MALI YA NDIMU EPISODE 1 -//MADEBE LIDAI / KELVIN MWANO/MUSSA CHUNGA/RAHMA MOMBA/KATAMBUGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 290

  • @badimakka0016
    @badimakka0016 8 місяців тому +4

    Madebe lidai is always da best.wacha kazi iendelee.wanaume runapitia masaibu hakuna wakukuhukumu ispokua mungu endelea kuibariki kazi yako

  • @EliaAlfred
    @EliaAlfred 8 місяців тому +5

    Mwenyez mungu akupe maisha malef ndug

  • @EvansOuma-nj6om
    @EvansOuma-nj6om 9 місяців тому +5

    Tunakupenda Sana madebe ...kazi nzuri love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @nyandaminziku9742
    @nyandaminziku9742 8 місяців тому +3

    Uko vizuri sana Kaka japo wanakuona Kama hufai kisa kutokaa na wanawake kwa sababu hawajui Siri iliyojificha juu ya ndoa na unaficha Siri kwa sababu ya hekima yako by nyanda minziku msanii wa nyimbo za asili Kanda ya ziwa

  • @abdulazizimohd4230
    @abdulazizimohd4230 9 місяців тому +4

    Huyu jamaa ni msanii mzuri sana kwenye kuekti muvi na kwenye ndoa pia😮

  • @FORTCO117
    @FORTCO117 8 місяців тому +2

    Kazi nzuri sana mtufatilie na sisi jaman Giryama 003 arts film's

  • @teachingtruthmission2140
    @teachingtruthmission2140 8 місяців тому +3

    Uko vizuri ......wakuache ..watu wanapenda nyimbo za mapenzi za kijinga za mayusi za diamond wakat yeye mwenyewe mapenzi yalisha mkataaa

  • @LovelyClogShoes-hw8gj
    @LovelyClogShoes-hw8gj 7 місяців тому +1

    Sema madebe Anajua Sanaa kuigiza

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 8 місяців тому +2

    Pata kitu kipya kwa madebe lidai twende kazi bwana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @cabrandybebz2468
    @cabrandybebz2468 9 місяців тому +4

    Nakukubali madebe kwa movie Kali upewe maua yako🇰🇪🇰🇪

  • @Lovernessjohnmosesloverness
    @Lovernessjohnmosesloverness 9 місяців тому +1

    🎉🎉 Hongera san kaka madebe kaz nzur kwer

  • @hussainmakota238
    @hussainmakota238 9 місяців тому +1

    Asante sana kaka niliisibir kwa hamu sana Mali ya ndimu

  • @dicostarama850
    @dicostarama850 7 місяців тому +1

    Kaka madebe biga kazi kaka wachana namaneno ya watu

  • @MrsEdwin
    @MrsEdwin 8 місяців тому

    Nakukubali kazi yako broo madebe nataman ck moja ningefanikiwa ata angalau kwenye sehemu moja wapo ya move yako kaka

  • @RuthNyongesa-me9cx
    @RuthNyongesa-me9cx 6 місяців тому +1

    Madebe much love from kenya

  • @SimoniAlex
    @SimoniAlex 9 місяців тому +4

    Me ckuping my brother from another mother a'm waiting it

  • @MbwanaNdongo
    @MbwanaNdongo 8 місяців тому +4

    Hauwezi kupendwa na wote kama pesa kaka nakkubali sana piga kazi

  • @StevenPaulo-n9c
    @StevenPaulo-n9c 7 місяців тому +1

    Iyo nyimbo Kali muwemnaiweka malakwamala nakisikia naona laha😮

  • @abdullahmapesa
    @abdullahmapesa 9 місяців тому +7

    ♨️♨️♨️♨️🇿🇦🇿🇦🇿🇦 big up sana my favorite star ⭐ MBL

  • @Nurruchisunga
    @Nurruchisunga 6 місяців тому +1

    Naombeni namim kazi ya kuigiza jaman niko vizuri

  • @RashidHassan-c5f
    @RashidHassan-c5f 8 місяців тому +1

    Kazi nzuri nduguyangu hiyo

  • @joakimhameny2866
    @joakimhameny2866 8 місяців тому +3

    Heshima madebe nakukubali

  • @Oman-nu2kc
    @Oman-nu2kc 9 місяців тому +1

    Uyu dada alieimba hii nyimbo ongera sana❤❤

  • @NaomiNaomi-z5v
    @NaomiNaomi-z5v 8 місяців тому

    Nakubal saana madebe movie zako zinamafunzo mazuri🎉🎉

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 8 місяців тому +2

    Kazi zako mzr madebe ilaa badilika kuchezea wanawake kilaa cku kuowa ukiacha unajishushia heshima yako yako kaka😢😢

