UTACHEKA ERICK OMONDI ALIVYOCHAMBUA MUZIKI WA DIAMOND NA ALIKIBA 'MSIWALINGANISHE'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2020
  • #Diamond #Alikiba

КОМЕНТАРІ • 680

  • @fredm.2699
    @fredm.2699 3 роки тому +72

    King Kiba wanted to make great music, and he succeeded. Diamond wanted to build an empire. He succeeded. Don’t compete. Create your vision!

  • @ancyrom6929
    @ancyrom6929 3 роки тому +38

    Thanks omondi for raising our kenyan flag high God bless you

  • @DavisEnglishTv
    @DavisEnglishTv 3 роки тому +45

    I've enjoyed the way simba starts his show. Watching from Calgary-Canada...Luv you all

    • @jovialke_update6940
      @jovialke_update6940 3 роки тому

      🤣😂🤣😂😂🤣eish very interesting

    • @aiyammshoka1096
      @aiyammshoka1096 3 роки тому

      Davis Emilian same Calgary canada

    • @djb2kzer0
      @djb2kzer0 3 роки тому

      Les canadiens 😁😁😁
      Moi chuis de mtl
      I’m from Montreal 😃😃

  • @muhydinaden552
    @muhydinaden552 3 роки тому +19

    kiba oozes class and finesse & appeals to all spectrums with his well thought lyrics . diamond just give time to his fans to grow from teens into maturity then you'll see what I mean!

  • @isaacsimba477
    @isaacsimba477 3 роки тому +3

    Erick omond very nice my friend and God bless you with your family

  • @Internationale002
    @Internationale002 3 роки тому +15

    Amazing brother Eric you killing it this show...can't stop re-watching it from Mombasa-Kenya

  • @254Entertainment2
    @254Entertainment2 3 роки тому +62

    Eric is really talented to make people from totally different areas to laugh🇰🇪❤

  • @chesadennis254
    @chesadennis254 3 роки тому +4

    King Kiba kipenzi cha watu Diamond Baba lao. Watoto wetu mmetueka kwa ramani Kenya tunawapenda sana

  • @abedileite4725
    @abedileite4725 3 роки тому +2

    Umejua sana kutofautisha mziki wa kitoto na hule wa watu wazima.Kweli Mfalme ni Mfalme. Watoto waikae kando.warukeruke huko.( kuropokaropoka sio kuimba na kurukaruka sio kucheza) Asante sana omondi.

    • @malianonicass7029
      @malianonicass7029 11 місяців тому

      Ila ahta hapo umeona nani kapata shangwe kubwa kati ya kiba na mond

  • @agnessanga2940
    @agnessanga2940 3 роки тому +24

    This Guy We Should Don't Compare With Any One In Africa😂😂🙌 His Talent Is Outta Of This World But The Continent They Not Already For Talking About That 🇹🇿🇹🇿

  • @maureenmalomba8072
    @maureenmalomba8072 3 роки тому +30

    Ali Kiba till I die....on point Erico!

    • @asinatjuma8088
      @asinatjuma8088 3 роки тому +2

      Kabisa yani alikiba pafom love enjoy song lakini diamond ni fujo mwanzo mwisho

  • @jenipherjohnstone
    @jenipherjohnstone 11 місяців тому +2

    Aiseeeeeee nimecheka saana uwiiiii Diamond atar😃😃😃😃😃

  • @tanzaniaone2
    @tanzaniaone2 3 роки тому +19

    Hahahahaha I love the way he performed like diamondplatnumz

  • @azmahtsuma2546
    @azmahtsuma2546 3 роки тому +115

    Wapi wale wenzangu wa Kiba yooooo

  • @mmungalubunga4404
    @mmungalubunga4404 3 роки тому +1

    Toka MR BIN kwa kuchekesha duniani wa pili ni wewe na watut kashafariki ambaye alikuwa king MAJUTO wewe ni mbunifu sana tanzania 🇹🇿 awakuwezi

  • @fat-ulaps
    @fat-ulaps 3 роки тому +16

    King of comedy in Africa

  • @Steve-qf8he
    @Steve-qf8he 3 роки тому +4

    Napenda vile diamond na erick ni marafiki.

