Huyu Ibrah n mamake mzazi alafu huyu bibi yake ndo mamamkwe wake huyu mama ndio, maana anaona uchafu wakati wakumpea uji kwa sababu angekuwa mamake hangefanya hivi
Kerve kaka yangu Victoria na Shanayiz nawembe na Nely wakowapi ukipata shugukimpa usitupe shazamani tumewa Misss sana❤❤❤ maansha Allah nakufwatasana kutoka 🇧🇮 🇧🇮 🎉🎉🎉🎉
Uyu mwanamke wa nyuki sura mbaya kweli saa zote hana raha mm ata nashangaa aliekwa kw kaz gani hii donta TV si kuna watu walio tumewazoea mwatupea limama lishamba kweli😢
Kelvin mbona hutujibu jamani kila tukiuliza kuhusu Victoria na nerry, vai malesa na james wameenda wapi jamani mnawaleta wapya tu na kuigiza hawajui😢 jamani mrudishe hata Victoria jamani
Wanaomkubali kelvin can tuwatambue kwa like zenu hapa 🤲🙏 Wana @DONTA woteeeeee
Hello
Hey vipi penzi la mtoto wa boss mbn cku hizi mwatueka sanaa 😢
Tunaoangalia uku tukiomboleza na ajali ya ghorofa la kariakoo tujuane apa😢
Mungu akujaalie maisha marefu wewe utakayesoma hii comment sote tufike 2025 salama🙏🙏
@DONTA TV,, Hivi Vicky, Nelly, Shanizer, Vae na twin wake waliendapi??? Nawamiss kwa Channel zote!!
Ata me nashangaa aki tunaletewa wageni na wenye tumewazoea wapo😢😢😢😢😢
Na Dayana
@@AnnaTsaxra yeah
@@maryamrashid-s6 nawamiss nakwambia😢
Nashangaa wameekwa kando
Mbna uyu mama mwapenda kumpea hii character jmn.mpumuzisheni I say😢
Na kweli mwaya mmh
😂😂😂😂kweli hata mm nlkua nataka kusema lkn nae anajua kuuguuwa😂😂😂😂😂kama kweli vile😊
@BintmohamedNasiri Au atakua ni mgonjwa ukweli🤔God forbid
Ata nashangaa ak
Hii move yataka kuharibu jina sasa haileti shangwe kabisa yaani haiko tamu haieleweki ata
Jamani nauliza ni heshima ile yenye ibrah anafanyia mama mkwe🤔 alafu bibi ake nae kumnywesha mamake uji anaona uchafu, mamaako!😢😢😢😢
Huyu Ibrah n mamake mzazi alafu huyu bibi yake ndo mamamkwe wake huyu mama ndio, maana anaona uchafu wakati wakumpea uji kwa sababu angekuwa mamake hangefanya hivi
Natamanii kila move ni muone kelvini na loveness but so mbaya Niko pamoja sanaa na donta family 🎉🎉🎉
Tena mwatukera sana kwa kuwatoa kina vicky,shinaizer sjui mwaelewa ile hapitite ilikua
Baanae
Aii mbna mamii umetoka kule umekuja huku.Kwenye Movie ya Before I meet you.Naulikua uko vizuri kule.
