VITA NA UGANDA NYERERE ALIZINGUA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 121

  • @hadijatwahadossa
    @hadijatwahadossa 4 дні тому +15

    Huyo mwanao mpambe wako wa pembeni kwelì kazi anaiweza..nimecheka eti wenyekanzu 😂😂😂😂😂

  • @timurmauga6559
    @timurmauga6559 23 години тому +2

    Elimu imeshuka. Eti huyu nàye graduate, sijui chuo gani

  • @MfalmeDoss
    @MfalmeDoss 5 годин тому +1

    Kaongea fact sana ila mshamba awezi kuelewa

  • @ZakayoJoseph-g5p
    @ZakayoJoseph-g5p День тому +1

    Yaani nyie mabrother mnaongea kitu muhimu sana ombi langu kwenu tumieni iyo chance promote united of Africa like our brother Ibrahim traore from Burkina Faso who have are desire of unit of African as single county

  • @farudume2707
    @farudume2707 День тому +2

    Kwanini una muhukumu Idd Amini alinunuliwa na si Nyerere angalia speech za Iddi Amin utamwelewa Nyerere ni muuaji

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 День тому

      Sio Mtanzania ww, na wala Hujui historia ya nchi hii ingawaje unahisi unaijua baada ya kusimuliwa na watu wenye hisia Kali kinyume dhidi ya Nyerere bila kuzingatia ukweli ulikuwepo wakati huo.

  • @PizzaBoy-w1g
    @PizzaBoy-w1g 3 дні тому +1

    Duh kiukweli mwamba nilikuelewa vibaya kumbe unakili sana👏👏👏

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 2 дні тому +2

    Siku nyingne tulete majadiliano ya harmonize,Alli kiba na daimond 🌹 🌹

  • @MosesMulambya
    @MosesMulambya 2 дні тому +1

    Nyerere alimvumilia sana amini lakini Amini alikuwa na wasi wezi sana na Nyerere kutukana na utawala wake wa kimabavu

  • @samwelizack7393
    @samwelizack7393 День тому +1

    Unaongea tu kuhusu idd amini kwa vile haujamfahamu ,akina mazungumzo yeyote ya kidiplomasia ingeweza kumzuia yule nduli asisumbue EA kama sio kichapo tu

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 4 дні тому +7

    Hapa namtetea Nyerere Iddi Amini ashaua watanzania na kutangaza nchi yake vita ya bunduki usiende kiaman kaka utakufa nyerere alikua sahihi sana ❤❤❤

    • @DaudFataki
      @DaudFataki 4 дні тому +1

      Unauhakika

    • @Abeidjuma1241
      @Abeidjuma1241 3 дні тому +1

      Kasoma shule😅😅😅😅😅​@@DaudFataki

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 3 дні тому +1

      @@DaudFataki nna uhakika asilimia 100 mbk Mkuu wa polis aliemuua ntajutajia jina uka msachi ACP hans pop

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 3 дні тому +1

      ​@@fasterwalker1464ilikua ni propaganda za waingereza kuvunja umoja wa Africa mashariki

    • @milkgalla
      @milkgalla 3 дні тому +1

      Sawa kwa Idd Amin alikuwa sahihi..je Kwa BIAFRA Nigeria? 😂

  • @athumanijuma8404
    @athumanijuma8404 4 дні тому +5

    😂😂eti alikua upande wa wenye kanzu

  • @Abeidjuma1241
    @Abeidjuma1241 3 дні тому +2

    ❤Physical bodies nimeipenda hii fact Tz ni kama maji

  • @NelsonJackson-z7r
    @NelsonJackson-z7r 3 дні тому +2

    Jaribu kumweshimu baba wa taifa teina futa kahuri tena eshib San tulichukua uhur bila kumwaga damu.

  • @charlesphilipo3533
    @charlesphilipo3533 2 дні тому +1

    Kweli hivi vinyambe havijui kitu na havitaki kusoma yaliyojiri katika nchi yetu,,,mna Hali ya kuongea kwani mmekuta amani nendeni mkaone Gaza

  • @NelsonJackson-z7r
    @NelsonJackson-z7r 3 дні тому +2

    SEMA waanatamaa, pia acha ujinga kabisa tena ujui kitu chochote, wakati alihingia kijeshi bila tarifa.

