MPINA ATANGAZA KUMPELEKA MAHAKAMANI WAZIRI, BODI YA SUKARI, APELEKA MALALAMIKO KWA VYOMBO VYA SHERIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @FortinatusJosehat
    @FortinatusJosehat 3 місяці тому +8

    Asante hizi ndio habari wananchi wanataka ayoTv pamoja

  • @Joh-p9f
    @Joh-p9f 3 місяці тому +9

    Huyu nasimama nae ✊🏽

  • @christinakomba689
    @christinakomba689 3 місяці тому +7

    Tunakuombea baba

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 3 місяці тому +5

    Mpina wwe ni jrmbe mungu akupe maisha marefuu ukoo sahiii wwe ndioo mbunge siyo hawo wa ccm wasiyotetea wapiga kura wahooo

  • @yollah
    @yollah 3 місяці тому +3

    Mpina ww ni bunge zima wengine wote ni viti vya bunge😂🎉

  • @ezekiakiwovele7794
    @ezekiakiwovele7794 3 місяці тому +5

    Safi sana

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga 3 місяці тому +3

    Itakuwa viziuri sana na ni ushujaa
    Viongozi wetu wafike hatua watangulize uzalendo magufuri alikuwa mmoja ila angalau tulianza kuiona nchi ya ahadi ila saivi viongozi wengi wapigaji kila mtu anataka achumie kwake ajaze
    Matokeo huleta vurugu watu wakichoka

  • @simonmollel2727
    @simonmollel2727 3 місяці тому

    Mpina wanaokushawishi kwenda upinzani wajaribu kujua matokeo yake. Ndio utapigwa zaidi baking hapo hapo . Yesu alipotaka kutukomboa hakuepuka Martin pale msalabani la! Alikubali Mauti tupate kukombolewa. Kiongozi mzuri ni yule aliyekabiliana na dhoruba na akaweza kusolve problems. Ubarikiwe

  • @khamisally9559
    @khamisally9559 3 місяці тому +1

    Huyu anajitafutia matatizo zaidi. Watakula kichwa muda si mrefu. Wewe endelea kuropoka tu. Huna lolote wewe mzee wa kupima samaki na ruler. Sasa hivi unajiona kama mtakatifu wakati umejaa unafiki na tamaa ya madaraka?. Kafie mbele pumbavu!!!!!

  • @DevidMarhias
    @DevidMarhias 2 місяці тому

    Shida hao kijani watakuwa wanakuwazia chakukufanya wasije wakakufiliku njombe

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 3 місяці тому +2

    Kazi iendelee lets Work continue

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 2 місяці тому

    Kama Mpina huna mutetezi, Basi watanzania wote hawana uterezi

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 місяці тому +1

    Safi sana Mpina mzalendo wa Taifa letu

  • @hamisially-c4x
    @hamisially-c4x 13 днів тому

    Safi

  • @simonmollel2727
    @simonmollel2727 3 місяці тому

    Hakuepuka mauti Yesu

  • @MultiKelvin1994
    @MultiKelvin1994 3 місяці тому

    Blaza unakuwaje skuizi, 🤣🤣🤣
    1. Unampeleka Bashe au Waziri?
    2. Makampuni yana kosa gani kama unasema yamepewa kibali(hata kama kinyune cha sheria)?

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 3 місяці тому

    Mpina ameamua kuipekeka mahakamani mihimili miwili inayoongozwa na WANAWAKE😂.Hebu tuone muhilimili unaoongozwa na mwanamme utaamua vipi.

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 3 місяці тому +1

    Make watakukata kwenye kura ya mahoni wakati Jimbo lakoo unapendwa

    • @Mosmwampa
      @Mosmwampa 3 місяці тому

      Wakimkata Jimbo linaenda upinzani mapema kabisa

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 3 місяці тому +1

    Wwe hata uone upepo mapema mwakani urudi upinzami uchukue Jimbo hloooo

    • @ZenaUsangi
      @ZenaUsangi 3 місяці тому

      UPINZANI KICHOMI TU HAKUNA JIPYA NI MAKELELE NA MATUC

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 3 місяці тому

    kwa mfano raisi awe MAKONDA makamu awe MPINA waziri mkuu mwambukusi pata picha 2025 hiyo serekali itakuaje please REPLY

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 3 місяці тому

    Acha yapite kwanini unataka mapambano wewe inaonekana unataka mapambano .

