Usinione mpole , nina ujasiri

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 158

  • @kihiuwanjira6921
    @kihiuwanjira6921 3 роки тому +21

    Usione simba kanyeshewa ukadhani ni paka!!! This woman will deliver beyond our expectations. Wishing you all the best mum from +254.

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 3 роки тому +10

    Mashaallah mabrouq tumejifunza vitu mngu akupe nguvu Rais mamaetu Samia

  • @godlistenmnkeni2454
    @godlistenmnkeni2454 3 роки тому +15

    Nyie huyu mama lkn ❤️❤️
    Mungu akuongoze mheshimiwa Rais 🙏🏾🙏🏾

  • @irenesemakula8077
    @irenesemakula8077 3 роки тому +5

    Mungu akuwezeshe Mama Tanzania! Much love from Uganda

  • @cutelady7410
    @cutelady7410 3 роки тому +3

    Dah hakutegemea kia makamu wa raisi
    Na ss hv Allah amempa cheo cha uraisi...Masha Allah tunakuamin mama yetu ...kwq jinsi unavyoongea unaonekana una hekima sana

  • @bienfaitkisumba59
    @bienfaitkisumba59 3 роки тому +2

    Namfurahia kwa hehima na busara katika kupanga maneno yake na maana ya hiyo maneno. Mungu atakupa uwezo.

  • @celyndavid5226
    @celyndavid5226 3 роки тому

    Nakupenda Sana Mama mungu akuondolee na husda za mashweitan. Akupe umri mrefu nitazidi kukuombea mama, nimejifunza jambo kutoka kwako mummy

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 3 роки тому

    Mama Samia Suluhu,you know what?l liked you from the beginning.
    God Bless you Mama.

  • @wemajemsi705
    @wemajemsi705 3 роки тому +2

    Kila nikiangalia speech za huyu mama najifunza kitu God bless you

  • @yasinisaidy7601
    @yasinisaidy7601 3 роки тому +5

    Muheshimiwa Rais wangu, nimekupenda bure mama yangu, Mwenyezi Mungu akusaidie katika majukumu yako ya kila siku.

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому

      Hongereni watazania wenzetu tunakutakieni kila la kheri lakini kwa kufuta nyayo za Magufli za ukanadamizaji na kuvunja sheria na mengineyo Allah Kareem akuvuwe nayo maana ulionekana kwenye kampeni ukisema hata chama chochote kishinde utaunda serikali ccm sasa huo sio ujasir ni ujahil na dhulma na wewe kiti umekirithi kwa dhulma ila tunakuombea Mama Aljhat Rais wa awamu ya sita MMungu hachezewi tumuogopeni maana kila nafsi itaonja maut ba mbele yake Allah tutaulizwa kila zuri na baya Allah a tulinde sote tusikikuuke amri za MMungu maana kuna Ben Saanane Azori Gawande na viroba vya maiti na mengine hatukuona haki kutendeka Ole wetu sie viumbe umekula kiapo kwa kukamata mshafu na kumuombea MMungu akusaidie kutenda haki ambazo nyingi Rais wenu aluzikiuka na mnajuwa lakini ndio desturi zenu kuiona hamana makosa uchaguzi tulipelekewa majeshi Pemba ya kauwa na kufanya kila uchafu mkawasahangiria chonde chonde kiti ukalie kwa kumuogopa MMungu kwa vitendi sio maneno Masheikh wa wako ndani ushahidi hamna wala haupo na wala hautupata labda muvunganye kwa kutimiza lengo lenu la KUWATESA what goes around comes around kama sio hapa dunia kesho kwenye hesabu mbele ya Allah hakifuchiki kitu tunawaombea kila la kheri Watanzani wenzetu na pia kwenu usikusahau Zanzibar kashirikiane na Mhe Mwinyi kuondowa kero za muungano sio danganya toto kula kude mbichi

    • @saidahmed9688
      @saidahmed9688 3 роки тому

      Asante rais wetu

  • @isayasway6867
    @isayasway6867 3 роки тому +3

    Mwenyezi mungu akubariki sana ukaweze kuliongoza taifa vyema kama alivyo ongoza mpendwa wetu hayati magufuli .