  • @godfreyfesto2490
    @godfreyfesto2490 День тому +1

    Sijaelewa yapo kama hayapo😂

  • @kanoleausi4204
    @kanoleausi4204 4 дні тому +2

    kuna mambo na nyie mnazigua, mnadhani hatua ya kuwapokonya ardhi wazungu na kuirudisha kwa watanzania sio ya kutanua uhuru wetu? na mnadhani vikwazo walivyoweka wazungu vingeacha thamani ya pesa yetu ibaki kama ilivyokuwa mwanzo? wachokonozi sawa lakini muwe mnapiga hatua kwenye kutafuta ukweli 😂

  • @RahimMpate
    @RahimMpate День тому +1

    Hakuna mnachokijua chini ya jua .

  • @sailantjoseph7411
    @sailantjoseph7411 2 дні тому +1

    Nyie Vinyambe, huwa mnajiongelesha hapo kuwa hakuna Mungu na pensi zenu, angalieni huko Trump anarudisha Imani tena America, watu wenye akili wanamjua Mungu Vinyambe nyie😊

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 2 дні тому +1

    Huwa najiuliza sana aliyepambana kutaka Africa iwe taifa moja na kusaidia mataifa mengi ya Africa kupata uhuru ikawaje akapigane vita kisa ka eneo ka mkoa mmoja na wakat huo hata South bado haikuwa imepata uhuru, au Amin alikuw anasaidiw na wakoloni kupitia Muafrica Gadafi? Na vp kuhusu msaada uliosaidia jesh kumshind Nduli amini ulitoka wapi au walipambana wenyewe?

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 2 дні тому +1

    KAMA huijui historia ya TANGANYIKA bora ukae kimya. Mto Nile umeanzia Rwanda. Hatuna majasusi Tz!! Matokeo ya kukwepa kujua tulikotoka ndio hayoo

  • @MwonekanoTv
    @MwonekanoTv День тому +1

    Wachokonooozi

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 4 дні тому +4

    sabuni ya ubongo🧠🙌🙌

  • @sadryathuman9692
    @sadryathuman9692 2 дні тому +1

    Nyie wachokonozi kiimani ni waislamu kutokana na mnavoamini na kuijua misingi ya haki na amani tunapopishana baina yetu na sisi ni kwenye uwepo wa Mungu, isomeni injili ya yesu muilewe vizuri, isomeni torah, isomeni quran, mtaisaidia tz vzur kwa kipawa mlichopewa, hiyo meditation, astra body projection ili kuutambua ulimwengu, vipo kwenye mafundisho nyie mnarudia tu.

  • @Januarybernardy
    @Januarybernardy День тому +1

    Na ndio nchi pekee afrika iliyovamia jirani yake ingawaje jirani ndio alianza uvamiz

  • @shorewanda5635
    @shorewanda5635 10 годин тому +1

    Wajinga kweli nyie! Unaona si sawa kupigana vita na mtu aliyeua ndugu zetu wa kagera na kutishia kuchukua sehemu kubwa ya nchi yetu, lakini unaona sawa kuwaita waislamu, "wapumbavu". Wewe ndo huna akili. si nyerere. Mjinga mkubwa wewe!

  • @humphreyjohn1105
    @humphreyjohn1105 День тому +1

    Mmechemka

  • @humphreyjohn1105
    @humphreyjohn1105 День тому +1

    Unasahau kubwa mapingano yalianzia mbinguni

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 3 дні тому +3

    Hamjui chchte kuhusu vita ys kagera, sikiliza hotuba za nyerere zte akielezea kuhusu vita ya uganda, alisema Id amin alitangaza eneo letu kwamba nilaa uganda, akawa mbabe baada ya hapo nyerere aliomba nch za africa wampe onyo ya maneno Id amin na walimpa onyo walishindwa baada ya hapo ndo nyerere alifanya hayo maamuzi, tafuta hizo interview za nyerere akiongelea kuhusu kuomba msaada kwa nch za Africa kumpa onyo ya manano na anasema hizo zilimsihi id amin aache ubabe na eneo la tz asijimilike lkn ilishindikana so ile vits nyerere hakukurukupa maongezi ya amani ya mdomo yalishinfikanan id amin hakuwa tayal kwa hayo maongezi

