Leonardo alivyotisha ktk fainali ya cheka tu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2021

КОМЕНТАРІ • 343

  • @CharlesRutandula
    @CharlesRutandula 2 місяці тому +13

    Wangapiiiiiii tumemuona Tx dullah apo nyuma ya zembweee
    Wakati wa mungu ndo wakati sahihii😊

  • @esaukalanje5378
    @esaukalanje5378 Рік тому +106

    Zembwela anajiona yeye ni legendary kwamba Hakuna jipya kwake huu ni unafik wa Hali ya juu kifupi ni kwamba Dogo anajua zaid yake tena sana, kanuna Kama bundiii

  • @willykikwete3176
    @willykikwete3176 2 роки тому +46

    Dogo yupo vizuri kiukweli. Nakutakia kila lililo jema kwako!

  • @mackzedon6611
    @mackzedon6611 2 роки тому +38

    Anaweza sana huyuu jamaa

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 2 роки тому +36

    Zembela anazingua
    Mpelekeni kwenye bondi za korosho huyo make ni mgumu hachekagi huyo 😂😂

  • @georgedamas7097
    @georgedamas7097 2 роки тому +41

    Zembwela umeongeza mzuka kwa Dogo big up.

  • @YusuphMarcOgaga
    @YusuphMarcOgaga 2 роки тому +27

    Zembwela anadhani u jaji ni kuwa kauzu......aangalie British Talent show ajifunze ujaji anamuondoa mtu kwenye reli anadhani anakosea

  • @gladnessmrosso2990
    @gladnessmrosso2990 2 роки тому +32

    Huyo jaji mwingine amekaa Kama bodyguard 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @josephkioko1809
    @josephkioko1809 8 місяців тому +9

    That guy In suit Ako serious sana.

    • @langemwepesi
      @langemwepesi Місяць тому

      Haawezi enjoy hii show anajifanya amevaa uhusika wa kijinga kweli,jiachie jienjoy😂😂😂

  • @MagrethAlly-wd5sx
    @MagrethAlly-wd5sx Рік тому +5

    I favorite the song ❤❤❤❤rose and fenny the qn of power

  • @edwardjosephchacha7167
    @edwardjosephchacha7167 Рік тому +11

    Yani watu wengine walikuwa wanacheka zembwera maana alikuwa amekaza sana

  • @3kings63
    @3kings63 2 роки тому +24

    We need comedy like this one wengine wao wanajua wanawake tuu hakati tuna maisha ya zaman ambayo ni zaid ya kichekesho

  • @user-cp9fb3hd6k
    @user-cp9fb3hd6k 5 місяців тому +5

    Unaweza Sana

  • @amimuabdul9023
    @amimuabdul9023 2 роки тому +14

    Nataman saan kuona bato ya huyu mwamba pamoja na Mr. Romantic

  • @jomwenomkal
    @jomwenomkal Рік тому +9

    Sky revolution tishaaa saaaanaaaa mwamba orecy in the beat

  • @fadybeatz
    @fadybeatz Рік тому +14

    😅😅😅mamae iyo ya daladala ilishanitokea

  • @jamesmachiwa3679
    @jamesmachiwa3679 8 місяців тому +4

    Kiukweli Nashidwa Kujua Kwa nn Sijawahi Ona Comedian Anaeweza Nikuta kuchekesha. Naombeni Siku Moja Tanzania itakwe nda kunitambua na Mm nitaipeperusha Bendera kote mbali

  • @peterkyebwe2089
    @peterkyebwe2089 3 дні тому

    Dogo Leonard upo vzr mie kaka yko npo kama shabiki wko geita karibu my name peter or raster upo vzr nakufatilia toka final yko na eliud upo njema Sana..

