MWENYE UWEZO SISI TWAKUTAMBUA, MANUKATO, UWE NGUZO YA MOTO AND TUKO HAPA KWAAJILI YAKO; MIN DANYBLES
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Welcome to Heaven Sound online tv Kenya, is not in vain for you choosing this channel. Surely Jehova God is going to do a mighty wonders in your in ur life,
Contact the following number for the following SERVICES;
_Piano training
_Tutorial Videos
_Vocal coaching
_Recording to our studio HSP
_Mixing and Mastering production class
or even you can send your support via M_Pesa number +254759829257.
God bless you, Shalom. NI NEEMA SONG BY THE LATE FANUEL SEDEKIA COVER
😭😭am really praying Soo hard Mungu anipee hiki kipiwa for true and for good, nothing pleases like warship our heavenly father like this in spirit and truth 🤲🤲🤲😭😭😭🙏🙏
Nakuobea uwe namiaka migi brother yani unanipariki sana be blessed in Jesus name 🙏
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu
Mungu akuinue zaidi unafariji waliopoteza tumaini wanarejea kumtumaini mungu
Uyu kijana ananifanya kunyenyekea sana sijaokoka mm ni mbaya sana ata nimelata tamaa mniombee.😢
Hallelujah hallelujah, inbox we pray together Jesus still loves you my brother 🙏🙏🙏
Receive the Holy spirit in JN. Karibu sana kwenye utamu wa yesu
Sijaokoka but nimesikia ii washiping😢
May God's restoring power touch you right away in Jesus name 🎉🎉
Mungu akurehemu na akukomboe,akuondolee tamaa na mambo ya dunia,maana neno linasema vyote vitapita lakini ufalme wa Mungu utadumu milele,Bwana akutakase kwa Damu ya Yesu kristo na akufungue uone ukuu wa Mungu kwa maisha yako,Amen
Shika keyboard bro hiyo ndio tumekujua nayo Aki💥🔥🔥💪
Naomba ukombozi kutomba Kwa Mungu huyu ndugu Mungu azidi kumuinua na nyimbo nyingi anatubariki sana
King David........🤚🤚🤚🤚 you know what you want....
Hakika ni Bora kumtegemea mungu
Barikiwa mtumishi wa mungu
Nipo USA nyimbo hizi huwa Zina nibariki sana
Asante sana ndugu yangu nyimbo zako hunibless tu sana be blessed nakusikiza nikiwa Saudi Arabia abha
Nipo.mbeya.huu.wimboamini.yesu.akuponye.barikiwa,saana
Mungu akubariki Kwa kazi nzuri nyimbo zako zinanibariki Sana
I love this 🧎😭😭 More grace Man of God hivi ndivyo tutakavyo Muabudu Mungu wetu Milele isiyo na Mwisho 😭😭😭🙏
Amen amen Hallelujah dear
You always make my day happier.. huwa nasikiza worship zko kila saa hata kama nmevunjika moyo .. huwa najihisi mm ni wamaana. ubarikiwe sana.
Mungu wambingun awainue zaid nabarikiwa mno na nyimbo zenu
That one manukato song..❤❤🎉🎉🙏🙏
Mungu afanye kitu cha ajabu katika huduma Yako
I don't understand the language but only the tone that make me feel so blessed
Hallelujah hallelujah
@@MINISTERDANYBLESSglory to God your such a blessing to me .