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 3 роки тому +119

    😂😂😂😂 King hatumiagi nguvu nyingi na tunamuelewa sana😍

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 3 роки тому +16

      Na wengi wanaomuelewa ni wale wasiojua kucheza wala kujua umuhimu wa masanii kujua kucheza japo mnajua kwamba msanii siku zote ana kupanda stage

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 роки тому +8

      Sasa mnamuelewa na hamumvushi nje ya mipaka ya East Africa ukubwa wa Kiba ni East Africa tu

    • @okeyokarolipaul4893
      @okeyokarolipaul4893 3 роки тому +1

      @@BigZhumbe Sema tu kigoma😂😂

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 роки тому

      @@okeyokarolipaul4893 Kigoma na Mombasa 🤣🤣

    • @okeyokarolipaul4893
      @okeyokarolipaul4893 3 роки тому +1

      @@BigZhumbe 😂😂😂😂aty king....

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 11 місяців тому +3

    Mbona kam mond mashabk wengi jamn ,, wapi timu mond like apaaaa

  • @saidndaro6630
    @saidndaro6630 11 місяців тому +1

    Nimekupa 1000% bro unaweza wewe mkali SIMBAAAAAA

  • @barakaalbinus9857
    @barakaalbinus9857 3 роки тому +17

    Kuanzia leo Erick omondi real when follow Ur step you talk a point bro💯✔

    • @asinatjuma8088
      @asinatjuma8088 3 роки тому

      Kabisa amesema point alikiba pafom love enjoy song lakini diamond ni fujo mwanzo mwisho 🤣🤣🤣

    • @asinatjuma8088
      @asinatjuma8088 3 роки тому

      Kabisa amesema point alikiba pafom love enjoy song lakini diamond ni fujo mwanzo mwisho 🤣🤣🤣

  • @wanjoki1
    @wanjoki1 3 роки тому +98

    Napenda hapo kwa simbaaa yaani ukumbi wote ni shangwe na mondi hakuwepo duh!😂😂😂😂mpaka waliachwa wakicheza baba lao 💪 Eric unajua sanaaa!

  • @vicentrogers9465
    @vicentrogers9465 Рік тому

    Eric we Love you from Bongo Tanzania

  • @wycliffeworkdone926
    @wycliffeworkdone926 3 роки тому +42

    My brother you just got it right, content is on point brother, you never disappoint in anyway.

    • @alexaiddan979
      @alexaiddan979 3 роки тому +1

      Simba mnyama swala hote lazima wakimbie

    • @DuniayaHabari
      @DuniayaHabari 3 роки тому +1

      Subscribe, share, like na comment kwenye hii link kutuliza akili kidogo ua-cam.com/video/k8RbFQ01CMs/v-deo.html

  • @cjmaster5585
    @cjmaster5585 3 роки тому +10

    This is Omondi platinumz

  • @rayshikeli1577
    @rayshikeli1577 3 роки тому +73

    😂😂😂😂Eric Omondi jamaniiii......na vile uwa wakaa mpole ila ukiwa kwa stage ni bureee kabisaaaaa🙌🙌🙌🙌😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @DuniayaHabari
      @DuniayaHabari 3 роки тому +1

      Subscribe, share, like na comment kwenye hii link kutuliza akili kidogo ua-cam.com/video/k8RbFQ01CMs/v-deo.html

    • @stephanom.sylvestor6902
      @stephanom.sylvestor6902 3 роки тому

      Hmna kitu huyo

  • @alajmialajm8794
    @alajmialajm8794 3 роки тому +118

    Erick kwq diamond umeweze.. our prezzo kutoka 254

    • @jovialke_update6940
      @jovialke_update6940 3 роки тому +3

      Ameweza mbaya sana waaaa😂😂🤣🤣😂

    • @bethm6587
      @bethm6587 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @rukiamsomi6869
      @rukiamsomi6869 3 роки тому +1

      Mashallah

    • @jeccaonline7755
      @jeccaonline7755 3 роки тому +2

      Ameweza ila kaambulia makerere kwa Alikiba amepata hela za kutosha 🤣🤣🤣

    • @maxgamboltv9940
      @maxgamboltv9940 3 роки тому

      ua-cam.com/video/f83XqVlQCVM/v-deo.html

  • @raygeena8552
    @raygeena8552 3 роки тому +2

    Our own thanks for representating us😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @officialnatsam
    @officialnatsam 3 роки тому +3

    This is true, ila pia sababu wanafanya different music ingawa wote ni bongo fleva. Ukitaka enjoy mziki wa kiba ni usikilize bila kucheza. Ila ukitaka enjoy mziki wa mondi ni kucheza tu ukisema uanze sikiliza daaah utapotea. Eric u kill it

