Ng'wana Kang'wa _ Harusi ya Ngolo Official Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2021
  • BTM AFRICA 4LIFE
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 150

  • @mohamedomary8892
    @mohamedomary8892 Рік тому +13

    Hizi nyimbo ninzuri sana najivunia kuwa mnyamwezi nikisikilizaga ngoma nakumbuka nyumbani Tabora

  • @blindsysitta2880
    @blindsysitta2880 Рік тому +7

    Umetisha kaka huu wimbo naupenda sana nasikilza nikiwa Japan

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 Рік тому +4

    Hakika nimemiss home brother thenk you forever brother una nyimbo nzuri naomba mungu akulinde sikuu moja nitakupatia zawadi

  • @SkujuaJohn
    @SkujuaJohn 25 днів тому +1

    Nainjoy sana na huu wimbo kiukweli unamafunzo mazuri kaka hongera sana ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JuliasJonasMasali
    @JuliasJonasMasali 3 місяці тому +2

    Nasikiliza ngoma hii nikiwa Igunga ziba ngoma ni nzr sana hongera kaka asante sana endelea kutuletea burudani nzr uko vzr

  • @georgekallanga1545
    @georgekallanga1545 11 годин тому +1

    Mm sio msukuma lakini hii ngoma naipenda sana

  • @AnjeroClaud
    @AnjeroClaud 20 днів тому

    Najisikiaga vizur Sana nikisikilizaga huu wimbo nakumbuka shinyanga asante Sana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @JerisonkarangatanzaniaKaranga
    @JerisonkarangatanzaniaKaranga Рік тому +1

    Wakati uwa natamani siku moja uwimbe nyimbo za dini ili tumshukulu mungu pamoja, uwaga nazipenda sana

  • @MwigaKatumpula-mi3zt
    @MwigaKatumpula-mi3zt 10 місяців тому +2

    Najivunia kuwa mnyamwez maana nyimbo kama hizi naelewa mwanzo mwisho jamani 🙏🙏🙏👏👏😀

  • @martintssoray5352
    @martintssoray5352 6 місяців тому +2

    Hata sielewi kinachoimbwa ila nimekuwa mtumwa wa kusikiliza hizi sauti adimu

  • @samwelsimon6842
    @samwelsimon6842 9 місяців тому +3

    Katika nyimbo zako zote, hii kwangu ndo namba Moja, still watching 2023

    • @robertndega208
      @robertndega208 3 місяці тому +2

      Kuna Ile kwa Bundala Kishimba ni hatari sana 🔥

  • @MARIAMUSSA-ms1hl
    @MARIAMUSSA-ms1hl Місяць тому +1

    hii nyimbo ni nzuri sanaaaa hadi raha ukisikiliza

  • @SagandaMashilimu
    @SagandaMashilimu 17 днів тому +1

    Brooo unanikosha unajua

  • @JuliasJonasMasali
    @JuliasJonasMasali 3 місяці тому +2

    Ngoma iko vizuri Sana

  • @roselameck-ws1pc
    @roselameck-ws1pc 8 місяців тому +1

    Nalipenda sana Kabila langu mtanifanya nihame Zanziba weehatar mungu awabariki sana

  • @mabinamsoja4849
    @mabinamsoja4849 Рік тому +2

    Ongeza bidiii uko vizuri bro,, MUNGU akuzidishiee

  • @zuhuraabdallah155
    @zuhuraabdallah155 2 роки тому +3

    Mungu Akuongoze Ili Uzidi Kudumixha Na Kutangaza Utamaduni Wetu wa Kixukuma

  • @omariramadhani9990
    @omariramadhani9990 2 роки тому +4

    Uko vizuri sana unadumisha mila yetu nakupenda sana.

