FIESTA: MWIJAKU ASOMA QURAN SAKATA LA OMMY DIMPOZ, ATOA HADITHI YA VITABU VYA DINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2022
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 31

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 Рік тому

    Marafiki wengi ck zote huwa ni wanafiki sana ,mtu anafahamu alafu anajifanya haelewi afanikishe Jambo ,kwa nini usingewaita wawili au muwaunganisha kama ana busara ya kuwapatanisha
    Tena kwa sauti et" Yule ni mtoto wa haramu" upuuzi mkubwa Thanks Jesus ,thanks Isaka and Ismail mlima snai

  • @mamuahmed67
    @mamuahmed67 Рік тому

    MashaAllah mwijaku nakupa salute na umwehu wako wote…lakini hakuna kama Dini wallah

  • @TeamKRX
    @TeamKRX Рік тому

    Huyu mwehu jamani ila dini kanishinda kwanini hatulii akafundisha wanetu atakoma Nini kwa mungu huyu dini iko nyie na maneno yake mazima mashalah rudi kwa mungu wako

  • @AhmedMohamed-un4zh
    @AhmedMohamed-un4zh Рік тому

    Hadith na aya nyingi anazozitaja mwijaku si sahihi na kuna makosa mengi
    Lakini kwa mazingira ya nyumbani anaonekana yupo sahihi
    Huu ni mtihani

  • @najimahgomez3334
    @najimahgomez3334 Рік тому

    Mwijaku daaaa Leo ume niumiza sana kk kwa Hilo

  • @SlsProductionTz
    @SlsProductionTz Рік тому +1

    🔥🔥🔥

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 Рік тому

    Mashallah mwijakuu

  • @mamuahmed67
    @mamuahmed67 Рік тому

    Nam brother….Allahu Akbar

  • @sarahsimon8060
    @sarahsimon8060 Рік тому +1

    Mnafiki huyu mwijaku mbingu utaisikia kwa majirani

  • @alisuleimansaid2703
    @alisuleimansaid2703 Рік тому

    mama hazai mtoto ambaye kwake yy ni haramu kwa sababu yy ndo mbebea mimba na kumzaa hiyo mtt anayohaki ya kumrithi na kurithiwa na mama huyo

  • @alira3080
    @alira3080 Рік тому

    Kuna tofauti Kati ya mtoto wa haram na mtoto wa nje ya ndowa

  • @alisuleimansaid2703
    @alisuleimansaid2703 Рік тому

    hakuwa mtoto wa swahaba bali alikuwa ni kijana tu wa kawaida na yy mtt ndie akiekwenda kwa mama yake na kumuambia kuwa mtume (s.a.w) hasemi uongo niambie nani baba yangu hapo mm akathibitisha kuwa yy mtt wa mtu mengine baba anaenasibishwa si baba yake wa halali

  • @mikidadijoseph5612
    @mikidadijoseph5612 Рік тому

    Mizunguko Yako ya bajaji 🤣🤣

  • @duchillahomaromar9674
    @duchillahomaromar9674 Рік тому

    ongela mwijaku kaka kumbe unanijuwa dini daaaa sasa kwanin upo kwenye kamali inakuwaj

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 Рік тому

    Lakini mzazi hana kosa kukosea kwake ni funzo kwa wengine

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 Рік тому

    Leo nimemuelewa mwinjaku dini ina nguvu kuliko mila na desturi

  • @isaacelijah6516
    @isaacelijah6516 Рік тому

    Ha haaaa 😂 😂 😂. Abdullism 😂 😂 😂 😂. Go listen 2 Christian Prince and u will learn a lot about Abdullism. Let him live his life 👍

  • @rukkynassor2279
    @rukkynassor2279 Рік тому

    Kama ajuwa ni babake ukweli ni amsamehe na amheshimu.ikiwezekana amuangalie.kila kitu ni thawabu.

  • @shizoshop2469
    @shizoshop2469 Рік тому

    Huyu mwijaku atajuaje kama yeye si mtoto wa haramu ?