  • @littleshyboy6010
    @littleshyboy6010 3 роки тому +31

    You can say this woman is well educated as the way she speaks.

  • @LyimoKamili
    @LyimoKamili 3 роки тому +9

    Asante mama nimejifunza kitu kwako Leo hongera sana

  • @fatumamniga2030
    @fatumamniga2030 3 роки тому

    Hongera mwanangu ishallah mungu akusimamie akupe wepesi tunakuombea sana

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +5

    Hongera sana mama yetu,raisi wetu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎊🎊🎉🎉🎉

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 3 роки тому +5

    Love her already 👏🏾👏🏾👏🏾

  • @wangariimmareg5086
    @wangariimmareg5086 3 роки тому +1

    Congrats mamá am proud of you hongela sana much love fromNairobi kenya

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 4 роки тому +11

    Mashaallah tabarakallah mngu akuzidishie umri mrefu na afya njema

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 9 місяців тому

    Hongera sana Mhe Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu mtarajiwa jamani Madamu Rais.
    Pole pia Saumu mke wangu jamani.

  • @nazraseiban1082
    @nazraseiban1082 4 роки тому +11

    Mhe. Samia let prayers and fear of Allah be your guidance and the best will follow

  • @taheraomar9210
    @taheraomar9210 3 роки тому +2

    Can you please do English subtitles.We would like to know this very nice lady.

  • @bintjasirbintjasir4175
    @bintjasirbintjasir4175 3 роки тому +1

    Walah nakupend sana kipenz chang zang duwa kwako allah akupe umr mrefu usiogope allah yupo nawe kipenz chang 😍😍😍😍😍

  • @trophainamagogwa7966
    @trophainamagogwa7966 4 роки тому +14

    Nimemsikia Mama Wa Kitanzania ,Hongera Makamu wa Raisi

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 3 роки тому +7

    Rais wetu mama mpambanaji big up💞💕

  • @benson8310
    @benson8310 3 роки тому +23

    nimesikiliza video nyingi za huyu mama, kusema ukweli nahisi atakua kiongozi mzuri sana, anathamini utu, anaheshimu familia ni mpole, mtaratibu, anahekima na busara.

  • @ocroafff5527
    @ocroafff5527 3 роки тому +1

    Mashallah she is very educated

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 роки тому +11

    Mama ana hekma san maashaallah

  • @abubacarrjawune4210
    @abubacarrjawune4210 3 роки тому +6

    I like est Africa although am from the west

  • @gabrieljohnson27
    @gabrieljohnson27 3 роки тому +23

    Mheshimiwa Rais 🇹🇿

  • @samuelmuhindosivamwanza4988
    @samuelmuhindosivamwanza4988 4 роки тому +11

    Nakushukuru pia mtangazaji kwa mahojiano mazuri.

  • @innocentgrant9999
    @innocentgrant9999 3 роки тому +1

    Mama is so cool yaani, "Wasikilize hadithi zetu"

  • @yoenbeats8687
    @yoenbeats8687 3 роки тому +20

    Mama haitaji elimu yoyote kulea familia kwaiyo tuwe na amani kubwa sana watanzania wenzangu kwa sababu Mama yetu ni msomi Madhubuti

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому

      Sihoja elimu Ucha MMungu ndio kigezo kizuri zaidi na kusimamia haki ipasavyo tunakuombea kila la kheri na kwenu Zanzibar ukakunyanyuwe kama predecessor wako na kwao chato ila msitufanye mkoa ile nchi kamili sema Watanganyika wanaimeza kwa kisingizio cha muungano

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому +1

      Tupende kusema haki maana haki inakuweka pazuri tunasema yalipita sio ndwele lakini bado Wazanzibar wenzetu wana madonda kwa kuwa no wapinzani tunaguza majaraha hakuna serikali hata moja inotusidia kuwauguza watu kwa mkongoto walipewa na majeshi kwa kulazimisha mkae madarakani leo yuwapi six feet under the ground tumuogipeni Allah sote ndio pahala petu Allah atupe mwisho mwema.