Mungu akubariki Sana, akulinde miaka zote,, hakuna nyimbo zinazonibariki ila hizi ulizoimba👏👏
I FEEL HOLY SPIRIT KWA GUZO
Kila nikisikiza hii wimbo hunitia nguvu na pia hunikumbusha mengi hakika mungu akutue nguvu uendelee kupraise ,Amen
Nyimbo nzr Sana Mungu akuinue sana
Matters of the heart ....need the heart....brother you are a blessing
Worship! Worship! Glory to the King of Kings
Tuko hapa kwa ajili yako
Wimbo huu ukawe kama manuto😭😭😭😭😭
Karibu kwanyimbo za lenjili Asubu hiyaleo tubarikiweni pamojaa
Sifa na utukufu kwa mwenyezi Mungu
Blessings my brother ❤❤
Mungu yupo Kwa ajili yetu hui wimbo ni nguzo katika maisha yetu😅😅😅😅
Oooh God...l love you Jesus....I run to you God you are my rock....nakutambua bwana. I rest at you coz I know you can do exceedingly more than I can imagine and I now rest assured in your blessed assurance.....Bless your servant Deny as he continue ministering to us your people. May you annoit him more and more. May you meet desires of his heart in Jesus name. More and More grace Deny. Am highly blessed beyond All.✨✨✨🙏🙏🙏🙏
Hallelujah hallelujah hallelujah Glory be to God alone, He will do it indeed🙏🙏🙏
Hope in Christ Jesus 💝💐
Beautiful ❤️ congratulations 🎉
This is what true worship is ........feel blessed brother 😇
Mbarikiwe sana❤❤❤from Eldoret kenya
Umeweka wimbo kinywani mwangu ili Mimi nikuabudu Baba
Sijaokoka but naomba kuokoka Kupitia ii song, pray me😢😢
Inbox shalom
Hallelujah Mungu akubariki karibu nyumbani mwa baba yangu mna raha tele na uzima wa milele
Amen
Hongera uneigundua siri karibu sana kwenye amani ya kweli
Yesu akutetendee ipasavyo
❤Mungu akubariki Sana man of God be a gracious person in the world who is the best man of God
Your worship covers always draws me closer to God , ubarikiwe zaidi na mungu azidi kukuinua uimbe kwa roho na kweli
Mimi nafikanga mwisho wa maisha but nikisikia huu wimbo roho yangu inatulia God bless u bro
MAY GOD UPLIFT YOU MORE OUR MINISTER DANYBLESS
Amen
1❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Simple presentation but powerful. You are anointed bro. Guard it in prayer and Word. God bless you.
🎉❤ MUNGU awapiganie daima 🎉
This man of God has been blessing me with the powerful worship,i feel so humble before the lord😢😢😢
Amen amen
,i😊 Jin RR right now am I on RR right 😊
Tenda mema mungu.. moto wa yesu huwe moto zaidi ya siku ya leo 🙏🙏🙏
Sifa zifike kitini pako 🙏🙏🙏
Waiting nakupend bure na Mungu azidi kutumikia 🙏🙏🙌🙌🙏🙏
Ameen
Ameen and Ameen Our God is powerful pale mwanadamu unaona umeshindwa Mungu hua anatoa njia i thanks God kwa umbali huu ambao amenifikisha
I failed to download your songs what can I do
Be blesed son of God,not many young as you can worship like this it's the Lord's doings.barikiwa sana na Mungu akuinue sana.
We thank God for having a worshiper like you.May the lord enlarge your territory for always blessing us your songs are fully filled with the power of the holy ghost
Tutengenezee ya "Nina siri naye yesu" song
Kweli ni mwenye uwezo,,,Mwenyezi Mungu...
Mungu akuongezee kibali na kipaji uzidi kuinuliwa milele
Love this
All glory and honour be to jehova God ua blessing to people here.
Much love from 🇺🇸. My playlist in the house, going to work etc. You are blessed 🙏
Very blessing and touching worship song ifeel blessed averytime I hear this song
Mungu anaitwa mme wa wajane akutie nguvu sana,akupe faraja pamoja na familia yako
Hakika we are drowning close to our real almighty God.Thanks Jesus for this servant of you.
Ndugu jirani kaniweka taharuki za kuogofisha moyo lakini mungu ni mwenye uwezo, nimeyashinda majaribu yote.
MAY THE ALMIGHTY GOD BLESS THE WORKS OF YOUR HANDS
Uwe nguzo ya moto mbele ya watoto wangu ,familia yangu na mm baba ndo maadui wakija wasiniweze.Ooh hallelujah
This worship song really blessed my heart..be blessed alot brother
Ninapo sikiza nyimbo hizi jamani,,,zinanitiya nguvu na kunifanya niwe na ujasizi,,,nakujipa imani ipo siku nitayaona mazuri😭😭😭.ubarikiwe sana kijana🙏🙏usiwahi pungukiwa na chochote.
