Tuonyeshe jinsi unavyo Fanya mixing ya beat na vocals na mastering ya beat na vocals.....beat kila MTU anagonga mocco banaaaaaa......tusaidiane apo kwa mixing and master itatusaidia
Yooo Broo We Need This Tutorial kwa watu km sisi ambao tunapenda na tunatamani kuingia kweye music production Salute Kwako Mocco Genious Its always do your Best.
Thanks bro for sharing such a great content to young producers nation. It’s a blessing to us🤝 And one request bro, mbona usitutajie hizo chord progressions briefly so that sisi ambao hatujui tunaeza kuzipiga correctly, I mean kama c major, g minor e.t.c
Who else this guy should be a singer too.. he's got sweet melodies chai 🔥🔥🔥
are you there ?
He is actually a singer now and I enjoy his melodies 🔥🔥🔥
@@Eneji me too
Well predicted
He started singing .... He's actually better than most
Tuonyeshe jinsi unavyo Fanya mixing ya beat na vocals na mastering ya beat na vocals.....beat kila MTU anagonga mocco banaaaaaa......tusaidiane apo kwa mixing and master itatusaidia
The Real Genius✍️🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️..Wallah Mungu alikupa Kibaji kikubwa sana
Yani mocco wew ni zaid ya prod..🔥🔥 nahuwa c beatz huwa unawapa zawad wasanii
Mocco💞💕😍more love from south sudan🔥🔥
Mocco u made my day so cool
wengi wanakuita mzee wa zinanda na hilo me sipingi big up brother moco
Wish to record with you bro one day inshallah love toka KENYA...pwani #kilifi..
Big up mocco genius yu deserve the best🔥💯🎧🎧I like your beats keep it up bro and never change👌👌👌🔥💯🎶🎶
Mocco unajua mabeat unajua kuimba oooyh unabalaa fundi muziki
Ni adilipendo kutoka Kenya nimeupenda Sana huo umarufu wako Mocco
Nakubal brazaaa
🎺🎺🎺🎺kila siku hua nasema ww Hufaiiiiiiiiiiiiiii vitu vichache lakn vimepigwa kwa ustad mkubwa sana Big up
Content nzur bro endlea ku2elmisha✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾🙌🏿🔥
You Have A Great KeyStation ❤
Hatari sana. Genius in simplicity
Dah brother..eeh me nimeelewa sana we ni mkali kinyama...napenda sana sana mziki..napenda nijifunze production ...
Yoow moco the genious hii style ilkua kali sana sijui naeza kupataje mawasilliano na ww
Fanya na vocal mzee utatisha sanaa
Nakuona bro wangu, hii kali kweli kweli, congratulations from Australia💯
Genius one day inshalla tuta meet
Asante Kaka mkuu
Very good sound selection and layering Mocco 👋
Awesome beat.🔥🔥🔥
Kazi nzuri kaka...God bless
Genius mwenyewe great fun toka kenya
Mi producer tokea Kenya.. Kusema ukweli kazi Naipenda.. Collabo ya Mbosso na susumila.. Na pia tamba zikitokea itakua freshi
Sema mocco ungeifanya na Cheche maana sio powa ile beat IPO kiutofauti sana
Nakuaminia kaka.. natazamia kufanya kazii nawe... From 254
GREAT safi sana. japo kwa ufupi but uko very clear
and your voice ..men... you killing me
Thanks for coming I like your work
Cool👍🏽
Kak wew ni mutuuu mubad san naamin siku moj nitafika huko🎉🎉
du! unakaa muda mrefu sana ndg tunamis sana vitu kama iv
Mdundo hatari mocco..mm nnakufurahikia sana, zaidi kazi yako
I LOVE THIS SOUND BY MOCCO, FROM MOZ
Yooo Broo We Need This Tutorial kwa watu km sisi ambao tunapenda na tunatamani kuingia kweye music production Salute Kwako Mocco Genious Its always do your Best.
Sounds good
Kazi nzuri sana bro 🙏🙏🙏
Vipi bro, kuna uwezekano utuonyeshe ya Maajab ya mboso?
Mocco🔥🔥
You're real genius.....mocooooo
bro kwa kweli hilo guitar hapo katikati ya verse ya kwanza na ya pili ni💥
Safi ndugu ukipata nafasi tuonyeshe na leveling ya hit beat
Nakukubali sana Mzee, umenifunza mazito kwenye production yangu🤝 👏 🙌
Nakbaaaali sana Pror. Mkali
Napenda kazi zako ndugu. Keepit up!
Kitu kingine pia nilichokigundua kwako mocco unaweza kuimba tofauti nakupiga beat
Unaweza sanaaa kiongozi respect
bro nakuelewa sna napenda toach yako huwa najifunza kupita wewe 🙌🙌🙌
Mocco apo ukoshua hukutumia brass?
Nice San mocco
Nzuri sana hii...umeuaaa
Mnomaaa sanaaa mocco
kaz kal bro, following your sessions from Mombasa.
Imagination sounds💥💥💥💥
Big up bro
Br vip mix ya beat
💥💥💥unyama
Kali Sana nimesoma Jambo lamaana Sana.
Umetisha sanaa.
Kazi nzuri sana
Mocco toa nyimbo zako na wewe maana unavocal tamu atari
Oy man mishe niaje. Am artist from green city Mbeya je nafanyaje niweze kufanya kazi na wew broo 🙏
Bora ata ulivyorud broo kitambo sana
Yoooh Moco napenda hii kazi yako bro
mmmmmh... fire bro
NICE ONE
Brooo hit inayo Fata ni ya kwangu toka kwako
Hii video sichoki kuiangalia,,, Mocco Genius we ni balaa,,, yan ni raha sana, natamani nije kiwa produce mkubwa na mm,,, nmependa hapa: 8:15
Hatari, nakukubal sana
Good music blood
Fresh
Kizaz saaana Boy🔥🔥🔥
Unajua jamaa #Mocco
big up sana kaka
Nice one
Hivi kweli sound from Africa ya VANNYBOY itakuaje zile sythn vocal pale Mwanzo tuelimishe kweli bro
Thanks bro for sharing such a great content to young producers nation. It’s a blessing to us🤝
And one request bro, mbona usitutajie hizo chord progressions briefly so that sisi ambao hatujui tunaeza kuzipiga correctly, I mean kama c major, g minor e.t.c
njoo nikupe mazee
@@salimnondo740 nikupate aje
@@kallembeats1 ni text kwenye wasapu 0620541531
mojaaaaa Genius
You're genius
Wewe ni mocco ban 🇹🇿💪
Noma Sana percussion umezipatia kinoma
moko uko jiniaz🔥
Kali braza
There genius
Waah 🔥🔥🔥kaka
siwezi kosa kucomment....kazi nzuri
Genius
Bro nakukubali sana kiukweli Naomba Ata Namba zako bro
Unajua sana mzee
We jamaa hatari sana
6:13 hapo kwenye gitaa mzee mie huwa pananikosha especially ninaposikiliza hiyo ngoma kwenye headphones ni noma sana boss
Guuuuuud
Baba iiiiiismih
Napenda sana kutumia elactric kwenye cord au strings au pad,5:08 hapa uliniongezea kitu❤
Very nice brother unajua
Nakubali kali
Please posti ulivyotengeneza beat ya cheche
One day natamani kufanya kazi studio kwako ila me bado mchovu sina jina sina hela za kutosha nakukubali sana bro one day siku azigandi
Nzur Sana br