Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Wangap washa mjua kama muuwaji ni mariyam😂😂 tujuwane
Me nilijua muda kua mariamu ndo anamchezea baba yake
Nimejua nimewai kumbe wa 42 leo aya tusalimiane team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi nawapenda mjuwe wapambanaji🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Bhailam na chakapu cheers 🍻 👏 ✌
😂😂😂😂kwa mara y kwanza kumuona chakapu akilia na alivo mafia mkorofi ua instead y kuwaonea huruma napasua cheko😂😂😂😂
Jamani lakini hii tamsilia ni mzuri sana,,na kama we unakubali kama mimi ninavokubali gonga like❤❤🎉🎉
anaesoma comment hii Mungu ampe afya njema amin
@@shiraz-tv ameeni
Amiin InshaAllah
Amen
Amin
Amina
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumekucha bhailam kazi unayoo na docment nahisi mariam ndo akonazo ndomana huwaanaua kila mhusika baba yake anamtuma
😂😂😂😂😂😂nani amegudua uwa muwaji ni Naomi jinzi alivio kimbia baanda ya kutupa rasasi😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
Bhailam eti haukuniambia😂😂😂😂lioga sna walai
Kazi nzuri bro bhailam mariam Mzee simba Big up sana kazi nzuri
Jaman bonge la movie ❤❤❤
Wanaume wa hovyo nyie hadi mnanitoa machozi bhailam na dullah masikio yenu 😂😂😂😂😂😂 anyway kazi nzr sana🎉🎉🎉🎉
Hiv huy Mariam mna muona vle ametega sikio vzur akijua kifo cha bhailam kiko mkonon mwake😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Sio powa lakini shetani hamjaimaliza bado na my family ivi Tena jambazi kweli
Acha bax mbona shetani ilishaisha ndugu yangu
@AugustinhoManyangaunitedboetsez3 season 2
Bailamu nae kapitiwa na nyimbo ya zuchu eti siji😅😅😅
Mzee Hamza simuoni akanishekesha kidogo😂😂😂😂
Eeh Ndio uzuli 😂😂
Yani Kam ulikuwepo huku ujambaz huku tunachek kidg
Ndo uzuli nikuchane😂
The killer is mariam weny waliona kama mimi naombeni like
Nimeona namna akikimbia ni yeye😂😂
Maliamu jabasi kubwa niyeye anaua
Ni yy
Na pia ni yy ako na documents
Ni yy habadiliki
Mariam hakiki ni mrembo kweli so beautiful girl 🥰💞
Nakubali sana bhailam hujawahi kutuangusha❤🎉
Nyumbani kwa stev😂😂😂
Bhailam kazi nzuri sana❤❤❤❤🎉🎉🎉
ila muuwaji anakimwili kifupi kma mariamu nanguo zake za kijani kma adui wa spiderman😂😂😂😂mariamu ye kasema anauwa paaah paaah😑😑🙌🏾🙌🏾
Maskini 😰 bhailam nakuonea huruma lkn usife moyo utafanikiwa...
Ila kweli bahilam jasiri ingekuwa mim hata hiyo glass ningeangusha
kazi nzuri
Kazi ndzuri sana😊
Mzee simba umepigaje hapo😂😂😂..Ashey kumal😂
Daaah eti mapenzi yenyewe kama ni haya si basi tuachane😂😂😂😂😂 kumbe simba ni muoga kiasi hiki ❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakubali kaka
Hamzaaaaaaaaaaaa uko wap hamzaaaaaaaaaaaa asada nd uzuli
Hapo inatakiwa muuaji awe mwingine hapo ndo itanoga awe kama mr x
Congratulations 🎉🎉🎉🎉❤❤❤ bhailam🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakukubali sana kaka. 🎉🎉🎉
Waaah marimbi anambio😅😅😅
Achekesha mno ila pia anatia uruma😢😢😢😢😢😢😢😢
Ninachokiomba muendeleze na mtoto wa sheikhe muimalize basi, ili tuwafuatilie vizuri
Mtoto ya shekhe yaendelea ep 28
Kama kweli masoud anapambania mali za mke wake kwanini mariam asimsupport badala yake anawaua hao watu
Huyu masudi mbona anasura ya kutisha😂😂😂
Naomi jamani cijamuona namkubali ❤
Nafwatilia kutoka kenya🇰🇪sauti ongeza
lesson learned mwanamke anayekupenda kweli hawez kuficha lolote hongera
Daah apo kwa bhailam na rafiki yke mmeua sanaa🎉🎉🎉
Maskini BHAILAM utafanya nini endapo utagunduwa kwamba MARIAM ndo killer mwenyewe 🙆🙆🤦 from Congo 🇨🇩🇨🇩🎉🎉
Mariam the killer mbon simuon Naomy Maan izi kaz za ujambazi anaziweza mariam zake ni za kulia ndo anaweza but nawapnd wote😙😗
Kweli muna jitahidi nawa kubali ki noma, Elise from Congo drc
😂😂😂bhailam 😂😂😂
Bailam maliziaga movie zako basi😏😏
Maliam ndo jambazi mwenyew
Maliyamu.ndie muuwaji kama amujaona picha hapo
Ira kwanini hawajaweka.naomi.jamani.
