MAOMBI YA USIKU KABLA YA KULALA by Innocent Morris

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • MAOMBI YA USIKU KABLA YA KULALA by Innocent Morris
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    UA-cam Link:
    / holyspiritconnect

КОМЕНТАРІ • 1,6 тис.

  • @luitifriediskambanga9242
    @luitifriediskambanga9242 25 днів тому +4

    Bwana yesu mimi naomba nisamehe nimekosa sana kwa maneno matendo na mawazom

  • @JoharBreeze
    @JoharBreeze Місяць тому +7

    Asante bwana yesu kuiona sku ya yaleo nimeiona sku ya Leo nmeuona mkono wako umelida familia yangu sante Asante

  • @user-fn6cz7hs4t
    @user-fn6cz7hs4t 27 днів тому +3

    Nilinde Mimi,familia na wajukuuzangu wote usiku utufunike kwa damuya yesu ni ktk jina ya yesukristo Amina

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy Місяць тому +2

    Bwana yesu nakushukuru kwa ulinzi umenilinda asubuhi yote hadi nimeona usiku wa leo asante bwana yesu

  • @fatmahamis3838
    @fatmahamis3838 Рік тому +6

    Bwana yesu ukawalinde watoto wng usiku huu nakuwatakasa kwa damu ya yesu kristu🙏🙏

  • @RonaldoZacharia
    @RonaldoZacharia 23 дні тому +2

    asante bwana yesu kwa neema ya kuomba usiku huu ukawalinde watoto wangu na wadogo zangu, Amen

  • @fatimafatima6796
    @fatimafatima6796 Рік тому +5

    Asante Bwana Yesu kwa ulinzi wako toka asubuhi hadi wakati huu, Ninapo enda kulala unisamehe makosa yangu Bwana Yesu maana wewe ni mwenye kusamehe,,Bwana Yesu Bwana Yesu naomba unifunike na damu yako usiku wote mimi pamoja na watoto wangu,,,, Barikiwa mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏

  • @BarakaWabyake
    @BarakaWabyake 10 днів тому

    Bwana yesu asante kwamatendo ma kuu ambao umenitendea siku ya leo umekuwa pamoja na mimi toka hasubuyi mchana jioni mpaka usiku hu umekuwa pamoja na mimi bwana yesu nasema asante umeniepusha na mambo mengi yesu nimeuona mkono wako yesu na mm nakuja mbele yako nasema asante kwasababu ww mungu umemuekaniya mme wangu ninasema asante umemulinda mume wangu umelinda familia yangu naya mume wangu nasema asante. Bwana yesu naomba unisame sehemu yote niliyo kosea siku ya leo kwakuongea kwakuwaza vibaya kwa matendo bwana yesu naomba unisame rehema zako zikawe ju yangu bwana yesu ninakukabizi usiku hu wote ninakukabizi ww katika jina la yesu kristo unilinde namabaya yote unilinde mashambulizi ya kila aina unifunike kwadamu yako ma aduyi wasinione katika jina la yesu chisto bwana yesu nakukabizi mume wangu familia yangu naya mume wangu ukawalinde bwana yesu naomba ulinzi ju yao naomba utuamushe salama katika jina la yesu chisto amen🙏

  • @samuelabonifas5441
    @samuelabonifas5441 Рік тому +5

    Bwana yesu nakushukuru kwa wema wako ukuu waka nauaminifu wako asante kwa ulinzi hewa safi pumzi ya bure bila malipo asante baba wa mbinguni amina

  • @MariaMgina-i2q
    @MariaMgina-i2q 57 хвилин тому

    Asante bwana yesu nirehem Mimi nafamilia yangu natubu kwako unioshe unitakase tufunike uck huu na damu yako

  • @NeemaJohn-xg7xm
    @NeemaJohn-xg7xm Рік тому +8

    Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU, nimefunguliwa kwa Damu ya Yesu Kristo jina lipitalo majina yote 🙏🙏🙏

  • @monicadittu2554
    @monicadittu2554 12 днів тому

    Maombi ya usiku huu yamenipa ulinzi mkubwa kabisa nitalala nikiwa nimlindwa na Yesu asante mtumishi endelea kuniombea mungu aniponye Amen

  • @amandakavishe5739
    @amandakavishe5739 Рік тому +7

    Asante BWANA Yesu kwa ulinzi juu yangu na Familia yangu…. Ameen

  • @monicadittu2554
    @monicadittu2554 14 днів тому

    Maombi haya ya usiku nimebarikiwa sana najuwa usiku huu nitamwona Bwana Yesu akinitetea maadui wamshindwa kabisa

  • @beatricetemu6472
    @beatricetemu6472 2 роки тому +7

    Bwana Yesu apewe sifa na kutulinda na vita zote za adui katika kazi zangu na wito wangu

  • @melisastephen2376
    @melisastephen2376 2 роки тому +4

    Eee mwenyezi mungu nakuomba unilinde mimi na familia yangu amen.

