Ukristo ni njia ya kumuona Shetani,...ndio maana kiongozi wenu mnaemuita Baba Mtakatifu amewaruhusu mueze kuoana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake,...
Vita ilikuwa kali na hawakuondoka awaondoe wayahudi wa mchongo kwanza warudi Europe kwabwapinga christo #wapalestine hawatoki yni hawatoki❤ long live Palestine 🇵🇸
Wanalindwa na mwenyezi mungu miaka 60 wamewatesa wameshindwa hiyo nchi yao halali inadumu mbinu nyingi wametumia wameshindwa wajiulize wamepata nini zaidi ya kuwauwa wapalastine na kuharibu mali zao na walizoiba zitawatokea puani hasara walizopata wanalia
Bado ujasema mkristo mwenzangu pumba wewe unadhani myahudi wa Europe 😂 ndio mtu bora kwako kaa ukijuwa ni waoinga christo yni wanamtusi na makanisa wameyavunja wacha hamasa wambane adi tone la mwisho la damu lkn Wapate amani wachristo wapalestine na muslmu Palestine 🇵🇸 hyu yahud wa mchongo arudi alikotoka
Unafahamu pale mashariki ya kati zaman ilikuwa inaitwa nchi ya kaanani? Na katika vitabu vitakatifu Mungu alimwambia Musa awatoe watu Gani Misri kuwapeleka katika nchi ya ahadi ya Kaanani?
Vita hv ni.milele mpaka zionist wa ulaya aondoke mana vizazi na vizazi ardhi sio yao zionist wa ulaya wezi wanaugwa na wazungu wenzao kuiba ardhi za watu
@@paschalmartin9598vita ni mipango sio kuuwa watu ndio kushinda vita sasa kwani Israel wamewamaliza Hammas kama walivyosem?na Hammas walisema wameshinda yaani mateka wanaendea kurudi ila Israel amefeli kote mateka anarufusha na Gaza kaondoa majeshi
Kubomoa miundombinu na majengo na kuuwa watu wengi huu sio ushindi wa vita . Ni uharibifu na ukatiri . Tuongee ukweli Israel imeshindwa vita Gaza . Sababu Lengo lao alijatimia. Hao Mossad ni wajanja kuua viongozi popote walipo lakin wameshindwa kujua mateka walipo . Hamas ni zaidi ya Mossad. Mkitaka kuelewa uhalisia Ondoa mhemko.
Vp lengo lengo la hamas kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia je limetimia? Pia vita bado haijaisha nawala haiishi mpaka mwisho wa Dunia watatuliza cku miezi au miaka kadhaa basi lakin kuimaliza hawawez coz ni unabii unatimia pale Gaza ambao utatupeleka kwenye siku za mwisho
Hamass ni jeshii ya Allah atakaye kua anaota kua watamaliza hamasss wambieni wakalaletena 😂😂😂 Israel inapigana n wasichokijua,Pongezizenu wapalestain 🇵🇸 we nikiboko w mashoga❤❤❤❤
Watafanya wanavyofanya haya ni maisha macahache alafu duni tena ya muda mfupi sana kama wao wanavyofanya kuwafanyia wapalestina bx ipo siku kama Mungu alivyoahidi watakuwa wanajificha Hadi kwenye mawe ila jiwe linamfichua pia
Kama umesikiliza vizuri wapalestina ndio wamekiuka makubaliano Tena bdo mnalaumu nini? Hamas nia Yao kuwatoa Israel hapo na nikitu ambacho hakiwezekan wao ndio wanasababisha raia kufa nakupata tabu ila hamlioni Hilo nahiyo ndio shida yenu penye ukweli semen kweli tuachen ushabiki
My sister kwanza unatakiwa ujue hayo matatizo yalianza lini..usione km hilo tatizo limeanza Oct 7....baada waisrael kutoka ulaya kukaribishwa ndani ya palestina mwaka 1948...mwaka 1952 walianzisha vita baada ya kutamani kujitanua zaidi ktk ardhi ya watu waliowakaribisha,..kwa hiyo haya yanaoendelea sasa hivi ni muendelezo wa Israel juu ya kunyakua ardhi ya Wapalestina
Hawawajui wa Palestine kamwe hatoiyacha ardhi Yao.. Hizo ajenda zao zoteee zitafeli kama zingine zilivyofeli na hivi Sasa wa Palestine wanarudi kwenye magofu ya nyumba zao na hiyo ndio tofauti Kati ya wenye ardhi na walowezi.... Hawakuweza kuwatoa kwa mabom ndo trump aje kuwatoa leo hii ndoto za mchana
