MSWAHILI : MFAHAMU SHEIKH RAMIYA ALIEMWOMBEA MWL. NYERERE AKAELEA JUU YA MAJI HUKO BAGAMOYO
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm #mswahili #zembwela
MashaAllah! Allah awafanyie wepesi ktk maisha yao ya Akhera aliofanya
Subbhana Allah 🙏 Mungu awaifadthi inshah Allah.
Ma Sha Allah , Allah amridhie daima, MTU mkubwa SNA shekh Ramia....🙏❤😍
Best actor 2021 tukapige kura kw beberu
Mashallah
Babu unatisha sana saluti
Kinyume na hivo itakua ni sawa na kuandaa cakula ama kinwaji cha kupendeza kwa kila hali ila kikachanganwa na matapishi kdgtu au kijinyesi kdg je uzuri wake utabakia na vipi kitafaa kwa matumizi
Nimefurah leo nimepaona nyumbani, nimemuona na shekh wangu ramiya
Kweli wazawa wa bagamoyo ukituonea tunachukua uzu basi hasbunallha waneemal wakil.
Mashaa Allaah
❤🔥❤
Mzee dosa,Sykes, ramia na wengine wamehusika sana katika historia ya uhuru wetu,ila ni vile hawazungumzwi
Best
Huyo Shekhe Ramiya ni Babu yake.
Mtaa dunda kwa shekh ramia. Tujuane tulio fundiswa hapo na ostahd abdani
Mashaallah
Ostadh abdan tupo nae magomeni hapa madrasa ridhwaa
Hahahahahahahahahahahaha
❤❤❤maali Amdan😊
Mtoto wa ramia anaonekana mkarim sana
Mashaallah kumbu kumbu mzuli
MaashaALLAH
Unguja na pemba na mombasa na jumla yote ya mwambao mzima wa pwani ya mashariki mwa afrika ipo milango hio ndugu
Anajua kwani hajui wee VIpi
Masha allah
Uwe unapunguza vigoma hvo
nakubal babu beberu chuma cha pua🙏🙏🙏
Mi nshaingia hapo.. Aise..
Nadhani si sahihi kumtafsiri mswahili kwa mujibu wa fikira wanazofikiri watu wa kileo #uswahili#ustaarabu **asiekua*na*adabu*mkonomi*hatakua*na*heshima*mfukoni.
zembwelaaaaaa.
Leo naona umependeza babu
De mi
Hivi ndio watu hutunza historia za family. Nyumba imependeza imeboreshwa bila kupoteza asili yake. Hata kwetu nitajaribu kutunza kwa marehemu babu.
Yo simuzime mziki Behind interview wakati wanaogeya
😂😂😂😂zebwela ungekubali ghorofa 3
Em tujenge nyumba ya sheikh sasa. Ghorofa 4 hivi
Hawana shda ya majumba hao
Toa huo mziki wa kitoto
Kipindi kiongezwe mda
Nisinge wambia ..............zebwela kiboko
Punguzeni sauti ya mziki wakati watu wanaongea hapo mtakua mnakwanga
Mashaallah
Hakika vya kale ni Dhahabu tuvitunze