  • @monicadittu2554
    @monicadittu2554 7 днів тому

    Maombi ya usiku huu ni mazuri sana yesu atatawanya madui zangu wote Ameni

  • @winifridangoleleje9835
    @winifridangoleleje9835 2 роки тому +8

    Ahsante bwana yesu kwa zawad hii ya uzima ulotujaria mimi na familia yangu kwa ujumla, ulonitendea ni makubwa mno ahsante kwa kutulinda na kuongeza aman na furah katk familia yangu Amen🙏🙏🙏

  • @nellymuturia9060
    @nellymuturia9060 28 днів тому

    Asante mwana yesu Kwakuwa nmeona mkona wako ukiwa pamoja ukiniogoza adi usiku huu

  • @user-we3oo2ug3q
    @user-we3oo2ug3q 9 місяців тому +7

    Asante sana pastor 🎉 Mungu wa Amani Azidi kukuinua kwa viwango vya juu 🙏🙏

    • @Claraphilip-bx8te
      @Claraphilip-bx8te 2 місяці тому +1

      Asante Bwana Yesu kwa ulinzi kwangu na familia yangu

  • @nellymuturia9060
    @nellymuturia9060 28 днів тому

    Asante Asante Asante bwana Kwa akulinda ata familia yangu Kwa ulizi wako umelinda

  • @joycestephano5074
    @joycestephano5074 2 роки тому +3

    BWANA yesu nisamehee kwaijili ya mdomo wangu kinywa mawazo fikila nisamehee na pianashukuru sana kwa neemayako juu ya maisha yangu naomba ulinzi wako juu ya maisha yetu ulinde na mabaya yooote naomba ulinziwako juu ya usiku wa leo

  • @miriamanjema2176
    @miriamanjema2176 12 днів тому

    Asante mungu kwa nehema umenipa mimi na familia yangu si kwa nguvu zangu

  • @beatricechepkurui9161
    @beatricechepkurui9161 Рік тому +3

    Amen 🙏 i receive in Jesus name please pray for me thank you Lord for the world of your servant truly something i work up at night

  • @MariamJacob-j9l
    @MariamJacob-j9l Місяць тому

    Bwana yesu nashukuru nasema asante.kuwa pamoja na mimi pamoja na familia yangu kwa siku ya leo

  • @franciskajessy4468
    @franciskajessy4468 Рік тому +4

    Ahsante Yesu kwa ulinzi wangu na familia yangu👏👏

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  Рік тому

      Ameen

    • @janelulambo3957
      @janelulambo3957 Рік тому

      Asante baba kwakunipa guvu yakuomba kuanzia Jana,naasubuhi nimekuta hirz kitandan Kwa watoto mungu naomba nilinde

  • @rahnermohamed4261
    @rahnermohamed4261 7 місяців тому +2

    Asante bwana yesu kwa kusimama na mimi katika funga zangu na maombi ya kila siku kwa siku 90

  • @jescahaule176
    @jescahaule176 Рік тому +9

    THANK YOU JESUS🙏🙏

  • @Sandraushidabebe
    @Sandraushidabebe 12 днів тому

    Bwana yesu naomba unilinde Mimi na familia yangu

  • @victoriarehema7183
    @victoriarehema7183 2 роки тому +10

    Amen Amen Amen, Namushukuru Bwana Yesu Kristo kwa maana ajaniacha siku ya leo lisha ya majaribu, amenishindi yote, nasema Asanti bwana Yesu kwa kua pamoja nami. Namushukuru sana Bwana Yesu.

  • @nellymuturia9060
    @nellymuturia9060 28 днів тому

    Katika jina la yesu kristo nakafhithi watoto wangu. Mikono mwako

  • @joeyjowrlinejoey1762
    @joeyjowrlinejoey1762 2 роки тому +3

    Glory to God

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  2 роки тому

      Ameen ameeen

    • @dainesykyando6297
      @dainesykyando6297 Рік тому

      Bwana yesu ninakushukuru kwa matendo yako makuu kwaajili ya ck ya Leo kwamaa umenilinda umenitetea na sema ahsnt jehova nisi nasema ashsnt kwaajili ya afya,uzima na pumzi ahsnt ahsnt 🙏🙏🙏🙏

