STEP FATHER | 08 | Love Story ❤️

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 333

  • @BrigitteMelly
    @BrigitteMelly Місяць тому +96

    ila munachelewesha sanaaaah kusema kweli wanao amini gonga like 😂😂😂😂

  • @aishakimaro2795
    @aishakimaro2795 Місяць тому +130

    Kama ulikua unaisubiri hii kama mm tujuane japo kwa like

    • @FatimaOman-wb8tn
      @FatimaOman-wb8tn Місяць тому +5

      We sema watk like2😂😂😂😂

    • @RabiaRajab-ro8iy
      @RabiaRajab-ro8iy Місяць тому +2

      Sio kwa ubaya but hizi likes zinasaidia nn😢

    • @SyproseOkumu
      @SyproseOkumu Місяць тому

      ​@@RabiaRajab-ro8iyWatujibu wanaotaka likes

    • @FawzaRobert
      @FawzaRobert Місяць тому

      😂 Namimi twasubiria wote😂

    • @LucknessPeter
      @LucknessPeter Місяць тому

      mnaoomba like mnazipeleka wap jaman ili nasisi tuziombe

  • @JanethMwacha
    @JanethMwacha Місяць тому +21

    Yaan nimefurah imetoka 🤭😂wana donta tv msicheleweshe ya 36 movie yetu pendwa😍🥰

  • @DanielManuelMissa
    @DanielManuelMissa Місяць тому +24

    Umenikata ulimi nisiseme eti niwe bubu, maumifu ya mapenzi siyepime Yana niyasibu.naifosi furahaaa moyo kachaaa ndege umepaaaaa umeniacha mejeraaa.aibu aibu utaiweka wapi sura yako. wewe rafiki mwenye wimbo uhuuuuu naupenda sana ukiwepo wezekano nipatie jina ya wimbo like ata 5.

    • @Malesa255..1
      @Malesa255..1 Місяць тому +5

      Hatujautoa😢

    • @DanielManuelMissa
      @DanielManuelMissa Місяць тому

      @Malesa255..1 wimbo utamu sana lakini duuu ,malesa tuko pamoja.

    • @LoiceKatana-ci1tx
      @LoiceKatana-ci1tx Місяць тому

      ​@@Malesa255..1utoeni aki ni mzuri sana

    • @LoiceKatana-ci1tx
      @LoiceKatana-ci1tx Місяць тому

      Benja hongera sana, nimefurahi sana unavomilisha mtoto na anacheka yaani ni furaha🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

    • @DelvinChepkorir-t1d
      @DelvinChepkorir-t1d Місяць тому

      Nakwambia nami huu wimbo nimeupenda sana❤

  • @kanezereclaudine9244
    @kanezereclaudine9244 Місяць тому +7

    Naitwa Kanezere claudine kutoka Burundi Donta nawapenda saaaaana ❤❤❤ nafurahia movie zenu nawapenda tena tena sana ❤❤❤❤❤

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 Місяць тому +15

    Hii nayo mwachelewasha saaana en way love from 🇰🇪🇸🇦🥰

  • @BrigitteMelly
    @BrigitteMelly Місяць тому +10

    Wa 4 Léo from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tujuwane kwenye like apo wa TZ mutupe like jamani tunawasapoti sanaaaah❤❤❤❤❤🤝🤝🤝🤝🤝👊👊👊👊👊👊👊👊 kula chuma icho

  • @Mwajuma
    @Mwajuma Місяць тому +29

    Mpaka nimesahau ilipo ishia😢 mnachelewa sana🎉🎉😊

  • @gloryngumbao6906
    @gloryngumbao6906 Місяць тому +20

    Sijawahi ku coment ila imebidi leo yaaan mmechelewesha sana hii epc jibidisheni bc angalau

    • @user-sf6zi8ho6p
      @user-sf6zi8ho6p Місяць тому

      Kweli hawa jamaa wanachelewa sana hila movie zao ni zenye mafunzo makubwa sana

  • @Chepchirchir-pj5me
    @Chepchirchir-pj5me Місяць тому +4

    Hongera kaka kelvin unamlea mwanao vyema.... Kila la heri.