  • @davidjosehp6566
    @davidjosehp6566 2 роки тому +8

    Good boy kazi nzuri

  • @pillyramadhani3726
    @pillyramadhani3726 8 місяців тому +8

    Congratulations ♥️

  • @AbednegoMashukra-sm4uf
    @AbednegoMashukra-sm4uf Рік тому +7

    Blessed kjana

  • @user-kw8bo1ut8s
    @user-kw8bo1ut8s 5 місяців тому +1

    Ulistahili ushindi kaka angu love u

  • @ahmedmsangi1653
    @ahmedmsangi1653 2 роки тому +15

    Kweli utabiri wangu ulitimia

  • @janesmbuzi3935
    @janesmbuzi3935 Рік тому +9

    Kwani zembwela nini jamani 🤣🤣🤣🤣😂😂😂

  • @user-fb2pi4kt7f
    @user-fb2pi4kt7f 6 місяців тому +2

    Umeuwa mwanangu 👏👏

  • @oscarmarandu7621
    @oscarmarandu7621 2 роки тому +11

    Alafu hatuna time na zebwela si tunacheka tuu.

  • @user-nj9wy5be2t
    @user-nj9wy5be2t 9 місяців тому +1

    Noma sana Ila zembwela acha izo sapot vijana bsna

  • @user-pt9wu7ff1p
    @user-pt9wu7ff1p 3 місяці тому

    Leonaldo we hufai nakutakia matawi kaka fumba mbali mana huzuirik tu wewe Mungu awe nawe blood mmasai shabik yako apa,,❤

  • @user-rs4ft6ig7v
    @user-rs4ft6ig7v 6 місяців тому +2

    Wew Ni Mwamba💪

  • @rafaelymagehema3606
    @rafaelymagehema3606 5 днів тому

    Tx dullah alikuwepo hapoo

  • @amantz6508
    @amantz6508 Рік тому +12

    Mkali wa misimu yote ndaro OG🎉🎉🎉❤

  • @chimdamianvi752
    @chimdamianvi752 2 роки тому +6

    Dah yani mim sichoki kutazama hii

  • @adammanyendi7577
    @adammanyendi7577 Рік тому +4

    Uko sawa kaka

  • @kalistkalisa5825
    @kalistkalisa5825 Рік тому +2

    Nakubar kaka

  • @AsumanAbubakar
    @AsumanAbubakar 16 днів тому

    Daah uyu ndo no one comedy tanzania nanianabisha nihatali sana 😂

  • @ElkanaPetro
    @ElkanaPetro Рік тому +2

    Noma

  • @lamerckmsuya5513
    @lamerckmsuya5513 2 роки тому +4

    Kaliiiiiii

  • @hasnajuma5567
    @hasnajuma5567 2 роки тому +8

    Hapo kwakuludi kwa wenzako nimecheka mpaka bas🤣🤣😆

  • @user-vd8du8fo8r
    @user-vd8du8fo8r Рік тому +8

    Zembwela jaman😂😂😂😂😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 3 місяці тому +1

    Huyu leonardo anajw mpk anakera😂😂😂

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 2 роки тому +7

    Huyo mwenye miwani sasa

  • @user-nb1pn9qh4e
    @user-nb1pn9qh4e 6 місяців тому +13

    Blo wewe ni fundi nakubali lakini Nina option Moja utunge
    Story "make msomi na Mme ambae hajasoma Kwamba sasa ikatakiwa wote wawepo kwenye mkutano make na Mme sa mkutano huo unfanyika Kwa kingereza mume hajasoma sasa itakuaje Ili wasiumbuke wakakubaliana Kwamba ikitokea habali yakucheka make atashika pua Ili mMewe nae acheke asije kuonekana tofauti sasa make kasahau Yale makubaliano kashikwa namafua kashika pua Mme kama sikacheka watu wakaandamana wakasema jamaa chi bonge lastory wewe fundiutajua unafanyaje

  • @bumbuli4170
    @bumbuli4170 2 роки тому +5

    Zembwela mshamba sana

  • @phillydepay2790
    @phillydepay2790 2 роки тому +5

    So good

  • @user-gc8bx8zh3n
    @user-gc8bx8zh3n 8 місяців тому +6

    Mmm hicho kibaba kipo Kama bodigadi sura ngum hatakiwi kabisa kuwa sehem hiyo

  • @victorosong132
    @victorosong132 Місяць тому +1

    Kiongozi awe na akili timamu😂😂😂

  • @GivenMwatebela-hi3tr
    @GivenMwatebela-hi3tr Місяць тому

    May God keep you longer

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr Місяць тому

    This guy is talented surely.