    • @monicanzwiri3101
      @monicanzwiri3101 Рік тому

      Ameeeen

  • @julianarichard920
    @julianarichard920 6 місяців тому +2

    Halika umenilinda kwa miaka yote hadi leo Na pia ninamshukuru sana Mungu kufungua ufahamu wangu

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 2 роки тому +4

    Amen 🙏✝️😇🕊

    • @esterchatila2611
      @esterchatila2611 2 роки тому +1

      Ee baba wa mbingun nakushukuru kwa kunilinda Sikh ya Leo nakuomba. Utulinde na usiku wa leo na pia ubariki kaz ya mikono yangu kwazia leeo I we Sikh ya mafanikio

    • @pamelapendo474
      @pamelapendo474 2 роки тому

      Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mathafedrick6289
    @mathafedrick6289 Рік тому +1

    Asanteeee mchungaj kwa maombi naomba mungu pia akanitemberee na kunitendea mengi makubwa ya ajabu

  • @nellymuturia9060
    @nellymuturia9060 28 днів тому

    Bwana yesu ukanilinde usiku huu wa Leo unifunike Kwa ulizi wako unifunike Kwa damu Yako takatifu

  • @mzuzukhan1326
    @mzuzukhan1326 22 дні тому

    Asante mtumishi wa mungu akupe Maisha marefu yenye baraka kama jina Lako akuepushe na maradhi, Nimebarikiwa sana na maombj haya

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t 2 місяці тому

    Nashukuru nsema asante bwana yesu sababu mungu umelinda mume wangu umemlinda mume wang umewalinda watoto wangu

  • @StanleyEmmanuel-jq7xs
    @StanleyEmmanuel-jq7xs 2 місяці тому +1

    Baba mtatifu nakuomba ubaliki usku tulale salama tunavo amka tuamke salama mungu ukabariki uyu mgomo tukafungue kesho

  • @TheresiaCosmasy-un5tv
    @TheresiaCosmasy-un5tv 11 місяців тому

    Asnte mungu Wang nisamee mm mkosefu nisamee dhambi Zang nitiie nguvu nirinde usiku huu pamoja na family yang

  • @FaithMwende-n7o
    @FaithMwende-n7o 27 днів тому +1

    Asante yesu cxa kunilinda mchana WA leo

  • @LeilaSpembo
    @LeilaSpembo Місяць тому

    Asante yesu nilinde mm na baba yangu mzazi na watoto wangu na wadogo zangu na kaka zang

  • @LevinaSlivanus
    @LevinaSlivanus 6 місяців тому +1

    Naomba niote ndoto njema, niondoleee ndoto chafu nazakutisha maisha yangu, naomba kibar chakujihudumia sio kumtegemea mwanaume wangu kwa kila kitu Amina🙏🙏🙏🙏

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t 2 місяці тому

    Bwana Yesu semu yoyote niliokose naomba unisamehe bwanayesu ukanirehemubwana Yesu

  • @nadiachalres
    @nadiachalres Рік тому +2

    Asante bwana yesu neema ya kuamka ikawe juu ya mume wangu juu ya mwanangu juu ya familia yangu KATIKA jina la YESU AMEEEN

  • @liberathaaugustine472
    @liberathaaugustine472 3 місяці тому +1

    Asante mungu unilinde na familia yangu ktk hatari zote mlinde na Mme wangu walinde na ndugu zangu nibariki na biashara yangu.

  • @NeemaMbena-u1e
    @NeemaMbena-u1e Місяць тому

    Amen mtumishi naomba ulinzi wako nikaamke salama kiafya

  • @MargarethMartin-e9v
    @MargarethMartin-e9v 25 днів тому +1

    Asante Bwana Yesu kwa upendo wako mkuu

  • @GullamAli-eg8vl
    @GullamAli-eg8vl Рік тому

    Namkabidhi mtoto wangu heri ndio lango maana ni wakwanza kwenye uzo mfungulie apate biashara shamba analolima avune vifunike kwa damu ya yesu

  • @hadijaprudences3686
    @hadijaprudences3686 3 місяці тому +1

    🙏asante yesu kwa usiku huu naomba aniline na hatari zote za mwilin na rohon

  • @AsilaKagambo-uv2ff
    @AsilaKagambo-uv2ff 18 днів тому

    Bwana yesu nafunika damu ya yesu maombi ya kazi Jwtz

  • @lall2037
    @lall2037 7 місяців тому +2

    Bwana yesu nakushukuru siku nzima hii ya leo kwa kunipigania mpaka sasa naomba mpiganie mchumba wangu john arudi kwangu ktk jina la yesu anitafute kwa njia ya cm🙏

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 3 дні тому

    Bwana yesu nahomba nisamehe makosa yangu yote nime kutenda zambi sana

  • @JackleenCharles
    @JackleenCharles 3 місяці тому +1

    Asante bwan kwakutu linda mchana hadi tukafika huusiku🙏🙏🙏

  • @HyasintaGowele
    @HyasintaGowele Місяць тому

    Bwana yesu nakushukulu kwakutulinda mm na familia yangu

  • @monicampokwa441
    @monicampokwa441 Рік тому

    Baba Mungu nakushukuru kwa kunilinda cku mzima ,hta Sasa usiku unapoingia najikabidhi mikononi mwako.

