LATRA yafanya Majaribio ya Treni ya Mchongoko

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 78

  • @ColestMakolo
    @ColestMakolo 2 місяці тому +8

    Jamani magufuri experience jamani mbona tunamsqhau mzee wetu aliekomboa maendeleo magufuri ❤

    • @alexkobo185
      @alexkobo185 2 місяці тому +1

      Magufuli exp pia ipo

    • @irenewile
      @irenewile 2 місяці тому

      Magufuli sio ri

  • @michaelmahmoud
    @michaelmahmoud 2 місяці тому +12

    Nyie wanafiki sana yanileo mmeshasahau alileta huo mradi
    Imekuwa Samia Samia acheni ushoga

    • @karyori69
      @karyori69 2 місяці тому

      Mbona asimalize? Hiyo misifa peleka Usukumani!

    • @Africa_Yetu
      @Africa_Yetu 2 місяці тому

      Kweli
      Lakini ukweli haujifichi

    • @hemedrashid2921
      @hemedrashid2921 2 місяці тому

      mwehuuu wewe bila samiaa ungekuaajee roho ya ubaguzii itakuuwaa mbuzii wewe nchi ni mali yetu wote tena usijidanganyee nchi itarudiii enzii ya mwarrrrriiiiim😂😂😂😂

    • @michaelmahmoud
      @michaelmahmoud 2 місяці тому

      @@hemedrashid2921 We msenge achakujiongelesha usenge huousenge ongea na wasenge wenzi wa mitano Tena machizi wasikuwa naakili kama wewe wasijuia kituakituchochote kwenye hii nchi kazi kusifia wasichokijua

  • @t1910j
    @t1910j 2 місяці тому +2

    Kazi nzuri sana!

  • @kitarafrancis154
    @kitarafrancis154 10 днів тому

    Tanzania mama katuvusha MUNGU akupe maisha marefu

  • @Winstonfying
    @Winstonfying 2 місяці тому +1

    Hongera kwa wananchi wa Tanzania. Jambo moja Mnasifia sana Rais mpka too much. Hii tabia inafanya watanzania waonekane kama mazuzu hvi, just TOO MUCH 😢

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 2 місяці тому

    Ingependeza Muziite Samia XP,na Magufuli XP.lkn mlisha msahau Mzee magu, Mungu anawaona 😢

  • @HunterJr-s7c
    @HunterJr-s7c 2 місяці тому

    Heeeh samia tena Aaah sasa mmezidi

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 2 місяці тому +1

    Safi sana one day nitapanda

  • @tevintevin6254
    @tevintevin6254 2 місяці тому

    Ganda la ndizi

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 2 місяці тому

    hivi mmeapishwa kwamba kila mkiongea ni kumsifia Samia utadhani yeye ndiye alitoa hela zake mfukoni mwake kumbe ni mikopo na kodi zetu unafiki umewazidi sana

  • @J4UPro
    @J4UPro 2 місяці тому +3

    Nyingine muiite MAGUFULI EXPRESS
    nayeye anamchango kwenye hili.

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 2 місяці тому

      Mbona ipo mzee magufuli express

    • @bigtv4204
      @bigtv4204 2 місяці тому

      Mchongoko zote mmeita majina ya samia na nyerere tuu kwanini isiwe nyerer na magufuli. Stand ya dodoma mmeita samia badala ya nyerere kwanini samia na dodoma wap na wap jmn 😢😢😢

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 2 місяці тому +1

      @bigtv4204 Punguza ujuaji kama hujui kitu uliza, treni za mchongoko ipo iloandikwa samia lakini pia ipo imeandikwa magufuli, kuhusu steshen walisha Tangaza hyo ya hapo DSM inaitwa Magufuli, Moro ni kikwete, Dodoma samia, nyerere itakuwa mwanza na mwinyi ni shinyanga

  • @DeodatusiLyaruuu
    @DeodatusiLyaruuu 2 місяці тому +1

    Magufuri expres

  • @gerryidone2890
    @gerryidone2890 2 місяці тому +4

    Sasa samia imetoka wapi na nyie kama wehu vile 😂kila kitu samia ya nyoko

    • @hemedrashid2921
      @hemedrashid2921 2 місяці тому

      mpumbavuuu wewe rohoo yako mbaya na sura yako yenyee ubaguzii itakusaa sana hii tanzaniaa mpyaa mjingaa wewe😂😂😂

  • @francisloachino
    @francisloachino 2 місяці тому +1

    Mchakato wa kujenga SGR ulianzishwa na serikali ya MKAPA kwa kuanzisha mchakato wa KUTAFUTA pesa za mradi za kuanzia sio mradi mzima uwe wa pesa za mikopo tu. KILA mlipa Kodi ktk mizigo itokayo nje alilipa Railway Rev.kuchangia mradi. Kikwete naye akachangia. Jpm ndio akaanzisha mradi. Haya ni maono ya MKAPa na serikali yake kipindi chake.

  • @JumaMwadhini
    @JumaMwadhini 2 місяці тому

    Tanzania 🇹🇿 kwaza nakuwaonbea viongozi wetu wazidi kutufanyia mazuri zaidi

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 2 місяці тому +1

    Hao Latra anakagua spring na magurumu ndo kwanza mradi mpya huo ukaguzi ni ulaghai

  • @HunterJr-s7c
    @HunterJr-s7c 2 місяці тому

    Iiyo treni iitwe magufu express uyo mama yeye kakuta kila kitu tayali acheni kusifia kichwa kina beba wakati shingo inaumia msijisaaau sana watanzania mmeshasaau shingo daaha

  • @ndulasimon
    @ndulasimon 2 місяці тому +3

    Mugufuli express

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 2 місяці тому +3

    Mimi ni mkenya.. watanzania pumbavu zenu😅

    • @Africa_Yetu
      @Africa_Yetu 2 місяці тому +1

      Malizeni tofauti zenu kwanza... By the way, Adani anawapa hi!
      Mwisho, tuambie, ni nani DP wenu sasa hivi?!😅😢😮😊😂

    • @irenewile
      @irenewile 2 місяці тому

      Pumbavu zako pia

    • @ogdosho93
      @ogdosho93 2 місяці тому +1

      😅😅 pumbavu tena!!

