Mungu akusaidie cassian kweli unabomoa.....sasa nashindwa kuelewa inakuwaje kwa kweli nime panic navyomjua Bwana kwa kweli hii ni uhuni tu kamaa uhuni mwingine
Wanafiki wa mwisho.... nyakati hizi tutayaona makubwa.. wanaoomba hata hawajulikani.. wanaenda milimani huku wamevaa magunia, na kwa nyumba za ibada wanaombea taifa lakini hawatangazi kwa wanadamu. Wanamwendea Yesu aliye sirini wanaomba kwa siri naye Baba anajibu kwa wazi. Hao ni majoka tu wapenda kula, wamepelekwa kukutana kwa tamaa zao na wala hayo sio maombi. Wapotoshani waliojawa roho ya tamaa, mapepo tu kwa maumbo ya wanadamu. Bwana Yesu awakemee matapeli Ubarikiwe mtumishi na Mungu awe nawe siku zote.
@NtuliSuzan akiwaombea kimyakimya atakuwa amewasaidia nini... uenda wamesahau bibilia ni vizuri wakumbushwe. Na Yesu pia aliwaambia mafarisayo kweli hakuwaficha kitu.
@@MGALILAYABillionaire Una uhakika kuwaleta wazi kasaidia nn? Acheni Unafki muingie mbinguni hao watumishi wangekataa waandishi angesema tu pia, Huyu Tunahitaji tujue baba wa kiroho wake ni nani? Yeye ni kukosoa tu, ishu ya Martha Mwaipaja alikurupuka hivi hivi kumsema Beatrice kamsema wee alipoona upepo uko vingine akageuka kumsema Beatrice kuweni makini Huyu ni mihemko tu inamsumbua, Sasa kama watumishi Mungu kawakubali yeye anatenda haki kuwaita wanafki, kinywa chako ukikiweza control umepona
Sijaona kosa , kwani wamesema wanaombea nchi , Rais wetu , congo, na nchi za Africa , Kipindi tulichonacho ni cha Toba, Tanzania , Africa, na dunia tunamuhitaji sana MUNGU kwa karibu zaidi katika huu Mwaka, 2025 wawili wakikusanyika wakiomba kwa Jina lake YESU, MUNGU yupo pamoja nao, 2 nyakati 7:14 . ,yeremia 33:3 niiteni nami nitaitika
Huyu hajui hata njia ya msalaba huu uhuni ni kutoka dhehebu gani hawa wanataka pesa na kwa nini wamwombee samia nchi hii itasambaratishwa na manabii na mitume wa uongo
wewe unafanya nini kila siku mitandaoni kila kitu unakijua wewe.pia nawewe nipumbavu tena mnafiki wakiroho .kwahiyo wewe nimusemanji wa mungu .mimi nilikuwa naipenda sana hunduma yako ila kuwaita watumishi wezio wanafiki.
Nchi hii ni ya ajabu hawa wanaojikusanya na kufanya eti maombi kinacholengwa hapo ni pesa tu za walipa kodi ma kwa sababu wamemwona wanayemwombea anatoa pesa tu kila akisifiwa tunajiuliza pesa hizi anatoa wapi je hazina au mfukoni kwake watz endeleeni kulipa kodi kwa uaminifu maendeleo msahahu kwanza
Na umoja hakunaga kwakweli hawa wameungana wengine wanatumika nq kuzimu kwakweli hata mimi nimeguswa hakuna maombi ya haya kuna watu wanagagaa madhabahuni kwa siri kuja kutangaza ndio nini
Barikiwa sana Pst
Da !! Huo ni ukweli usiopingika unafiki na uchawa unaendelea kwa kasi sana tanzania kuliko ukweli na maendeleo vizuri sana mtumishi wa mungu cassian
Barikiwa sana Mtumishi wa maombi ni siri siyo ya hatharani ❤❤❤❤ Tunakupenda sana w Kenya kw kuongea ukweli❤❤❤❤
Mungu akusaidie cassian kweli unabomoa.....sasa nashindwa kuelewa inakuwaje kwa kweli nime panic navyomjua Bwana kwa kweli hii ni uhuni tu kamaa uhuni mwingine
Asante mtumishi amewapa ukweli wao
Aleluya
Hongera Mtumwa Wake ni kweli kabisa maombi ni sili ya mtu wala sio kujionyesha hao hawana lolote wanaji pendekeza tu
Hapa Mtumishi wangu
Amen
Wanafiki wa mwisho.... nyakati hizi tutayaona makubwa.. wanaoomba hata hawajulikani.. wanaenda milimani huku wamevaa magunia, na kwa nyumba za ibada wanaombea taifa lakini hawatangazi kwa wanadamu. Wanamwendea Yesu aliye sirini wanaomba kwa siri naye Baba anajibu kwa wazi. Hao ni majoka tu wapenda kula, wamepelekwa kukutana kwa tamaa zao na wala hayo sio maombi. Wapotoshani waliojawa roho ya tamaa, mapepo tu kwa maumbo ya wanadamu. Bwana Yesu awakemee matapeli
Ubarikiwe mtumishi na Mungu awe nawe siku zote.