  • @olicej7837
    @olicej7837 Місяць тому +7

    Mbona nilikuwa siioni siku nyingi 😢 Asante

  • @aishadakio7237
    @aishadakio7237 Місяць тому +3

    Jamani tamu hadi tamu tena❤❤❤❤

  • @SamuelLemburis
    @SamuelLemburis Місяць тому +2

    Safi sana kelvin uko sawa usmpe mknambi uwo mtoto we

  • @Seranjoroge9244
    @Seranjoroge9244 Місяць тому +5

    Small UA-camrs, tupitianeni hapa pia sisi tugrow pamoja ❤❤❤❤

  • @carolynekinanu3315
    @carolynekinanu3315 Місяць тому +3

    Wewe nyuki uwa unanibamba sana❤❤❤

  • @ClareMajuma
    @ClareMajuma Місяць тому +2

    Napenda huo wimbo jamani 😥😊😊

  • @InosensiaNchimbi-k2g
    @InosensiaNchimbi-k2g Місяць тому +11

    Jmn hii movie ni tam lkn mnachelewesha San mnakera😭😭kam unakubaliana na mm gonga like hap

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r Місяць тому +1

    Jmn.. movie yetu nzuri Sana ila mwaichelewesha mnoo ila nawapenda Sana ❤❤❤

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j Місяць тому +3

    Kunambi kimekuramba kaka 🤣🤣🤣🤣❤❤🎉🎉🎉

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg Місяць тому +5

    Naomben huo wimbo wapendwa

  • @Priscillar-w4l
    @Priscillar-w4l Місяць тому +1

    Mwachelewesha sana bana ebu skieni haya tunayowaomba tafadhali😢,muwe mnatuletea mapema ipasavyo nawapenda bure tu❤❤❤

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j Місяць тому +1

    Kwakweli nawapenda wana Donta ❤❤❤❤oyeeeeeeeh big up kelvin n team yako napenda sana filamu zenu Zina mafunzo sanaa🎉🎉🎉❤❤❤

  • @AminaKhatibu-o2w
    @AminaKhatibu-o2w Місяць тому +2

    Mara amina mara janeti msiwe mnabadilisha majina kama mnasahau

  • @malikahiribae
    @malikahiribae Місяць тому +6

    Safi sana movie imeanza kunoga kweli kelvin ana ubora sana katika hii filamu napenda sana msimamo wako

  • @EunicemouriceMourice-qe3rw
    @EunicemouriceMourice-qe3rw Місяць тому +3

    Ilaaaaa nyieee munacheleweshaa sanaa ahdìii tusahawuu

  • @GerlaceEehbaba
    @GerlaceEehbaba Місяць тому +2

    Kiukweli Kelvin munachelewesha hiii movie saaaana bana dah

  • @tobiaschirwa9364
    @tobiaschirwa9364 Місяць тому +1

    Huo wimbo nimeupenda kiukweli ❤❤❤

  • @JeanJacquesmotivation-hn6tn
    @JeanJacquesmotivation-hn6tn Місяць тому +2

    Kumbe hii nayo bado inatoka jamani donta muwe mna harakisha basi tulikua tumeshaa sahau kama iyi movie bado ipo hata tulipo ishia hatupa kumbuki tena jamani muwe mnatuletea movie kwa wakati sio baada ya siku kumi njoo mnatoa hi serie hi moja ivo sio poa hata hamu ya filamu inakua imeisha kwa sababu matukio yaliopita yanasahaulika 😢😢😢😢

  • @EliudJafeth-gh4ub
    @EliudJafeth-gh4ub Місяць тому +2

    Jamn mbn mnaichelewesha sana hii move

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr Місяць тому +2

    Kunambi umeyakanyaga leo 😂 siri zako zote inje denis amewasikia 😂😂😂pole sana

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 Місяць тому +1

    Hakika kelvin na timu yake wamekuwa walimu Bora sana kwetu ,mungu awabariki sana

  • @MwaliSuleih
    @MwaliSuleih Місяць тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤ movie inazid kubamba mazur yanakuja zaid naon ila Tina jamn 😂😂😂😂😂😂😂 kila movie unabalaa tuu bt kw mpenzi wake tina ak huyu kaka ako vizur xn kw kila movie anacheza part yake vipoa xn donta tv muendlee kukuza vipaji vya wengine Masha'Allah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @franktodory
    @franktodory Місяць тому +2

    hiii movie mnaichelewesha sana kiukweli

  • @MiriamJohn-e3z
    @MiriamJohn-e3z Місяць тому +2

    jina la wimbo naomba

  • @AminaNgumba
    @AminaNgumba Місяць тому +2

    Hii nyimb ni mzur mnooo jmn❤

  • @mgayahassani8377
    @mgayahassani8377 Місяць тому +1

    wimbo mnautoa lini maana muvi huwa mnaichelewesha tutoleeni hata hiyo nyimbo sasa

  • @SelemanRamadhan-wf3zx
    @SelemanRamadhan-wf3zx Місяць тому +1

    Wow ❤ nakubali sana kazi yako na siwezi kukosa kutazama thank you my brother 🙏 ❤️ 😘 ♥️

  • @SfathSfath-jr2by
    @SfathSfath-jr2by Місяць тому +2

    @ila jaman aka kamuvi mh nakapenda sana kama tuko pamoja nahtaj like zenu from 🇨🇳

  • @RoseMaere-l1d
    @RoseMaere-l1d Місяць тому +1

    Ila macho ya kunambi 🤭🤭

  • @Ekidormarthà
    @Ekidormarthà Місяць тому +2

    Wow.. nataka 9 haraka pliz

  • @EdenAlam-e9t
    @EdenAlam-e9t Місяць тому

    Jaman kazi nzuri sana nimeipenda hii movie inafundisha.

