EXCLUSIVE: Mrembo aliyedaiwa kuwagombanisha Diamond na Zuchu na kuvunja penzi afunguka mazito

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 107

  • @htx1873
    @htx1873 День тому +6

    Rahma keep rising mama Wamakonde wenzako we are behind you supporting you on your journey. Greetings from seattle Washington. We love you baby

  • @samsonpetro1257
    @samsonpetro1257 День тому +7

    Sky, rekebisha Taa, Watu wanaonekana Weusi. Sura hazionekani vizuri

  • @htx1873
    @htx1873 День тому +8

    Wamakonde Tumekua very aggressive in life , we are doing better than old days . Wamakonde wa sikuhizi tunafanya vizuri sanaaa , mimi ni proudly MMAKONDE . ALL KONDE GANG WE ARE RISING TRIBE . Tunakimbizaaaaaaa

  • @elphinejoshua1914
    @elphinejoshua1914 День тому +1

    Nice studio jmn big up SnS ❤❤❤❤from Cape town

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky День тому +5

    She's very beautiful Mashaalah 😍 Alafu mdogo namuonea huruma km kweli Mondilee ana mchezea underground km Mange aliyosema Daaah

    • @salimalaquimane3077
      @salimalaquimane3077 День тому

      Usipo taka kuchezewa auto chezewa ebu muachen mond jaman khaaaaa

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky 18 годин тому

      @@salimalaquimane3077 asante kwa kunisoma Kunguni wa Mondilee hayo nimawazo yangu ungepita km wengine n uka comments huko👇km wengine

  • @senorita-u5p
    @senorita-u5p 22 години тому

    Beautiful studio bro so nice❤❤❤ rahma uko poa kpz nakupongeza but, Stop destroying Zuchu and bro relationships. Just do ur job

  • @StephenKudaka
    @StephenKudaka День тому +3

    Hello Sns it's good you done renovation but that back ground is too reflecting for a studio from kenya

  • @GeorgeShavaiva-l2j
    @GeorgeShavaiva-l2j День тому

    Yuko humble sana huyu dada kwa ambao tumebahatika kukutana nae🙌

  • @carolsayo6409
    @carolsayo6409 День тому +2

    She's naturally beautiful

  • @RoseMadatta
    @RoseMadatta 11 годин тому

    ❤❤❤🎉🎉🎉🎉Mnaedana na simba

  • @gladnessfinda7534
    @gladnessfinda7534 День тому +5

    Hongera sana Sns team.
    amaizing improvement kwa studio

  • @ommysompa7166
    @ommysompa7166 12 годин тому

    Nakubali kipala😂😂❤

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 День тому

    na ni mrembo kwel... 😂😂😂❤❤❤ tumpongeze jaman😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @Muddy_Muzungu
    @Muddy_Muzungu День тому

    She is so cute FR!

  • @artistphina2745
    @artistphina2745 10 годин тому

    Kazuriiii in nature

  • @HAMISALIDY
    @HAMISALIDY 11 годин тому

    Kaliwa

  • @mwanamisi1808
    @mwanamisi1808 22 години тому +3

    Ni muislam jina kama alivyo sema mtume (s.a.w)zitafika zama katika umati mtu hatakuwa na chochote katika uislamu wake hila jina tu na hawatamwabudu Mwenyezimungu isipokuwa mwezi mtukufu wa Ramadhan na hawatafata sunnah ila bidhaa...

