік тому

    Unanifundisha sana .Mungu akuweke miaka Mingi kwa ajili yetu

  • @zakayochikoza5208
    @zakayochikoza5208 Рік тому

    Amen amen amen amen amen amen pastor zakayo chikoza chidziwe from mombasa kenya

  • @StellaMkhodya
    @StellaMkhodya Рік тому

    Hakika tunajivunia sana kujifunza kwako

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 Рік тому

    Mungu wa Majeshi azidi na azidi sana Baba kukutumia kwa utukufu wake daima ubarikiwe Mchungaji wangu Sina lugha ya kibinanadamu kumshukuru Mungu kwa Akili yako

  • @priscaonesmo1416
    @priscaonesmo1416 Рік тому

    Mungu amuweke zaidi huyu baba , Mimi binafs Nina mengi ya kuhushudia

  • @angelyolam9528
    @angelyolam9528 Рік тому

    Mumgu wa mupenyo nitendee

  • @luvaiphilip
    @luvaiphilip Рік тому

    May God bless you man of God,,, very rare teachings in our present age,,, I'm blessed

  • @dorivaldo3759
    @dorivaldo3759 Рік тому

    Ameeeeen napokea mpenyo kweny maisha yangu kwa jina la Yesu

  • @annambossa9202
    @annambossa9202 Рік тому

    Ameeni Asante sana kwa ujumbe mzuri

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 3 місяці тому

    MUNGU akubariki

  • @LucyLema-m7e
    @LucyLema-m7e 8 місяців тому

    Hakika nimeona kwa Mungu Kuna Kila kitu japo Kuna mapambano

  • @paulostephano9221
    @paulostephano9221 Рік тому

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu by mch Paulo Stephano from manyara Babati

  • @enriqueganywamulume570
    @enriqueganywamulume570 Рік тому

    Nime barikiwa tena

  • @MiriamNasambu-r7u
    @MiriamNasambu-r7u Рік тому

    For sure the lord is using you in a different way

  • @lizstella1238
    @lizstella1238 Рік тому

    More grace pastor

  • @maxwellmusili5026
    @maxwellmusili5026 6 днів тому

    Mm pastor nakupenda for free utanifanya nitoke Nairobi ninje adi tz

  • @shendabishendabi7249
    @shendabishendabi7249 Рік тому

    You blessing me today 🙏🙏🙏

  • @nitikekubetta9152
    @nitikekubetta9152 6 місяців тому

    Ninapokea mpenyo

  • @janeystv7186
    @janeystv7186 Рік тому

    Ameeen ❤❤ my pastor

  • @lizzybeth6051
    @lizzybeth6051 3 місяці тому +1

    Ameen pastor
    Nmepokea Kwa Jina la Yesu🙇❤️🙏

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 Рік тому

    Ameen

    • @mercymihayo3427
      @mercymihayo3427 Рік тому

      Naomba Kupata mwendelezo wa SOMO hili la FAHAMU MUNGU WA UPENYO

  • @neemayoramkisasa2920
    @neemayoramkisasa2920 Рік тому

    Amen,

  • @AaaAAaa-dj8fo
    @AaaAAaa-dj8fo Рік тому

    Amen..Amen❤❤❤

  • @angelyolam9528
    @angelyolam9528 Рік тому

    Mungu wa mpenyo nakuomba unitendee Leo na mm

  • @AgnesAjiambo
    @AgnesAjiambo Рік тому

    ❤❤❤❤❤AMEN

  • @MaryKaaya-e8m
    @MaryKaaya-e8m 5 місяців тому

    hakuna huduma dar

  • @joycewambui2270
    @joycewambui2270 Рік тому

    Akika umebarikiwa dady kufundisha nikweli unachofundisha nimevuka

  • @dustannkinda7700
    @dustannkinda7700 Рік тому

    Nasogea mchungaji kiroho

  • @nabarikiwasanaannamtunguja4602

    pastor nitawezaje kuzungumza na wewe?

  • @gilbertwanje
    @gilbertwanje Рік тому

    Amen 🇰🇪🇰🇪

  • @DanEma-l9t
    @DanEma-l9t Рік тому

    Amen 🙏

  • @RoseMtiva
    @RoseMtiva 8 місяців тому

    Amen

  • @Maua-y2c
    @Maua-y2c Рік тому +3

    Nimepokea mpenyo katika jina la yesu

  • @MaryMwihaki-if7ry
    @MaryMwihaki-if7ry 4 місяці тому

    Amen, 🙏🙏

  • @halimaally613
    @halimaally613 4 місяці тому

    Amen

  • @Maua-y2c
    @Maua-y2c Рік тому

    Amen 🙏