    • @AmanaMdanga
      @AmanaMdanga 8 місяців тому +1

      Kwenda toa upuuz ww ujui kunyandua kama mm nampenda Sanaa Kinga kweli ww kama tunataka

  • @IrenHaji
    @IrenHaji 8 місяців тому +2

    Karibu tuongee😂😂😂😂

  • @zumlatshembwana5553
    @zumlatshembwana5553 8 місяців тому +1

    big up kazi nzuri sana

  • @BilaliAbubakai
    @BilaliAbubakai 9 місяців тому +2

    Nakubali kwa kazi zako, Amakweli hii Mali ya ndimu

    • @teedullah5708
      @teedullah5708 9 місяців тому

      Kubali kwa kazi zake lkn c kwakuleya famili

    • @louismwero7842
      @louismwero7842 9 місяців тому

      @@teedullah5708 wewe ndoa zina siri usiamini mtu

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 8 місяців тому +2

    Madebe uko vizuri kwenye uongeaji

  • @RahmaMuhammad-n2o
    @RahmaMuhammad-n2o 9 місяців тому +1

    oya weeeh miendelezo chap mali andimu tamu big up madebe

  • @michelmorisho6559
    @michelmorisho6559 9 місяців тому +3

    Unastahili kuitwa nabii mu swahili 🎉🎉

  • @BleaHussein
    @BleaHussein 9 місяців тому +2

    Mov ie kali sana

  • @RafaelZuberiNavajeni
    @RafaelZuberiNavajeni 4 місяці тому

    Razu Moz mueda Kazi zako mzito bro ... Nenda mbele Kwa mbele no stop assante obrigado

  • @innocentmanirakiza2327
    @innocentmanirakiza2327 9 місяців тому +1

    Endeleaaa #Madebe juu sana

  • @wamburamarwa6179
    @wamburamarwa6179 8 місяців тому +1

    Nakukubali Sana matebe lakini umekosea sehemu Moja tu. Kuoaoa na kuacha. Leo watoto wanakutosha acha tamaa. Ni Mimi mkurya wa msongola.

  • @protusisiaho8241
    @protusisiaho8241 8 місяців тому +1

    Mi nakubali movie zako mambo ya kibinafsi hayanihuzu..

  • @nekesaphinorah6121
    @nekesaphinorah6121 9 місяців тому +2

    Nimepata notification jana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakupenda bure madebe

  • @R4m51d3
    @R4m51d3 9 місяців тому +2

    Kaka huna kazi mbaya,Allah akujalie uzima na afya na gang yako yote mfike mbali

  • @MartineThomas-lh8qo
    @MartineThomas-lh8qo 9 місяців тому +4

    😂😂😂 kka big up sana sema sahv umetumia kibaragashia kizuri sio kama cha kwenye movie ya Inshallah

  • @SUNDAYMwakibibi-r3t
    @SUNDAYMwakibibi-r3t 8 місяців тому +1

    The only Man creativity...

  • @alimahmud1228
    @alimahmud1228 9 місяців тому +2

    Kazi nzuri sana bro madebe wewe kiboko ndio maana wana taka kukuchafua big up sana

