Blacq Beat: Producer wa Mwanza ya Ray Vanny/ Diamond, Serious Love Harmonize, Hakuna Kulala - Zuchu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 27

  • @visionstudios6804
    @visionstudios6804 2 роки тому +10

    This kid has magic touches I bet Big artists should work with blaq 🔥🔥🔥

  • @omikiss1868
    @omikiss1868 Рік тому +1

    Yes mwamba hanaga wenge kwenye kuongea kapowa sana very smart nimependa sana hii interview sky umetisha sana kumtafuta huyu jamaa 🤝🔥🇴🇲🇹🇿

  • @bennyngoye8707
    @bennyngoye8707 2 роки тому +7

    my best producer,nakukubali San back

  • @macdee_tv7622
    @macdee_tv7622 2 роки тому +2

    Namkubali saaaaana uyu mwamba...bush man...uyu kaua raha ya mario

  • @pascalcostantine4478
    @pascalcostantine4478 2 роки тому +3

    Namkubali sana producer blacqbeatz. Anatisha na ana touch tofauti na Kali bongo hakuna

  • @salimmwabundu958
    @salimmwabundu958 2 роки тому +1

    Sky umefanya nianze kufuatilia kazi za huyu jamaaa.... Nmepta zte production wise n motooo

  • @eipro_
    @eipro_ 2 роки тому +5

    black ni mkali sana, hakuna ubishi

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 2 роки тому +5

    Rest in peace #PANCHO_LATINO we miss your beats and your hits from Bhits record 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💎💎

    • @thetruth8857
      @thetruth8857 2 роки тому

      You mean this producer passed away?

  • @thisboyisgreat
    @thisboyisgreat 2 роки тому +7

    JAMA anaonekana bangi inatawala sana kixhwan

    • @kakore_jr
      @kakore_jr 2 роки тому +3

      Don't judge a person by looking .This man is not mansmoker ask for forgiveness please

    • @alextanzania
      @alextanzania 2 роки тому

      @@kakore_jr lkn kama kweli vile

    • @peteremanuely4606
      @peteremanuely4606 2 роки тому

      Anavuta kweli tena Sana Mana Hadi anakataa kuacha kufanya kazi alikua sinza hiyo kweli Ila sio mbaya

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 2 роки тому +2

    Black jicho nyanya

  • @kallumangamhagama985
    @kallumangamhagama985 2 роки тому +1

    Mjomba yuko vizuri

  • @konceptualagency4837
    @konceptualagency4837 2 роки тому +1

    Very smart kid huyu jamaa and very unique beats

  • @warlescharles2116
    @warlescharles2116 2 роки тому +2

    Broo binge la intervew

  • @dogotwaanails_mafunzo
    @dogotwaanails_mafunzo 2 роки тому +2

    Napenda sana Kazi zake🔥

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia 2 роки тому +1

    Midundo flan heavy kama P

  • @jumaradhcompany3792
    @jumaradhcompany3792 2 роки тому +2

    Mwamba anapeperusha Bendela sana.ila hapendi shobo.

  • @NiraSaire
    @NiraSaire 2 роки тому +2

    Hatukuwa tunatengeneza Muziki ili tufuatane nyuma 😂😂

  • @ballisticsound4796
    @ballisticsound4796 2 роки тому

    one of my best producer

  • @patsony
    @patsony 2 роки тому +2

    Huyu jamaa kipaji chake kikubwa nikiwa kama mchoraji najua uwezowake ni moto

  • @gracejohnassey4078
    @gracejohnassey4078 2 роки тому +1

    Let's go Sky

  • @BilaliBilaliamri
    @BilaliBilaliamri 8 місяців тому

    Uyo jamaa ni simu sio hao wakina zombie wanajinadi kwa ma beat ya mchongo kuna beat flani ya zuchu aliogonga Uyo jamaa wimbo unatwa hakuna kulala, sikiliza ngoma iyo ndo utajua unyama wa uyo buda,

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