  • @user-qb8vf4or2r
    @user-qb8vf4or2r 6 місяців тому +1

    Nakumbuka❤❤siku😂aliokuja🎉🎉 mpombwe sikonge

  • @busarajacob4124
    @busarajacob4124 2 роки тому +3

    Hua nafarijika Sana kusikiliza nyimbo zako,zinaujumbe mzuri

  • @yohanasalumu3778
    @yohanasalumu3778 Місяць тому +1

    Nakubali sana❤❤❤❤❤❤

  • @LeonardNdama
    @LeonardNdama 5 місяців тому +1

    Mtemi na kupa hongera mtaani wangu kazi iendelee nawacheza shoo wako

  • @YusuphWilly-jh2vh
    @YusuphWilly-jh2vh Рік тому +1

    Kwa kweri huyu ntemi omabala Yuko vizuri Sana kwa nyimbo zake,, Mimi ni msukuma orig napenda nyimbo zao,, kweri

  • @mariamuchimma4241
    @mariamuchimma4241 Рік тому +2

    Huu wimbo jaman naupenda ingawa sielewi kila neno ila napata burudan, karibu singida uje utupe burudani

  • @juliusngaga-te8jl
    @juliusngaga-te8jl 6 місяців тому +1

    nakumbuka kipindi ambacho nipo sikonge kijiji cha Tutuo kwa kweli mungu awabariki

  • @user-de5ou7zf6b
    @user-de5ou7zf6b 5 місяців тому +2

    Hongera sana kaka

  • @Costantinejustine
    @Costantinejustine 3 дні тому

    Hii nyimboo mwamba aliwezaa,naikubari

  • @sagengejagadi2520
    @sagengejagadi2520 2 роки тому +1

    Hasara kubwa kutosikia radha na kinachoendelea ktk video hii. So Proud 2 be sukuma

  • @juliusngaga-te8jl
    @juliusngaga-te8jl 6 місяців тому +3

    wasukuma kwa kweli mko poa sana tupo nyuma yenu

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty 13 днів тому

    Najivunia kua msukuma jamani aaiiii raha sana

  • @HawaKipaya
    @HawaKipaya 7 днів тому

    Me pia nakumbuka nyumban❤❤❤❤

  • @teddydotto7137
    @teddydotto7137 4 місяці тому +1

    Katika hii nyimbo inajumbe zuri sana naupenda sana huu wimbo

  • @maarifamussa9934
    @maarifamussa9934 2 роки тому +1

    Nakukubali xn mwamba nikiwa DSM lakn nyumban chato hangamaga omwise ndoho tabhu nsani wise,,,, I wish one day I will find you during my marriage

  • @Dalawida_champ
    @Dalawida_champ Рік тому +2

    Safii sana mzee wa kazi…😊

  • @ndahejejejeanne5420
    @ndahejejejeanne5420 Рік тому +2

    Vizurisan umepew kipaj kwakuimb Niko burund rakin nasikiriziy saut hiy

  • @MtalemwaBake
    @MtalemwaBake 2 місяці тому +1

    Unatisha sana tajir msukuma kwa nyimbo nzur xana

  • @annadotto2429
    @annadotto2429 2 роки тому +4

    Kuolewa ni sheria, kuzaa ni majaliwa ! Hakika 👏👏

  • @joycejames9118
    @joycejames9118 3 роки тому +3

    Napenda Sana nyimbo zako one day tutaonana,niko pande za igunga tabora

  • @deborajohnson-i6r
    @deborajohnson-i6r 24 дні тому

    ❤❤❤❤❤❤❤Sina neno yukovizuri kijana

  • @user-ku2wk7mt8q
    @user-ku2wk7mt8q 4 місяці тому

    Kaka unatisha sana kazi nzuri nipatie naomba yako siku Moja nikupigie tuzungumze

  • @stephanominja8927
    @stephanominja8927 2 роки тому +1

    Mimi sio msukuma lkn,namkubali Sana Mwanakang'wa karibu Rungwa Njia panda ya mby tbra na sgd.

  • @YusuphMashaulimatogwa
    @YusuphMashaulimatogwa Місяць тому

    Naupenda sana wimbo huuu

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 Рік тому +6

    Hongera brother nafurahia nyimbo zako pia kuwa musukuma nipo dar salamu Ila namisi nyimbo zako jamani 😁😁😁kwenye kuolewa nisheria watuu wote wamecheza ba nakuoa nisheria shilingitaga mozees😁😁🔑🔑🔑🔑

  • @KhadijaKhadija-uc2uw
    @KhadijaKhadija-uc2uw 3 роки тому +8

    Huyu kaka lajariwa saut kwakweli sie wasukuma tupo juu nipo Dubai lakin nacheki nyimbo zako

  • @KasobiHatari
    @KasobiHatari Місяць тому +1

    Jaman jaman nyumban ni nyumban tu daima siwezi kusahau kwetu chato mulumba bwina,Ngoma za asili ni asili yetu wssukuma,hata waseme sisi ni WA shamba akin mungu katujalia akili na watu makin sana na wazalendo wenye upendo kwa kila binadam

    • @suzanaseni4429
      @suzanaseni4429 Місяць тому

      Uko sahihi kaka katika watu walotulia na akili nyingii ni ss wasukuma najivunia kuwa msukuma.

