This song is really touching me as I listen for it,I was searching this song for longtime at long last am already reach on it...baba mungu tutembelee,,from kenya the song is still powerful and touched
I cried hard when I heard this song in 2012 baada ya kutafuta mtoto sana. But I m a happy man now nko na watoto wawili baada ya kupotaza mmoja. Nashuru sana mola. Be blessed mtumishi.
I remember the first time I heard this song was on a crusade in the year 2006here in Kenya ...today mark my 18years I love this song . Weka like kama bado inakubariki 2024
I was listening to this song on my way to the interview 7 months ago and I succeeded the job now I normally listen it everyday morning on my way to work..I love you God
Bwana Yesu akutane na hitaji la moyo wako...yatoe maisha yako kwa Kristo kwa ukamilifu na utaona Mshauri wa Amani Yesu Kristo atakachofanya katika Ndoa yako..amesema tumtwike yeye fadhaa zetu zote...maadamu umetambua kwake liko suluhisho la ndoa yako...tarajia kupokea kutoka kwa Bwana. Mungu akutie nguvu Yvone.
Powerful song. I love this song because the singer sang it out of revelation and he never disappointed the song. He also sang it in the supernatural anointing. I love it!!!
Amani naomba Mungu akubariki zaidi uendelee kutubariki na nyimbo zako nzuri,mi kila nikisikiza wimbo huu usikia UWEPO wa Mungu Halleluiah..AMINA.AMINA.AMINA.
brother really you are blessed. no matter others not recognize you but The heaven father,The holly spirit and and Jesus Recognize your work to the extent, Go on.....my lovely servant of God,my role model in this wonderful ministry.
Shalom. Though the song was published some years ago but still inspire and touch my heart whenever i hear it. God bless you servant of God...keep on serving His Ministry...this is just the beginning...the better is yet to come. May the Lord God be ahead of your Ministry
This song is on another level, i like it from the bottom of my heart, ❤
This song is really touching me as I listen for it,I was searching this song for longtime at long last am already reach on it...baba mungu tutembelee,,from kenya the song is still powerful and touched
Kama bado unaipenda 2023 weka 👍
Unapotembelea wengine baba Mungu usinisahau pamoja na wengine wanaokuhitaji maishani mwao
When things seems to hit dead end i always play this song and things gain momentum again
I cried hard when I heard this song in 2012 baada ya kutafuta mtoto sana. But I m a happy man now nko na watoto wawili baada ya kupotaza mmoja. Nashuru sana mola. Be blessed mtumishi.
I remember the first time I heard this song was on a crusade in the year 2006here in Kenya ...today mark my 18years I love this song .
Weka like kama bado inakubariki 2024
This song I have been looking for from 2009 but I thank nimepata. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Baba mungu wa mbingu ni nitembelee kazini pia nyumbani kwa familia yangu uniwekee ulinzi pamoja n.a. nyumba yangu ameni
Naomba yesu unitembelee pia Mimi mungu wangu wa mbinguni
I was listening to this song on my way to the interview 7 months ago and I succeeded the job now I normally listen it everyday morning on my way to work..I love you God
Old is gold. Visit us Jehova we are living in evil times Jehova
2024 nani anaitazama? Weka 👍 au comment
tembelea taifa LA Kenya O Lord Jesus we need at this time. we need your mercy.
asante Amani Mwasote, Mungu akubariki kazi yako ni njema
Mimi nina tatizo la ndoa, ndoa yangu inayumbayumba ninaomba mingi anitembelee leo airekebeshe ndoa yangu... Help me pray brethren. Amen
Bwana Yesu akutane na hitaji la moyo wako...yatoe maisha yako kwa Kristo kwa ukamilifu na utaona Mshauri wa Amani Yesu Kristo atakachofanya katika Ndoa yako..amesema tumtwike yeye fadhaa zetu zote...maadamu umetambua kwake liko suluhisho la ndoa yako...tarajia kupokea kutoka kwa Bwana. Mungu akutie nguvu Yvone.
Yvonne Atieno .
Mungu akukumbuke my brethren
Yvonne Atieno 🙏🏻🙏🏻Mola yu nawe dada.