  • @athmanbaya2272
    @athmanbaya2272 9 місяців тому +4

    In Sha Allah nd Mali ya Ndimu

  • @ShabanRashidi-g4i
    @ShabanRashidi-g4i 8 місяців тому +1

    Piga kazi madebe nakukubali

  • @AbelJuif
    @AbelJuif 7 місяців тому

    Aksante sana kwa hii ep ipo safi

  • @KuluthumuJuma-b3d
    @KuluthumuJuma-b3d 4 місяці тому

    Madebe nakukubali sanaa kaka ang ❤❤❤❤❤

  • @Ghislainramadhani
    @Ghislainramadhani 9 місяців тому +2

    Madebe bwana wayi jumaliza kazi bwana toka drc tuna kusoma vizuli sn hapa

  • @FilexNaiso
    @FilexNaiso 9 місяців тому +2

    Unatuonjesha kidogo sana madebe

  • @IssaMukucha
    @IssaMukucha 9 місяців тому

    Hacheni matusi, brother yangu Yuko fresh mno big up sana bro lidai

  • @ramadhanishabani1644
    @ramadhanishabani1644 9 місяців тому +1

    Hauna mbaya madebe big up sana

  • @benventoaloyo763
    @benventoaloyo763 8 місяців тому +1

    Kazi safi

  • @BarakaChaula-w6l
    @BarakaChaula-w6l 8 місяців тому +1

    Najua umesikia achatabia zako mbaya

  • @KambaleMakokoto-uc3ms
    @KambaleMakokoto-uc3ms 8 місяців тому +1

    filam ni bora sana

  • @mrcheustv7177
    @mrcheustv7177 8 місяців тому +2

    Jamani mambo yakifamiliya Yana Siri kubwa sikuzote usisikilize upande mmoja kwaio tusimuone madebe mbaya kwaku msikiliza chanuo

  • @johnsonjumanne
    @johnsonjumanne 9 місяців тому +2

    Makini sanaaaa

  • @saumosoro9799
    @saumosoro9799 8 місяців тому +1

    Waa madebe hapo hujafanya poa

  • @Adolfmasisoni97
    @Adolfmasisoni97 9 місяців тому +1

    Kazi nzuri kaka nataman na mm siku moja nishiriki kwenye movie zako

    • @NaifinMohamed
      @NaifinMohamed 9 місяців тому

      Jitayarishe kuwa mke wa madebr😂

  • @NeemaIssa-y4t
    @NeemaIssa-y4t 8 місяців тому +1

    Big up to NACHINGWEA LINDI.. JUMA KALANGA

  • @emmanuelnyule
    @emmanuelnyule 6 місяців тому

    naomba unibebe Madebe Lidai, mimi na kipaji

  • @Beingmimi50
    @Beingmimi50 11 днів тому

    Karibu tuongee😂😂😂

  • @TH_FILM_TANZANIA
    @TH_FILM_TANZANIA 9 місяців тому +1

    Kaka haujawahi kufeli❤❤❤

  • @SamuelKadzungu
    @SamuelKadzungu 7 місяців тому

    Nakukubali mwamba inajua sana

  • @FredyZeno
    @FredyZeno Місяць тому

    Kaka siku zoote kizuri upingwa na wanadamu. Amini nakuambia endelea kutufunza juu ya filamu zako hat aliyetuumba bado tunampinga grow up my brother

  • @AsmaHindu-fv7re
    @AsmaHindu-fv7re 9 місяців тому +7

    Duuuh wey kweli kiboko kak madebe move iko sw ila sas mmbo yk unayo yafanya kwa mke noma sn

  • @moisemusahamuli4769
    @moisemusahamuli4769 9 місяців тому +6

    Tunaimani na mali media 🇨🇩

  • @samsonelikana903
    @samsonelikana903 7 місяців тому +1

    Wadau naomba mnijb apa hv Kati ya madebe na kicheche Nan mkar

  • @AliAthman-u2b
    @AliAthman-u2b 7 місяців тому

    Keep it up my brother you have talent 😅😅😅😅

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 9 місяців тому +2

    Naisubiria ❤❤

  • @RahmaAbdallah-xo9pf
    @RahmaAbdallah-xo9pf 9 місяців тому +1

    Kwer hii
    MALI YA NDIMU💯💯💯

  • @yustomakangula2361
    @yustomakangula2361 9 місяців тому +1

    Mwanzo mzuri Nabii Mswahili

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 8 місяців тому +1

    Mashallah ❤❤

  • @KamilionDuda
    @KamilionDuda 8 місяців тому

    Amini katika mungu Kwan kuacha mwanamke hata imanizetu znaruhuxu kwan kunamitume waliwambia wano waache wanawake wasio jua wajibu wandoa yao

