VIDEO: KIJANA ATAKA KUMBAKA MAMA YAKE MZAZI |AJIFUNGIA NDANI NA WATOTO WADOGO 2 |AGEUKA HATARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

КОМЕНТАРІ • 21

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Рік тому +1

    Poleni sana iyo shida ata sie tulikuwa nayo kwa sasa tunamshukuru Mungu msichoke kumuangaikia atakaa sawa kwa uwezo wa Mungu

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому +1

    Hii ni mtihani huo mungu awafanyiwe wepesi ache huo ulevi hauna faida mimi kaka yangu analewa lakini hapingani nyumbani huko kwenywe ulevi siku nyengine wiki 1 ndiyo arudi hataki kuowa wanawake wa nje bass kwa kweli ni mtihani yarabi mungu tusaidiye😮

  • @user-sq7pz9ex5g
    @user-sq7pz9ex5g Рік тому +1

    Mmh makubwaa ila familia zina Siri ninyii🙌mie sisemi chochote ukute kuna Jambo hapo ...

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 Рік тому +1

    Subhanallah Allah Akbar

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Рік тому +1

    Mtihani wallah 😭😭 Mungu awasaidie

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha Рік тому +1

    Jamani naombeni kuuliza siku hizi zahiri ayupo

  • @zeinabbachu8363
    @zeinabbachu8363 Рік тому +1

    Angepelekwa sober house

  • @user-ic8di9mw8u
    @user-ic8di9mw8u Рік тому +1

    Mm ninae kama uyo nimempereka coba

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому +1

    Mtu kama huyo hana faida ya dunia mpaka kwa mungu analana huyo kijana anataka kumbaka mamake hii hatari amechanganikiwa huyo ni mshenzi 😢😢😢😢😢😮😮

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Рік тому +2

    Kuishi na mtu kama huyo ni hatari sana anaweza kuwauwa nyote humo ndani😭😭

  • @miishhassn
    @miishhassn Рік тому +1

    😢😢😢pole sana 😢

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому +1

    Hii😢😮

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +1

    Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiuun

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 11 місяців тому

    Poleni jamani 😢😢

  • @mediruga627
    @mediruga627 Рік тому +1

    Hamlali nyie Maximum😢 TV

  • @Mamiseti7
    @Mamiseti7 Рік тому

    Bangi mbaya kbs 😢

  • @mozuusuleiman4702
    @mozuusuleiman4702 10 місяців тому

    Msaada apelekwe soba house akaachishwe au aekwe jelly ya wendawazimu

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 Рік тому

    😭😭😭😭😭😭

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 11 місяців тому

    Na msipochukua hatua hayo alioyatamka atayafanya kweli

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 Рік тому

    Wampelek soba