Kwa kawaida wanaitwa prisoners of war (POW) ambao ni wafungwa wa kivita, lakini kiswahili chake ni mateka wa kivita maana yake ni hii Nchi iliyowateka inawaita wafungwa wa kivita(POW) na Nchi wanakotoka wanaitwa mateka wa kivita (Hostages)
Ilo Bilic Trumpet Liache ROHO mbaya kwa hao watu lina Nchi yake mbona linapenda kuchafua amani ya wa2 wengne hayo Mashetan ya kimarekani mbna jaman wa2 hawana Raha 😮Na akawapeleke wa2 wake walokosa makaaz huko Los Angeles lkn mambo ya Palestine hayamuhusu uyo GAIDI MLANYAMA LLOOOH 🤮
@@yassinhamza1969 nikweli kabisa dunia inaongozwa na sheria za umoja was mataifa, lakini Israeli inafuata utaratibu wa biblia ambao ni utaratibu wa Mungu, maana wanajua kwamba hilo lilikuwa ni taifa lao. Israeli haonei mbona hsjaenda Iran wala India, n.k, hapo ndipo ufungue macho yako ujue kwamba anahaki ya kufanya hivyo.
Biblia ipi? Hii iliyochakachuliwa Kwa zaidi ya mara elfu 1?🤷🏻 Leta biblia yenyewe original yenye vitabu 88 tuone kama kuna unabii wa Israel eti itarejesha maeneo
GPS tuko pamoja nawatia moyo kwakutuelimisha.ninacho ona mimi kwa upande wangu trump anaongea sana hasa kwakujiamini sana namajivuno kama amemuzidi ila mwishowe naona atatulia dunia imebadirika sana acha tusubiri mda utaongea kama jinsi sma anavyosemaga
Awahamishe kwanza wakazi wote wa LA kwa sababu mji umeharibika vibaya sana na awapeleke au awahamishie chi nyingine. Yani Palestina itajengwa na wapalestina wenyewe.
@omondiowino78 m75 omondi "aliezaliwa asubuhi" owino aliezungukwa na kitovu shingoni na Jina lingine Nani ondieki eti Fisi, jaluo watu wakujikosha sana eti mnasema nyie ndo wahayudi halisi jaluoooo
Nikickia jina la dj sma kwenye kipindi hiki moio wangu hupoa
Hongereni nyote mnafanya kazi njema
Ahsanteni sana wana SNS
Amin usiamini wakrito mungu wao nishetani kuuwa kwadhuma wanazani ibada
Acha wenge na panic pia Unaifaham mtoa ROHO ni nani???
Ukristo ni njia ya kumuona Shetani,...ndio maana kiongozi wenu mnaemuita Baba Mtakatifu amewaruhusu mueze kuoana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake,...
Usidhihaki wala kutukana imani ya mtu huo ndo msingi wa kiislam
@@salhawaziri1668anaongeza ukweli japo unaumia uvumilivu lzma
Vita ilikuwa kali na hawakuondoka awaondoe wayahudi wa mchongo kwanza warudi Europe kwabwapinga christo #wapalestine hawatoki yni hawatoki❤ long live Palestine 🇵🇸
Wayahudi wakweli wapo wapi?
@@joycedimoso8648 wayahudi wa kweli wapo na wala hawawaungi mkono hawa Zionist magaidi wauwaji wa watoto na kinamama
Au hamasi ni mizimu mana wametokezea kama nyuki😂😂😂😂😂
Wanalindwa na mwenyezi mungu miaka 60 wamewatesa wameshindwa hiyo nchi yao halali inadumu mbinu nyingi wametumia wameshindwa wajiulize wamepata nini zaidi ya kuwauwa wapalastine na kuharibu mali zao na walizoiba zitawatokea puani hasara walizopata wanalia
Bado ujasema mkristo mwenzangu pumba wewe unadhani myahudi wa Europe 😂 ndio mtu bora kwako kaa ukijuwa ni waoinga christo yni wanamtusi na makanisa wameyavunja wacha hamasa wambane adi tone la mwisho la damu lkn Wapate amani wachristo wapalestine na muslmu Palestine 🇵🇸 hyu yahud wa mchongo arudi alikotoka
Unafahamu pale mashariki ya kati zaman ilikuwa inaitwa nchi ya kaanani? Na katika vitabu vitakatifu Mungu alimwambia Musa awatoe watu Gani Misri kuwapeleka katika nchi ya ahadi ya Kaanani?
