Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Hapo goli la Pili Ngoma angepewa mpira na Kibu ndio ingekuwa Off Side ila kwasabab kipa katema ndio off side kaiharibu kipa. Hivyo ilo ni goal halali kabisa 🙌🔥💯
Hii team sio yakushangilia wakati umeshiba chakula cha mama ntilie,,njaa lazima ikupige tehna maana unashangilia hadi chakula kimeisha tumboni,,na ukishangilia kabla haujala mmmh lazime uzime kwa furaha,,mmmh changamoto
Mhh huyu jamaa ateba atawafunga sn makipa, km mabeki hawatajifunza namna ya kumkaba ,anajua kujiposion na anapenda kukaa pembn ila akiunasa mpira mguuni anaingia ndani kilifesi goli
Sio offside angalia vzr mpira usiangalie Kwa ushabik hem wape haki Yao haiwi lazmen kakaa kimya wew ni Nan unochapia tu offside mpira kipa katema ndo Ngoma ikapigwa 😂 haijatoka pass Kwa kibu kipa ndo alotengua offside kuuwachia mpira🤸🤸🤸
Goli la kwanza kipa amezngua aliutoa mkono ambao alionesha ameumia ila alikua anaudaka ule mpra c akakwepesha mkono asidhurike zaid na shoot la ATTEBA. kama umeiona hiyo like twende sawa
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Kwel kabisa
UNAZANI SIMBA tumesha Anza kuupiga mwingi, bado Sana, ndio Kwanza KOCHA anakijenga KIKOSI 😂😂😂😂🤗🤗
@@josephvenus3259 hahaha kumbe ndio kwanza tunaanza kutambaa🤣🤣
Apo hawajasema wenyewe wanafunga gol moja moja
Offside kumbe ni magoli namenyewe
Goli of side kabisa huoni
je suis le championnat Tazanien depuis Senegal 🇸🇳
Je suis d'origine guineen et je supporte Simba de Moussa Pepin Camara
Ce championnat est merveilleux
Ahsante Sana tupo pamoja simba fc Camara anaisadia Sana karibu tz
Hapo goli la Pili Ngoma angepewa mpira na Kibu ndio ingekuwa Off Side ila kwasabab kipa katema ndio off side kaiharibu kipa. Hivyo ilo ni goal halali kabisa 🙌🔥💯
Imeandikwa usimjaribu bwana mungu wako😂😂😂😂😂
😂😂😂
Wa kwanza leo Mnyama tujuane kwa Like
Naomba like za ubaya ubwela
Chagua moja uwe shabiki wa Simba au uwe shabiki wa Diddy😂😂😂
Offside ya waziii😮
This is Simba guys❤❤
The second goal is offside
Hii team sio yakushangilia wakati umeshiba chakula cha mama ntilie,,njaa lazima ikupige tehna maana unashangilia hadi chakula kimeisha tumboni,,na ukishangilia kabla haujala mmmh lazime uzime kwa furaha,,mmmh changamoto
😂😂😂😂
Usimjaribu bwana wako 🤣🤣
Imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako😁😁wa Tanzania 🇹🇿 mnanipaga raha sana from 🇨🇩🇺🇸
Aguante Simba SC!!! 🇲🇽🤝🇹🇿
Bonge la pasi kutoka kwa Ahoua!
Mm nilisikia kuna VAR lakn cjui iko wap
Simba 2naweza mwaka ubingwa we2
Ma Feisal tuna mchukua dirisha dogo. Msituaribie kiwango Cha mchezaji wetu.
Wa Kwanzaa mimi
Sawa ila hamuogopi Azam ndio levo zenu nasio YANGA Afrikan tunasubili kuwap kidonge Cha 4 yaan four doz
Kuna kiumbe kina itwa Ibwe , sijui kinakunywaga uji wa UNGA wa muogo kabla haja fanya interview, hua kina ongea Kama mgonjwa mpya wa Sober...
Ubaya ubwela
Hebu nitoe ushamba. Ubaya ubwela ndo Nini?
*haya tumekubari goli la pili ni ofside ubao moja bila ,na mechi ya vyura tuweke lile gori la ken gold itakuwa moja moja ahahahahha*
Mhh huyu jamaa ateba atawafunga sn makipa, km mabeki hawatajifunza namna ya kumkaba ,anajua kujiposion na anapenda kukaa pembn ila akiunasa mpira mguuni anaingia ndani kilifesi goli
second goal is clear offside.
Bc Moja Bila 3 points😅
Yaan hapo Simba Bado sana ndo kwanza kama ni nyumba ipo kwenye foundation
Yaan gari ndo imeanza speed hapo,gear bado hazijachanganya😂😂😂
Kwa msiojua kabla jina Dar es salaam mji huu uliitwa Mzizima maana yake sehemu tulivu,Dar es saalam nadhani ilitokana na maana ya neno hili badae.