Yvonne Atieno mtegemee mungu siku zote naye atakutegemeza, sali kila siku bila kuchoka
Saf mwana wa safwa
bado tunasonga mbele 2024
Mungu akuinue mtumishi, nakumbuka siku tuko uyole magorifani, uliwafanya watu wengi wamthamini mungu
Ahsante.
Unapotembelea familia zingine...familia yangu usiisahau
I met this man of God 11 yrs ago bt these songs have never gotten old
Jina la Mungu liinuliwe. Ubarikiwe kwa nyimbo yenye upako
wimbo wa upako wa hali ya juu sana. barikiwa mtumishi Mwasote na Kanisa kwa ujumla.
Amen amen...wimbo huu unabariki sana...Enyewe *BABA MUNGU WA MBINGUNI TUTEMBELEE KABISA* Tuko tayari. Barikiwa sana mwimbaji Amani Mwasote.
This song changed my life and gave me anew name in 2013. Lord I still need that touch once more,your daughter pleads for your mercy .Lord hear my plea
This song is still blessing me...ubarikiwe Sana mchungaji
I like it tutembelee baba is always what we need since problems or challenges are always here with us
This song is real a blessing i can't stop listening to it up to date
Nmekua napita nkitafuta huu wimbo naikiza pia mungu anitembelee
Huu wimbo dah nikiusikia tu nadondokwa na machonzi nikikumbuka nilipotoka
Mungu nitembelee nipate kazi nzuri
Mungu mwenyezi atu tembelee kwa siri ili tushinde majaribu!AMEN.
Kama bado unaipenda 2024,, it's powerful 🙏
baba naomba umtembelee mdogo wangu,fanya njia pasipo na njia mdogo wangu aamke akiwa mzima,mtembelee arudi kwenye hali yake ya kawaida..AMINA
Anima🙇🙏
Baba Mungu wa binguni nitembelee Leo katika hali zangu za maisha kama ulivyotembelea Paulo na Sila gerezani,ni ombi langu Leo
This song is a consolation for those who are going thru! difficulties there is hope n future in Amani's song keep it up up upward.
Baba mungu wa mbinguni,nitembelee leo Kama ulivyotembele Paulo na sila gerezani.
Amen, hakika umenibariki sana ,umenitia nguvu zaidi mwasote.
Pamoja sana mtumishi wamungu!
hakuna alie mkuu kama mungu mwenyezi...a nice n fulfilling song!
GOG BLESS YOU, MAN OF GOD THIS SONG VERY POWERFUL.
2022 who is here to ask God not to forgive him/her wow powerful song indeed
soooo..., blessing indeed.., i very sure that whosoever listens or wathes this album will be blessed and visited..,
Tembelee Mungu As We Mourn Our Aunt 😭😭😭😭😭It's So Painful Losing You Aunt😭😭😭I can't stop crying💔
Powerful song. I love this song because the singer sang it out of revelation and he never disappointed the song. He also sang it in the supernatural anointing. I love it!!!
ua-cam.com/video/V565GIbbE54/v-deo.html
Nice song..God bless you Mwasote.
This song have been blessing too my family and all my friends
This song makes me to shade tears lakini God will tembelea me as well
Nyaimbo imeni inua sana kwa imani naomba Mungu anikumbuke kwa afya na nyumba yangu
Naipenda hii nyimbo ina ujumbe kamili!
To God be the glory.He alone indeed deserves all the glory and honour.Amen.Amen
Ireally like this song. God bless you Mr. Amani.
I love that song so much aswaaa nikiwa kwenye crusade
Kaka umetisha barikiwa
Quite Powerful
I Just love this song with passion, tutembelee Yesu
AMINA
Barikiwa Bro, Amani, Hata mimi niko hapa naomba Anitembelee Baba Mungu...
God bless u brother I heard ua song 2014 but I had never watched it live. I'm watching 2018 live in Doha Qatar
ua-cam.com/video/V565GIbbE54/v-deo.html
Amani naomba Mungu akubariki zaidi uendelee kutubariki na nyimbo zako nzuri,mi kila nikisikiza wimbo huu usikia UWEPO wa Mungu Halleluiah..AMINA.AMINA.AMINA.