  • @paskalinanesphory3425
    @paskalinanesphory3425 Рік тому

    Asante Ben yesu kwa kunilinda siku nzima na kunipa uck huu nilinde na uck huu

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 26 днів тому +1

    Nakukabithi bwana usiku huu na nashukuru kwa kunilinda mchana wote

  • @aminayusuph547
    @aminayusuph547 4 місяці тому

    Eeeee yesu eeee yesu eeee yesu wangu nakuita baba naomba kafanye njia kwa damu yako yesu nikamchukue mwangu jerry niweze ishi nae

  • @user-ly8go5qy6w
    @user-ly8go5qy6w 5 місяців тому

    Asant yes kwakuwa na mm mchana mpk jion hi hata ninapoenda Kula mung unilinde na kunitendea miujiza kwang mm na family yangu baba WWE ndo kimbilio la maisha yang umemlinda mchumba Wang baba naomba umpe kibali ndani ya maisha yet ❤

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Ameen Nakushukuru Mungu wangu nikauone wema wako nikaamke salama Namtakia Mume wangu safari njema asafiri salama

  • @user-jd5dr4ri9p
    @user-jd5dr4ri9p 8 місяців тому +2

    Ahsante bwana yesu kwa kunipa kibali cha kuomba ulinzi wako usiku huu kwangu na familia yangu Amina 🙏🙏

  • @Claraphilip-bx8te
    @Claraphilip-bx8te 3 місяці тому

    Najifunika kwa damu yesu mm na watoto wangu na famialia yangu

  • @lall2037
    @lall2037 8 місяців тому +1

    Bwana yesu nakukabidhi mchumba wangu john mbawala na watoto wangu luckman na hawa ukawape ulinzi ukawafunike kwa damu ya yesu kristo 🙏

  • @user-rl3ev1fh4c
    @user-rl3ev1fh4c 7 місяців тому

    Amen asante yesu kunirinda mie nafamilia yangu tote na usku guy naomba ukanirinde

  • @zawadidickson9380
    @zawadidickson9380 Рік тому

    Ahsante bwana yesukwa matendo yko makuu umenitendae siku ya leo ahsante bwana yesu nimeiona mikono yako umenitendae siku yaleo

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 10 місяців тому +1

    Asante bwana yesu kwa wema wako 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 5 місяців тому +1

    Asante baba kwa mchana waleo ukanisee dhambi sangu unireemu mwana wa Daud usiku wote mkononi mwako kanilinde na mambaya yote bila wewe siwesi katika jina la yesu nasema amen

  • @WinifridaMnywele
    @WinifridaMnywele 4 місяці тому +1

    Napokea kwa jina la yesu 🙏

  • @Claraphilip-bx8te
    @Claraphilip-bx8te 3 місяці тому

    Ameeeen naomba neema yako ikateembee na mm na familia yangu

  • @salamadickson8108
    @salamadickson8108 2 роки тому +1

    Mungu akuongeze neema mtumishi

  • @deboramahela9616
    @deboramahela9616 7 місяців тому

    Nisamehe Bwana Yesu pale nilipoenda kinyume na mapenzi yako naomba unisamehe baba

  • @happinessmchenya714
    @happinessmchenya714 Рік тому +1

    Mungu nisamehe yote niliyo kukosea na asante kwa kunipigania

  • @Sandraushidabebe
    @Sandraushidabebe 12 днів тому

    Bwana yesu nisamehe kwakuwaza nakusema mubaya

  • @rachelerastusm1466
    @rachelerastusm1466 5 місяців тому +1

    Amen 🙏 Mungu naomba ulinzi wa familia yangu mume na watoto wangu vifunikwe kwa Damu ya Yesu.Funika mahali ninapofanyia kazi'

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Mungu wa mbinggui unibariki nismke kesho nikiwa nanguvu na afy njema

  • @ZaharaAbdurahiman
    @ZaharaAbdurahiman 20 днів тому +1

    Asante bwana yesu kwa mapenzi yako kwangu

  • @BarekeTumaini
    @BarekeTumaini Місяць тому

    Amen amen mungu wetu nimwema siku zote zamaiaha yangu

  • @rehemamasanja8875
    @rehemamasanja8875 6 місяців тому +1

    Asante Mungu kwa ulinzi wako mkuu kunilinda siku hii ya leo hukunipungukia nimeuona mkono wako ktk shughuli zangu na mapito yangu, Amen.