@@joycedimoso8648hivi unajua wakanaani ni sisi weusi? Kanaani ni mjukuu wa nuhu mtoto wa hamu kwahiyo hiyo nchi KIASILI ni yetu weusi
Ama kweli inashangaza
Wamsome Mtume Muhammad (saww). Waache kuwapaka Waislamu matope. Uislamu si ugaidi hata kidogo.
Viva Palestina 🇵🇸♥️🇵🇸♥️🇵🇸♥️🇵🇸🇵🇸♥️🇵🇸♥️🇵🇸♥️🇵🇸♥️🇵🇸♥️🇵🇸♥️🇵🇸♥️🇵🇸♥️🇵🇸🇵🇸♥️🇵🇸♥️🇵🇸♥️🇵🇸♥️🇵🇸♥️🇵🇸♥️
From river to the sea In shaa Allah Palestina will be free!
Viva
Viva Palestina! Viva Palestina! Viva Palestina!
Viva Palestina! Viva Palestina! Viva Palestina!
Biidhnillah
Israel anabebwa namareka wingereza jerumn ufaransa italy kwanin waarabu wasiwaunge wagaza❤🎉
Abuu ubaida 🥷 msemaji wa Al qasam ❤
Mauwa kwake Abu obayda❤❤❤
@@MikelSitoe
Mauwa hayatoshi, amekaa kwenye mioyo yetu🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹
Hakuna kitu hapo, wapalestine wanatakiwa wawapishe waisrael nchi yao,Inshallah, Inshallah Inshallah,Amen
@@KhalidiBoazww kafiri uliovaa vazi la jina la kiislam... kaa pending wanaume wasapot majemedar
Nimsaada gan ulioutoa kwenda kwa watu wa Gaza tuone kweli unasapot majemedari au nikelele za mtandaon tu
Kwa nn wafukuzwe kurudi ktk ardhi yao zionist wamewavunjia nyumba zao nia kuiba ardhi mbwa hawa mashetani
Awaache wajiamulie wenyewe na Gaza yao watoe misaada tu waache kiherehere kwao kuna teketea na moto nani kasimama akawapangia
Vita hv ni.milele mpaka zionist wa ulaya aondoke mana vizazi na vizazi ardhi sio yao zionist wa ulaya wezi wanaugwa na wazungu wenzao kuiba ardhi za watu
Viva Palestina ❤️🙏🇵🇸
Wakihama imekula kwao
Duuu mungu iinihatar
Waizilaer wakorofi navitaimewashinda
Andika vizr na wew bac ata kiswahili tu una kosea😅
vita vimewashindaje wakati Gaza imegeuzwa majivu
😂@@hanifa9153
@@paschalmartin9598vita ni mipango sio kuuwa watu ndio kushinda vita sasa kwani Israel wamewamaliza Hammas kama walivyosem?na Hammas walisema wameshinda yaani mateka wanaendea kurudi ila Israel amefeli kote mateka anarufusha na Gaza kaondoa majeshi
@@zainabzanzibar1518mbona mipango wanayo na ndiyo maana unasikia wana mpango wa kugawa maeneo ya gaza kwa campy za kuchimba mafuta nk
Magereza yao wamejenga kwa ajili ya wapalestina, kwa nini Hao Wana chukuwa Raia wote wakaweka Magerezani mwao, Sasa watu wao Wana fungwa wapi?
@@MikelSitoe mtu 1 anahukumiwa miaka 2000 wengine 5000 uliwahi kuskia wapi..
Inakuwaj unamtoa mt kwenye ardhi yake umhamishe sehemu isyokuwa yake naona huyu mzee mwenyezimungu atamshushia laana yeye na wa israel...