  • @salumumadukwa5516
    @salumumadukwa5516 9 місяців тому +1

    Eti karibu tuongeee

  • @IkramMsham
    @IkramMsham 9 місяців тому +2

    Safi sans mkuu

  • @vne_Aj
    @vne_Aj 6 місяців тому

    Watching from garissa kenya

  • @josiassaleh3253
    @josiassaleh3253 8 місяців тому +1

    Nabiii utumaliziye kwanza mdundo

  • @franceluhuwa-q9r
    @franceluhuwa-q9r 9 місяців тому +1

    Kanzi nnzuli sana madebe 💯💯💯

  • @MartinMunga-j2w
    @MartinMunga-j2w 7 місяців тому

    Good job madebe

  • @DeBeasts66
    @DeBeasts66 9 місяців тому +3

    Good song 🎵 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 MALI YA NDIMU

  • @Cmwakalobo
    @Cmwakalobo 4 місяці тому

    Madebe is the best❤❤❤❤❤❤

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 9 місяців тому

    Always Good Job Madebe...Watching from Qatar ...Wacha tufate usemayo tusifuate utendayo

  • @VIBESSTROMASHOOT
    @VIBESSTROMASHOOT 7 місяців тому +1

    Madeb usha maliza ❤❤🇳🇦

  • @kingelibarick5197
    @kingelibarick5197 8 місяців тому

    Uko vizuri kaka🎉❤

  • @KassimuMkalipa
    @KassimuMkalipa 9 місяців тому +2

    Mwanngu pesa umetish

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 9 місяців тому

    Big up Sana ❤ila tunasubiri muendelezo w mdundo pk sahii kweli😢😮

  • @JosephAbdala-vi5wp
    @JosephAbdala-vi5wp 4 місяці тому

    Nimekuona maria from keko

  • @YunusAbdallah-xi9jc
    @YunusAbdallah-xi9jc 6 місяців тому

    Chapa kazi kaka

  • @joelmadafu6021
    @joelmadafu6021 3 місяці тому

    Kazi nzuri ila tamthilia ya SHILINGI bado haijaisha ..... Mbona mwabadilisha jina eti PESA AU PENZI .......... Twataka SHILINGI jamani

  • @imrannovic1940
    @imrannovic1940 7 місяців тому

    My fav African actor

  • @AmityRajabu
    @AmityRajabu 8 місяців тому +1

    Jaman maisha yamtu hayaingilian na Kaz kama wake wenye wamejichetua mapenz achen tu

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi 8 місяців тому +1

    Madebe piga kaz hua nakubal kaz zko hata kama unaenda tofaut ktk ubinafsi wa ndoa ila mm nachoangalia mafunzo ya movie zko. Piga kaz madebe

  • @emmanueldunstan9922
    @emmanueldunstan9922 8 місяців тому

    Uyo anakuchafua msungoo uwioo

  • @ramadhanali849
    @ramadhanali849 9 місяців тому

    nzuri sana

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 9 місяців тому +2

    Wasaba7❤❤❤🇧🇮

  • @ZainaHalifa
    @ZainaHalifa 9 місяців тому

    Kazi nzuri ❤❤❤

  • @nelsonandanyi
    @nelsonandanyi 9 місяців тому +1

    Waiting

  • @LabaniNtigili
    @LabaniNtigili 8 місяців тому

    Wewe angalia movie Kama Kuna mazuri anafundisha yafuate lakini ulazimishe eti anavoigiza Basi awe hivo hivo,vp angeigiza Kama jambazi napo

  • @jemsOzil-rx4nr
    @jemsOzil-rx4nr 9 місяців тому

    Dah Akili kubwa kaka

  • @EliaDoctor
    @EliaDoctor 8 місяців тому +2

    Nyie mnangalia mov mnafatilia maisha ya msani mbn kama wat wengn akili hamna

  • @abdallahmwaiwe5398
    @abdallahmwaiwe5398 9 місяців тому +3

    Good progress keep it up brother kazi nzuri ❤❤

  • @SalumMapeko
    @SalumMapeko 9 місяців тому

    Iko vzr