  • @magdalenalaban8895
    @magdalenalaban8895 10 місяців тому

    Asante Sana Bwanakwa Yesu Kirsto ulie hai kwa ulinzi siku nzuma ya Leo Asante kwa kipato Cha siku ya Leo Asante

  • @user-ke9vc5it1d
    @user-ke9vc5it1d 5 місяців тому

    Ahsante bwana YESU nimekuona mkonao mkuu....amen🙏🙏.

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t Місяць тому

    Bwana yesu asante umekua.leo pamojanamiminionkono wako Yehova

  • @jack17
    @jack17 Рік тому

    Bwana yesu naomba utulinde usiku huu mm na mwanangu Rayn n patrick

  • @boitumelongaka6245
    @boitumelongaka6245 Рік тому +1

    Asante Yesu asante Yesu!

  • @Claraphilip-bx8te
    @Claraphilip-bx8te 2 місяці тому

    Najiungamanisha na maombi aya kwa jina la Yesu

  • @barikimatabishi3544
    @barikimatabishi3544 2 роки тому +2

    Asante kunilinda afia yangu, mimi ni katika mikono yako.Amen

  • @sirielikisetu8706
    @sirielikisetu8706 Рік тому

    Bwana yesu kupitia maombi haya kaniondolee hofu ndani yangu

  • @everever2807
    @everever2807 2 роки тому +1

    Naomba msamaha yesu nilinde na madumadu

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t 2 місяці тому

    Asante bwabaYesu kwakunilinda asubuhi mchana hadi jioni mpaka uskuhuu umekuanamimi nasema asante asante umenilinda namambomengi

  • @suzanalyatuu6074
    @suzanalyatuu6074 2 роки тому +2

    Nakushukuru Bwana Yesu kwa wema wako kwangu na familia yangu hakika Bwana tumeona wema wako Aaamen

  • @NicoleAlexandra-g5e
    @NicoleAlexandra-g5e Місяць тому

    Asante sana bwana yesu na dam yako yesu
    Kristu

  • @user-cy4gg6dn6h
    @user-cy4gg6dn6h Рік тому +2

    asante bwana yesu kristo kwa kunilinda mimi pamoja na familia yangu namshukuru mwenyezi Mungu zidi kunilinda pamoja na mke na mtoto na familia yangu yote Amina 💐💐🥰

  • @user-rn7lp4gi6e
    @user-rn7lp4gi6e 6 місяців тому

    Asante Bwana Yesu kwa Pumzi ya uhai ulonipatia 🙏

  • @LilianNzioka-fr6co
    @LilianNzioka-fr6co Рік тому +2

    Bwana yesu nasema ni asante kwa kuniwezesha kuona siku ya Leo n kunilida pmoja n familia yagu kutoka asubuhi,mchana na ata jioni ii e bwana,naomba ulizi wako n uponyaji wa macho kwa ajili ya watoto wangu, Amen

  • @sophiajuma1173
    @sophiajuma1173 Рік тому +2

    Asante Bwana Yesu Kristo wa Nazareth ulie hai kwa pumzi hii na uzima huu asante Yesu Kristo ameen

  • @suzanalyatuu6074
    @suzanalyatuu6074 Рік тому

    Bwana Mungu nakuja mbele zako uck huu nakushukuru Mfalme

  • @user-dx2iw6wd4s
    @user-dx2iw6wd4s 5 місяців тому

    Ubarikiwe mtumishi. Na Imani nitalala salama na pia nitaota ndoto nzuri

  • @AshinaYusufu
    @AshinaYusufu Місяць тому

    Aksanti bwana yesu nakushikuru kwa kunilinda muchana na kunifikisha tena usiku huu

  • @glaury9938
    @glaury9938 Рік тому +2

    Nashukuru sana kwa maombi baba narudia rudia mara 5 hata 7 kwa siku nimemuona mungu sana kwenye kila eneo afya uchumi nyota na menginene mengi sifa ni kwa yesu milele

  • @user-dc9lc5ok8u
    @user-dc9lc5ok8u Місяць тому

    Asate bwana Yesu kristo winazaleti nashukuru sana