Pamoja sns🎉
Ukitoa IRAN 🇮🇷 mataifa yote ya kiarabu yaliyo baki hayana maono ya kuona mbali yanaakili 2 ya kuuza mafuta na kujenga majengo😂
Wanaitwa wanafikii😅😅
Hakuna anayetaka vita ...Bora Amani
Marikani na mashoga zao😂😂😂
Sahii sahii sahiii kabisa ❤
@@MikelSitoesio huku tuu dunia nzima
Kubomoa miundombinu na majengo na kuuwa watu wengi huu sio ushindi wa vita . Ni uharibifu na ukatiri . Tuongee ukweli Israel imeshindwa vita Gaza . Sababu Lengo lao alijatimia. Hao Mossad ni wajanja kuua viongozi popote walipo lakin wameshindwa kujua mateka walipo . Hamas ni zaidi ya Mossad. Mkitaka kuelewa uhalisia Ondoa mhemko.
Vp lengo lengo la hamas kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia je limetimia? Pia vita bado haijaisha nawala haiishi mpaka mwisho wa Dunia watatuliza cku miezi au miaka kadhaa basi lakin kuimaliza hawawez coz ni unabii unatimia pale Gaza ambao utatupeleka kwenye siku za mwisho
GPS habari ya mjini oyawee kumenoga njoeeeniiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Okey naona Smaa ameshaongelea kila kitu nimetaka changia
37:34 37:41 37:45
Hammas walikuwa mashimoni wakati raia wakiuawa
Kujificha ni mbinu za kivita pia,Kwan ww mfano ukiwa mbugani utatembea matiti mbele bila tahadhari
Thank you wana SNS Henry, Massoud, Dj Smaa mzee wa kujoin dots.. namba next time tuizungumzie afrika yetu vita ya Congo na M23
Trump Ana mbinu chafu kweli kweli
Hatofanikiwa coz pale Kuna watu wamekita mizizi kwenye ardhi Yao
Trumpo ameshajibiwa na hamasa 😂😂😂😂 mko nyuma sana nendeni GK news wamesema hawatoki watajenga wakiwa hapi❤❤❤❤❤
Abuu obaida ndio jina lake
Duhh Trump...
Hamass ni jeshii ya Allah atakaye kua anaota kua watamaliza hamasss wambieni wakalaletena 😂😂😂 Israel inapigana n wasichokijua,Pongezizenu wapalestain 🇵🇸 we nikiboko w mashoga❤❤❤❤
Tuko pamoja
Lakini Gaza imechakaa duuh
Hakuna raisi atakayepita malekani na akawa kinyume na Israel hayupo kabisa haitatokea, hamjui nini kipo nyuma ya hawa watu mnaongea tu
@@AmmielNzala-fu4xu miaka 76 wanajaribu kupoteza Palestine lkn hawawezi na hawatoweza na wa naelekea watapotea wao
Watafanya wanavyofanya haya ni maisha macahache alafu duni tena ya muda mfupi sana kama wao wanavyofanya kuwafanyia wapalestina bx ipo siku kama Mungu alivyoahidi watakuwa wanajificha Hadi kwenye mawe ila jiwe linamfichua pia
Kama umesikiliza vizuri wapalestina ndio wamekiuka makubaliano Tena bdo mnalaumu nini? Hamas nia Yao kuwatoa Israel hapo na nikitu ambacho hakiwezekan wao ndio wanasababisha raia kufa nakupata tabu ila hamlioni Hilo nahiyo ndio shida yenu penye ukweli semen kweli tuachen ushabiki
My sister kwanza unatakiwa ujue hayo matatizo yalianza lini..usione km hilo tatizo limeanza Oct 7....baada waisrael kutoka ulaya kukaribishwa ndani ya palestina mwaka 1948...mwaka 1952 walianzisha vita baada ya kutamani kujitanua zaidi ktk ardhi ya watu waliowakaribisha,..kwa hiyo haya yanaoendelea sasa hivi ni muendelezo wa Israel juu ya kunyakua ardhi ya Wapalestina
Abu Obaida
Hawawajui wa Palestine kamwe hatoiyacha ardhi Yao.. Hizo ajenda zao zoteee zitafeli kama zingine zilivyofeli na hivi Sasa wa Palestine wanarudi kwenye magofu ya nyumba zao na hiyo ndio tofauti Kati ya wenye ardhi na walowezi.... Hawakuweza kuwatoa kwa mabom ndo trump aje kuwatoa leo hii ndoto za mchana