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому +1

      Anakupa ukweli ndie anakupenda lakini nyie wenzetu mkipewa kweli mnazungusha lugha mkasema mnatukanwa ukweli Wazanzibar na Watanganyika khasa wapinzani tuiombeni dua mama atimize wajib wake kama alivyo kula kiapo MMungu yupo a naona halali wala hasinzi

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому

      Ukiwa unasema ukweli kwa kumuogopa Allah walio kama wewe watakuunga mkono

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому

      Kuna usomi na ufahamu na kujifaham uadilifu ujasiri na ubinafsi sasa watawala wetu ni wabinafsi siyo waadilif mama etu huyo kenda mpaka kuhiji ikisha alisema nini kwenye kampeni kuwa wataunda serikali wao maa yake nini kama sio ubinafsi

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 роки тому +9

    Msshallah mama mpole na busara

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 3 роки тому +2

      kweli kabisa , masha Allah tabarakaAllah.💕💕💕💕💕

  • @abdallamasoud7734
    @abdallamasoud7734 3 роки тому +7

    Mama unaweza masha Allah

  • @mpambanaji-mahiri
    @mpambanaji-mahiri 3 роки тому +2

    Allah akubarik raisi wetu
    Tunakuamini

  • @kanyamagaraabdallah8300
    @kanyamagaraabdallah8300 3 роки тому

    Merci Mme de president de la Tanzanie a elle est doux cela signifier que elle est incompetence de gere du Tanzania, La douce est un mechanisme les creations des toutes femmes partout de monde malgre celles fais cent pourcents a leurs travaux oui ca va je a elle remerci et courage

  • @helenmutury8547
    @helenmutury8547 3 роки тому +2

    Congratulations... Madam President... This is good for women
    Politicians..

  • @marthaochieng1340
    @marthaochieng1340 3 роки тому

    She is just lovely

  • @michellemalowa6351
    @michellemalowa6351 3 роки тому +3

    Most Kenyans we are floating 😂😂😂 Kiswahili so ya mama yetu

    • @LK-cb6ih
      @LK-cb6ih 3 роки тому +3

      Who??? We are understanding wewe wacha kudhani kila mtu ni mshenzi!

  • @Pedeshee01
    @Pedeshee01 4 роки тому +9

    Shukraan BBC ila mmeniboa leo kuna kipande hapo hakuna sauti kwa hiyo hatujajua changamoto gani alipata kama mwanamke kwa upande wake.

  • @ronaldsariah8760
    @ronaldsariah8760 3 роки тому

    My president. 😘😘😘

  • @humairamajengo6616
    @humairamajengo6616 3 роки тому

    Mungu akutangulie rais wetu binafsi naona unastahili sio miujiza.

  • @abdullah-eq3lt
    @abdullah-eq3lt 4 роки тому +18

    mama ye2 ana hekima na busara sana zanzibar ooyeee

    • @OmanOman-hr6cb
      @OmanOman-hr6cb 3 роки тому +1

      Uku wanasema mwarabu

    • @abdullah-eq3lt
      @abdullah-eq3lt 3 роки тому

      @@OmanOman-hr6cb alaa

    • @OmanOman-hr6cb
      @OmanOman-hr6cb 3 роки тому

      @@abdullah-eq3lt yaani mie mwenyewe nimechoka nilivyo sikia ajili mie najua mtu kutoka zanzibar

    • @asyakhatib7806
      @asyakhatib7806 3 роки тому

      Nyie ata mcshtuke wazanzibar wingi wanaundugu na waarabu ilikua nchi moja kuna kipindi sultan alitawala Zanzibar na omani wakati mmoja

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 3 роки тому

      Mama yake no mwarabu wajomba zake wanaishi oman lakini shida ikoapi mie bado naamani nae

  • @Mister_Wawa
    @Mister_Wawa 3 роки тому +1

    Napenda TZ

  • @mwajejasson6995
    @mwajejasson6995 4 роки тому +7

    Mama yetu ubalikiwe sana unabusala sana

  • @Thiscontentisnolongeravailable
    @Thiscontentisnolongeravailable 2 роки тому

    12:12 tanzania

  • @esharashid4072
    @esharashid4072 2 роки тому

    Mum sikuhizi wasichana wengi wakienda kusoma university hapo ndio wanaooteya Kwa magesty hiyo ndiyo hasara wanafunzi