  • @joakimukenedy3582
    @joakimukenedy3582 2 роки тому +13

    Zebwela mnamwejaga wa nini narisura lake kama tako

  • @user-qs7jb4fu4h
    @user-qs7jb4fu4h 2 місяці тому +1

    Zembwela ana madeni vikoba adda yaan

  • @user-en6kd4yy6m
    @user-en6kd4yy6m Рік тому +3

    Ametisha mwamba 😂😂😂😂,ila zembwela mb!!

  • @mariamally8548
    @mariamally8548 Місяць тому +1

    Hapo hapa mchekeshaji hata mmoja hao wote vicheko vyao vipo karibu

  • @HahaRichard
    @HahaRichard 3 дні тому

    😂😂😂😂😂 unaweza ukakaxlika alafu unacheka bila kutaka

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 24 дні тому

    Nikuongezee nguvu Au inatosha dini yako 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @YahayaShabani-px1sh
    @YahayaShabani-px1sh 7 місяців тому +3

    Zembela unanini umenuna mwanzo mwisho na tinted yako usoni🤣😂🤣😂🤣

  • @TwaibuSimba
    @TwaibuSimba Місяць тому

    Namkubaliii sana❤❤❤

  • @kondoatown8765
    @kondoatown8765 2 роки тому +8

    Majaji wamejaji kihalali kbsaa

  • @Edumastermind01
    @Edumastermind01 Місяць тому

    I dont know what language he is speaking lakini jamaa anajua sana

  • @rashidkipingu7358
    @rashidkipingu7358 2 місяці тому

    Umetisha sana

  • @medardboniphace2477
    @medardboniphace2477 Рік тому +3

    Nakukubal bro 😂

  • @user-ih7zp7kc2u
    @user-ih7zp7kc2u 2 місяці тому +1

    Kazi ya bibi inaonekana Leonard

  • @amooh_tz
    @amooh_tz 2 роки тому

    Kaz nzur

  • @jarukhan_tz1326
    @jarukhan_tz1326 2 роки тому +2

    Bofya hapo juu usikie Diamond alichokisema juu ya huyu dogo, "Leonardo lazima nimtimue"