  • @hopemwalemwale2100
    @hopemwalemwale2100 День тому +2

    kazur❤

  • @pqolak7443
    @pqolak7443 День тому +24

    Wakwanza jaman like hap kutoka omani ❤

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 День тому

    Studio Kali Sanaaa

  • @KhadijaMasoud-d2z
    @KhadijaMasoud-d2z День тому +1

    Sns huyu nae mrembo😂😂

  • @12345678938129
    @12345678938129 День тому +1

    Zuchu ni kalialia. Anataka kuwa na wakubwa wakati akiwa na moyo mdogo😮😮😮😂😂😂

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 День тому

    Leo tumeona ndonga live❤😊

  • @Kokafamil
    @Kokafamil День тому +1

    Kamdomo isije kukuletea shida ki model wetu ❤❤

    • @Liberatus-k2c
      @Liberatus-k2c День тому

      Umeongea uyuuu tumusahau

    • @Kokafamil
      @Kokafamil День тому

      @ lol 😆 anatakiwa a heshim wakubwa

  • @HAMISICHURI
    @HAMISICHURI День тому +1

    Ah, kujitetea kwingi sana lkn nyie mavixen bhn hapan kwakwel hampndui kwa wasanii but n vzr kufcha

  • @SaraDiaby-x6x
    @SaraDiaby-x6x День тому +2

    Ndugu mtangazaji mbona kam na wew umependa apo 😅

  • @Nyaso5417
    @Nyaso5417 День тому +2

    Hata Zuchu alisemaga hivyo hivyo "Diamond ni Boss wangubtu" he is my brother " mwisho wa siku tunaona kampeni za ndoa kwenye maredio 😳😂

  • @rizikikasongo4388
    @rizikikasongo4388 День тому +3

    Diamond alisha pita apo for sure

  • @simbaedouardo8499
    @simbaedouardo8499 2 години тому

    Kumbe unakipara ok ongezeni taa sasa

  • @officialdana5114
    @officialdana5114 День тому +1

    camera inatumiza macho

  • @fridaernestmkedege900
    @fridaernestmkedege900 20 годин тому

    Mrembo na anajitambua

  • @jonnycash7682
    @jonnycash7682 День тому +12

    Jina zuri rahma na mbona amevaa msalaba jamani inna lillahi wainna ilahi rajiun

    • @naplousemukunzi10
      @naplousemukunzi10 День тому

      Kwani msalaba una tatizo gani?

    • @nikiwejimson8527
      @nikiwejimson8527 День тому +2

      Ubaguzi tu

    • @Asamtz360
      @Asamtz360 День тому +1

      Mbona mond na wengine anavaa wamsemi halaf usitumie kiarabu hatuelewi!!!

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 День тому

      waliokua hawaelewi sisi dini yetu ya uislam jaman ukivaa msalaba umejifananisha na manasara(wakristo) kwaiyo haifai na huenda itakua umeritadi bila kujua mpaka mtu atubie kwaiyo dini yetu ina mipaka kwenye mavaz kwenye kaz kwenye kula kwenye kunywa kwe kila kitu bas lazma ufuate tulichoamrishwa na ukikataa bas unaupinga dini bila kujua au km unajua bas umetoka ktk uislam kwaiyo msalaba ni jambo baya san kwenye uislam نساالله السلامت...

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th День тому

      Waislam wa bara bora mlevi wa Zanzibar 🎉

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 День тому +4

    SHENZI SNS WAJINGA SANA. MSITULETEE UJINGA

  • @TimotheoSimtowe
    @TimotheoSimtowe День тому +9

    Binafsi mwanamke/mdada km anatumia pombe tu namdharau moja kwa moja.

  • @YussufHaji-g1j
    @YussufHaji-g1j День тому +7

    Hawa ndio wenye majina yakupandikiza na kutuharibia safu ya uislamu wetu mungu awalaani hao kila anajifananisha

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 День тому +1

      nashindwa kuelewa huyu asli yale ni muislam au kafiri mana jina alhamdullah lakin muinekano wa kikiristo na ana msalaba

    • @HaikaFredrick
      @HaikaFredrick День тому

      ​@@mhrmahir3756Kafiri ndo nn? Acha kukebehi dini za watu

    • @nassoroc
      @nassoroc День тому

      @@mhrmahir3756 Muislamu PURE, na madrasa kapira!! Hayo mambo ya kuvaa cheni za aina hiyo sijui kaanza lini!