  • @richrichard3322
    @richrichard3322 27 днів тому

    Wimbo wa maana kabisa

  • @angelngongo4218
    @angelngongo4218 2 роки тому +1

    Nifalijika japo sielewi kivile hongera sana

  • @suzanaseni4429
    @suzanaseni4429 Місяць тому +1

    Mm napenda sana hii nyimbo Kila siku nasikilizaga

  • @KindambaMtunje
    @KindambaMtunje 25 днів тому

    Namm namkumbuka mkewngu

  • @lucybengwe959
    @lucybengwe959 3 місяці тому

    Wimbo mzur Sana iala hao wamama walihalib wanawapuliziaje pafyum mabibi harus kama vle maiti ndo ile asili yetu

  • @RestutaRubeba
    @RestutaRubeba 3 місяці тому

    Nipo morogoro nasikiliza nyimbo hii ni nzuri hongera kaka

  • @mussadadu
    @mussadadu 3 місяці тому

    Nakubali sana brother nyimbo zako nakupata nikiwa Arusha

  • @HamzaPastory
    @HamzaPastory 11 днів тому

    Huyu Jamaa noma Sana

  • @user-ub5eg8iv3e
    @user-ub5eg8iv3e Місяць тому

    Haaha usukuma to the world

  • @daudidede1607
    @daudidede1607 3 роки тому +3

    Nakupata Sana nipo ilinga mafinga kinyanambo baisikeli

  • @jumanyamhanga4569
    @jumanyamhanga4569 2 місяці тому

    Pamoja sana kijana kaza

  • @YusufuMabula
    @YusufuMabula 2 місяці тому

    Hongera sana bro unafanya kaziyako vizuri sana

  • @HappmarckMpamba
    @HappmarckMpamba Місяць тому +2

    Mimi msafwa lakini kwa huyu jamaa najikuta msukuma kabisa

  • @esterester5490
    @esterester5490 3 роки тому +1

    Du huwa nakuelewa san nyanda ndondo nakupata nikiwa oman

  • @neemamholu7658
    @neemamholu7658 3 роки тому +3

    Jaman huu wimbo naupenda sana barikiwa sana kwa kipaji

  • @josephkafumu3006
    @josephkafumu3006 Рік тому +1

    Najivunia sana kabila langu

  • @user-ge5sf8gv9j
    @user-ge5sf8gv9j 7 місяців тому

    Wewe ni noma sana by Bahati manhe

  • @user-wi7hx5fb7c
    @user-wi7hx5fb7c 2 місяці тому

    Daima unanikoshaga sana

  • @AngeliJoseph-es9hi
    @AngeliJoseph-es9hi Рік тому +1

    2023 anae tazama ♥️

  • @pasikoabudala3461
    @pasikoabudala3461 Рік тому +1

    Nakumbar san bwana mudogo uko vizur

  • @user-mk9vj5ix4x
    @user-mk9vj5ix4x 5 місяців тому

    Good job🎉😅❤❤I'm like 👍

  • @aidankostantine
    @aidankostantine Рік тому +1

    Anaweza kabisa

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 2 роки тому +1

    Mtu ninayemkubali my favorite song

  • @TANZANIAJESUSHEALLINGCENTER
    @TANZANIAJESUSHEALLINGCENTER 3 місяці тому +1

    ongera saanaa

  • @user-ep4hl6jd4q
    @user-ep4hl6jd4q Місяць тому

    Jaman mm mhehe lakin nyimbo zako kaka na enjoy sanaaaaaaaa

  • @LucasMagoko-je6zx
    @LucasMagoko-je6zx Місяць тому

    Wasukum oyeeee

  • @isihakasimbira176
    @isihakasimbira176 4 місяці тому

    Big up

  • @emmanuelkonki59
    @emmanuelkonki59 2 роки тому +1

    BARIKIWA SANA BROTHER

  • @dianamnyika8183
    @dianamnyika8183 2 роки тому +1

    Safi sana gwana Kang,wa

  • @rugoramugeta6336