  • @jacksonmathayo7988
    @jacksonmathayo7988 Рік тому +2

    Best one

  • @davianofficial6972
    @davianofficial6972 2 роки тому +17

    So talented

  • @josephiligo5855
    @josephiligo5855 Рік тому +4

    Baba Levo kanunu Sana

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 2 роки тому +9

    Zembwela Kama FBI agent

  • @fatmakhamis9982
    @fatmakhamis9982 2 роки тому +2

    Haishi hamu hii comed hasa yahuyu jamaa nampenda

  • @ardyvictor6129
    @ardyvictor6129 22 дні тому

    Bien

  • @jovinjames6130
    @jovinjames6130 Рік тому +3

    Wanng kuna mjomb aliyevaa miwan achek cjuh ana bandama

  • @ChagstiBoy
    @ChagstiBoy 16 днів тому +1

    Kwer kwer

  • @ArnoldJackson-zg6wz
    @ArnoldJackson-zg6wz Місяць тому

    Anaweza San huyu jam

  • @shefaceboys2698
    @shefaceboys2698 2 роки тому +4

    Noma huyu

  • @user-wb5nl9yt5n
    @user-wb5nl9yt5n Рік тому +2

    Moumaa sana

  • @Benkimelock
    @Benkimelock 10 місяців тому +1

    Uyo jamaa wa macho nne anajilazimisha asicheke kbx yaan😂😂😂

  • @JonathanMakadi-td9jm
    @JonathanMakadi-td9jm 23 дні тому

    🎉🎉🎉🎉 hahahahahaha 😅😅😅😅😂😂😂😂🎉 kaka Zang

  • @adamrajabu231
    @adamrajabu231 Місяць тому +2

    KAMA UMEMUONA TX DULLAH GONGA LIKE HAPA😂😂

  • @FrankJohn-ij2uh
    @FrankJohn-ij2uh Рік тому +1

    nakukbrii..Sana'a

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 10 місяців тому +1

    umetisha lakini naomba kuuliza huyo zembwela hapo amekuja kufanya nn

    • @OrecyOwden
      @OrecyOwden  10 місяців тому +1

      Ahahahaa hahahaha

  • @willsonmollel2492
    @willsonmollel2492 Рік тому +1

    Nice

  • @FORTUNATUSZACHARIA-wz3nl
    @FORTUNATUSZACHARIA-wz3nl 8 днів тому

    Uyu bibi uyu😂😂😂💔

  • @davianofficial6972
    @davianofficial6972 2 роки тому +3

    Zembwela mjinga kwamba ndo kujitofautisha au nn ushamba tu

  • @XyonDebowy
    @XyonDebowy 29 днів тому

    Safi

  • @MsanjalaAlex
    @MsanjalaAlex 4 місяці тому

    Braza umekaza sana hata kutabasam😂

  • @maxmilianimwakaniki2671
    @maxmilianimwakaniki2671 2 роки тому +3

    Nakukubali Sana leonaldo

  • @SamwelEmanuel-ib2yp
    @SamwelEmanuel-ib2yp 27 днів тому

    Kusema kweli nimecheka had nikahis utumbo umekatika

  • @user-do5vd5uu2e
    @user-do5vd5uu2e 9 місяців тому +3

    Achekeshi ndo mana zembwela kabinyau safi sana

  • @yflon
    @yflon 2 роки тому +1

    Hhhhhh nilikuaga sijui eti utaniua unachekesha sana

  • @NaphyMacmillan-jh3vc
    @NaphyMacmillan-jh3vc Рік тому +1

    Tulia kwa kutulia msanii wngu apa Naphy sky sky revolution njoo dom tufanye kaz

  • @MohamedMohammedmarco
    @MohamedMohammedmarco Місяць тому

    Hahahahaha Kuna wazee sijui wakat ana zaliw alipew kitabu Cha kununa

  • @kingkaka4592
    @kingkaka4592 Рік тому +2

    Sawaa kiongozi

  • @officialtbrizzy8643
    @officialtbrizzy8643 2 роки тому +6

    😅😅😅nampt huu mwamb

  • @yonenedady996
    @yonenedady996 2 роки тому +2

    Darr uyo mwana fund xana

  • @hukuUJERUMANI
    @hukuUJERUMANI 2 роки тому +17

    ".. kata ushanga hamna namna"🤣🤣🤣

  • @bonnysure8706
    @bonnysure8706 2 роки тому +3

    Zembwela umeeenda kufanya Nini mbona hucheki

  • @yusuphmaginya5859
    @yusuphmaginya5859 Місяць тому

    Kwa kifupi huyu jamaa ana akili sana ktk ucheshi wake

  • @veryniceswai4469
    @veryniceswai4469 2 роки тому +8

    Yuko good sanaaa

  • @NurhathSalumu
    @NurhathSalumu 11 місяців тому +2

    Kinacho mfanya baba level asicheke nn❓❓❓❓❓❓❓

  • @ibrahimayoubdhahabu984
    @ibrahimayoubdhahabu984 Місяць тому

    Huyu ni noma

  • @fratilupembe3479
    @fratilupembe3479 Місяць тому

    Balaaa