Alipoona wamekosea Kwann na yeye asiwaombee kimyakimya😂
@NtuliSuzan akiwaombea kimyakimya atakuwa amewasaidia nini... uenda wamesahau bibilia ni vizuri wakumbushwe.
Na Yesu pia aliwaambia mafarisayo kweli hakuwaficha kitu.
@@MGALILAYABillionaire Una uhakika kuwaleta wazi kasaidia nn? Acheni Unafki muingie mbinguni hao watumishi wangekataa waandishi angesema tu pia, Huyu Tunahitaji tujue baba wa kiroho wake ni nani? Yeye ni kukosoa tu, ishu ya Martha Mwaipaja alikurupuka hivi hivi kumsema Beatrice kamsema wee alipoona upepo uko vingine akageuka kumsema Beatrice kuweni makini Huyu ni mihemko tu inamsumbua, Sasa kama watumishi Mungu kawakubali yeye anatenda haki kuwaita wanafki, kinywa chako ukikiweza control umepona
Sijaona kosa , kwani wamesema wanaombea nchi , Rais wetu , congo, na nchi za Africa , Kipindi tulichonacho ni cha Toba, Tanzania , Africa, na dunia tunamuhitaji sana MUNGU kwa karibu zaidi katika huu Mwaka, 2025 wawili wakikusanyika wakiomba kwa Jina lake YESU, MUNGU yupo pamoja nao, 2 nyakati 7:14 . ,yeremia 33:3 niiteni nami nitaitika
Huyu hajui hata njia ya msalaba huu uhuni ni kutoka dhehebu gani hawa wanataka pesa na kwa nini wamwombee samia nchi hii itasambaratishwa na manabii na mitume wa uongo
hii mitumishi hewa inakura na serikali michumia tumbo pumbavu sana
Injili ya kweli ubalikiwe Sana baba
Ameee
Tuombee wagonjwa mloganzila na,wagonjwa wengine wakohospitar mbalimbali Nchini,wengine vijijini Mungu awaponye
Kwa kweli.
wewe unafanya nini kila siku mitandaoni kila kitu unakijua wewe.pia nawewe nipumbavu tena mnafiki wakiroho .kwahiyo wewe nimusemanji wa mungu .mimi nilikuwa naipenda sana hunduma yako ila kuwaita watumishi wezio wanafiki.
Mama Samia Mwaka huu shetani akukandamizeeeeeeeee usifanikiwe maana unakula sanaa hela za wananchi kuwapa watu wasio na faida
Ukweli usio pingika ubarikiwe sana kabisa
Nchi hii ni ya ajabu hawa wanaojikusanya na kufanya eti maombi kinacholengwa hapo ni pesa tu za walipa kodi ma kwa sababu wamemwona wanayemwombea anatoa pesa tu kila akisifiwa tunajiuliza pesa hizi anatoa wapi je hazina au mfukoni kwake watz endeleeni kulipa kodi kwa uaminifu maendeleo msahahu kwanza
Mshamba uyo mama Samia mm sioni ata maendeleo yakeeee kazi yake kuwapeleka wasanii Dodoma tu
Yan hao viongozi hata aibu tu kidogo hawana?,mbona unafiki wao umepitiliza kiasi cha kupofusha fahamu zao?,kazi tunayo sisi washirika.
Hapo wengine wanamzidi umli
Umenena kweli,wewe ni yeremia,ezekiel,isaya wa leo huduma yako sii ya mchezo kweli hata mke Mungu akupe mtakae endana silelemama
Na umoja hakunaga kwakweli hawa wameungana wengine wanatumika nq kuzimu kwakweli hata mimi nimeguswa hakuna maombi ya haya kuna watu wanagagaa madhabahuni kwa siri kuja kutangaza ndio nini
Wanafiki tu hao na kola zao njaa tu mm matabi nasema tena hao wachungaji njaa tu
Alafu kwa nini wanafanya hivyo kuwa watu wanafiki mbona hao ni watu wazima lakini hawa ogopi aibu
Cassian unakokwenda unahitaji deliverance tu sio kingine na sio Kila unachoongea kinatoka kwa Roho Mtakatifu
Yan wengi mulio coment munajitafutia laana
nawewe ni mnafiki tu
Pascal anawaambia ukweli ila nina amini haya yanamwisho
Wana mtangazia nani sasa hao ni wahuni alafu wasifanye hivyo unafiki mbaya sana
Wewe huna akili, unajipunguzia umri wa kuishi, ivi wewe wakusema akinabendera kwa huduma ipi uliyonayo, kuwa makini