  • @aminandurya
    @aminandurya Місяць тому

    Jmn nmewamss ivyooo
    Nakupenda sana Kelvin 🎉🎉🎉🎉 kz nzuri

  • @saidamwavuo9926
    @saidamwavuo9926 Місяць тому +1

    Hivi nyuki hajioni kama ni mtu mzima namchukia tangia alivyo vuruga family ya kelvin kwenye movie ya mtoto wa bos

  • @PaulKivatiro
    @PaulKivatiro Місяць тому

    Jamani mnachelewesha sana kwann

  • @NekesaPhilis-kk6dj
    @NekesaPhilis-kk6dj Місяць тому +2

    Kazi nzuri ila naomba mnieleze mwenye aliimba huo wimbo plz

  • @JastinZakayo
    @JastinZakayo Місяць тому +1

    Kunambi umeumbuka aibu aibu utaiweka wapi sura yako

  • @dhahabudeche926
    @dhahabudeche926 Місяць тому

    Kwakweli hii movie nitamu sana aki ❤❤❤🎉🎉🎉 chukueni maua yenu

  • @HusinaJuma-n9b
    @HusinaJuma-n9b Місяць тому +2

    Jamani nisaidieni hiyo nyimbo inaitwaje

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 Місяць тому

    Amina unapoteza😢😢ndoa yako kwasababu😢😢ya mtt ww hutaki kuzaa utauponza maana Kelvin huyo mtt si wake ww

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo Місяць тому

    Kazi nzuri wana donta 🎉❤

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula Місяць тому

    Mnachelewa sana ila nashukuru ❤❤❤

  • @FikiriZowo
    @FikiriZowo 29 днів тому

    Mungu awabaliki mzidi kufanya vizul nawapenda sn❤

  • @FatmaMohammed-o4q
    @FatmaMohammed-o4q Місяць тому

    Mnachelewa kutoa still maleta kpande kmoja kwel jaman any way good job ❤❤❤

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Місяць тому

    Mnachelewa na n fupi hivyo any way keep it up team donta❤❤❤❤❤

  • @MwaliSuleih
    @MwaliSuleih Місяць тому

    Nakupenda xan jaruf ❤❤❤❤❤upo vizur Masha'Allah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m Місяць тому

    Nimesubiri sana hii move🎉🎉🎉❤❤

  • @KahindiNyevu
    @KahindiNyevu Місяць тому

    Kelvin hongera kwa kua baba bora kwa mtoto mwenye sio damu yako

  • @Piliseleman-v6r
    @Piliseleman-v6r Місяць тому

    Move nzur jaman msicheleweshe🎉😂❤

  • @MaryamAbraham-r4q
    @MaryamAbraham-r4q Місяць тому

    Yaani ilikuwa naisubiri Kwa hamu sana 😂😂😂

  • @YaaakBora
    @YaaakBora 15 днів тому

    Kelvin umenifurahisha kumwambia gunambi asije mwambia kama si baba ake mzazi

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura Місяць тому

    Kazi nzuri mashaulllh 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 12 днів тому

    ❤🎉❤❤🎉❤mukubambi na beja
    Iko ambiya maneno saiyi ❤❤🎉❤

  • @SwabrinaFarida
    @SwabrinaFarida Місяць тому +1

    Kiukweli mnachelewa sana😊

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 12 днів тому

    Ukweli unamwambiya janeti ❤❤🎉😂 kaka yang kusu benja na data

  • @FelisterPita
    @FelisterPita 18 днів тому

    Jaman mnachelewesha mpaka tunaxahau tulikoanzia

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 Місяць тому

    Ahaaaa,,,,brown umeumbuka na ujinga wako

  • @JoyceYohana-on2gp
    @JoyceYohana-on2gp Місяць тому +1

    wakwanza leo❤❤❤❤❤🎉

  • @AminaMwamgodza
    @AminaMwamgodza Місяць тому

    Jamani nimegindua kitu hapa huyu tary ndie mama mzazi wa huyu mtoto❤ kama wakubaliana na hili pitia hapa tujuane