  • @nyamburawacoast305
    @nyamburawacoast305 3 роки тому +5

    Erick nani alikuroga👏👏👏👏👏👍👍👍👍

  • @mercyshii3753
    @mercyshii3753 3 роки тому +9

    Na Kiba anasalia kua King 💖💖🍷🍷

  • @bmpchanneltz2438
    @bmpchanneltz2438 3 роки тому +79

    Hyu jamaa tusimfananishe na wachekeahaj was bongo

  • @aishaaboud4406
    @aishaaboud4406 3 роки тому +1

    Wooooow aki Erick Ubarikiwe umeniamsha na furaha leo

  • @mitchykitonya1619
    @mitchykitonya1619 3 роки тому +1

    nimecheka sana asee diamond is everything

  • @samutykuntathebantu8402
    @samutykuntathebantu8402 3 роки тому +8

    You went to kill that stage eriko! Agoood one

  • @antonyngala1977
    @antonyngala1977 3 роки тому +127

    Kings music kiba

    • @DuniayaHabari
      @DuniayaHabari 3 роки тому +1

      Subscribe, share, like na comment kwenye hii link kutuliza akili kidogo ua-cam.com/video/k8RbFQ01CMs/v-deo.html

    • @maxgamboltv9940
      @maxgamboltv9940 3 роки тому

      ua-cam.com/video/f83XqVlQCVM/v-deo.html

    • @maumaxtv5102
      @maumaxtv5102 3 роки тому

      nope is diamond

  • @shakilaburhan9552
    @shakilaburhan9552 3 роки тому +34

    Katumia nguvu lkn kawainua kwenye viti simbaaaaa

  • @moseskirimi7154
    @moseskirimi7154 3 роки тому

    ALIKIBA alias KINGKIBA....Ndiye mnoma kuliko DIamond perfomance is about Romance and the feeling, si kuruka ruka juu kama Frog,,

  • @mombasatv1994
    @mombasatv1994 3 роки тому +26

    Best performance in africa diamond vijana damu za simumka wa mama watu wazima awaenda club

  • @jemomwaniki
    @jemomwaniki 3 роки тому +15

    Woiii our own son Erick omondi 😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sophiajoseph2630
    @sophiajoseph2630 3 роки тому +16

    Hahahahaha iii nimependa wapi like za mondiiiiii chibudeeeeeee

  • @ifabeachreception3460
    @ifabeachreception3460 3 роки тому +1

    Simba Simba Simba Simba Simba 🦁🦁🦁🦁🦁

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +1

    Vibe la mondi noma sana😂😂😂😂😂😂😂

  • @powerplus1933
    @powerplus1933 3 роки тому +2

    Best comedian ever.much love from rwanda.

  • @kelyanjeremiya2533
    @kelyanjeremiya2533 3 роки тому +2

    Dah.. bro Eric hautumii nguvu nyingi lakini watu tumekuelewa big up sana Broo..🙌

  • @heriholder1625
    @heriholder1625 3 роки тому +18

    Mashabiki wanataka Shangwe sio kulala hapo sio kanisani, Simba ni next level hapo ndipo alipowaweza wasanii wengine.

    • @saidmfaume1282
      @saidmfaume1282 3 роки тому +1

      Mashabiki pia wako tofauti umeshaambiwa hawafanani kila mmoja ana mashabiki wake.

  • @abdinasirshukri1218
    @abdinasirshukri1218 3 роки тому +2

    Umeweza bro wa tz wanakupenda sanaa

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 3 роки тому +3

    Eric Mungu anakuona haki🤣🤣🤣🤣aaah,you killed It men

  • @emilymideva8783
    @emilymideva8783 3 роки тому

    Our Kenyan comedian we #lv u watching from saudi Arabia #254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎈

  • @tonnyplannermajirani9431
    @tonnyplannermajirani9431 3 роки тому +3

    Wow...Diamond

  • @cuteme4870
    @cuteme4870 3 роки тому +1

    Omondi anampenda sana mondi

  • @immeimme2364
    @immeimme2364 3 роки тому +1

    Wow so beautiful 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪👌❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @bnmxojayusuph3302
    @bnmxojayusuph3302 3 роки тому +4

    Hahahaaa mondi mnyamaaaa

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 3 роки тому +3

    Apo kwa Mond nimecheka mbaka mbavu zinanihuma😂😂😂🙌🙌

  • @juniorcx0114
    @juniorcx0114 3 роки тому +47

    Jina la Diamond platnumz ndo limenileta uku kama naww umekuja kwaajil ya hilo niachie comment👌chin

