Nakumbuka zamani ukiangalia move za kijambazi lzm uvae Makoti ndio unaonekana hatari lkn kwa mipamba na masoud imekua tofauti imenoga sana ujambazi sio adi ujioneshe kwa Makoti ongereni sana kazi nzuri
Naomy angekua hapo kikosi mafia kingenoga sana 😂😂😂😂😂😂😂 ila haya maisha ya mariam na babayake mbona mm nisingeyaweza mana hata babayangu anaijua akili yanguu yani akili ya mwanae
Duuuu kaxi kama hixii ziwe huku warabuni utumwaaa hadi mtoto wamiaka kumi anakuendeshaa ndo hayaa ya mxee simba na huyu masood tena alimchukulia mke wake loo yaumizaa kweli
Wangapi tunamini Mariam ndo jambazi mkono juu🙋
Wasiompenda bhailamu imekula kwao, thanks for a good series,
Tupinge mauaji na utekaji Tanzania.
🎉🎉🎉kazi nzuri anaye amini mariyam ndo muuwaji like hapa
Jambazi ni mtt wa bos ambae ni maliam sema bonge la sers kali sana
Nimekuwa wa kwanza kazi nzr sana Bhailam❤🎉
Acheni ujinga like like kitu gani achane ushamba wakuomba like fala wy
@@NiskaJohnKizonzaJohn hizi like wanapelekanga wapi amani pesa wanapata
Jmn mariam ndie jambz like mnaoamin ilo
Atamm nilisema
Kanauwa watu hovyo hovyo 😊😊😊😊
Naomi ama Mariam
@@teddyrukia6369 Mie toka inaanza nilishajua kuwa ni yeye
Tushajw mapema kama ndo maryam
Naomba hii series isiishie njiani simba plz maana humu umeupiga mwingiiiiii sana❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢
Bailam we ni actor mzuri endelea kufanya vizuri
Mnanitia hasira wajameni kaah yan mnakazi yakuomba like tu badala mtoe maoni ju ya kazi walofanya 😢
Kazi nzuri bahilam
1 ohoo jmn good job namb moj
Kazi nzuri 🎉🎉
Nafasi ya Mariam angecheza Naomi ingekua poa San maan anamuonekano wa kijambazi pia
Huyo jambazi ni Naomi ama Marium ama mnaonaje
mariamu mwili wa mariamu kabisaa
@@nyamiziramadhani4232 na Naomi yuko wali?
Mambo vipi jamani napenda mno muvi yenu naitwa grande PiQui kutoka Moçambique wilaia ya nangade ❤🎉
Kazi nzur sana 😊
Iyi jaman ni noma❤ bahilam mungu aku jalie nehema kabisa❤❤❤🎉🎉🎉
Ukigusa comment yangu nakutongoza
@@chrismamesofficiel1996 wacha
Haya nasubir
Njoo nakusubiri
@@Ukhtysahu weka namba zako Sasa wa2 2malze alafu we mwenyew mzur
@@Ukhtysahu nipe number tuyamalize
Safi Mariam umesuka umependeza bhana
Wakwanzaa🎉❤
Nzuri sana tunawapenda sana ❤🇹🇿🎥 nawakubali sana
This is first love From Mozambique 🇲🇿❤💞
Hii kali 🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri bro bhailam mariam big up sana
Nzuri sana ❤❤❤❤
wa kumi natak lik na mim 😂😂😂❤❤❤🎉🎉
Namuona mipamba anakalibia kufa maana kapotewa na kuitwa kijakazi wa baba ongera sana mipamba masoud chakapu na maliamu kazi nzurii sana hii🎉🎉🎉❤
No 1
Umemaliza movie mapema kaka
Move nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nic
Nakumbuka zamani ukiangalia move za kijambazi lzm uvae Makoti ndio unaonekana hatari lkn kwa mipamba na masoud imekua tofauti imenoga sana ujambazi sio adi ujioneshe kwa Makoti ongereni sana kazi nzuri
Tuko wengi sana nakupenda bhailam
Hongereni sana kazi zuri 🎉🎉🎉
Mzee Simba ameenda kupanga nn na Bhailam maana wameondoka kwa wakati mmoja
😂😂😂😂
😂😂😂
From Congo 🇨🇩🇨🇩🎉🎉
Nyaraka anazo maryam jamani big up❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wanakubali jalamba la MR MASUDI TIA LIKE HAPA😂😂😂😂😂