  • @SophiaNyamvula
    @SophiaNyamvula Місяць тому

    Congratulations wa2 wangu ❤❤❤

  • @BARAKAPETRO-p5b
    @BARAKAPETRO-p5b 18 днів тому

    Jaman msiwe mnachelewesha hivo mtatunyima burudan

  • @RitaNgichabe-k1s
    @RitaNgichabe-k1s Місяць тому

    Mm nataka wimbo nmeupenda mno❤❤

  • @AwadhMaulid-g3i
    @AwadhMaulid-g3i Місяць тому

    Kimemlamba kunambi😂😂😂but mnachelewesha sana mno

  • @kanduvulashukuru
    @kanduvulashukuru 5 днів тому

    Vizuri kelvin unabysara sana nimeipenda ile

  • @ElizaNdjila
    @ElizaNdjila Місяць тому

    Mmechelewa sana kweli tunawapenda

  • @SchadrackNibaruta
    @SchadrackNibaruta Місяць тому

    Wanatukawiza sana yaani nimefurahi kuiona

  • @BarakaSospeter-cw2wv
    @BarakaSospeter-cw2wv Місяць тому +2

    Wa kwanza tz

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c Місяць тому

    🎉🎉❤ tuletee kwa mpangilio km mtt wa boss tujue tupo episode yangapi

  • @AnnickyHatungimana
    @AnnickyHatungimana Місяць тому

    Jamani iyi movie inachelewa Sana kutoka

  • @AbilahiBandu-i9g
    @AbilahiBandu-i9g Місяць тому

    Mumetucheleweshea Jmn ila ongeren kwa Kaz mzuri ❤

  • @QueenJane-x3m
    @QueenJane-x3m Місяць тому +1

    Mnachelewa sana

  • @Guyfleury17
    @Guyfleury17 Місяць тому

    Jamani nilikua nimesahua this movie mbona munachelewesha sana? Eliane lily kutoka 🇧🇮

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 Місяць тому +1

    Courage ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SarahMugisha-bh8yu
    @SarahMugisha-bh8yu Місяць тому

    Burundi tunatoa🎉🎉🎉🎉kwa donta

  • @CarolinekaladzeJambo
    @CarolinekaladzeJambo Місяць тому

    Nlikua namsahau na Amina kua upo ndan ya hiyo group ya kina tina

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 Місяць тому

    Kazi nzur sanaa❤

  • @LazaroZabron
    @LazaroZabron Місяць тому

    Mtoto anaimba wimbo WA zuchu chapati 🎉🎉

  • @SamouOman
    @SamouOman Місяць тому

    Kazi nzur mungu awaongoze daima

  • @MissFreeda
    @MissFreeda Місяць тому

    Tunawaomba hii mov isichelew sana jmni. Kz nzri

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys Місяць тому +1

    Waaah kumeumana uku🥸🥲😅

  • @MARYNAFULA-d6o
    @MARYNAFULA-d6o 28 днів тому

    Congratulations 🎉🎉🎉🎉🔥 🔥 joman nataka mpenzi wa tz 🇰🇪 🇸🇦

  • @virudesigner6590
    @virudesigner6590 Місяць тому

    Mnazingua sana aisee na story haijashiba vzr

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 Місяць тому

    munatuchanganya tuna sahau tuliachia wapi but tupo tusonge tu 🤝🚶‍♀️❤

  • @CeciliaCeciliamuparose-zt6tx
    @CeciliaCeciliamuparose-zt6tx Місяць тому

    Shda munachelewesha sana anyway naipenda sana❤❤❤

  • @omanbid7794
    @omanbid7794 Місяць тому

    Move Ni nzuri sana lakini mnachelewesha mno paka tunasahau kabisa

  • @zahraali5113
    @zahraali5113 Місяць тому

    Daaa nyie mnachelewa sana jamani niliwamis sana❤❤❤

  • @clariszawadi2010
    @clariszawadi2010 Місяць тому

    Msitucheleshee episode nawaaminia sana❤

  • @DamasiLangoye-t5y
    @DamasiLangoye-t5y Місяць тому

    Inachelewa sana jaman

  • @QweenNickson
    @QweenNickson Місяць тому

    Daaah yani nimeisubiri hadi nimechokaaaa😢ila jitahidini muitoe kwa wakati.❤

  • @PauloLUCAS-qh3dw
    @PauloLUCAS-qh3dw 26 днів тому

    Kelvin eeeh!!! Yaani wewe unipa funzo kubwa yaani saivi umenifanya mwanangu nimpende zaidi kingine ata watoto wamajilana wote nawawona kama wakwangu

  • @AnoldAlbano
    @AnoldAlbano 18 днів тому

    Nyimbo ya upendo