  • @jihannajamal9198
    @jihannajamal9198 3 роки тому +2

    I keep watching this daily🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fredric540
    @fredric540 3 роки тому +1

    Diamond on stage 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏😍😍😍😍😍

  • @rosemarymgonja4641
    @rosemarymgonja4641 3 роки тому +1

    Always ur on the next level Omondi🥰🤣🤣🤣

  • @naominjoroge4583
    @naominjoroge4583 3 роки тому +2

    Kiba all the way🤩🤩

  • @jamesmichubu4665
    @jamesmichubu4665 Рік тому +1

    😂😂🤣🤣😂 this man is enough to be considered as a president of comedy in Africa bcz no comedian can overcome him on stage for real 🤞 for real 🤞

  • @shukafuraha8272
    @shukafuraha8272 3 роки тому +2

    Hi is very very much talented

  • @kevoocoastboy9449
    @kevoocoastboy9449 3 роки тому +1

    Daah ericko katisha kinoma 🧖😘🤩🥳😍🧖 aisee noma Sana 🤣 dole gumba kwake basi msimvimbie jamani 🧖😥😥😓

  • @raybrankxbalozi3684
    @raybrankxbalozi3684 3 роки тому

    Big up Erico tuwakilishe from 254💥💫

  • @nimahassen4686
    @nimahassen4686 3 роки тому +37

    🤣🤣🤣🤣🤣 those bodyguards running after him .

    • @mariyammaria3366
      @mariyammaria3366 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣ata mi imeniumiza mbavu😆😆😆niokotwe alhamam

    • @DuniayaHabari
      @DuniayaHabari 3 роки тому +1

      Subscribe, share, like na comment kwenye hii link kutuliza akili kidogo ua-cam.com/video/k8RbFQ01CMs/v-deo.html

    • @jocelyneinarukundo3655
      @jocelyneinarukundo3655 3 роки тому

      😂😂😂😂

    • @anitamwehonge8287
      @anitamwehonge8287 3 роки тому

      Eeeeehhh😂😂😂😂

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 3 роки тому +1

    Nimependa sanaaa

  • @jihannajamal9198
    @jihannajamal9198 3 роки тому +1

    Kenya we r blessed with comedians oh gosh🤣🤣🤣

  • @kennix6457
    @kennix6457 3 роки тому +1

    Kweli king of comedy uyu jamaa walai hahahaha

  • @emanuelmosses1524
    @emanuelmosses1524 3 роки тому +2

    Sure kuna utofauti mkubwa sana kati ya hao watu,umeweza broo

  • @issahplanz9114
    @issahplanz9114 3 роки тому +1

    Eric kwa mondi umeuwaaaaa!

  • @mariamsaid2014
    @mariamsaid2014 3 роки тому

    Igweeeee.....Eric you have killed it oooooo

  • @johnisa
    @johnisa 11 місяців тому

    Proud of you Erico👊 Ancestors are happy

  • @nassprincetz
    @nassprincetz 3 роки тому +47

    DIAMOND ni diamond tu🤔😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥

    • @godfreybetetse6549
      @godfreybetetse6549 3 роки тому +1

      Amesema Alikiba tu katunzwa kwa Diamond ni kilele tu hakuna Music.

    • @mjanthony4864
      @mjanthony4864 3 роки тому +3

      Godfrey Betetse Natumaini Umeona Vibe lipo wapi, Usiumie na Ukweli 😅

    • @williamkhaemba2782
      @williamkhaemba2782 3 роки тому

      @@mjanthony4864 😂😂😂😂😂👊👊

    • @shamsisaady4029
      @shamsisaady4029 3 роки тому +1

      @@godfreybetetse6549 inamana hilo vibe la mond hujaliona! Ukumbi wote umesimama...🤔

    • @godfreybetetse6549
      @godfreybetetse6549 3 роки тому

      @@shamsisaady4029 ni kweli ukumbi wote umesimama ila kuna mtu alieenda kumtunza Omondi kwa hilo vibe? Alipoimba wimbo wa kiba watu wote walitulia huku wakitabasamu kwa true and positive music feelings ndo maana hela ilitoka.

