DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 40...KARIBU UBWABWA JAMANI MAMBO NI MOTO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024
  • NEW BEST BONGO MOVIE 2024.
    #snake boy #clamvevo #baba yangu kipofu #baba Joan #wrong house #chinga media #siri ya huba #rk movies #millard ayo #wasafitv #simulizi #aliniumiza sana #manara tv #film #bongomovies #nigerianmovies #comedyvideos #funnyshortsvideo #diamondplatnumz #veronica simulizi #kipesile

КОМЕНТАРІ • 113

  • @darzone1020
    @darzone1020  3 години тому +20

    HAYAWI HAYAWI SASA YANAKUWA WALISEMA AOLEWI MBONA ANAOLEWA ...MAWIFI CHEREKO CHEREKO POPOTE PALE ULIPO.....

    • @FaisalAlrefai-u2y
      @FaisalAlrefai-u2y 3 години тому

      Nasubiri ubwabwa kakangu

    • @SadaDjuma-e9b
      @SadaDjuma-e9b 2 години тому

      Cherekooo,jamani tunaomba vijora 🤣🤣, Mungu ni mwema saan,kwanguvu za Mungu leo yamekua jamaniii eeeeh oooooh, mambo hayooo tunakula Ubwabwa Ma sha"Allah

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 2 години тому

      Uyo bwan harus anaingia aaaa anaingi anaingia walosem haolwe mbon kaolew walosem haolewi mbon kaolew hhhhhhhh mau yak ay bwan harus na bibi harus 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤❤❤ miss yuo

    • @narutonaruto4303
      @narutonaruto4303 Годину тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @aminmsini3730
    @aminmsini3730 3 години тому +2

    Mama anajua sana jamani 🎉🎉

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 47 хвилин тому +1

    Hongereni washiriki wote ila mpaka rangi nyumba yenu Kimaro msimsahau kwenye Ubwabwa

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori 10 хвилин тому

    Mpoji leo umeniuwa eti alipaka rangi akapaka adi mke 😂😂😂😂😂hila nimependa mama hajra n mm mzuri mnyenyekevu kbsa,ongera sana mpoji nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉adi mwisho niko n nyinyi pamba tu pamba❤❤❤😂😂😂😂

  • @Maryam-yt8lw
    @Maryam-yt8lw 54 хвилини тому +1

    Bibi.shadia.unaniliza.namie.hongera.sana

  • @darzone1020
    @darzone1020  3 години тому +9

    Your views, likes, comments, share and subscriptions mean the world to me. Thank you so much for watching our videos. Love y'all ❤❤❤. God bless you.

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 42 хвилини тому

    kazi nzur❤

  • @Alicebahati-h6f
    @Alicebahati-h6f 13 хвилин тому

    Hongera sana 🎉🎉🎉

  • @HhUhh-io8ix
    @HhUhh-io8ix Годину тому +1

    Hongera hongera tena hongera watu wa mageeee mwajua kufundisha mashaallah allah awabariki nyote inshaallah❤❤❤

  • @FatumaMwinyimvua
    @FatumaMwinyimvua Годину тому +2

    Mponji ameweza tumpe maua yakee🌺🌺🌺🌺

  • @HdhHsh-y2e
    @HdhHsh-y2e 31 хвилина тому

    Wapi mauwa ya Mponji na mage🎉😂❤

  • @sjdjdj2909
    @sjdjdj2909 2 години тому +5

    😢😢😢bibi ya Shadia anacheza vizuri sana tena sana❤

  • @puritydavid9003
    @puritydavid9003 52 хвилини тому

    Na msikaliShe sana

  • @MauwaAuwa1991
    @MauwaAuwa1991 Годину тому +2

    Nimefika jamani nawapenda wote ❤❤❤❤

  • @khadijab7066
    @khadijab7066 Годину тому

    Nimewai mm apa jamani ❤❤❤❤❤

  • @neemakalondagoogleneemakal4012
    @neemakalondagoogleneemakal4012 Годину тому

