NG'WANA ISHUDU == KUMBUKUMBU Passmedia studio 0766644450 06 by passm

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 41

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 5 місяців тому +5

    Mie sio msukuma ila nyimbo za asili nazipenda sana japo sizielewi ila zinanikosha kwakweli love much from Singida 💯 ❤❤❤❤

    • @cosmasrobert2056
      @cosmasrobert2056 5 місяців тому +3

      Bora tu ww ndugu yangu hii nyimbo huielewi maana yake ungekuwa unaielewa maana yake harafu baba yako awe ametangulia mbele za haki kila siku utakuwa unalia tu ukisikiliza hii nyimbo kama mimi hapa

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 5 місяців тому +2

      @@cosmasrobert2056 aysee pole Sana Jmn Allah awarehemu na kuwasamehe wote waliokwisha tangulia mbele za haki amiiin 🤲

  • @user-lx8ln2gk3n
    @user-lx8ln2gk3n 3 місяці тому +1

    Wimbo unanikumbusha mbaki nimempoteza baba yangu ktk mazingira sasa miaka tisa😢😢😢😢

  • @Everinajoseph
    @Everinajoseph 3 місяці тому +1

    Nakumbuka saana mwanza kwa wazazi wangu

  • @AgnetaMgallah
    @AgnetaMgallah 4 місяці тому +1

    Naipenda hii nyimbo na naelewa namkumbuka baba yangu ninaposikoliza hii nyimbo

    • @johnmsimba5399
      @johnmsimba5399 2 місяці тому +1

      Yaani basi tu imenikumbusha family yetu

  • @AziziHonelo-nz1zu
    @AziziHonelo-nz1zu 2 місяці тому

    Haya mm naikubar

  • @Maahjames-jm5lc
    @Maahjames-jm5lc Рік тому +3

    Naupenda xana nyimbo hii jmn hua najisikia aman xana ss wasukuma ni wabunifu asante can baba

    • @johnmsimba5399
      @johnmsimba5399 2 місяці тому

      Yaani kusema ukweli huyu jamaa ametunga wimbo wa kumbukumbu kweli ❤❤❤😂

  • @Maahjames-jm5lc
    @Maahjames-jm5lc Рік тому +3

    Wimbo huu unanirudixha nyuma kuonaa jinxi ganii asili yetu ni mzur najivunia kweli

  • @user-qz7ox2ow8w
    @user-qz7ox2ow8w Рік тому +2

    Nakukubali Sana kaka angu mwanaishudu hakika we ni mtunzi mzuri wa nyimbo za asiri kulaga uhangame sema ujisiminzile isi

  • @MagangaSimon
    @MagangaSimon 4 місяці тому

    ❤❤❤ sana huu wimbo

  • @mabinamsoja4849
    @mabinamsoja4849 Рік тому +3

    Wimbo mzuri sanaaa

  • @simiyuSalu
    @simiyuSalu 2 місяці тому

    Wimbo huu umesisimua sana una huzuni na faraja pia.😂😂

  • @PRISCAEMMANUEL-wl4nr
    @PRISCAEMMANUEL-wl4nr 5 місяців тому +1

    sawa uko vzr sna wabeja

  • @mashaurikaradushi4433
    @mashaurikaradushi4433 4 місяці тому +1

    Pole Sana kiongozi kwa nyimbo nzuri

  • @jumasitta9298
    @jumasitta9298 5 років тому +2

    Naikubal sana hiyo nyimbo aisee!!!!, mwabeja bhankoi

  • @hesaumashenene7351
    @hesaumashenene7351 Рік тому +2

    Nakupenda saaaaaana huu wimbo❤️

  • @user-hx4mk4cm6r
    @user-hx4mk4cm6r 10 місяців тому +1

    Sana wa kumaaaaaa

  • @MjubaSeleman
    @MjubaSeleman 3 місяці тому

    Nice

  • @jestinambanzi9310
    @jestinambanzi9310 Рік тому +2

    Nakukubali

  • @aminadilunga8198
    @aminadilunga8198 11 місяців тому +1

    Nyimbo safi

  • @ntungifrancisco3323
    @ntungifrancisco3323 Рік тому +1

    Bonge la wimbo

  • @ashurahamisi583
    @ashurahamisi583 11 місяців тому +2

    ❤❤❤

  • @masanjamasaga5498
    @masanjamasaga5498 Рік тому +1

    nyimbo nzuri sana

  • @user-lp1bz2oz2t
    @user-lp1bz2oz2t 10 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @ednawaziri5145
    @ednawaziri5145 Рік тому +1

    Mwana ishudu ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @maigerichard9862
    @maigerichard9862 Рік тому +1

    Ulinsambilo ng'wichane

  • @shadracknkana303
    @shadracknkana303 2 роки тому +1

    NYANDA WA IHALO ULICHIZA ONG'WISE

  • @mwanaidimaulidi4972
    @mwanaidimaulidi4972 7 років тому +1

    ulijisoga n'gwana mayo

  • @mwanaidimaulidi4972
    @mwanaidimaulidi4972 7 років тому +1

    sauti baba

  • @annamahona5812
    @annamahona5812 Рік тому

    🤝🤝🤝🤝🤝

  • @BernadetteKalundu
    @BernadetteKalundu 10 місяців тому

    Handsome, confident and tall African prince❤️

  • @janisalusheriachannel1998
    @janisalusheriachannel1998 Рік тому +1

    Kuna wimbo nahitaji kama nikiupata nitafurahi unaitwa nalitandike wa kasomelo wa zeze amerekodia passmedia

  • @MuhukuPhares
    @MuhukuPhares 10 місяців тому

    🎉😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @user-pe5fz4zy6e
    @user-pe5fz4zy6e Рік тому +1

    ❤❤❤