Bwana Yesu asifiwe. Una sauti ya kipekee jitahidi sana mazoezi ya live. Nyimbo vyombo na sauti yako sio vya kuimbia CD. Ubarikiwe...
Ewe Mungu wa Mbinguni ni tembelee Leo uniponye kwa mgonjwa yote
Pokea uponyaji wako ktk jina la Yesu kristo amen
This song I heard it today,so blessing!
Mungu tutembelee leo maana duniani si pema tena
#KomeshaKorona
Wonderful song.God bless you Amani Mwasote in a bundance
brother really you are blessed. no matter others not recognize you but The heaven father,The holly spirit and and Jesus Recognize your work to the extent, Go on.....my lovely servant of God,my role model in this wonderful ministry.
Amen
After singing this song in church....I was blessed
ua-cam.com/video/V565GIbbE54/v-deo.html
Baba Mungu wa mbinguni hakika umenitembelea usiku huu asante Mungu baba
Amen. This song is True blessing to my life.May God expand your ministry.
I like these song so much
thank you Mwasote I really like it, it motivates me alot God bless you.
Asante yesu kwa Yale yote uliyonitendea.
Nilikua si kitu machoni kwa mwanadamu.
Lakini Leo!! Nimekua mtu
Amen
wow the song is fantastic inspiring and rejuvenating our soul, may the almighty lord bless for the good work/talent.
ua-cam.com/video/V565GIbbE54/v-deo.html
I love these gospel, it touches so muc
nko n.a. imani mungu ananitembelea.
Hakika sjaokoka lakini b naomba siku moja mungu uniokoe na vizazi zetu kabla cijakufa ohhhhhh ma GOD
Only believe in Jesus and He will save you
Amina pokea wokovu
Trizah Clinton
Amani barikiwa ten a sana mungu azidi kututembelea listen from saudia arebia Jeddah
really touching song.God bless u
2023 who is here with me🤚
Lord, I just surrender my life... Shuka unitembelee baba
ua-cam.com/video/V565GIbbE54/v-deo.html
Yesu akutetee Amani your so good in gospel
Yesu nakuomba unitembelee mimi na watoto wangu mwaka huu
baba wetu tutembelee leo..........nice song God bless u
Hello aminaaa mtumishi barikiwa sana
waoooo.... nimebarikiwa sana na ututembelee song, stay blessed mtumishi
This song is just on another level
I first heard of it in 2011
Its so spiritual listen to the message 2021 April's 🇰🇪
What a powerful song oh my God Amen.
Powerful healing song ....
This song has been a blessing to me.
ua-cam.com/video/V565GIbbE54/v-deo.html
Nice work my the mighty God bless u more
ua-cam.com/video/V565GIbbE54/v-deo.html
I am from Peru and I like this song because of my friend Boniface Elisha Chabili from Tanzania.
Bonifaaaaaaaaaaa!
Carlos Gutierrez sabe! 1:57
thank you call me
Thanks brother very much
Naomba mungu nitembelee kwa Kila mahitaji yangu
So blessing song
I like this ❤️
Nitembelee mungu uniongoze kwenye njia za haki. Nabarikiwa nikiwa Saudi
Nitembeleee Mungu wangu🙏🙏
Unapowatembelea waimbaji usimsahau Sara Mbiki🙏🙏
Nitembeleee 🙏🙏
Shalom. Though the song was published some years ago but still inspire and touch my heart whenever i hear it. God bless you servant of God...keep on serving His Ministry...this is just the beginning...the better is yet to come. May the Lord God be ahead of your Ministry
Amen
Nkupata mariakani man of GOD be blessed
A vry wonderful song,, ubarikiwe
Baba unitembelee kwa biashara,masomo, familia yote Mungu...
my favourite really tanzanians artists are gifted
kaka Amani Nabarikiwa sana na Nyimbozako Amina sana
what a prayer!! I love this song
ua-cam.com/video/V565GIbbE54/v-deo.html
Matatizo ni mengi ulimwenguni kulingana na mfumo huu wa mambo, tutembelee eeh yehova.