    Making with pambe❤

  • @KeristiStel
    @KeristiStel Годину тому

    Mpoji umeangukauyooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤

  • @SaadRams
    @SaadRams 47 хвилин тому

    Muvi nzuri

  • @Gracekadzo-ix4zt
    @Gracekadzo-ix4zt Годину тому +1

    Aky hapa twajifunza sana ak hongera sana nyote mnaoshiriki kwa hii movie

  • @sesiliajoseph6514
    @sesiliajoseph6514 5 хвилин тому

    Mmetufundisha Sana jamani family ya mage ubalikiwe sana

  • @حليمة-ج2ب
    @حليمة-ج2ب 3 години тому +6

    Nimewai nipeni like zangu from kenya 😂😂 nawapenda sana

  • @ZanabZone
    @ZanabZone Годину тому

    Jamani ❤❤❤❤😢😢😢

  • @buru1235
    @buru1235 2 години тому

    Mamake Marge shukurani Sana nimejifunza kitu kutoka Kwa mafunzo yenyu and for you Magey zingatia hayo Manzo eeh Kwa mainlaw wengi Wana roho mby sana

  • @SadaDjuma-e9b
    @SadaDjuma-e9b 2 години тому +3

    Bibi Shadia ninampenda saan,anajua kuigiza,napia ni Mama mstarabu saan anajua kulea ni Mama bora,mwenye mapenzi kwa watoto .

  • @kadijaa7771
    @kadijaa7771 Годину тому +1

    Ila kongole masomu ya mage mumesema maneno na ustarabu kabisa yani hamjatoka kwa line ❤❤❤❤

  • @EverlineMbinya
    @EverlineMbinya Годину тому

    Mage usipeleka sheria mjini kaa na yy mtoto hana makosa na anakipenda mtoto mwenyewe. Kazi kwako mage

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 2 години тому

    Tulo maliz hammam usiku uu tujuan hhhhh

  • @EmmalynePili
    @EmmalynePili 3 години тому

    Wow hongera kwa mashangazi wa Maggie bwana nimeipenda kwa kweli

  • @emilymusimbi-n3x
    @emilymusimbi-n3x Годину тому

    Jambo la msingi hapa ni kwamba tamaa haisaidii na tusikubali kushawishika na marafiki kirahisi.

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t Годину тому +3

    Ooo namm nimeshajifunza ap kwenye kufunzwa dada mage hhhhh nikipat mume nishasom hhhh

  • @FlowinGawile
    @FlowinGawile Годину тому

    Apo kwenye matatu Mimi, chakula,na maji ya kuoga nimependa hyo ntaibeba asante Mama kwa elimu

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 2 години тому +1

    Kazini zuri sana mungu hawahinuwe zahidi❤❤❤❤❤

  • @McT-m1m
    @McT-m1m Годину тому

    Haya mapenzi kwangu yamekufa

  • @HenrietteUwimana-s8n
    @HenrietteUwimana-s8n 3 години тому +5

    Maman shadia Léo atakiona😂
    Jaman namim kwa Mara yakwanza naomba like ata mia😂❤

  • @kadijaa7771
    @kadijaa7771 Годину тому

    Haya mage sikiza masomu maneno hayo

  • @NeemaStephano-z3e
    @NeemaStephano-z3e 52 хвилини тому

    Ila me naomba mponji ununue gari, unafany kazi Bank na unatembea kwa miguu jamn,,😂😂

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 2 години тому +1

    Kazi nzuri sana mponji ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @kadijaa7771
    @kadijaa7771 2 години тому +1

    😂😂😂mpoji bwana ety kampaka mamake shadya rangi ety sindio kawa mzuri saii😂😂

  • @subiramadadi6589
    @subiramadadi6589 2 години тому +1

    Makungwi pambe❤

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m 2 години тому +1

    Team strong mna onaje mama shadie kina mraba sasa wahenga wali sema mtaka yote ukosa yote 😂😂😂😂🎉❤

  • @LazaroMhaya
    @LazaroMhaya 2 години тому +3

    Yaani huyu mama Shadya na mama naniii flanii wa sehemu moja hivi ya move ni kama mdogo na dada,na yeye kule mambo ni moto anapata taaaabu mpaka cyo poa.kama unamfahamu gonga like then toka nduki

