PART3:KIFARU JAMBAZI ALIETIKISA JIJI LA DAR KWA MAUAJI&UTEKAJI MPAKA VIONGOZI/NAKUNYWA MAJI YA MAITI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 Рік тому +3

    Umeona Umeona Bwana...Mr Falu

  • @Monika-cp2gk
    @Monika-cp2gk Рік тому +3

    Safi sanaaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @HadijaKilagule
    @HadijaKilagule 9 днів тому

    Kwahiyo mwizi mstaafu hiyo nyuma ndio nyumba yake au?

  • @nelsonjonathan7660
    @nelsonjonathan7660 Рік тому +2

    Mwamba anasimulia ila kama hana uhuru😂😂

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 Рік тому +5

    Watu w yanga wachawi kweli

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 Рік тому

      Unatakaka battle na wanautopolo wewe shaur yakoo

    • @rashidyiddy5035
      @rashidyiddy5035 Рік тому

      Kam huna kazii chana chupii yako halaf ushone Tena makario ya nyanii 🍑

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 Рік тому

      Kifalu katukaba sana mtoni mimi nimeishi huyu jamaa alikua anakaba hatari

  • @sultanmattar1256
    @sultanmattar1256 Рік тому

    Linkon mabolo umekaanae india mji gan

  • @RobbyDejan1234
    @RobbyDejan1234 Рік тому +2

    Mbinu zao za kitoto kweli wakati kufuri ina kitundu kidogo dawa yake pini tu au sindano kufuri inaachia.😂😂😂

  • @happybello4635
    @happybello4635 Рік тому

    Daaah

  • @innocentrichard9316
    @innocentrichard9316 Рік тому

    nashauri wasimuliaji wapewe kinywaji chochote coz wanongea mda mrefu.

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 Рік тому

    Hayo maeneo yote viwanja vyangu yani kifaru katutesa mbwa huyo kipindi hiko

  • @tanzaniayetu1
    @tanzaniayetu1 Рік тому

    NIKAFIKA NIKAMKUTA MZEE HAYUPO😁

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 Рік тому

    Jamaa namjua alikua mwizi hatari jambazi noma huyo

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 Рік тому

    Kifalu tuloishi kwa mtoni kwa kindande tunajua balaa lake

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 Рік тому

    Umeona bwana

  • @nuruchaula1772
    @nuruchaula1772 Рік тому +1

    Njota ya kupendwa na waganga

  • @mulazsaid1907
    @mulazsaid1907 Рік тому

    Pamoja saana Mr Everything 💪

  • @emmanuelmachibya2034
    @emmanuelmachibya2034 Рік тому

    Siku hizi wanakatakata ugali kama wanaufua😥😥😥

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    Waganga ndio uwapa nguvu majambazi kutuumiza

  • @salumjabir813
    @salumjabir813 Рік тому

    Mchizi anapoteza muda kwa maswali yasiyokuwa na kichwa wala miguu

  • @lazarojohn9154
    @lazarojohn9154 Рік тому

    Nimewahi kuidaka

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 Рік тому

    Hicho kitabu ..hatari kubwa..kimbieni.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    Ndugu yangu kifalu umefanana sana na jamaa mmoja mkazi wa magomeni nilikaanae INDIA 92 jina lincon mabolo mkabaji mkubwa enzi izo🇹🇿🇬🇷😁

    • @zawiyatasha5098
      @zawiyatasha5098 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣

    • @nelsonjonathan7660
      @nelsonjonathan7660 Рік тому

      Bwana mabolo🤔😂😂😂

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 Рік тому

      Kifalu alikua hatari sana nimeishi mtoni mashine ya maji mtoni kwa kindande alikua na akina ndonga amekaba watu wengi huyu mwamba acha tu

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    Mbinu ubadilika KILA siku