  • @elviraramadhan3900
    @elviraramadhan3900 3 роки тому +26

    Erick umeua😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwa mond umepatia had naogoap😂😂😂

    • @DuniayaHabari
      @DuniayaHabari 3 роки тому +1

      Subscribe, share, like na comment kwenye hii link kutuliza akili kidogo ua-cam.com/video/k8RbFQ01CMs/v-deo.html

    • @rukiamsomi6869
      @rukiamsomi6869 3 роки тому

      ❤❤❤

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 3 роки тому +6

    Diamond ni moto wakuotea mbali....watu wote ukumbi mzima wazizimaa

    • @doryadam2876
      @doryadam2876 3 роки тому +1

      Sana yaan me namkubaliii hatarii naona huwez hat kumfananaisha na harm

  • @aanesiamosi6592
    @aanesiamosi6592 3 роки тому +1

    Mondi nomaa. Sanaa.

  • @chakubutakamangila2274
    @chakubutakamangila2274 3 роки тому +79

    Chibu anapendwa sana angaliya watu walivyo sikiya diamond kila mtu alisimama nakuimba mziki ni ubunifu

  • @kosanimsama6237
    @kosanimsama6237 3 роки тому

    Omondi hatuwezi kumfananisha na Uchafu wetu wa Bongo hapa...daaahhhhh

  • @judywambui3409
    @judywambui3409 3 роки тому +5

    Chibu you won this hope imemfikia Erick good work 254 manenod

  • @sammysamMZB
    @sammysamMZB 3 роки тому +5

    Ah wapi?! 🤣🤣🤣🤣 Eric Omondi deserves all his success

  • @othmansuleiman6140
    @othmansuleiman6140 3 роки тому +1

    Unajikuta upo na stress lakini huyu jamaa anazipeperusha haraka hongera sana kwake kajua kucheza na hisia za watu

  • @cliffdinho
    @cliffdinho 3 роки тому +2

    Everything Erick describe there its true 😂😂😂😂👏👏👏👏👏🙌🙌🙌😂😂😂😂

  • @carolinenjerimaina1276
    @carolinenjerimaina1276 3 роки тому +8

    Mi namtambua DJ Afro ikikuja ni kwa vichekesho but ata Eric anajaribu

  • @dgt6303
    @dgt6303 3 роки тому

    Daaah ila Omondi hana mpinzani ni level zingne

  • @vitukotv447
    @vitukotv447 3 роки тому +1

    Simba nimekubali

  • @weldoncheruiyot5852
    @weldoncheruiyot5852 3 роки тому +1

    Eric Omondi choosing baba lao song was a way of endorsing Mondi kidesign

  • @allygoodboytzsdoneintanzan3970
    @allygoodboytzsdoneintanzan3970 3 роки тому

    Erck omondi Amia Tanzania bana Uwe Unamchekesha Hata rais wetu magufuri

  • @sarahsaarah7270
    @sarahsaarah7270 3 роки тому +1

    Wow

  • @paulkipkoechkoskei6018
    @paulkipkoechkoskei6018 3 роки тому

    Eric, yours is beyond comedy... Welldone

  • @musacadd1691
    @musacadd1691 3 роки тому +2

    Umeuwa sanaa eric

  • @gideonmaneno8681
    @gideonmaneno8681 3 роки тому

    Its too professional i love ut

  • @ArarsoAli
    @ArarsoAli 3 роки тому +2

    Thats funny kijaya kutoka kisumu one love omeraa

  • @immaxkiyenze6261
    @immaxkiyenze6261 3 роки тому +19

    #mond_babalao 🙌

  • @rashdamwanyoka7608
    @rashdamwanyoka7608 3 роки тому +2

    Watu hawaja elewa ety walivyosikia diamond wakasimama noooo Nicole tu Erick amejua ku act like one and by the way Erick unajua bana 😂😂😂🙌🙌🙌

  • @youngpozze
    @youngpozze 2 роки тому

    King kibaaaaaa

  • @alexkaloki2414
    @alexkaloki2414 2 роки тому

    Omondiiii💪💪💪

  • @luganoesomu5301
    @luganoesomu5301 3 роки тому +1

    Duuh comedian wa 254 wako makini sana ! 255 wasubiri!

  • @benjaminjulius7976
    @benjaminjulius7976 3 роки тому

    Nmeikubali iyo ERICK OMONDI ni yeyeeeeeee...........

  • @Sounds373
    @Sounds373 3 роки тому

    My all time best country man comedian 🔥🔥🔥

  • @goldenfranks563
    @goldenfranks563 3 роки тому +3

    An upcoming artist

  • @mansourabdul3902
    @mansourabdul3902 3 роки тому +8

    Mond ni mnoma sana hilo shangwe yeye hayupo angelikuwepo je??😁😁😁😁