Lionel ateba mbida hazuiliki atakuwa mvp msimu huu
Wakwanza Leo nipeni like zangu
Hiyo ndio ubaya ..........😂😂😂😂😂
Kumbe ni muhimu sana striker kuwa na Nguvu.
We huogopi mnyama amevuka maji 😂
Imeadkwa usimjaribu bwana mungu wako
Wana Simba tumefurahi😂😂
Sema azam mmeonewa hakuna wa kuwasemea
Usijitoe ufahau wakati unaakili timamu😂😂😂😂😂😂
😂😂😂❤❤❤hakikaaah
Myamaaa kafanya yakee
Alhamdulillah 🤲
Ubwaya ubwela simba daimaaaaa
Ila hii timu huwa ina kausha majani yake na kumea ktk msimu wake leo naiona kama Real Madrid 😂😂😂
Hapa baaado
Simba hongereni kwa kushinda Azam kongole kwa mpira mzuuri hasa Ankamico ila Yoro diaby bora hata kiibwana ataniisaidia na yanga yangu.
Offside goals
Muller Wall
JAMAN MCHOME MUKAMUHOJI TUJUE YEYE NI SIMBA AU YUKO UPANDE WA DIDDy🤣🤣🤣.
ATEBAAAAAAAAAAAA🤸🤸🤸🤸💥💥💥🦁🦁🦁
Hii ndio simba Azam wakauze ice cream walikimbilia Zanzibar wakasema wamejificha
Fei fei azam hamna kitu itakupotezea muda ushaur wangu njoo unyaman
Sio mbaya kwa tim iliyopigwa 4 na bingwa wa ligi, Simba wamejitahidi
Commentator tangaza mpira acha mapepe 😊😊 advance your tactics hatupo vitani 😊
Goal la pili ni offsideeeeeeeeeeeeedddddddeeeeeeeeeeee
Sio offside angalia vzr mpira usiangalie Kwa ushabik hem wape haki Yao haiwi lazmen kakaa kimya wew ni Nan unochapia tu offside mpira kipa katema ndo Ngoma ikapigwa 😂 haijatoka pass Kwa kibu kipa ndo alotengua offside kuuwachia mpira🤸🤸🤸
@@FatmaKitiviii kwani ww nani acha ushabiki maandazi kasikilize na wachambuzi,mtu anaeelewa mpira ht mashabiki wa Simba wamekubali ni offsideeeee mmebebwa
Kuna kocha analalama kuwa goal zote ni off side😳👀
atteba ni ofside iyooo
Hujui mpira
Bao zuri sana
Lipi hilo
Bao la pili ni offside 😢
Muongo
Sawa.... marefa wapasuliwe mbupu 😂😂😂😂
Hawawezi kaukubali HATA refa na wasaidizi wameibana Sana Azam
Sawa ni offside lakini la kwanza ni clear goal hivyo ni 1 bila but muhimu ni 3points
Lakin naona kama kipa alitolea mpira ndani ya mstar
Yaleyale ya jana.sasa mbona kuna balaa msimu huu
Unyama sana Simba on 🔥🔥🔥🔥🔥
TumewaLAMBA haooo.
Naomba niwakumbushe Aliyetoa Assist. ya Bao la Ateba ni Ahua
Kwahiyo mtahesabu😃😄
😂😂😂
Kaondoka na kijiji
Tumefurahi 🔥🔥
Ateba kama Halland
Mnyama keshawinda
❤ Ubaya Ubweraaaaa❤
Deal done ✅
Atebaaaaaaaa
Balaaaa
🦁🦁
Goli zote leo ka Assist. Ahua. Yaani kabla ya mfungaji pasi zote za mwisho zimetoka kwa Ahua
mabeki wa azam ni wafupi sana kwa mpira wa leo
❤❤❤❤❤ simba
❤❤❤❤saaaanaaah
Kaz kazin
Kwa Simba hiii watasimulia bodo tunamtaka mtana😅😅😅😅😅
USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO MAANA WANAO MJARIBU WANAADHIBIWA NA SIMBA💥💥🤸🤸😜😜🔥🔥🇹🇿🇹🇿🦁🦁
Umpwi ubwela
Punguzen dhulma ,kil wkt et off side kw azam wkt walkuw wnastahiki kupat magoli ,pia kw upande wa refa aache upendeleo asibez sehem moj,
Tfdhl achana nay comment yng kila mmja ana comment na anavypend ukinitukan na mm nitakutukan ubaya ubwela😂
Goli la kwanza kipa amezngua aliutoa mkono ambao alionesha ameumia ila alikua anaudaka ule mpra c akakwepesha mkono asidhurike zaid na shoot la ATTEBA. kama umeiona hiyo like twende sawa
Mtaongea mengi
Tukikuweka wewe Keeper utaweza kudaka mashine za Ateba?
Kwenye hii app mapunguani ni wengi kinoma
😢😢 Offside magoli yote