Wapalestine wengi,ŵapo nje ya nchi yao,ni millions 6 tu,ndio wapo Gaza na westbank
@KhalidiBoaz na cku taifa LA Palestine likitambiwa wanarudi wotee na hicho kitu Netanyahu hataki Ata kukickia
Pheledaphia korido hawajatoka mpaka siku 50 mzee,rekebisha hapo
@@MauriceNyello wametoka baadhi kupisha misaada kuingia na waliobaki pia ni kwa masharti ya makubaliano na mwisho wa cku watatoka Hawana namna
Nguvu mnayo mpa mmarekan hana Israel ndio anaetowa muongozo wa Kila jambo
Kwa kawaida wanaitwa prisoners of war (POW) ambao ni wafungwa wa kivita, lakini kiswahili chake ni mateka wa kivita maana yake ni hii
Nchi iliyowateka inawaita wafungwa wa kivita(POW)
na Nchi wanakotoka wanaitwa mateka wa kivita (Hostages)
Wafungwa wa kivita huwa ni wanajeshi TU sio Raia ambao sio wapiganaji
Kati ya Israel na hamasi na kapata hasara
Hamasi
Innocent people
Israel imepata hasara kubwa ya wanajeshi
Hamas hawana chakupoza walishapoteza ndg zaowengi toka mwaka 49 angalia mateka wanna sawa nawagaza 200israel wanajiona niwatu wathaman sana dunian hapa
Hamas wansishi iran
Hamas bado niwengi mno israel wenyew walikua wanaua raia wanawake nawatoto nakubomoa majumba israel hawez vita yaardhin
Nimeisubili sana gps
Ishafika
Lengo La mwizi ni kuiba
Trump Sasa ndie anashikilia Chombo, yani safari hii Trump kakosa.
Iv wanajkuta akina nan hawa makafkr wa kimagharibi
Tramp ashafel hawez faulu kwa njia yake hiyo Gaza bado ni ya wapaleatina
Washakunaliana bana,sshv wapalestina washaanza kurudi
Ilo Bilic Trumpet Liache ROHO mbaya kwa hao watu lina Nchi yake mbona linapenda kuchafua amani ya wa2 wengne hayo Mashetan ya kimarekani mbna jaman wa2 hawana Raha 😮Na akawapeleke wa2 wake walokosa makaaz huko Los Angeles lkn mambo ya Palestine hayamuhusu uyo GAIDI MLANYAMA LLOOOH 🤮
Wapalestina GAZA ni Sehemu ya nchi yao Si zani kama wataondoka
Tupetee abari nasikiya Rwanda imevamia
Israeli lazima irudishe maeneo yote ya kwenye Biblia, na huo ni unabii.
Dunia haiongozwi na biblia mnaotengenezea filam bali inaongozwa na sheria za umoja wa mataifa
@@yassinhamza1969 nikweli kabisa dunia inaongozwa na sheria za umoja was mataifa, lakini Israeli inafuata utaratibu wa biblia ambao ni utaratibu wa Mungu, maana wanajua kwamba hilo lilikuwa ni taifa lao.
Israeli haonei mbona hsjaenda Iran wala India, n.k, hapo ndipo ufungue macho yako ujue kwamba anahaki ya kufanya hivyo.
Biblia ipi? Hii iliyochakachuliwa Kwa zaidi ya mara elfu 1?🤷🏻 Leta biblia yenyewe original yenye vitabu 88 tuone kama kuna unabii wa Israel eti itarejesha maeneo
@@paschalcharles3617 unaweza ukanitajia vitabu vyote kwenye biblia ambayo unaisema ni original.
Israel imeshindwa vita italudishaj maeneo yakwenye bbilia?labda uende wew nafamilia yako
Huyu mzee na wayahudi wake wana laana
Ni east Jerusalem na sio west Masubi
Haya mmbo huskii wachina wakifanya upuuuzi kama walionao wazungu
Wachina utawasikia wakati waMungu ukifika saizi bado madam wapo kwenye bricks we omba uhai tu niswala la muda tu
Kuna watu wanaishi kwa shidah sana..
