BEFORE I MEET YOU 💔 { 1 }

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 414

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq Місяць тому +36

    Mm ata siombi like ila naomba mungu atuvushe salama 2024tuifikie 2025salama na kwa amani kbs wale tulioko mbali na manyumbani kwetu mungu azidi kuzilinda familia zetu atimae tukutane tena kwa pamoja ❤❤❤🎉🎉🎉🎉 💯 Ilove you donta family

    • @AgnessMagere
      @AgnessMagere 28 днів тому +1

      Amina sana MUNGU ni mwema kila wakati

    • @Jdshhd-rr3zy
      @Jdshhd-rr3zy 18 днів тому +1

      Amiiiin thuma amina yarabi 🤲🤲🤲

  • @NasrahMsiagi
    @NasrahMsiagi Місяць тому +18

    Kuna kitu cha kujifunza ila nawashauri mnaosema Love ameharibika usoni mara adhoofika
    Hivi kila siku utakuwa na furaha kwenye maisha au kila mmoja angeambiwa awe live tuone sura mbona tutakimbiana mana wengine mpo kama ganda la fenesi kwa chunusi, alafu hamjui tyuu
    Mafuta tunayopaka yanaweza kukuharibu uso endapo yakiwa yamekaa sana stoo miaka miwili au mitatu 🎉🎉
    Nawapendaa sana na wanawake tupendane

  • @ElinaPoul-c5e
    @ElinaPoul-c5e День тому +1

    Me naona nafasi aloigizia loveness haimpendezei ata kdg anii 😢😢😢😢😢

  • @MalkaNinik
    @MalkaNinik Місяць тому +21

    Amina mdogo wangu hii kauli ya wanaume wote nimbwa ebu iache maana wewe pekeyako kwenye hii donta tv ndiwe wapenda kuitumia

    • @naomikisaba5785
      @naomikisaba5785 2 дні тому

      Na anamdomo kmmk zake ndio maana hapendwagi😂😂😂😂😂

  • @THOMASMATIKA
    @THOMASMATIKA 6 днів тому +2

    Kwaiyo #Suzi nawewe baba hako mbwa ahaha hiii nchi ngumu sanan😂😂😂😂😂

  • @GraceMahoji
    @GraceMahoji Місяць тому +8

    Love 💕 kpenz unaumwa nn mbna uko hvyojaman cjakuzoea hvyo ila napenda muigize na kev pamoja kama wapenz ila nawapenda sana jaman❤❤❤

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 13 днів тому +2

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮

  • @HislyHusna
    @HislyHusna Місяць тому +16

    Tunataka mtoto waboss bwana mwevipi

  • @AnnahMuchele
    @AnnahMuchele Місяць тому +2

    Amina huwezi act kama hujafunga kitambaa kichwani

  • @Hurumankotagu
    @Hurumankotagu 26 днів тому +2

    Utawadanganya watoto wa 2000 loveness sio akina mama wa dhamani

  • @AllyMwazoa
    @AllyMwazoa Місяць тому +2

    Nyuma ya kila mtu muovu kuna historia yenye kusikitisha.Ahsante sana Loveness kwa funzo hili jema

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j Місяць тому +2

    Ila Amina nyie mauwa yako lakini🎉🎉🎉🎉 ❤❤big up Donta tv👏👏👏

  • @MariusNSENGIYUMVA-h8w
    @MariusNSENGIYUMVA-h8w Місяць тому +2

    Hooooo jamani msichana huyo mwanafunzi ameuza mwili😮😮

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania Місяць тому +3

    Love uko na body nzur usikubali kunenepa mentenia hapo hapo ❤😊

  • @YusufMpemba
    @YusufMpemba Місяць тому +3

    Tukiangalia mtoto wa boc tunaangalia na hii burudan mwanzo mwixho good job my brother 🎉

  • @RebeckAunt
    @RebeckAunt Місяць тому +3

    Loveness iyo kazi aikupendezi.achia Tina na Amina😂😂

  • @JohnJoshua-g5k
    @JohnJoshua-g5k Місяць тому +4

    kazi nzuri sana aisiii Donta TV mna idea nzuri saaanaa,,,, ila amina bana kila day ni mkwamisha mipango ya wenzie tuuu...