  • @amourmtungo6941
    @amourmtungo6941 3 роки тому +3

    🤔Tubadilike na kukubali wakati uliopo. Tuwape wanawake fursa za uongozi. Sio jambo jipya na sisi sio wa kwanza. Elimu ilikuwa ndio kikwazo cha wengi lakini sasa alhamdullilah wanawake wengi wana elimu nzuri kwahio ni muhimu kujitokeza katika njia mbali mbali za uongozi. Lakini pia chama kilichopo madarakani kikubali na kuwapa watu fursa kupitia vyama vyao kuwa na sauti kisiasa, kiuchumi, mawazo na mambo mengine. Tukipendana bila ya masharti ya chama, dini au jinsia basi tutapiga hatua nzuri.

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 4 роки тому +9

    Wewe ni mfano wa kuigwa mamangu.ndio maana umeiva sana tena kwa utulivu.

  • @lizkimani9576
    @lizkimani9576 3 роки тому

    I love love her...😍

  • @johnsonmsoma5743
    @johnsonmsoma5743 3 роки тому

    NAEZA NNKAMWITA JEMBE PIA SHE IS SO SMART

  • @guledfrance283
    @guledfrance283 3 роки тому

    Khabariyako

  • @ummyyusuph1311
    @ummyyusuph1311 4 роки тому +3

    Madam hero

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 3 роки тому

    All the best mamaetu

  • @michaeltuingilegewaubaridi8570
    @michaeltuingilegewaubaridi8570 4 роки тому +3

    Namkubaliiii mama samia

  • @pablomufasa854
    @pablomufasa854 3 роки тому +1

    Nimempenda sana mama😘

  • @MariamsLifestyle
    @MariamsLifestyle 3 роки тому

    our president

  • @arnolddee800
    @arnolddee800 3 роки тому

    Excellent

  • @mohaahanaad3678
    @mohaahanaad3678 3 роки тому

    She is the President NOW!

  • @feisal6592
    @feisal6592 2 роки тому

    Hapo mum president hapo uko sahihi shida Iko mahali pengine hio elemu ingefunza kwanafunzii shuleni iuanzia darasa nnee afunze kuwa akifaanya mapenzi atapata mimba akiwa mdogo mafunzoo yasnzee shuleni suluhisho kifungoo halipo mum plzz mafunzoo yasnzee shulee pia nyumbani

  • @maryflorenceinvestment7532
    @maryflorenceinvestment7532 4 роки тому +4

    Haya mama ,iko siku utapika , saiv Fanya kz, BBC Leo mmevuruda sauti imewashida ,hyo producer afukuzwe kz si level yenu, n level online TV,

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 3 роки тому

    Mheshimiwa rais we love you we belive in you

  • @lauriaabdi6026
    @lauriaabdi6026 3 роки тому +3

    Kwanza Baba Yetu Mpendwa Magufuli alikuamini Ndo Maana ukafanya nae Kazi.
    Hata sisi MAMA tunakuamini. Allah akutangulie katk kila jambo.

  • @sabrinayounisaden7238
    @sabrinayounisaden7238 3 роки тому

    Congratulations sister.

  • @esharashid4072
    @esharashid4072 2 роки тому

    Aslm mum was Taifa shikamo natumai uko salama ilatuu nakukumbusha ubunifu njia mufaka

  • @okotoobuyageorge4227
    @okotoobuyageorge4227 3 роки тому

    wanahabari next time mfanye ya kizungu mkijua kuna wajaluo wa kenya

  • @sarahnyambaka5885
    @sarahnyambaka5885 3 роки тому +1

    mama umemsifu raisi kwa utendaji kazi wake .Tumia hiyo mbinu mama kufanya kazi

  • @simonkimenchu8950
    @simonkimenchu8950 3 роки тому

    Ana mawazo mema na amechangia pakubwa. Ni mpole wa kuzungumza na usemi wake unao nguvu. Mola na akulinde Rais Suluhu.