Kama siyo mariyamu atakuwa muzehe simba
jaman chakavu umelia leo😂😂😂ailavyuuuu
Nakuelewa sana bhailam Una unyama mwingi sana❤❤❤❤❤❤
Kaz nzir
Tayari mariam kafanyaa yake inaoneka hawa mafia nao wanataka mali zamwezao kitu mtoto wamafia hakitaki
Vyema hongela kwa muv nzul
Bailam nashukuru kujua uwepo wa baba yako clam vevo mwambie kicheche ahache kiburii mwambie arudi akafufuliwe mahana amekata moto atumwoni😅😅
Number one kwenye comment niachie lire yangu
Sifi kizembe Bhailam 😂😂😂😂😂
Bairam😂😂😂😂 hamna mtu kufa kizembe wakati unahanya
Huyo boss wa gres sasa at haendani bora mngemuwek naomi
Bhailam Kwa Code mmetisha mnang'aa sana
Ndo uzuri yupo wapi jamani roho itulie 😂😂😂😂
Nampenda chakapu jamani. Msela nondo
😂😂😂bhailam ameanza kugawa urithi wake mapema
😂😂😂😂
😂😂😂
Bailam ameniliza
hongeren sanaaaa❤❤❤❤❤❤
Bhailam unamutihani❤❤
Kwa mara ya kwanza bhailam anakuwa muoga muoga
Wakwanza toka Kenya naombeni like zenu nikapike uji😅😅
Daah dingi msela af mafia noma sana
Ao simba ni kibogoyo😂😂😂
This is the best movie I've ever seen 😂😂❤
Bhairam💪💪💪💪💪
Mariam is a killer good bby girl
Sasa Grace namuona anavuta kweli kweli kama shabiki tu wala siyo kwa ajili anaigiza.
Kazi safi bwana Bhailam
Hongeleni sanaa kwa kazi nzur sanaa 🎉❤❤😂😂
Yaan we mtoto yatima mapenzi yatakuja kukuua
Wamwisho nipen like zangu
Tuma mfululizo kaka bhailam, unajua kuigiza 🎉
Bhailam 😂😂😂😂😂😂😅😅eti hawezi kufa kizembe😂😂😂
Kazi mzuri
Wa kwanza pia leo
Bailam acha uoga kulia kama mtoto kaombe msaa kwa kina kp Mzee likoma na shei shei walah hao wangekua kwa hoo movie ingefana zaidi kwa uchunguz ni maoni yangu kama mtazamaji nikiwa kenya
Uyo demu mwenye nyewel kundu ana fit poa kwenye ujambaz
😂😂😂😂❤bhairam ww 😅😅😅
JAMBAZI NI MAILAMU ANAEMUWAHI BABA YAKE KWENYE KAZI ZAKE
Big up brother
Hongereni
😂😂😂Bhailam ndo muoga hivyo 😅😅
Uko sahihi
Nzuri sana tunawapenda sana ❤🇹🇿🎥
Nice
Movie ni nzurii sanaa❤
🎉🎉🎉
Kazi nzr❤❤🎉
Congregation 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wa 21 from omani move nzuri mno
Bailam 😂😂
😂😂Bailamu mimi naomba nirithi pazia
muuwajiiiiii ni mwanawe mwenyewe alomzaaaa nna uhakika mimi nishausoma mchezooo
Chakavuu na bhailam😂😂😂😂😂😂

ila muuwaji anakimwili kifupi kma mariamu nanguo zake za kijani kma adui wa spiderman😂😂😂😂
mariamu ye kasema anauwa paaah paaah😑😑🙌🏾🙌🏾