  • @HafsaEyes
    @HafsaEyes Місяць тому +11

    Namwelewa sana uyu kaka anatufaa sana kwny familia ya donta kev usimuache mnaendana sn

  • @agathashayo8907
    @agathashayo8907 Місяць тому +3

    Kwa hiyo Amina hajalipwa😂😂😂😂

  • @JeanIradukunda-qw6eb
    @JeanIradukunda-qw6eb Місяць тому +4

    Jamani lovenes akuna munayeendana kama siyo Kelvin achana nahao wengine❤❤❤

  • @CatherineKirugumiCathy
    @CatherineKirugumiCathy Місяць тому +5

    Loveness ❤❤ habibi kazi nzuri mama aky nakupenda bure

  • @BintiM-di1wm
    @BintiM-di1wm Місяць тому +9

    Eee mungu niepushe na hizi vitu ,usinijalie yarabi loveness wangu kawa hawara 😢😢😂😂 nawapenda kzi nzr sana 🇰🇪🇰🇪Amina katapeliwa na Kelvin nae kimbwanga

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 Місяць тому

      sio Kwel ni mchezo tu hawafanyi kweli na Nyie ni somo tuu na sio kuwa wanafnya noo

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 Місяць тому +2

      Jarufu Nakupenda sna ujaliwe Maisha mema Allah Akupe Unacho hitaji katika moyo Wako

  • @SabihaSabiha-k3s
    @SabihaSabiha-k3s 22 дні тому

    Jamani amina nampenda buree kanavongea nakapenda ubarikiwe San🌸🍀🌹🌻

  • @kevy254
    @kevy254 11 годин тому

    Yani Kelvin kumbe mie nasubiria kijana wa bosi kumbe uko busy huku ❤❤, kazi nzuri kijana mpambanaji❤

  • @MemelisaPotii
    @MemelisaPotii Місяць тому +5

    Mungu akulinde my brother ❤❤

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l Місяць тому +2

    Jamani Amina umekopwa 😅😅😅acha hio sio kazi mzuri fanya kazi ya nyumba

  • @ashamrisho1322
    @ashamrisho1322 Місяць тому +2

    Mnajua sana kuiggizaa jaman nawaona mkifika mbaliiii ❤❤❤

  • @WilliamJulius-y4e
    @WilliamJulius-y4e Місяць тому +6

    loveness mbn kwenye hii movie umekonda sana halafu kama afya yako haiko sawa tofaut na tulivy kuzoea kweny movie zilizopita nieleze tafadhar

  • @mwanamisimwatsuma2707
    @mwanamisimwatsuma2707 Місяць тому +12

    Mm hufurahi na hupendezewa na loveness akipendana na kaka kevi ❤❤😊

  • @GraceVISAMAYANI-gj1xm
    @GraceVISAMAYANI-gj1xm Місяць тому +6

    Karibu Kunambi, tumekuona tena

  • @ashamrisho1322
    @ashamrisho1322 Місяць тому +5

    Ila amina bhana ety ukalale na kile kizee 😂😂🎉

  • @stellamwakyusa7929
    @stellamwakyusa7929 22 дні тому

    Loveness wew jarufu anakusubiri na anakupenda sana sana. Achana na hizo kazi bana

  • @IBRAHIMOFFICIAL-k1c
    @IBRAHIMOFFICIAL-k1c Місяць тому +3

    Jamaa anajua kuliko brawn

  • @IDDISAIDI-j3y
    @IDDISAIDI-j3y 7 днів тому

    Jarufu safi sana

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 Місяць тому +1

    Amina hanaga jema kwa Loveness Wivu tu

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 21 годину тому

      Ndio mjue malafiki hamna 😂😂😂

  • @GraceKitsao-e1p
    @GraceKitsao-e1p Місяць тому +1

    Waaaaah?loveness kweli hii part aliocheza c nzuri

  • @JosephKibawa-s4h
    @JosephKibawa-s4h 29 днів тому

    Noma sanaaaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 18 днів тому

    kwakweli donta family imebarikiwa sana kwa kazi bora wanayofanya ,naomba mungu awashikamanishe msitengane

  • @marthesifa-5803
    @marthesifa-5803 Місяць тому +5

    Loveness wangu siyo kwaubaya nivitugani vimekutoka usoni mana sijakuzoweya hivo napenda kukuona usowako ukiwamlaini ❤❤❤