Much❤ bro from🇰🇪🇰🇪Kenya🎉
Namuona jackmipamba kwenye nafasi ya ujambazi amekaa vizuri aswa kwenye kuongea chukueni 🎉🎉🎉 yenu❤
da mamu nakupenda sana
Bailamu yupowapi naom kazi nzr sana
Bailam My family na mtoto wa shekhe malizia basi jmn😢
Naona kijakazi mipamba anakalibia kufa unamfatilia muuwaji mariam 😂😂😂 ila kazi nzuri sana mipamba masoud bhailam na mariam ongereni sana🎉❤
nawa kuba lisana
🎉🎉🎉🎉🎉
Leo nimewahi
Mupewe mauwa yenu 🌹🌹🌹🌺🌺
Uko vizuri mayram kwa kuuzuia mkono wa Issa
Woooow
Nzuli sanaaaaa ❤❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂😂kidabaka wa babaangu ugemkosa mariyam ugeuliwa too
Nice movie ❤❤❤🎉
Kazi nzuri hongereni sana 🎉🎉🎉🎉 ila wadada wa humu mmejichubua, midomo mieusi hio!😮
😅 midomo mieusi kama kunguru
@@MwanakomboChakwe haki ya Mungu
😂😂😂
Ipo vizuli sana
Mariam alikuwa anamfahamu kbsaa uwafatiliwa😂kibaraka wa bbngu twende😂😂
Safi Sana kaka phailam🎉🎉❤
Mariamu na baba Ake kazi ipoooo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂haha amepatikana mariam anaakili nyingi hata kuliko huyu kijakazi na babayake
Safi sana
Nampenda mariam
Kaz nzur❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Leo sjachelewa bro 🙏 naomba like zangu 🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉
Kazi nzuri
Kiukweli mko vizur sana ongereni Hamic ongera kwa kaz mzuri
Nice sana guys
Waaah Mariam ni mafya😅😅
Mafia ni Mariam 😂😂😂
Good idea 👍
Bairam enjo n jojo wako wapi? Nimemmiss sana enjo❤❤❤❤
Angel ako kwa mtoto wa shekhe jojo ndie kapotea
@@aishaomar2287 mlete na huku
Jojo yupo kwa chado master.
Next pleaz
🇧🇮🇧🇮🎁Bhailam is Good actor
Nani kagundua kweli muuaji ni mariam
Ila masud et kalibu tena
Wakwanza mm
Bro wewe ni bingwa una pana chakula kwa wakati Elise from Congo drc
Bahilam, mbone story zinafanana
Inafanana na ipi kwani?
Naomy angekua hapo kikosi mafia kingenoga sana 😂😂😂😂😂😂😂 ila haya maisha ya mariam na babayake mbona mm nisingeyaweza mana hata babayangu anaijua akili yanguu yani akili ya mwanae
Maliamu unawachanganya wauwe wote ao
Jojo mulimpeleka wapi nyie team bailam
Nshammiss pia🎉😊
Yupo kwa Chado😊
Next ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jackmipamba umeacha kulia lia umekuja kwenywe ujambazi 😂😂 ila umetisha sana na uyo maliamu kashajua unamfatilia kuanae makini atakuuwa.⁷
Nmkubal san mariam yan anacheza nafas yke vzur
Brother iih filamu ninzuri inashinda mtoto wa shehk
🤘
Mm niko pamoja na wewe
bhailam anajitahd kutunga move nzr
☝🏽
Ndio kama ukimuua mamayangu nikaona siwezi mpendaaaa.baba kama huyuuuu
Maliam anakimbia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Masud anajuwaa banah
😮😮😮😮
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Natafuta demu wa kuoa kama upo njoo
Sasa umesema demu lekenisha kauli utapata
@@safiniasinyangwe4359 😆😆😆😆😆😆😆anatafta demu wa kupiga huyo
@@tausramadan7024😂😂😂
Fasi ya Janette Inge kuwa nahomi
Njoo niwape likes
Duuuu kaxi kama hixii ziwe huku warabuni utumwaaa hadi mtoto wamiaka kumi anakuendeshaa ndo hayaa ya mxee simba na huyu masood tena alimchukulia mke wake loo yaumizaa kweli
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Muuaji ni MARIAM