Derick anajua sana
Team strong leo npeni maua yangu😂💪💪💪💪❤❤
Kerve kaka yangu Victoria na Shanayiz nawembe na Nely wakowapi ukipata shugukimpa usitupe shazamani tumewa Misss sana❤❤❤ maansha Allah nakufwatasana kutoka 🇧🇮 🇧🇮 🎉🎉🎉🎉
Nawapenda sana famila ya donta❤❤
Wanaomumis victoria gonga like hapa
Amepotelea wap naye na kina maula...wembe nellly...shanizer
Uyu mwanamke wa nyuki sura mbaya kweli saa zote hana raha mm ata nashangaa aliekwa kw kaz gani hii donta TV si kuna watu walio tumewazoea mwatupea limama lishamba kweli😢
Jaman huyu mama mpemzishen Kila mara yeye mgonjwa tuu next aigize kama mke wa bosi jaman😂
😂 😂😂😂😂bt anacheza vzuri 😂
😂😂😂😂nilitaka kuongea ilo
Uwenda ndo wameona anapatiya😂😂😂
Ye na uji 😅😅😅😅😅
Kelvin mbona hutujibu jamani kila tukiuliza kuhusu Victoria na nerry, vai malesa na james wameenda wapi jamani mnawaleta wapya tu na kuigiza hawajui😢 jamani mrudishe hata Victoria jamani
Mwanamke mubaya kweli Mungu akusame😢
Naona mnataka huyo mama aumwe kikweli kweli na alale kitandan sasa hebu mtafutieni seni nzuri jamani na yy awe ni mtu wa furaha bs😂😂😂
Mpuguzieni mama mateso jamani
Mnakatisha tamaa ya kufuatilia series zenu 😢
Kusema ukweli nyuki sikukujuwa kabla kwa ukubwa huo ila tokuya ujiunge ktk donta nyota yako imengaa zaidi
Kazi safi sana 🎉🎉🎉❤
Huna mke😮hapo niaondoke
Jaman kina Victoria nelly shanaiza siwaon naona tu wengine vp kuhusu Mr jems
Wedada unavyofananasurayako namoyowakonihivyohivyo laaa
Huyu mama anoecti mgonja anaweza hiyo karakta
Nyuki huo mkono unaupeleka wapi huko😂😂😂
Mbona uyu yeye mu kila movie ni mgonjwa mnampa sujet yengine jamani
Huy mama kila movie n mgonjwa hachok kunywa ujiii? Mbadilishien bs jmn au ni mgonjwa kweli .
Asante donta kwa kuniamini
Yani wew haujabadilika tangu tuko primary unapend sanaa anyway hongera ❤❤🎉
@ asante ima
sasamnapo fanya vinanda hivo mpaka mnatupasuwa ngoma za masikio tunasikia kitu gani
❤❤❤❤❤ l love donta tv all team 🎉🎉
Uyu mama mpunzishen sasa jaman move nyingi ana ect mgonjwa😂😂 mweken kwenye secta nyingine
Angalau awe ata muuza genge😂😂
@Kadzomudzo-h7o kabisa yani😂😂
Like jmn Leo hata 1
Wa kwanza mimi nipeni zangu
Mi sipendi venye huyu mama anaigiza akiwa mgonjwa kila wakati, anafanya movie iboo😂😂
Umeona na ww Kila movie maskini mgonjwa
Wa kwanza apa kutoka South Africa 🇿🇦 ❤
@@Giftbugalama we ni liongo hauko South Africa
@JastFinancial02 nikutumiye location?
Hawa sasa bola tu wamalize tu sasa wala ainogi
Beautiful movie 🍿 watching from Nairobi Kenya
Wakwanza leo like zangu please
Umepata❤
Tina pokea maua 🎉🎉🎉🎉 kutoka Kenya
Beautiful movie 🍿 watching from Nairobi Kenya 1:36
Mmbna mnalala mnanusa nguo chafu jamn si mngesogesa ilo Tenga pemben
Wenzio waangalia move ww waangalia matenga ya nguo chafu 😂
@chunaabdullah1333 🤣🤣🤣
Jmn nyuki anavyotafuna km mchwa😂😂
Hii imetoka Moja tu
Mara paap mama mkwe sio mgonjwa anapima upendo wamkwe tobaaaa😂😂😂
Jamani uyu mama Kila move yeye tu mgonjwa jamani
😂 kumbe hata wewe umeona
@@DianaNelima-i5indo part yake ambaa😂😂😂
Umeona kama mimi😅😅😅
Kwel Kila muv anaumwa usije kuw anaumwa kwel😁😬
@Aisharajab-g2v 🤣
Uyu Si Tina na mama Diana ??
❤❤❤❤❤❤❤
🖐️🙏🙏
❤❤❤
🎉
🎉🎉🎉❤❤
🎉🎉🎉❤❤❤