    • @safronkiwo9220
      @safronkiwo9220 23 дні тому

      Nadhani hiyo ni make up kwa ajili ya script anayocheza ondoweni shaka

  • @CalvniHaule-gl7tp
    @CalvniHaule-gl7tp Місяць тому +7

    Namuona Amina dada aliy barikiw nyashii 😊😊😊

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z Місяць тому

    Hongeleni Sana kwa kazi nzur sanaa 🎉🎉❤❤❤

  • @maimunamselemo8427
    @maimunamselemo8427 Місяць тому

    Kazi zenu nzuri sana zina hamasisha kuangalia

  • @thierryhenrytv
    @thierryhenrytv Місяць тому

    Amina umeshamuiba loveness kwa ninavokujwa wewe unaloho,mbaya kwa loveness

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 21 день тому

    Munaweza kwakweri❤👌🇧🇮🇸🇦🥰

  • @KishaMtawa-w9k
    @KishaMtawa-w9k 19 днів тому

    Nimefurai kumuona kunambi bado victory nimemiss

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 Місяць тому +1

    Et Hizi Nguo unainama unainuka na Hizi nguo😂😂😂😂😂 Unapikajee kaaah Mama Jamn

  • @Najmaissah-r7m
    @Najmaissah-r7m Місяць тому

    Gwegwe umenifurahisha sana wallah 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 21 день тому

    Mwezi Mungu akupe mume mwema Loveness uwachane na kazi iyo🇧🇮🇸🇦

  • @AndreaRichard-j6d
    @AndreaRichard-j6d 23 дні тому +1

    Kevi broo unaongeaga point xana imean true hisia zixizid akili

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Місяць тому

    Love nes sijapenda maamuzi yako love nes uliyoacha kwenda kwa jalufu ukenda kwa huyo umekubali msala upitao mama

  • @mejubagu6825
    @mejubagu6825 Місяць тому

    Mama yuwataka kwenda hakapaone kazini❤❤❤❤❤❤❤

  • @vionathomas1686
    @vionathomas1686 Місяць тому +1

    Mwenzenu lovensss labda ananyesha nyinyi mnamsumbua sijui mafuta mnyesho ukiisha atakuwa sawa😂

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 21 день тому

    Jama amehanguka kwenye penz 😂😂😂👌🥰🇧🇮🇸🇦

  • @saumJuma-q3e
    @saumJuma-q3e Місяць тому +2

    Jaruf nakupenda❤

  • @aishaaisha2224
    @aishaaisha2224 29 днів тому

    Nice ❤❤❤jmn kunambi miss you umepotea kweli

  • @SaidiSaidimasudi
    @SaidiSaidimasudi 10 днів тому

    Aminabuwanamutazakuwanzalibayakamanini😅😅😅uwaatchewaindjoi❤❤❤

  • @HappyDaudi-ub4hw
    @HappyDaudi-ub4hw Місяць тому +16

    Loveness kipenzi umepaka nn kimekuharibu usoni mama angu 😢😢😢please usitumie tena hicho ulichotumia safar hii,,, ulikua soft hadi raha usitumie tena ulichotumia nakupenda kipenzi ❤

  • @TightnotChome-fn2jy
    @TightnotChome-fn2jy Місяць тому +1

    Wachaa weeh😂😂❤❤

  • @AndreaRichard-j6d
    @AndreaRichard-j6d 23 дні тому

    Duuu waja hamna dogo love kawa mbaya love kawa mbaya kama nyie wazuli

  • @ramadhanmbudo1596
    @ramadhanmbudo1596 Місяць тому

    Kazi nzuri Mr Jarufu I appreciate you all nice work

  • @ShadiaIdrissa-r2f
    @ShadiaIdrissa-r2f Місяць тому +1

    Safi sana muvi nzuri

  • @ChambuaJunior
    @ChambuaJunior Місяць тому +1

    Loveness vipi mamy ndo unavunja ungo au mbna vipere au unauzito

  • @BrainyKamundala
    @BrainyKamundala 29 днів тому +1

    We like donta tv sooooooo.
    Big up sana loveness

  • @MusalimkhamisKhamis-i9o
    @MusalimkhamisKhamis-i9o Місяць тому +1

    Amina wanaume ni mbwa wanawake ninani au hamujioni mana ndio maneno yenu

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik Місяць тому

      Kweli mimi nimwanamke lakini hii kauli ya wanaume nimaubwa naichukia sana na huyu amin yuwapenda sana

