CHEKA TU. Kings Edition. Mr Beneficial kwenye stage.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 вер 2018
  • Follow us on Instagram for daily updates: / cheka.tu

КОМЕНТАРІ • 489

  • @antoinebakevya8911
    @antoinebakevya8911 5 років тому +26

    Mr BENEFICIAL is among the greatest artist, I do love hum too much. I'M from Burundi

  • @ernnesty7268
    @ernnesty7268 5 років тому +11

    Tengeneza character mmoja ambae watu watamzoea to all comedian kwenye cheka wawe unique

  • @colmanlesulie250
    @colmanlesulie250 5 років тому +82

    Yaan Beneficial for sure your great, keep it up. Nakupa one year utakua mwingine. Ongeza tuu bidii katika uandishi pia ubunifu na pia uzidi kunifunza sehemu mbalimbali. Nakuelewa Sana.

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 5 років тому +17

    Mr beneficial.. Umenivunja mbavu wallah anyone in 2019?

  • @mathayonyerera3144
    @mathayonyerera3144 5 років тому +12

    Masai village Tanga! Unatuvunja mbavu baba la baba! Pamoja sana!

  • @khadijahassan3504
    @khadijahassan3504 5 років тому +66

    hakika leo beneficial leo umeniua mbavuuuuuu hongera sana

  • @mushitv4760
    @mushitv4760 5 років тому +7

    We Chali ukafungue hospitali nakwambia unacho tufanyia kwenye mbavu si poa

  • @emmanuelchristophersangawe8374
    @emmanuelchristophersangawe8374 5 років тому +5

    Daaaah kwel kipaji hicho Olevel ujakionyesha broo (head prefect)

  • @karathajunior6675
    @karathajunior6675 5 років тому +21

    You bro..so creative.. Nakuona mbali..saaaana..kwa stand up comedy.. Hapa bongo..Bro ukae vizur..saaana...mana uko mbele utakua ndo king wao kwenye standup..take it from me..bro..!

  • @pendojames8262
    @pendojames8262 5 років тому +10

    aisee chari yangu umetisha kinoma🔥🔥🔥🔥

  • @davidluwondo4753
    @davidluwondo4753 5 років тому +4

    Daah...Mr. upo vizur Godbless uu...maana unanipa rahaaa

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 5 років тому +40

    Uko vzuri Bro Sanaaa. Nimekubali

  • @seriousofficialtz3702
    @seriousofficialtz3702 5 років тому +8

    Huyu jmaaa anajua sanaaaaa big up brooo😀😀😀😀😀

  • @laurynurban5847
    @laurynurban5847 5 років тому +5

    daah umefany wonders

  • @jackychangula9139
    @jackychangula9139 5 років тому +4

    aseee nilicheka sana nilipo ona ile vd ya mungu angekuwa muhaya kipaji cha injili wangepewa wachaga

  • @abdulkarimyahya6369
    @abdulkarimyahya6369 5 років тому +9

    so impressed mr keep it up

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 5 років тому +14

    Mr .beneficial ..mbavu zangu jamani unaweza..big up..😆😆

  • @othumanmaulid7406
    @othumanmaulid7406 5 років тому +15

    Yes! Nimekubali umepanda kiwango

  • @jumasaid6073
    @jumasaid6073 5 років тому +4

    Daaa!!! Mbagala imenivunja mbavu,unatisha kaka!!

  • @priscillapaul595
    @priscillapaul595 5 років тому +4

    Mbavu zangu mieeee we beneficial ni nini lkn...u made my day