  • @chusse_2287
    @chusse_2287 3 роки тому

    Rais kabc naiyona Tanzania ikiwa mbali sana kupitiya wew

  • @NzukiDominic
    @NzukiDominic 3 роки тому +3

    Mama Suluhu ni Rais sasa

  • @maryflorenceinvestment7532
    @maryflorenceinvestment7532 4 роки тому +4

    Nani kasikia , pia huwa anacheza games, kwny computer?? Gong like hapa plz

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 3 роки тому +1

    Mama hao BBC hawana nia nzuri wanatafuta mlango tu! Waovu hao, television ya wauaji na adui wakubwa wa nchi yetu. Don't give them a chance mama! Bado tunakupenda, tunaipenda nchi...wataleta shida. Hawa ni wa kuwafungia kabisa wasiingie hapa kwetu!

  • @dianarichard4418
    @dianarichard4418 3 роки тому

    We love you,mama

  • @stanislasbigirimana4214
    @stanislasbigirimana4214 3 роки тому

    Ongea Mweshimia Mungu Yuko pamoja naw

  • @samuelmuhindosivamwanza4988
    @samuelmuhindosivamwanza4988 4 роки тому +7

    Nimejifunza kitu kutoka kwako mama. Uende mbali zaidi na uendelee kuwa kieleleza kwetu vijana. Nimeamkua kuwa kama wewe siku zinazo kuja.

    • @petal8776
      @petal8776 3 роки тому

      ni rais sasa hoyee

  • @selenganyagawa1358
    @selenganyagawa1358 3 роки тому

    Nawe hutakubali kushindwa Rais wetu, naamini utafuata falsafa za hayati John pombe magufuli.🇹🇿🇹🇿

  • @mkaapwekekariakoo6417
    @mkaapwekekariakoo6417 3 роки тому

    You are our Mama wa Taiga😋😋🙏🙏

  • @ycamara9034
    @ycamara9034 3 роки тому +1

    Today 2021 only arabs countries slavery is happening.Arabs say ,if a dog eat on your plate wash it and keep it.,if a black man eat on your plate break it and throw it. Get that sister.

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 3 роки тому

    Africa lazima iwe masikini. Isiruhusiwe kuwa na viwanda. Kwasababu nchi za Ulaya zinahitaji mali gafi za Africa. Lazima Africa iwe masikini kwa nchi za Ulaya kuendelea lazima Afrika ibaki masikini. Nchi za Ulaya zinasema kwa vyovyote vile lazima Watatumia njia zozote kuifanya Africa ibaki masikini. Hizi ndizo kauli za nchi za Ulaya. Waafrika wakiruhusiwa kuwa na viwanda watatumia mali gafi zao na nchi za Ulaya ndizo wanazitegeme. Rais Magufuli alitambuw hivyo na akawafunguwa macho Watanzania sio tu kwa maneno bali kwa vitendo. Watanzania sio masikini na tunaweza. Ndiyo Rais wetu hatunaye tena, lakini katufunguwa macho. Wakina Magufuli wengi wamezaliwa. Tunategemea Mama Suluhu atafuata mukondo wa Rais Magufuli na aangalie ndani ya Tanzania kuna wasaliti wamekodiwa kuvuruga maendeleo yetu. TUSIKUBALI KUDANGANYWA

  • @bensonkaile9606
    @bensonkaile9606 4 роки тому +1

    Al nansu shahid allah

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 роки тому +1

    Kwel mpole Lakin jasil nilisema ilo

  • @nisetameena9276
    @nisetameena9276 2 роки тому

    NAPIGA KWA MOTO WA ROHO MTAKATIFU.

  • @MarwaWMarwa
    @MarwaWMarwa 3 роки тому +1

    Maza unaharibu! Usiseme nina ujasiri, tuonyeshe ujasiri

  • @gavanaimrani6777
    @gavanaimrani6777 3 роки тому +3

    Mashallah Mama unastara yakuigwa

  • @marcelinojunior6340
    @marcelinojunior6340 4 роки тому +2

    Mama Yetu

  • @rasrealitymacky3489
    @rasrealitymacky3489 3 роки тому

    I REALLY HOPE SHE WILL STOP THE EXPORTATION OF ALL RAW MATERIALS ACROSS TANZANIA TO ENSURE THAT THE COUNTRY EXPORTS PROCESSED PRODUCTS HENCE CREATING MORE JOBS FOR TANZANIANS.

