Hongera Solomon👏👏 Kwa uthubutu huu nimezidi kuamini kwamba Mungu anaheshimu hatua moja ya uthubutu mbele zake, no matter the external factors, no matter what can hinder u, ukithubutu anakushika na mnafanya pamoja, nimekumbuka siku tumeonana🙌🙌Mungu anaweza yote📌📌🔨🔨
Haleluyaaa, wimbo ni mzuri mno. Barikiwa sana Mtumishi. Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu zaidi. Kupitia wimbo huu Roho za wengi zikapone. Amina
Kipawa ni kama kito vha thsmani machoni pake yeye alienacho... Na kila kigeukapo hufanikiwa... Ubarikiwe mtumishi wa Mungu... Utunzwe na kukua chininya mbawa za kristo... Tuombeeni na sisi kizazi chetu... Tuishi tukimpendeza Mungu... Kwa kusifu na kuabudu siku zote.... Kwani kusifu kumewapasa wanyoofu na wanyenyekevu wa moyo... Ikiwa Mungu anaketi katikati ya Sifa bas na aketi katika difa zetu... Lihimidiwe na liinuliwe jina la Bwana... Ubarikiwe Mtumishi... Na uinuliwe zaidi..... Aimen.....
It's so powerful and uplifting. This song is a reminder of the strength and comfort that faith can bring. Thank you for sharing this beautiful song with the world!
YESU yu malangoni kurudi, alisema myaonapo hayo changamkeni, kwa kuwa wokovu wenu upo karibu. Ni maombi yangu wimbo huu ukamuinue mtu mmoja atakayesikiliza, KUMBUKA .... ATAKAPORUDI MWANA WA ADAMU ATAIONA IMANI DUNIANI ???? Nasikia sautii, ikisema nami kwa Upolee..
Hakika tunahudumiwa sana na wimbo huu ni maombi yetu kila atakae sikia wimbo asikie sauti ya Mungu ikisema ndani yake ikamguse moyo wake na nguvu ya urejesho irejeee ndani yake pia tumaini lilojema la kristo lijae ndani yake Wabariikiwe wote waliohusika kuandaa wimbo huu kuna kitu kikubwa sana kinakwenda kumzalia Mungu matunda kupitia huduma hiii......... @ Solomon aridy # sauti ya SIFA ZAKE we all love you❤❤
Very powerful song ❤️🌟barikiwe mara dufu 🤲
Mubarikiwe watoto wangu munatujenga kipitia huu wimbo
Nasikia sauti MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU
Rudi umwamini Mungu.
Ahadi ya Mungu ni kweli na hakika. Mungu azidi kuwainua.
Mbarikiwe sana🎉🎉❤
Amaizing❤❤❤❤
🎉🎉🎉
Such a blessing
Aseeeeeeeeee😭😭
Hongera Solomon👏👏
Kwa uthubutu huu nimezidi kuamini kwamba Mungu anaheshimu hatua moja ya uthubutu mbele zake, no matter the external factors, no matter what can hinder u, ukithubutu anakushika na mnafanya pamoja, nimekumbuka siku tumeonana🙌🙌Mungu anaweza yote📌📌🔨🔨
Nilisahau kukwambia, suti pia ilibamba😊😊👏👏
😂@@neemamsuya238
What a song! What a message! Tukumbuke kumtwika Yesu mahangaiko yetu. Barikiwa mtumishi wa Mungu, Solomon
😇😇❤️
HALELUYAAAAAA,. HAKIKA WIMBO HUU UNAKWENDA KUREJESHA IMANI NA TUMAINI KWA KWA MUNGU.. UBARIKIWE SANA MTU WA .UNGU
Imani pekee inatoshaa... Nice song
Kweli hatuna sababu ya kufadhaika. Tukiamini, UTUKUFU ni mkubwa. Mungu akubariki Mtumishi Solomon
Haleluyaaa, wimbo ni mzuri mno. Barikiwa sana Mtumishi. Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu zaidi.
Kupitia wimbo huu Roho za wengi zikapone. Amina
Utukufu Kwa Mungu 🙌
Ni vile hatuamini. Laiti tu kiasi chetu cha imani kingeongezeka.