  • @WisonZawadi
    @WisonZawadi 2 години тому +1

    Jamani tamu

  • @puritybisembe9562
    @puritybisembe9562 36 хвилин тому +1

    Mm nitaanza ya kuna vitu tatu.mmimi,maji na chakula

  • @Fazila-j2s
    @Fazila-j2s 2 години тому +1

    Hongera sana mponji🎉🎉

  • @joleemvungi
    @joleemvungi 3 години тому

    Huyu mama anajua sana yan🎉🎉🎉

  • @SabinaKioko-i1f
    @SabinaKioko-i1f 2 години тому

    Very nice movie ..❤❤❤

  • @ElinisafiMacha-h4t
    @ElinisafiMacha-h4t 4 години тому +1

    Nimeshashona hadi sare yakula ubwabwaa magee😂😂😂❤❤❤

  • @MAdh-q5x
    @MAdh-q5x 3 години тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @gracecharles5689
    @gracecharles5689 Годину тому

    ❤❤❤

  • @Zakiya-f3i
    @Zakiya-f3i 2 хвилини тому

    Na.mimi.nautaka.ubwabwa.nirushie.kwenye.simu

  • @SaniyaOthman
    @SaniyaOthman 3 години тому

    Director uko good kwenye kujielezea😂😂😂

  • @FlorenceLangi-o8m
    @FlorenceLangi-o8m 2 години тому

    Nasubirii ubwabwa mm😂😂

  • @luckymilani8927
    @luckymilani8927 2 години тому

    Zanzibar ❤❤❤

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 2 години тому

    Mama shadya huyo anavoonekana hajajifunza kwa lolote lile hapo atakapokuja na huyo shadya atawasumbua mnoo huvo bas umakin unatakiwa mponji na mage...

  • @Saumu-lm7nt
    @Saumu-lm7nt 2 години тому

    Mbona amumwambii kuhusu usafiii

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 3 години тому +1

    Nakupenda sana maggy olewa na mponji ila uwe na tambia njema usilete dharau kama ma shadyia.

  • @Agnes-q6b
    @Agnes-q6b 2 години тому

    Makungwi🎉🎉🎉🎉🎉🎉mauwa yenu hayo🎉🎉🎉❤

  • @phylismarube
    @phylismarube 2 години тому

    Good advice ❤❤

  • @SwaumuMuome
    @SwaumuMuome 4 години тому +4

    Wakwanza team strong kutoka omani kazi nzur mponji

    • @joleemvungi
      @joleemvungi 3 години тому

      Wewe muongo...pasi umepig saa ngap..mpak uwe wa kwanza...

    • @SwaumuMuome
      @SwaumuMuome 25 хвилин тому

      ​@@joleemvungi😂😂 Niiingia kwa kuiba

    • @joleemvungi
      @joleemvungi 7 хвилин тому

      @@SwaumuMuome 🤣🤣🤣🤣

  • @MargaretMtende
    @MargaretMtende 2 години тому +1

    Marvelous 🎉🎉👏👏 mponji Kwa kazi nzuri yenye kuelimisha sana
    May God bless you much.

  • @hawaa2227
    @hawaa2227 2 години тому

    Ila mponji kaka ang unatupa mafunzo kwa kazi zako in sha Allah kwa ajili ya Allah akuweke na uzidi kutufunza

  • @Hoel19LulesA
    @Hoel19LulesA 3 години тому +2

    Ukiendelea kuishi na shadya bado utasumbuliwa na mama shadya afadhali mtafutie shule huko kijijini na uendelea kumsaidia akiwa na bibi yake

  • @AminaAlo-fq8vt
    @AminaAlo-fq8vt 2 години тому

    Mwana kulitafuta mwana kulipata😂😂😂😂😂

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 2 години тому

    Mambo ni motroo🔥🔥🔥mponji tuna subir uwabwabwa bhan

  • @veronicaonchuru
    @veronicaonchuru 3 години тому +1

    Mponji hongera sana kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉

  • @DenisSengatajr-b3p
    @DenisSengatajr-b3p 2 години тому

    Wakwaza mimi leo form tanzania

  • @RahabuKal
    @RahabuKal Годину тому

    Yaan katika siku umefraisha ndo hiiyaleo muponjhi lea mtoto Kwan yy nmalaika tu

  • @EllieJustine
    @EllieJustine 3 години тому +2

    Nimewahi pia.. nipeni like zenu bhas make sijawahi kuwaomba hata.