  • @alisuleimansaid2703
    @alisuleimansaid2703 Рік тому

    na hata kutumia nasaba ( jina la huyo baba)
    anaesadikiwa kuwa wake haifai

  • @future6507
    @future6507 Рік тому

    Mwijaku ataka mboro anyonye

  • @alisuleimansaid2703
    @alisuleimansaid2703 Рік тому

    mtoto wa nje ya ndoa katk uislam hana nasabu na mzazi anaesadikiwa kuwa ammzaa kwa hio mtt huyo hana mamlaka ya kumuozesha, kumrithi wala kuwa ni walii katika mambo yke, naomba uelewe kuoa mtt uliomzaaa kisharia ni kosa na si mtt tu hata mama yako, ndugu wa mama , ndugu wa baba, bibi babu na ndugu wa damu ( ulio zaliwa na baba au mama mmoja) so inawezekana huyo alo fungwa ameo mtt alimzaa kwa maana ndani ya ndoa. ( mtoto wako katka uislam ulie zaa nae katika ndoa si vyenginevyo)

    • @BwaxyWaMichano
      @BwaxyWaMichano Рік тому

      Kaka upo sahii lakini niko naswali naomba nikuulize..vipi kuhusu mtoto wa nje ya ndoa lakini baba ndie aliemlea mtoto amemsomesha amemfanyia kila kitu lakini mama alimuacha mtoto akiwa mdogo je uyo mtoto nae ni haramu pia? Na je yuafaa kumsaidia mamake ?

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 Рік тому

    Bonge la puzi wakati diamond anagomea mzaz wake mliongea upuz kibao leo omidimpoz kagoma Yannmwjak

    • @alisuleimansaid2703
      @alisuleimansaid2703 Рік тому

      kwani diamond kasema yy ni mtoto wa nje ya ndoa. ila hata hivyo alipaswa basi amsaidie kama mlezi alomlea hata kidogo

  • @khuwaylidsalum6697
    @khuwaylidsalum6697 Рік тому

    Mwijaku punguza unafiq na usipende kuchezea dini kwa ajili ya dunia yako.

  • @softsoftbby8013
    @softsoftbby8013 Рік тому

    Mwijaku acha unafiki wako huwo,sasa wasafi BET ni halali?je ile pombe unayo taka kutangaza na Diamond je ni halali?wewe una support music na wapiga music je ni halali music?

  • @samakisamaki3226
    @samakisamaki3226 Рік тому

    Mwijaku unaporoja hakuna maandiko hayo wala maagizo wala hakuna idhini ya kuoa mliochangia baba eti kwa sababu wazazi went hawakuoana. Hadithi zako za uongo.

    • @alisuleimansaid2703
      @alisuleimansaid2703 Рік тому

      hajakosea sana mtt wa nje ya ndoa hana nasabu na anaeambiwa kua ni baba yake so hawajachangia baba inawezekana hata huyo nae si baba yake so hana uwaliii katk mambo ya mtt yule hamuozeshi harithi wala hamrith

    • @samakisamaki3226
      @samakisamaki3226 Рік тому

      @@alisuleimansaid2703 Ali suleiman said naomba maandiko yenye maelekezo kwa hoja zako sio sheikh fulani kasema. Sio kama natetea yanayofanyika. Kuna mzee mmoja yuko jela anatumikia kifungo cha miaka 30 kwa kufuata mafundisho ya aina hiyo na akamuoa bint aliye mzaa mwenyewe na masheikh waliomfungisha ndoa walitoweka kama upepo hata mahakamani hawakufika.

  • @alisuleimansaid2703
    @alisuleimansaid2703 Рік тому

    si mama tu hata huyo baba, mtoto anafaa kumsaidia kama mlezi wake au kama binaadamu mwenzio na kuhusu mama/baba kumtelekeza mtoto haiondowi haki yake ya kuhudumia wazaze wake