AMANI MWASOTE. JOGOO LIMEWIKA TAYARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • #AmaniMwasote new song 18/10/2024

КОМЕНТАРІ • 91

  • @MusukwaAmos
    @MusukwaAmos 2 місяці тому

    Ubalikiwe baba Amos musukwa gospel music from Zambia

  • @TAUSIMWANSOPE
    @TAUSIMWANSOPE 2 місяці тому

    Wimbo huu umenibariki mnoooo,,,,,,MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA BABA.

  • @suzanaturu823
    @suzanaturu823 3 місяці тому

    Hongera sana my pastor,wimbo mzuri umenitia moyo,ni maombi yangu Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu zaidi

  • @ElishaKasekwa-vo2eg
    @ElishaKasekwa-vo2eg 3 місяці тому +2

    Moja ya waimbaji na wahubiri mahiri na wakongwe hapa Tz ni mtumishi wa mungu Mwasote , nimeanza kukusikia nikiwa mtoto na sasa nimekuwa na nimefurah ujio wako tena, barikiwa sana "KILA MTU ANA KWAO"🙏🙏

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому +1

      AMINA KASEKWA BARIKIWA ASANTE SANA KWAKUSIKILIZA NYIMBO ZANGI

  • @MosesOngudi-s3b
    @MosesOngudi-s3b 3 місяці тому

    Pure talent. God bless you abundantly Mchungaji Mwasote.

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому

      Amina Moses Barikiwa sana nisaidie KUSHARE UJUMBE uwafikie wengi

  • @majaliwaerasto8601
    @majaliwaerasto8601 3 місяці тому +1

    Kama wewe umeangaria Wimbo huu zaidi ya Mara moja like the video comments and don’t forget to share to your friends and family

  • @EzekielCharles-j8x
    @EzekielCharles-j8x 3 місяці тому

    Barikiwa Sana amani

  • @Mitabaro
    @Mitabaro 3 місяці тому +2

    Nakupenda sana mtumishi wa Mungu, Mungu akuongezee upako.

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому +1

      Aminaaa

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому

      Barikiwa nisaidie KUSHARE Facebook na mitandao ningine

  • @ezekielmakililo
    @ezekielmakililo 3 місяці тому

    Pastor,Umebarikiwa sana Vocal.Natural.Asante Kwa Wimbo mzuri

  • @samwelmwakipesile8070
    @samwelmwakipesile8070 3 місяці тому

    Hongera sana mtumishi kwa wimbo mzuri Mungu akubariki

  • @TUMAINIMBEMBELA7
    @TUMAINIMBEMBELA7 3 місяці тому

    Mwalimu wa step wa kakangu hasa step aliyoanza nayo.
    Hongera kaka yangu wimbo mzuri baba asante kutuhudumia

  • @danielsiwale4051
    @danielsiwale4051 3 місяці тому

    nimefurahi kukuona tena Mungu akubaliki sana mch

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому

      DANIEL BARIKIWA KWANI UPO WAPI MTUMISHI

  • @Baraka554
    @Baraka554 3 місяці тому

    Waooo, Asante Yesu Kwa ajiri ya mtumishi huyu

  • @marshalsanga9208
    @marshalsanga9208 3 місяці тому

    Ameeen,,, YESU atukuzwe sana

  • @esterjulius9995
    @esterjulius9995 3 місяці тому

    Blessed papaa

  • @koneshimwasonzwe6739
    @koneshimwasonzwe6739 3 місяці тому

    Hakika nimeupokea wimbo nimzur ujumbe mzuri 🔥🔥 mungu akubariki pastor

  • @francismutumila3187
    @francismutumila3187 3 місяці тому

    Mwalimu wangu nakupenda

  • @RAIVONMWAKALANJE
    @RAIVONMWAKALANJE 3 місяці тому

    Kazi nzuri pastor

  • @barakaboazi5938
    @barakaboazi5938 3 місяці тому

    Barikiwa BABA Nakupenda Bure Baba yangu Mungu akubariki

  • @AdamuChalres
    @AdamuChalres 3 місяці тому

    Amina Baba kwa wimbo nzuri najiona kusongambele kwa jina la Yesu

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому

      Aminaaa

    • @AdamuChalres
      @AdamuChalres 3 місяці тому

      @@Amanimwasote ntakuona Mwanza Mungu akujalie Neema yakusafri salama

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому

      @@AdamuChalres Amina Adam

  • @francismutumila3187
    @francismutumila3187 3 місяці тому

    Kuna Wimborne wako niliimba kanisani mahali .nilikuwa natafuta kazi nikaingia tu kanisani mahali hapa kenya nikaimba Wimborne huu wako.nikifumba macho

