🥰🥰🥰❤❤diamond is the man, hata wakikuongelea u will continue shining
Lil ommy king of interview's
Bro nakukubali sn mzee yani umemchimba Diamond mpaka ka chimbika...
Man doesn't thrive in clouts and controversy '..he is always mature in what he says!..kudos' to you diamond..
Msanii mwenye kujielewa bongo na mwenye malengo makubwa sn!!🔥🔥
MALENGO saw kujielewa no huyu si ndo alienda redioni kumkana baba yake
Ndo mana nampenda 💎 diamond hanaga baya Mungu aendelee kukupa maisha marefu.viropo ropo mkome kuchonganisha watu bhana
Diamond n mtu mwenye hana shida na mtu kabisa sema binadamu tuu hawakosi la kuongea .....Diamond thawabu yko iko kwa Mungu usichoke kusaidia wanaohitaji msaada wako hata wakutukane baada ya mafanikio shukuru Allah maana kila jambo nilakusudio lake sbb hata yesu alikuwa na wanafunzi na hatimae wengine walimsaliti wakamkana na hata kuuzwa kikubwa dua kakangu huwez badilixha binadamu hata ufanye wema vipi Nakuombea kwa Mungu nyota yko izidi kung'aa mpka mahadui waulizane🤲🤲🤲🤲
Mi nilianza kumchukia pale alivyomkataa baba yake kwenye vyombo vya habari
@@mamatifaibaraim9358 mama tifa Ni kweli ata mim ni shabiki mkubwa wa diamond lkn mm mwenyewe sikupendag like kitendo lkn ata usimchukie Sana kwa sababu diamond wote sisi tumemjua ukubwan lkni atujui ktk utoto wake na Changamoto alizo pitia yy na mama yke atufahamu na mzee uyu atuzijui kwaiyo sisi watoto wa kiume huwa tunakamata upendo wa mama kwa asilimia 80 alfu bb asilimia20 kwaiyo uyu jmaa amelelewa Sana na mama klko bb kwaiyo apo chochote anachoambia na mama yake Ni laisi kuzingatia kuliko mtu mwingine kwaiyo ukimchukia Ni kma unamuonea vle
Frère tu es fort unajua nini unafanya na ni unaongea 'kweli kabisa rey anatuheshimisha wabongo tuliokua nchini Paris 🇲🇫🇲🇫🇨🇵🇹🇿
Fatuma Rayvanny a joué où à Paris ? dans quelle salle ?? Y'avait il publicité ?
@@mesukanku6016 Pour ton information Rayvanny était a l'Accor Hotel Arena et ça c'est a Paris mon vieux si tu savais pas. Il a aussi fait Montpellier. Donc il est où ton problème ? T'es au courant que il était au studio avec Gims même ? T'es en retard toi je sais pas tu viens d'où mais reste a ta place !!! 🇨🇵🗼
My favourite ni mtasubiri Sana.
🔥🔥🔥
Lion hapo nmekupata Uzuri, umenyoosha maelezo💥🔨
Diamond mm sio shabiki yake hata siku 1 ila linapokuja swala la interview na kuongea huyu jamaa anaongeaga ukweli sana ajikwezi hata siku 1 anaongea ile life aliyoipitia ya umasikini na hali ya chini na anaonyesha ataki kuirudia kwa gharama yoyote hapo tu ndipo ninapokukubali simba
Diamond sio kufanya vizur kwenye mziki nimegundua jamaa ni genuis sana ana akili mingi sana huyu jamaa
Genious simba.
Nilichogundua Mungu fundi sana huyu jamaa angefanikiwa kuwa na PhD yahelimu nadhani kwa maarifa na ufahamu mkubwa aliobarikiwa sijui angekuwaje,sipat picha maana nizaid ya Genuas....
Mpo juu Wasafi
Hats 🎩 off Diamond! You are an astute businessman. Quite insightful, thanks. Glad this showed up on my feed!
🇨🇩✌️Tilaa depuis Congo
I just enjoy listening & ur videos only
Respect my man. no time to gossip
Tatizo mnawapa airtime sana hawa wa online Tive maana bila hao mbona mambo yangekua safi ila kila kukicha mara media hii imeandika ivi nyingine imeandika ivi 🙌🙌🙌🤣🤷
God blessing my bro
Simba mungu akuzidishie zaidi na zaidi na akuepushe na Mambo mabaya yote sisi watanzania tunajivunia Sana uwepo wako 🙏🙏🙏🙏🙏
Dah konde kambadilisha mwambino na wasafi wake kuhus msanii kualikwa na wasanii wenzake🙌 salute kwake Bakheresa
Dai kaongea vizuri sana
Mwambieni huyo mondi wenu sisi wakenya tunamsupport sana hata kuliko watu wa nchi ila hamna collabo ya MKENYA hio sio sawa mondi huzarau wakenya sana mwambie aendelee
@Maniack67 akothee sio msanii yeye kazi yake nikupigia watu makelele.. 😆
True Leader
WEWE SIO BINADAMU WA KAWAIDA DIAMONDPLATNUMZ WEW NI GENIUS NA TUNAJIVUNIA WEW🙏🙏🙏❤️🔥
Vzr hujawahi niangusha kweli mungu alikuinua kwa malengo maalumu...big up simba
Simba amejibu vzr, ifike mahalaa tukue, sio kila sehem awepo 2acheuchonganishi nlm#wcb 4life
Wabongo wachonganishi saana. Good answer baba Tee. Ni wivu tuuuu unawasumbua watu.