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 4 роки тому +1

    🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹😇🇹🇿😇🇹🇿😳🇹🇿😳🇹🇿😳🇹🇿😳🇹🇿🇹🇿😇 KAA NYUMBANI UTUMIKE KWA MUMEO INSHAALLAH NA WACHAKUPAKA DAMU ZA NGURUWE SAMIYA SULUHU HARAMU NA UNAJIFANYA HUJUWI AU WEWE HUWOGOPI UNAFUNDISHA WENGINE WAYAFANYE HAYA UNAJUWA KUWA NI KWA NINI WANAWAKE HAMSIKII NA NDIO MASNA ALLAH SUBHANAWATAA ALLAH KASEMA SIRIHUSAMWANAMKE KUONGOZA WANAUME NA IKIWA WEWE UNAAKILINA MUISILAMU WA KWALI INSHAALLAH ALLAH SUBHANAWATAA ALLAH AKUONDOWE KWENYE KUMTUMIKIYA SHETANI NA FIRAUNU 🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 3 роки тому

    𝑀𝑎𝑠ℎ𝐴𝑙𝑙𝑎ℎ 𝑀𝑎𝑑𝑎𝑚 𝑃𝑟𝑒𝑠𝑖𝑑𝑒𝑛𝑡 🍹

  • @nobertkavishe8835
    @nobertkavishe8835 3 роки тому

    💪

  • @alleynikiza431
    @alleynikiza431 4 роки тому +4

    👍

  • @estarkapinga6126
    @estarkapinga6126 3 роки тому

    Tunakuamin

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 3 роки тому

    Wale wasanii wanaojitia kiengreza chaushuzi mbona raisi anaongea kiswahili kwa ufasaha

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌

  • @nassalnassor7689
    @nassalnassor7689 4 роки тому +5

    Mtangazaji kama ni muislamu basi nivizuri ungelijitandika kam alivyo jitanda mwenzako ila kama si muilamu ok.

    • @baltasartemu2153
      @baltasartemu2153 4 роки тому

      Hongera. Ni kati ya watu ninaojivunia kwa kweli. Yupo humble mno...

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 4 роки тому

      Kwan nilazma

    • @Ralianstyle154
      @Ralianstyle154 4 роки тому

      We naeee...mtandio ndo unahoji maswali

  • @kaboberdo227
    @kaboberdo227 3 роки тому +2

    Bado Tanzania ina Bahati kukupata vice wa Magufuli.

  • @MswaxinfoTZ
    @MswaxinfoTZ 4 роки тому

    Bofya link hii...ua-cam.com/video/Mb5J2EiOufA/v-deo.html

  • @OmanOman-hr6cb
    @OmanOman-hr6cb 3 роки тому

    Uku waarabu wanasema uyu mwarabu dah Hawa waarabu kiboko ila sijui saana asili yake najua tu mtu kutoka zanzibar

    • @salmaalimusa547
      @salmaalimusa547 3 роки тому

      Mtanzania huyu.waarabu wanaongeaga kiswazi? Wasituchoshe watuachie watu wetu .

  • @officialhariri6673
    @officialhariri6673 3 роки тому

    ❤️❤️❤️

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 роки тому +1

    Mheshimiwa Samia ni mzoefu tunahitaji wanawake zaidi na hasa kwa upande wa Zanzibar. Mila na utamaduni ni muhimu kihistoria Zanzibar ilikuwa imebase sana na utamaduni wa Kiislamu, sio vibaya lakini mara nyingi utamaduni huu haukutoa fursa nyingi kwa wanawake kuchukua nyazifa za uongozi. Hivi sasa tumepiga hatua tuna maarifa zaidi, akili na elimu kwa maana hio, wanawake wameshaamka wanaanza kuchukua nafasi za uongozi pale panapobidi.

    • @RashidAli-mm1uo
      @RashidAli-mm1uo 3 роки тому

      Amour kama wewe ni muislam tafadhali lete stighfar kwa Allah .

  • @ignasbukombe9225
    @ignasbukombe9225 3 роки тому

    Hakuna aliyezaliwa kapigwa muhuri