Laiti tuuuuu
MUNGU tufundishe kukuamini barikiwa sana mtumishi wa MUNGU, MUNGU kakutumia vema
Kipawa ni kama kito vha thsmani machoni pake yeye alienacho... Na kila kigeukapo hufanikiwa... Ubarikiwe mtumishi wa Mungu... Utunzwe na kukua chininya mbawa za kristo... Tuombeeni na sisi kizazi chetu... Tuishi tukimpendeza Mungu... Kwa kusifu na kuabudu siku zote.... Kwani kusifu kumewapasa wanyoofu na wanyenyekevu wa moyo... Ikiwa Mungu anaketi katikati ya Sifa bas na aketi katika difa zetu... Lihimidiwe na liinuliwe jina la Bwana... Ubarikiwe Mtumishi... Na uinuliwe zaidi..... Aimen.....
Amen Wimbo mzuri sana songa mbele mtumishi wa Mungu
Feeling blessed😊
Kwa nini kufadhaika ??? Yatupasa kumuamini MUNGU Kwa asilimia 100🙌🙌🔥
Imani kwa Yesu inatoshaa kwa majibu ya mafadhaiko yote.
Amen, may God stand with in the growth of your service
I'm proud of you bro.
Najiona fahari kuwahi kuhudumu na mtu mkuu kama wewe
Umebarikiwa kaka
Jambo muhimu na la maana kabisa ni KUMUAMINI YESU 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jambo la maana kabisaa🔥🔥🔥
Mungu wa Abraham ,isaka na Yakobo azidi kukuongeza katika huduma Yako
IMANI ni kitu pekeee tunatakiwa kuweka kwa Mungu....yeye anarudi barikiwa sana watumishi kwa ujumbe mzur
It's so powerful and uplifting. This song is a reminder of the strength and comfort that faith can bring. Thank you for sharing this beautiful song with the world!
YESU yu malangoni kurudi, alisema myaonapo hayo changamkeni, kwa kuwa wokovu wenu upo karibu.
Ni maombi yangu wimbo huu ukamuinue mtu mmoja atakayesikiliza, KUMBUKA .... ATAKAPORUDI MWANA WA ADAMU ATAIONA IMANI DUNIANI ????
Nasikia sautii, ikisema nami kwa Upolee..
Aimen. Aimen.
Ameniiii Hakik Imaniii yetu ikwakee hakuna lisiloshindikana kwakee. Ubarikieweee sana na nyimbo nzurii utukufu yotee ni kwa Mungu🙏🔥🔥🔥
Hakika tunahudumiwa sana na wimbo huu ni maombi yetu kila atakae sikia wimbo asikie sauti ya Mungu ikisema ndani yake ikamguse moyo wake na nguvu ya urejesho irejeee ndani yake pia tumaini lilojema la kristo lijae ndani yake
Wabariikiwe wote waliohusika kuandaa wimbo huu kuna kitu kikubwa sana kinakwenda kumzalia Mungu matunda kupitia huduma hiii......... @ Solomon aridy # sauti ya SIFA ZAKE we all love you❤❤
🙏🙏🙏 AMEN
Congratulations.
Nice song...More grace.
Turudii na kumwamini MUNGU ...nice song
Hatutakiwi kukata tamaa tumwamini Mungu🎤hakika nimebarikiwa Sana🙏Mungu awainue zaidiii
Turud tumwamini tusiwe na mashaka tena
Nice song🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉😊😊
Amen. Mungu awabariki.
Inuliwa mtumishi
MUNGU akubariki sana Kwa wimbo mzuri
Music mzurii wimbo mzurii hongera sanaaa
🙏🙏🙏🙏 Amina
I'm Glorifying Almighty God for this Great Song 🙏🙏🙏🙏
Hakika saut ya MUNGU itasikika...❤
Sijaona solomon aliye empty kabisa kwenye swala la music congratulations
Powerful song 🔥🔥🔥
Bwana Yesu ajitukuze kwenye huduma hii
Powerful song
Powerful presence of God
❤❤❤❤ powerful
I trust you God, I leave it your hands.
Mungu akubariki mno kaka. Ufanikiwe zaidi na zaidi
Marvelous 😊
Am blessed with this song
nice song
Glory to almighty God 🙏
Wonderful song, Good Message ,God Bless You
Kazi nzurii
Be blessed all there 💪
Amen 🎉🎉🎉
Glory to God
Ameni Be blessed brother Solomon
Abundant blessings fall up on you guys 🔥🔥🔥
Amen 🙏
Amen
🎉🎉🎉
GLORY TO THE ALMIGHT GOD
❤❤❤❤
Powerful.
Utukufu Kwa Mungu 🙌
Sijaona solomon aliye empty kabisa kwenye swala la music congratulations
Amen amen
❤❤
Sijaona solomon aliye empty kabisa kwenye swala la music congratulations
Utukufu Kwa Mungu 🙌
❤❤❤