Diamond kasema ukweli aisee 🥰🥰🥰simbaaaaa💪💪
TUNAJUA WANAOCHONGANISHA RAYVANNY KWA DIAMOND N WALE TEAM HAMOKINYESI NA MAREHEMU KIBAMIA ILI KUPUNGUZA NGUVU VANNY MAANA UKIMTOA DIAMOND 💎 HAKUNA MTU ANAMZIDI RAYVANY EA HII.. RAYVANNY SIO MWEHUU.
That's good
This guy is so wise
Nice
Nauliza #FOA ni brand atakayokuwa anauza nguo zake kama vile African boy na logo yake
Unaonesha leadership maturity kwasasa 💥
💯🔥🔥🔥🔥
Hamjambo nyote...? Pongezi sana Diamond kwa Mwenye bidii
Simba wewe umefanya mingi bro umesaindia watu wengi Sana najuwa kenye unashika tu inakuuwa dhaabu
Mondi wewe ni Mbinafsi sana hilo halipingiki sema Unajiaminisha tu kwa Watu. Una Moyo wa Kusaidia lakini hutaki unayemsaidia Akuzidi Pale ulipo. Ukweli lazima Usemwe. But Shoutout kwasababu umeibua Vipaji vingi.
Kwa hyo ww ndio unaemjua diamond kuliko anavyojijua mwenyew? Mbona huwa mnamsema huyu mtu vibaya wakat hamjawah hata kukaa nae mkanywa nae maji?
Yesa
Wewe ni kiongozi mzuri Sana
💪💪💪💪 diamond 💎
Nextilevo misic RAVNNYN CHUIII
Mwenye anabisha Simbaa acheki subscribers Kwanza za hii channel ya wasafi, shows the true icon
Umeongeaa pow sana bro
Rayvanny sio MWEHUU hii nimeielewa hiyo.. Wanaoteseka na mafanikio ya Rayvay n mashabiki wa HÀMOKINYESI na marehemu kibamia maana Rayvanny anawapa taabu sana wanashindana na kivuli chako!
Nakubali
Kweli kuwa mswahili ni kazi ....swali Moja ..lina majibu hamsini .... Hataki hiyo swali la Ray
Angekuwa mwehu😁😁😁
KAZI nzur
Love Mond♥️♥️
It makes sense... yaani mtu anataka kuforce bifu yenye haiko
Great idea
Kuna namna nausoma moyo wa D tofauti sana....naona una moyo mwema tu...maneno huwa kuna wakati yanafunua mtu ni nani!
Love from #burundi🇧🇮
King
Safi sana simba umeachia mawe mazuri sana achana na maneno ya watu hawanalolote njaaaaaaaaa tu
The problem with diamond,is he doesn't want,,any msanii amutangulie... remember kulikuwa na wengine...tuliwapenda...
Maswali ya Lil Ommy ni 🔥🔥💯💯🔥
Upo juu kinyama aisee mond umejipanga achana na hizi story kusemanq tunadis kila kitu aisee
sikuzote anaefanya mazuri anaonekana mbaya anaefanya mabaya anaonekana mkwel sasa kaka diamond usichoke kutusaidia sisi vijana kisa maneno mabaya ya watu wew toa msaada utalipwa na mwenyezi mungu
simba yuko tu sawa, hanaga roho mbaya bana bigapu sana mwamba💪💪💪🥰🙏
Chui and simbaaa🎉🎉🎉
NEXTI LEVO MISIC RAVNNYN MACVOICE NEXTI LEVO MISIC RAYVANNY
Nice simbaa
Diamond ni mjaja sana he is more than genius yaani huyu msee hakuna mahali atawai ropokwa kama wasanii wengine
WCB for life
🦁SIMBA KAMA🦁hakuna utani muda wa kazi
Jamani ame mwacha lavalava mbali
🙂🙂
Pamoja brother
diamond ni msanni mzuri ila anatabia moja mbaya sana hayuko wazi kuwasidia wenzangui zaidi anawatumia tuh kutengeneza hela.
Jamani mimi niko Mozambique, uyo Diamond ameanza kukonda kapungua sana.
I Love you
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mond binafsi huwa spend saana mzik lakn ukweli we dogo nakukubali mana unajielewa aiseee
Simba respect kwa good speek
Wasafi tv Next time you host diamond...please ask him why he is not doing Any collaboration with ugandan Artists
🙏🙏🙏
Diamond is smart
Daimond platinum
Simbaaaaaa
Huyu jamaa ako makini Sana Kwa brand he's not mentioning any products apart from the one his promoting
I wish they are English or French sub ya diamond is not only for u east 🇬🇳🇮🇪🇸🇱🇳🇬🇧🇫🇸🇳
Hapana Hapana Hapana ngombe wew
Simbaaaaaa
Ikiwa kwama hio vp Tena Simba😂😂😂🦁🦁🦁🔥🔥🔥
Diamond platnumz mkubwa wao
Diamond is always amazing with collabos with Rayvanny ❤