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 3 місяці тому +1

    Sisi mashabiki wako tulimisi nyimbo tafazali uwe unaachia nyimbo mtumishi

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому

      AMINA MTUMISHI NIKODEM BARIKIWA

  • @LucyMwasomola-c7s
    @LucyMwasomola-c7s 3 місяці тому +1

    Good video🎉

  • @sellahwhitelaw9509
    @sellahwhitelaw9509 3 місяці тому

    Wimbo mzuri sana Pastor nimetiwa moyo sana

  • @jehovahnissichoir
    @jehovahnissichoir 3 місяці тому

    Barikiwa sana mtumishi

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 3 місяці тому +2

    𝐌𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦.𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢 𝐦𝐰𝐚𝐬𝐨𝐭𝐞 𝐧𝐚𝐤𝐮𝐬𝐚𝐥𝐢𝐦𝐢𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚.𝐣𝐢𝐧𝐚 𝐥𝐚 𝐘𝐄𝐒𝐔

  • @WemaMwakalinga-pj1bc
    @WemaMwakalinga-pj1bc 3 місяці тому

    Asante Kwa ujumbe mzuri na Kwa wakati sahihi.

  • @selinawangio-c9q
    @selinawangio-c9q 3 місяці тому

    Abundance Grace Min Amani

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому

      Selina za SIKU, MBONA Facebook umepotea

  • @michaelmwedimage5515
    @michaelmwedimage5515 3 місяці тому

    Nimebarikiwa Sana

  • @leonardsimkoko6656
    @leonardsimkoko6656 3 місяці тому

    Mungu akubariki sana yaaani una karama saaana mtumishi

  • @LucyMwasomola-c7s
    @LucyMwasomola-c7s 3 місяці тому +1

    Good video

  • @ElizabethRichard-l9r
    @ElizabethRichard-l9r 3 місяці тому

    Nyimbo nzuri mungu akubariki pastor

  • @abedinegosunday7720
    @abedinegosunday7720 3 місяці тому

    Wimbo mzuri mnoo Pastor Aman

  • @monicakagehi1363
    @monicakagehi1363 3 місяці тому

    Hata kuvaa kwake kunahubiri

  • @ev.gifthsanga8965
    @ev.gifthsanga8965 3 місяці тому

    Nimeisubiri kwa hamu ubarikiwe sanaa baba

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому +1

      Oooooo Gift za SIKU uko wapi sikuoni KWENYE INJILI mwanangu

    • @ev.gifthsanga8965
      @ev.gifthsanga8965 3 місяці тому

      @@Amanimwasote Amen baba ni kweli saivi naishi Mwanza nilipata ajira huku.

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 3 місяці тому

    Haleluya

  • @annamwanyelele9084
    @annamwanyelele9084 3 місяці тому

    amen

  • @RuthGeorge-s9b
    @RuthGeorge-s9b 3 місяці тому

    Mungu akubariki baba

  • @Yoelfabian
    @Yoelfabian 3 місяці тому

    Una akili sana mtumish tok zaman unanibariki sana tunzwa na MUNGU.

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому

      Aminaaa Yoel

    • @Yoelfabian
      @Yoelfabian 3 місяці тому

      @@Amanimwasote ule wimbo naona moto unashuka huo ukiteketeza kazi za shetan haha amina kaz zote za giza hazitakuweza na zitateketea kabisa.

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому

      @@Yoelfabian Amina yoel

  • @majaliwaerasto8601
    @majaliwaerasto8601 3 місяці тому +1

    Acha ni fanye jambo rangu ni share Wimbo huu everywhere

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому +1

      AAAAW WE MAJALIWA UPO RAFIKI? UPO WAPI? NASHUKURU SANA KWA KUFANYA HIYO KAZI YA KUSHARE

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому +1

      Nitashukuru sana mtumishi kusaport kazi hii-Mungu akubariki mno

    • @Amanimwasote
      @Amanimwasote  3 місяці тому +1

      MUNGU AKUBARIKI SANA MAJALIWA NAIONA KAZI YAKO JUU YA HUU WIMBO

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 3 місяці тому

    ❤❤❤❤