  • @SaraA-r8w
    @SaraA-r8w 3 години тому

    ❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥

  • @FatumaAli-xm8di
    @FatumaAli-xm8di 3 години тому +1

    Mponji mage ana mapacha usikonde

  • @nadiaMamba-wj6qg
    @nadiaMamba-wj6qg 3 години тому

    Napenda kweli mautani y mponji n mage ❤❤❤

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 3 години тому

    Aya mage husipuuze Ayo maneno ayo

  • @ElinisafiMacha-h4t
    @ElinisafiMacha-h4t 3 години тому

    😂😂😂😂mama shadyaa roho inauuumaaaa

  • @RemtahNanzala-k3k
    @RemtahNanzala-k3k 3 години тому

    ❤❤❤❤ nawapenda bure

  • @ElinisafiMacha-h4t
    @ElinisafiMacha-h4t 4 години тому +2

    N😂😂😂nimekuwa wakwanzaa leeooooo

  • @MwajumaIsmail-dy4rv
    @MwajumaIsmail-dy4rv 3 години тому

    Shadia aende bode

  • @KhadijaMnyazi-e6e
    @KhadijaMnyazi-e6e 3 години тому +1

    Mama shadya utapata laana y mama yako. Mzazi halii

  • @Nyangema254Manfesto
    @Nyangema254Manfesto 2 години тому

    Mbma sijaona mtu anaemsifia shadia kipaji kubwa

  • @NYAKUBONDYATOSA
    @NYAKUBONDYATOSA 3 години тому

    Yani hapa shangazi wanamfunda mage hawajui kwamba ndo fundi, ila sema wanatimiza wajibu wao.

  • @MaombiPeter-j5g
    @MaombiPeter-j5g 4 години тому

    Watano leooooo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @saumuchai9620
    @saumuchai9620 3 години тому

    ❤🎉

  • @challemartin
    @challemartin 3 години тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤hongen sana

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 3 години тому +1

    Jamani unapokua ukifanyia mtu umbaya jua kuna kecho alio yapitia mponji do yanatia uruma kwakweli wakenya wenzangu tukutaneni hapa kwenye like natokea kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MagdalenaSanga-m8q
    @MagdalenaSanga-m8q 3 години тому

    Leo nimewah jamani😁😁

  • @DevianDiveo
    @DevianDiveo 3 години тому

    Jamani hayo Sasa makubwa

  • @AminaSada-h4p
    @AminaSada-h4p 3 години тому

    Nakutakia ndoa njema

  • @rehemamwasinya
    @rehemamwasinya 3 години тому

    Nimewahi mwenzenu

  • @ElizabethJohn-in4jh
    @ElizabethJohn-in4jh 3 години тому +1

    Wa kwanza like nyingi nyingi jamani

  • @ZuhuraNhumbi
    @ZuhuraNhumbi 3 години тому

    Shadya mzur sana

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda 3 години тому

    Hagra atauza mifuko tu apende asipende Hagra laana inamtafuna haya bas twende nayo harusi

  • @Hoel19LulesA
    @Hoel19LulesA 3 години тому

    Kama umeamua kumsaidia shadya, mpekeleke kwa bibi amtafutie ad hl

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 2 години тому

    Eti hajra unakuwa mkali tena unadai mwanao kwa nguvu,,,hajielewi kumbe wewe

  • @JescaMwarabu
    @JescaMwarabu 3 години тому

    Kila cku ndoa.. alafu hamfungi

  • @bakarabuu7282
    @bakarabuu7282 4 години тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @elizabethmwagike122
    @elizabethmwagike122 4 години тому +1

    😅😅

  • @MonicaNduwimana
    @MonicaNduwimana 3 години тому

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇧🇮

  • @mamuuthei-tx2et
    @mamuuthei-tx2et 3 години тому

    Wakenya tunao fatilia 2ko wapii?

  • @SaniyaOthman
    @SaniyaOthman 3 години тому

    ❤❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @dorisbernard4836
    @dorisbernard4836 3 години тому

    Mjinga wewe unatafuta pesa na mtoi wako🤔🤔🤔🤔

  • @ThamaratiHamisi
    @ThamaratiHamisi 3 години тому

    ❤❤❤