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 20 годин тому

      @@nassoroc unamjua sio

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 20 годин тому

      na ttzo watu wanaringia pumzi ndo alivi binadam ila akifikwa kidog kitandan bas mbio hujjifanya anamjua mola wke

  • @yahyajuma7137
    @yahyajuma7137 День тому +1

    so cute

  • @SaidiMnoda-l2i
    @SaidiMnoda-l2i День тому

    Eti unilumuka sasa si kuvunjika maana yake😂😂😂

  • @HairuIssa-f9y
    @HairuIssa-f9y 11 годин тому

    Waoooo konde girl

  • @Mikeys-m9w
    @Mikeys-m9w День тому +1

    Uyo Nae Kujishauwa Mbona Mm sijamuona 😢😂😅

    • @humbleshoal
      @humbleshoal День тому

      Anajishauaje?

    • @Mikeys-m9w
      @Mikeys-m9w День тому

      @humbleshoal Kwamba Ana tambulika sn kupitiaa Mond

    • @humbleshoal
      @humbleshoal День тому

      @@Mikeys-m9w
      Huenda hujafatilia hizo nyimbo alizoimba na diamond kwa makini

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 19 годин тому

    huo mwanga vipi jamani

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 23 години тому

    Chris umenyoa kipala na umeacha ndevusasa unaokana kama salim kikeke

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 20 годин тому

    Mbona unamvunjia heshima dada mkubwa huna adabu wewe

  • @AminaTapwale-e5t
    @AminaTapwale-e5t День тому +3

    Mzuri nature beut ni haki mondi achepuke

    • @humbleshoal
      @humbleshoal День тому

      Mond mshenzi tu, wazuri wengi tu huzaliwa, aandae kuchepuka hadi akiwa kikongwe.

  • @elphinejoshua1914
    @elphinejoshua1914 День тому

    Heeee chris iyo nikipara tu ama😂😂😂😂😂😂kinawaka kinoma

  • @Muna-en4yq
    @Muna-en4yq День тому

    Alikiba kafanya nae nyimbo gani??

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 День тому +1

    Hili neno SHOGA lina maana gani? Kwakua madada huitana shoga. Na wenye kufanya ngono wanawake Kwa wanawake au wanaume Kwa wanaume ni shoga. Nini maana ya neno SHOGA?

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 День тому

      Wakiitana wanawake linamaanisha ni marafiki kawaida kabisa, lakini likitumika kwa wanaume linamaanisha wanatatuliwa marinda

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 23 години тому +1

    Mm no timu zuchu ila zuchu ananikwaza kwakweli

  • @KINGABUMEKAR
    @KINGABUMEKAR День тому

    KWAIYO DIAMOND ANAMCHEZEAA HUYUU MWANAMKEE PIAAA HIIIIII

  • @FhhH-d1u
    @FhhH-d1u День тому +2

    Nahicho. Kipara. Umependeza mwaya

  • @HamadKhamis-m3y
    @HamadKhamis-m3y День тому

    Kumbe kalevi tu nako haka

  • @domingosjohnraissemaikomai7930

    Ogera dada wakimakonde pole

  • @chimmykhamis7595
    @chimmykhamis7595 День тому

    Kuongelea project za Diamond hamuwezi kazi yenu ni kuongelea Habari zake za kijinga 😂

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k День тому

    Bbngu sikumoja nilimuuliza kuhusu kipara akaniambia mto yoyote ambaye anakipara ama anapenda kipara n hajazeeka hua anabahatii yahela 😂 yani umaskini kwkwe hamna

    • @humbleshoal
      @humbleshoal День тому

      Imani tu mwaya.

    • @KHAMIS_SHILINGI
      @KHAMIS_SHILINGI 11 годин тому

      Mmewangu anacho mbona maskini wa mwisho 😢😢😢

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 10 годин тому

      @@KHAMIS_SHILINGI
      Pole mwaya

  • @BUZAFILAM
    @BUZAFILAM День тому

    ua-cam.com/video/X6d7IDNqdR4/v-deo.html

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 20 годин тому

    Muongo wewe