    @rugoramugeta6336 Рік тому +1

    Wengi tunamuelewa

  • @AgnetaMgallah
    @AgnetaMgallah 3 місяці тому

    Nakukubali sna kaka

  • @happymathias894
    @happymathias894 Рік тому +1

    Hongera sana

  • @kefamariba6622
    @kefamariba6622 7 місяців тому

    Nakuelewa sana ngoshaaaaa

  • @HusnaMuhammed-yx8nl
    @HusnaMuhammed-yx8nl 8 місяців тому

    Nipo dubai nakufatilia kazi nzuri

  • @stephanomasala8614
    @stephanomasala8614 3 роки тому

    mungu akubaliki imebaki zamu yangu kuja baradi uje utoe lalhaaa kwenye sherhee yangu

  • @vicentsimon1245
    @vicentsimon1245 7 місяців тому

    ❤❤naikubaliii saaan

  • @PauloMihayo-zb3cs
    @PauloMihayo-zb3cs Рік тому

    Nyimbo saf ya harusi hongera

  • @maluhismadila9593
    @maluhismadila9593 Рік тому +1

    Kahama kwetu

  • @hellenjumanne9010
    @hellenjumanne9010 Рік тому

    Kaka anasaut nzr sana 🥰

  • @deogratiasmachumu4930
    @deogratiasmachumu4930 2 роки тому +1

    Burudani murua kabisaaa

  • @user-en2zl2fu2x
    @user-en2zl2fu2x 7 місяців тому

    Nikisikiliza tu nahisi kama niko kwetu Tabora

  • @lenatuspeter6641
    @lenatuspeter6641 6 місяців тому

    Kaka utafika mbali sana

  • @magrethenock9761
    @magrethenock9761 2 роки тому +1

    sukuma oyyyyee

  • @user-en2zl2fu2x
    @user-en2zl2fu2x 7 місяців тому

    Hakika unanikosha ntemi o mabala

  • @ashora-hp9ie
    @ashora-hp9ie 3 роки тому

    Yeyo faida ya bubile mlenabulombi💃💃💃💃

  • @longinokapesa889
    @longinokapesa889 3 роки тому +1

    Nipo luvuma nimependa wimbo wako mungu akutangulie katika kazi yako

    • @shadyachagu8918
      @shadyachagu8918 2 роки тому +1

      Nipo singida nimeupenda Sana wimbo huu nimetokea pande za muyatu mwandoya

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  2 роки тому +1

      Pamoja sana mkuu

    • @bvff8691
      @bvff8691 Рік тому

      ​@@ngwanakangwanaomba namba yako

    • @AmilyDankala
      @AmilyDankala Рік тому

      karibuni kwetu chemba

    • @AmilyDankala
      @AmilyDankala Рік тому

      @@ngwanakangwa napenda nyimbo zako zuri Sana mungu akutie nguvu

  • @peninasumbuka5932
    @peninasumbuka5932 3 роки тому +1

    Nimekubali sana

  • @michaeljohn7596
    @michaeljohn7596 2 роки тому +1

    Hongera

  • @ashampeta3324
    @ashampeta3324 2 роки тому

    Ntemi omabala nazunyaga nyanda oletomamaa

  • @michaelmaziku3507
    @michaelmaziku3507 2 роки тому +1

    Nyimb zakisukuma mwanakang'wa

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 роки тому

    Mwana anajua sana

  • @H3s4d
    @H3s4d 3 місяці тому

    Asilihaipotei

  • @xyanderboy8101
    @xyanderboy8101 2 роки тому +1

    Fire

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 роки тому

    Nikifika kahama nitakutafuta napenda Nyimbo kwakweli nataka unipe jina unatumikisha Facebook

  • @ngoshahalaja4677
    @ngoshahalaja4677 3 роки тому

    Nakubali Sana nyanda