    • @Africa_Yetu
      @Africa_Yetu 2 місяці тому

      @ogdosho93 wivu wa nyumba ya babangu utakukula...
      😆

  • @barikibenson4678
    @barikibenson4678 2 місяці тому

    Ni lini majirani zetu watafurahi kama sis😂i🇰🇪

  • @AbelNguluchaMasuke-oj7zy
    @AbelNguluchaMasuke-oj7zy 2 місяці тому

    Mabwana wangapi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 місяці тому +2

    Magufuri alikua sio wa nchi hii miaka 5 tu kafanya makubwa

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 2 місяці тому

      Ukweli ubak kuwa Ukweli, alikuwa KICHWA

  • @DeodatusiLyaruuu
    @DeodatusiLyaruuu 2 місяці тому

    Mnazingua Samia Samia

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 2 місяці тому

      Kila kitu UCHAWA UCHAWA TU, utadhani hawa lip will kwa kodi za wananchi

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 місяці тому +1

    Mabwana**

  • @DonMapunda
    @DonMapunda 2 місяці тому +1

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 2 місяці тому

    RIP JPM never 4get ur DREAMS

  • @EmanuelMuna-w2q
    @EmanuelMuna-w2q 2 місяці тому

    Hongera TRC kwa kushirikiana na LATRA kwa kuweza kufanya majaribio ya treni ya mchongonko (EMU), na kutoa hithibati ya usafirishaji wa abiria.
    Sasa, hayo mabehewa mapya ya ghorofa toka Ujerumani yataanza kufanya kazi za usafirishaji wa abiria lini?
    Je mabehewa 24 yaliyobaki pamoja na vichwa viwili vya treni toka Ujerumani, vitawasili lini nchini?
    Mbona sasa mabehewa yameegeshwa pale Pugu Station tu na sasa ni zaidi ya mwaka mmoja, bila kuona uanzaji na uendeshaji wa biashara ya usafirishaji wa abiria?
    Je mwelekeo na msimamo halisi wa mradi wa mabehewa hayo ya ghorofa pamoja na vichwa viwili umefikia wapi?
    Swali hili linaloulizwa mara kwa mara sasa liende moja kwa moja kwa Ndg. Eng. Kadogosa, Mkurugenzi Mtendaji wa TRC.

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 2 місяці тому

    Maendeleo alileta Magufuli, usijichanganye. Kawaulize NGORONGORO kwa sasa kama wana maendeleo

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 2 місяці тому

    Yaan watanzania ni wanafi sana wanashindwa hata kumtaja magufuli kweli ili hii miradi ndo aloyeasis

  • @BarakerZeonlist
    @BarakerZeonlist 2 місяці тому

    samia express hilo jina limewekwa kimakosa

  • @thc7542
    @thc7542 2 місяці тому

    Wimbo mbaya sijawahi ona

  • @NyalaMaige
    @NyalaMaige 2 місяці тому +1

    Mmh mbona hakuna hata treni Moja iliyopewa jina la mwasisi hayati magufuli? Inanipwa wasiwasi.

  • @DanielKullwa
    @DanielKullwa 2 місяці тому

    Dada asinge weka swali hapo ina sound kama swali la shule. Ingekuwa tu statement kama mfano...Hebu tusikie utaratibu ambao TRC inapaswa kufuata. Using question tags inakuwa kama enzi zilee za shule

  • @Africa_Yetu
    @Africa_Yetu 2 місяці тому +1

    "treni za SGR"!?
    😂😂😂😂

  • @theonestkibuga1900
    @theonestkibuga1900 2 місяці тому

    Uo usafiri wa waya unapatikana wapi

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 2 місяці тому

    Kwa Nini msiite magufuli aliezilera

  • @HJ-wf2vi
    @HJ-wf2vi 2 місяці тому +1

    Wakenya bado hawaamini kitu cha umeme kipo Tanzania??

  • @florianruttahindurwa1189
    @florianruttahindurwa1189 2 місяці тому +1

    @latra nina swali, hizo platform ni ndefu ila eneo lenye shade ni dogo, je kipindi cha msimu wa mvua wateja watakuwa wanapanda wakinyeshewa na mvua?

  • @amirymdee4259
    @amirymdee4259 2 місяці тому

    Acheni hizo ngonjera

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 2 місяці тому

    Majaribio ya Nini sasa munanunua kitu muko na shaka 😂😂

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 місяці тому +2

      Hata kiswahili hujui ushuzi wee

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin 2 місяці тому

      Ata ndege inafanyiwa majalibio

  • @Patriot_kenyan
    @Patriot_kenyan 2 місяці тому +1

    Sisi wakenya tunaombea hizi trains ziharibike

    • @dicksonkusaga
      @dicksonkusaga 2 місяці тому +1

      Ongezeni maombi

    • @nemblismkulago886
      @nemblismkulago886 2 місяці тому

      Utafaidika na nini ikiharibika?

    • @mndambokilavo2502
      @mndambokilavo2502 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 місяці тому

      Mnaacha kuangalia yenu unahangaika na tz na mtakoma uganda nayo wanajenga yao nyie si mmeamua viongozi wenu wakawauze Qatar mkapikie waarabu na bado

    • @J4UPro
      @J4UPro 2 місяці тому

      Duwa la kuku