Unatembea ujui mdaa gani bomu linalipuka..
GPS tuko pamoja nawatia moyo kwakutuelimisha.ninacho ona mimi kwa upande wangu trump anaongea sana hasa kwakujiamini sana namajivuno kama amemuzidi ila mwishowe naona atatulia dunia imebadirika sana acha tusubiri mda utaongea kama jinsi sma anavyosemaga
GPS +254
Unaelewa maana ya neno mlowezi.
@FaustineRichard-kk5xt uko nchi Gani?
@@ringicnation3722 kwanini unaniuliza hivyo?
Masubi umeshaanza kua chawa wa kipara smah
Wapalestina hawako radhi kuondoka katika ardhi yao wako radhi muwafanye chochote mnachoweza ila sio kuacha ardhi yao
Hawatondoka ..Palestina washamjibu Trump
Hamas wana akili Sana siku zote hawajaona mateka pamoja na mitambo yote ushushu wao wako vizuri wangekuwa na vifaa vya kisasa wangelia Hawa jamaa
Unyama wanaofanya wazayuni na dunia nzima inashuhudia. Je kungekuwa hakuna mitandao ya kijamii? Yaaani sasa hivi humdanganyi mtu kila kitu kipo wazi.
Kwahiyo baada ya kuona unasaidia nini?
God bless Israel 🇮🇱 Israel 🇮🇱 Israel 🇮🇱 Israel 🇮🇱
Trump anatamaa sasa wakifa hizo mali wataenda nazo kaburini
Hapa ndio nimekuja kujua Yahya Sinwari ndio kiongozi pekee jasiri maana alipikana live
Wapalestina wanakimbembe maana wao ndo wahanga mambo yakiharibika
Wana kimbembe gan na we
Ww umezaliwa nchi yako iliopata uhuru,lakin uhuru hutafutwa hivyo
Palestina wataiponza amerika
Awahamishe kwanza wakazi wote wa LA kwa sababu mji umeharibika vibaya sana na awapeleke au awahamishie chi nyingine.
Yani Palestina itajengwa na wapalestina wenyewe.
Sasa bapo utawasifia Hamas ama? Maana wapelestina wengi wanakufa kwa niaba yao alafu wao wanajificha then kimbembe kinabaki kwa raia
Kwaiyo we unatakaje🤨🤨!??? Akili chafu hii😮
Kashavuta bango uyu hajielew
Walokole akili mnakuwaga hamna kabisa
Walichosema hamasi nikwamba uyo mwingi anamirikiwa na kundi la fatah waiyo watamkabidhi
Abu ubeydah msemaji wa hamas
Alafu hvi kwanini Hawa wazungu hawapendi watu waishi kwa uhuru bila machafuko wala mapigano
Yaleo fupi kwel
Huyu trump nitamfira mjue .. Huyu mzee auawe ...hafai
Hamas na Israel nikitu kimoja malengo yao yametia kwa hio Hamas ilikua kisingizio tu
😢😢😢
Bado halija tokea taifa Lakupania hawa mashoga siku watakae panikiwa watakimbia wote Wata toka sehemu zote
Hamas wanaume 2024 Israeli na Marekani mashoga tu😂😂😂
Wapalestina wanalalamika nini...si waambie Hamas iwasaidie
Jaluo mpaka atapokubali kutahiriwa ndo atakua na akili
@FahadAbubakari-y3f njoo nikuonyeshe kitu🤣🤣
@omondiowino7875 umonyenshe Nani foreskin yako huyo bwana enu raila odinga katahiriwa akiwa na miaka 60
@omondiowino78 m75 omondi "aliezaliwa asubuhi" owino aliezungukwa na kitovu shingoni na Jina lingine Nani ondieki eti Fisi, jaluo watu wakujikosha sana eti mnasema nyie ndo wahayudi halisi jaluoooo
Wanalalamika nini ? Walikuomba msaada kwako? Mashujaa na wakilia wanamlilia mwenyezi mungu hawakulilieni nyie maadui mtahangaika saana