You always bless my heart man of God, these kind of worship makes me feel closer to God ❤❤
Kudos for wonderful worship.be blessed.
My frst song in the morning its atouching found myself emotional 😢😢😢
Amen my brother.mungu akuzidishie nguvu ya kumwabudu Kila wakati
Nafeel uwepo wa MUNGU jaman be blessed brother
Amen
Let God of heaven do you good abundantly bro, for good job I pray for you,,, that is what I had
Wamekuwekea Wimbo vbya unascrachi ila umeimba vzr...wameuingiza vby jmniiii
Chech your Internet
Mungu akutie nguvu mtumishi kazi yako ni njema machoni mwa Bwana yesu. Maana nimebarikiwa kupitia ii song.
Beautiful worship, may God bless you for praising him deeply.
Man of God may God use you in his glory to touch His people through your songs ,am feeling blessed.
So blessing, nice songs ,zinafanya moyo unatumia🙏🙏🙏♥️
This is so powerful 👏 🙌 nasikia kunyeyekea
Amen hallelujah
Your ministration keeps blessing me everyday and I just want to tell you that you are changing lives out here. God bless you. RE
May God bless your ministry,very blessing.I
My God be the father to the fatherless
Asante Mtumishi wa Mungu, hakika una kibali ktk hii huduma. Mungu akuongezeee!❤
True bro
Am much blessed here keep the 🔥 burning
God is over us my you guys be blesed
this song make me fill so blessed god bless you man of god
😂😂😂haaa amazing ...i feel it to my heart as u sang may the lord fillmore holyspirity to corger and to be tearcher to others through songs
Facing hard times in my life, brethren pray for me,,these guys are a blessing to me,cool and touching music,keep it up Guys,thank you
Hii praise imeniguza sana,l humble before God thanks for everything that you are doing in my life, Brother and ur team more anointing as u lift more Souls 🙏🙏🙏🙏
Maadui wakija wasiniweze😢😢😭😭🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen amen hallelujah
Eee Mwenyezi Mungu mfanyie barakazako mtumishi uyu maana ananibariki nanyimbo zake Amen 🙏🙏🙏
Nakufata sana nikiwa Congo DRC mini goma ubarikiwe sana mutumishi wa MUNGU
I'm so much blessed with your worshipping songs, God bless you
Amen amen
Ubarikiwe sana mutumishi wa mungu ❤❤ninapokuwa chini nasikiliza nyimbo zako zinanitia nguvu asante
I feelthe flow of the holy spirit in my blood wherever I listenes to this song
Hiki ni chombo kimesafiswa kikatupwa kutoka binguni barikiweni ,wanao kitabua ni wale ambao wako katika ulimwengu wa kiroho wa mungu
What a nice worship,, adi nasikia nikiwa kalibu saana na mungu,,machozi yanitoka❤❤
Father touch me through this songs and do something in my life amen
Ooh God heal my heart through this praise and worship songs 😢😢 amen 🙏🙏
WLai this worship is led by Holy spirit may God bless you minister
Hakika yesu nimtuliza bahari aliamuru alie poona miaka 38 ajitwike godoro lake na akawa muzima his might
Mwenye uwezo tunakuitaji....... What a talent let your song be an inspiration to many. Have been blessed
Hallelujah ubarikiwe sana kwa jina la Yesu Amen 🙏🙌
Amen
Mungu akulinde kabisa na kipachi chako iendelee kungara saidi na saidi maana wimbo wako unakuza wengi God bless you bro 🙏🙏
GLORY GLORY TO OUR MOST HIGH GOD, MUNGU MUUMBA AKUBARIKI NA AZIDI KUKUINUA KATIKA KIWANGO KINGINE
Ameen amen
Stay blessed so much man of God
Everytime i listen to your worship,i give my life to Jesus,glory to the most high God 😢😢
Mungu ainue uduma yako kwakaz yake kuu unayo ifanya amen 🙏
The best version aki! My husband played it last night n it was lit❤❤❤
You've said it😊
May the lord who unites you with your husband unites me with mine too😭😭😭
Napenda sana nyimbo zako,nabarikiwa sana,Mungu azidi kukuinua.