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 3 місяці тому +1

    Sema nn me naona uyu wazir wakilimo alifanya mistake sawa ila kasaidia Sana sukari na vitu vyengine kusuka bei maana nilikua juu Sana aysee wangemuacha tuu aah au akipewa yye ataweza iyo kaz

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 3 місяці тому

      Alichosaidia nn mbwa ww sio uyu alikuwa kipindi cha magu sembe ilikuwa sh ngapi na bei ya vyakula ilikuwa chini leo imekuwaje hlafu useme amesaidia ww boya nn

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 місяці тому +1

      Hakusaidia lolote.Alivunja sheria za nchi.Ndio hawa wanaotengeneza matatizo halafu wanayasovu waonekane wanajali wananchi kumbe wao ndio waliyoyasababisha.

    • @FelicianSimon
      @FelicianSimon 3 місяці тому

      ​@@MathewNathan-yb2bz waziri ni serikari ndo muhusika mkuu anatakiwa awajibishwe kwa kulewa madaraka nawala mpina hajaombo uwaziri

  • @JuliusBazil
    @JuliusBazil 3 місяці тому

    Sawa,ni haki yake kama mzalendo kwenda mahakamani akijua haki inapatikana huko.

  • @slimmtani8236
    @slimmtani8236 3 місяці тому

    Mbona unaweka vipande cya video fupi fupi Millard

  • @kelvinfabian4850
    @kelvinfabian4850 3 місяці тому

    Watamlostisha huyu ccm hawapendagi watu w namna hii

  • @bminawandu
    @bminawandu 3 місяці тому

    Lazima tuwe na wabunge wenye misimamo kama kama huyu sio mbunge ndio

  • @bensonkaaya9214
    @bensonkaaya9214 3 місяці тому

    Huu ndiyo ubunge tunao taka wa kuweka mambo wazi

  • @deogratiusprosper4796
    @deogratiusprosper4796 3 місяці тому

    Kwa la maamuz ya bunge na hyo spika wa mchongo n ngumu mahakam kuingilia kutokana na sheria mbovu za nchi yetu lkn la kumpeleka wazir na bodi ya sukari its ok

  • @iddyahmad-v6w
    @iddyahmad-v6w 3 місяці тому

    Sasa mpina mbona yanaibuka sasa , ulipopata uteuzi ulikua too much know ss hiv umeekwa pembeni unajaribu kuziteka akili za watu.
    Sisi tunajua kuchanganua mambo tumeielewa iyo

  • @mikidadymohammedy7603
    @mikidadymohammedy7603 3 місяці тому

    Mpina ni mtu na nusu

  • @GalaxyDamian-gx9ov
    @GalaxyDamian-gx9ov 3 місяці тому

    Izo ela mnazozichezea mahakamani si bora mnipe mimi nikafanyie mtaji

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 місяці тому

    Wanakupa faraja akili yao ni kana wewe!!

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 3 місяці тому +2

    Baba imeisha hiyo miaka 20 bungeni inatosha tafuta maisha mengine waoishe wenzako unadanganywa

  • @FortinatusJosehat
    @FortinatusJosehat 3 місяці тому

    Tafuta full video utupe mkuu

  • @bakarirajabu3783
    @bakarirajabu3783 3 місяці тому +3

    Mzee kumbuka Kuna wavuvi mpaka leo hawataki hata kukuona

  • @rajabumbendenga5480
    @rajabumbendenga5480 3 місяці тому +2

    Hii mijamaa ikitolewa kwenye system inajifanya kama minabii ila ikiteuliwa inauvaa uyuda wao.
    Haya yote unayoyapambania yangeonekana wewe ni mkweli endapo tusingekuona unapima samaki Rula.
    Kinyumecho unapambania teuzi.

    • @derickjuma4251
      @derickjuma4251 3 місяці тому

      Kwel 😂😂😂 ni unafki tuu

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 3 місяці тому

      Tanzania wapumbavu wengi kwani uyu alikuws waziri kipindi kipi.si cha magu na watz wote leo tunakumbuka serikali ya magu .ss yy sytem ipi kama ulimkubali magu kwann usiwakubali wasaidizi acheni unafiki yipo sawa uyu jamaa wala sio njaa

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 місяці тому

      Mpina yuko sahihi sana.Ila bahati mbaya anawapambania taifa la watu wajinga.Yeye anaongea jambo la maana na hata ushahidi kampelekea spika halafu kuna mjinga mmoja anaongea upuuzi hapo juu.kumbuka Magufuli alipokuwa kwenye wizara hiyo aliitia nchi hasara kwa kulipa mabilioni ya fedha baada ya kuchukua maamuzi ya kukurupuka.Mbona alikuja kuwakosoa marais wempnzake?Acheni ujinga wenu,mwacheni Mpina mzalendo apiganie taifa letu msimkatishe tamaa.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 місяці тому

    msukuma alisema kweli,naona jamaa huyu anahitji msaada wa madaktari wa msongo wa mawazo!!