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Місяць тому +1

    Romantic ya love nes na kelvin inakuwa ya open kuliko ya love na wengine

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 21 день тому

    Kelvin napend unavyo igiza❤🥰🇸🇦🇧🇮👌💯❤️

  • @DernolLeonard
    @DernolLeonard 16 днів тому

    Mko vizuri kwenye uandaaji wa content

  • @ThierryNduwayesu
    @ThierryNduwayesu Місяць тому

    My friend nakupenda sana kwa ushauli wako

  • @BekaKatana
    @BekaKatana 20 днів тому

    Bon we n kijana mzuri aki

  • @StephenNchagwa
    @StephenNchagwa Місяць тому +1

    kazi nzuri xana

  • @MbokoKaluta
    @MbokoKaluta 17 днів тому

    lovenes 😂😂😂😂😢😂😂😂ninalia sana juyako

  • @RukiaShomary
    @RukiaShomary Місяць тому +1

    Jarufu anakupenda love

  • @jubaidamiss2409
    @jubaidamiss2409 Місяць тому +1

    Next ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @RebbyShebby
    @RebbyShebby Місяць тому +1

    Jaman nilimmiss kunambi ❤️

  • @samsonjuma694
    @samsonjuma694 Місяць тому

    watching from kenya tumalizieni hyo movie nyengne kwanza mnatuacha kwa dilemma

  • @Akilimbilicomedy77
    @Akilimbilicomedy77 Місяць тому +1

    Dah love ness umetisha sana ❤❤❤❤

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 Місяць тому

    🎉❤❤❤🎉😊mabo ayo Ndiyo Mwalimu wajarufu😂risa anyu 😂wawo amina😂

  • @maryamrashid-s6
    @maryamrashid-s6 Місяць тому

    Wow nmekumiss sana kunambi

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l Місяць тому +6

    Jamani lovenes yule mwanaume nikama anataka kukuoa wewe akutoe kwenye hio hali ya kudanga nawanaume

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Місяць тому +4

    Sasa amina umesema humjui sasa mbona ulimuita kwa jina baada kumuona tu tena alikuwa kwa mbali

    • @nurumasoud6947
      @nurumasoud6947 19 днів тому

      Sasa si wamechati watakuwa wameukizana majina mahiiii😅

  • @SophiaJoseph-n4o
    @SophiaJoseph-n4o Місяць тому +3

    Lisa na jarufu wanaendana sisemi kama haendani na kelvin lkin jarufu Yuko vizuri

  • @PatrickSivi
    @PatrickSivi 25 днів тому

    kazi jema 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SylviaGoodluck
    @SylviaGoodluck Місяць тому +1

    Nimefrahi kumwona mwanangu sana kunambe kivuruge

  • @SimonNdoro
    @SimonNdoro 26 днів тому

    Mtoto wa boss kelvin bwana mnatuboesha sasa

  • @NdyamukamaWitness
    @NdyamukamaWitness Місяць тому +1

    Napenda kazi yenu jamani

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys Місяць тому +1

    Waaah hii nayo nikali kelvin amekua mkopi😅😂

  • @mwatummselem2411
    @mwatummselem2411 Місяць тому

    Kushajichubuwa Sasa unazani urembo huo ulikuwa mzuri sana lavinesi

  • @EvaNyenza-ox7kh
    @EvaNyenza-ox7kh Місяць тому

    Loveness Inatuumiza rafiki, kweli mabinti tunachangoto

  • @aishaaisha1485
    @aishaaisha1485 Місяць тому +8

    Jaman amina kakopwa na kev😂ila kev mikopo ulianza lin baba wwe 😅😅😅😅😅

  • @GraceMahoji
    @GraceMahoji Місяць тому

    Nakupenda san love wang na kaka kev

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje Місяць тому

    Nzuri 🎉🎉❤❤

  • @marxk1186
    @marxk1186 Місяць тому

    Yan kunambi kila kitu ni kufosi tu 😁😁😁😁😁

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l Місяць тому +1

    Pole kwa changamoto lovenes ila heri ukafanye kazi ya nyumba kuliko hio

  • @Mrpasakaonline70
    @Mrpasakaonline70 Місяць тому +3

    Move kali tena hii like ZENU kwa MTUNZI wetu🎉🎉🎉🎉

  • @SelestineOkech
    @SelestineOkech Місяць тому

    Kwa kweli haya ndio yanayofanyika kwa hii gency

  • @jellysazaina8491
    @jellysazaina8491 Місяць тому

    Kaz nzur

  • @farhiyamohamudosman7699
    @farhiyamohamudosman7699 Місяць тому +4

    Love hii kazi umwachie Amina tafuta kazi nyingine 😢😢

  • @ButoyiThierryve
    @ButoyiThierryve Місяць тому

    Nizuli sana niipenda

  • @AminaMohamed-y7p
    @AminaMohamed-y7p Місяць тому

    Unanikumbusha love 😢😢😢😢😢

  • @CentrineMusivale
    @CentrineMusivale Місяць тому +9

    wa kwanza like tano tuuu