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 2 дні тому

      Huyo dogo kakurupuka😊😊

    • @RafikimediaTZ
      @RafikimediaTZ 2 дні тому

      Upo sahii lutengano. Hawa vijana wetu sio makosa yao kusema ivyo. Ilibidi watafute hata zile hotuba za Mwalimu then wangepata picha halisi ya historia ya vita vya kagera. Nyerere hakukurupuka kuingia vitani. Aliweka mazungumzo kwanza ya awali kwa umoja wa Africa na hata UN pia. Lakini jitihada zikagonga mwamba. Mwalimu alikuwa sahii ile vita ilikuwa aikwepeki.

  • @Mtana-d2x
    @Mtana-d2x 2 дні тому +1

    Siku mwanaume mwingine atakapo ingia ndani kwako ampige mkia mke wako akupige wew makofii then uvumilie kukaa chin mmalize tofautii kwa maongezi pasipo kurusha ngumi na wewe pia .. hapo ndo nitaamini nyerere hakuwa na akili kama unavyo ongea

  • @Hajizungu
    @Hajizungu 3 дні тому +1

    Wazee tufafanulieni kuhusu farao wa Misri na Mussa.

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 3 дні тому +1

    Idi amini alitaka bukoba kwaiyo angeachwa achukuwe na jamaa baada ya kupiga akasema nikirudi napiga adi dar kwa leo umejichokonoa mwenyewe you

  • @joshuaMasal
    @joshuaMasal 3 дні тому +2

    @WACHOKONOZI NAITAJI KUNA VITU VYAKUJIFUNZA KWA MWALIMU JE NAWEZAJE KUPATA MAWASILIANO AU KUMFIKIA

  • @AbdulhalimHafidh-s2m
    @AbdulhalimHafidh-s2m 4 дні тому +4

    Nyere re alitumiwa na bwana aliyempa nchi kupigana na amini

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 3 дні тому

      @@AbdulhalimHafidh-s2m atumwe nanani wakat iddi amini aliivamia nchi ndo akapata anachostahili akakimbilia libya baadae akaend saudia Arabia we mgonjwa nn
      Hata Gaddafi alimchukia mwl ila baadae wakaelewana

    • @LucasGoliath
      @LucasGoliath 2 дні тому

      Siyo alitumwa.Amini alitaka kupola baadhi ya Ardhi ya Tanzania..Nakama angefanikiwa,,hata nchi nyingine zinngeona sisi ni wanyonge nazo zingemega baadhi ya maeneo,,mfano,mtwara ingekuwa msumbiji,Tunduma,ingekuwa Zambia,mlima Kilimanjaro ungekuwa Kenya..Na Nyerere angekuwepo angewapa majibu ya kushiba.

  • @milkgalla
    @milkgalla 3 дні тому +1

    BIAFRA was a really debate,ngudu WACHOKONOZI mnalisemeaje hili kwa uamzi wa babu yetu?

  • @simeonmazigo5918
    @simeonmazigo5918 3 дні тому +2

    Kwahiyo njia yoyote ni pamoja na kipigo

  • @ababibabzee7758
    @ababibabzee7758 2 дні тому +1

    Napenda sana unavoongea kwa confident na kama kwa experience. But bro just go back and scratch the couse of the war

  • @Manunhya
    @Manunhya 2 дні тому +1

    Wahubili wasihubili inatakiwa tuwe tunajadili dahh

  • @AbdulhalimHafidh-s2m
    @AbdulhalimHafidh-s2m 4 дні тому +6

    Amini na mugabe ndio waafrika wa kweliwaliowaburuza wazungu na wahindi bali nyerere akitumiwa na wazungu

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 4 дні тому +2

      Majini sio viumbe wa kuwa nayo

    • @durangobasics6195
      @durangobasics6195 3 дні тому +1

      Mimi sikuelewi unamburuzaje mzungu huku hata Jeshi lako silaha ni zake?

    • @ahmedimakope
      @ahmedimakope 3 дні тому

      ​@@charlesboniphace2249Ushoga sio mzuri achana nao utaoza mkundu huo

    • @anuarymyekakimolo4785
      @anuarymyekakimolo4785 3 дні тому

      ​@@durangobasics6195mdomo tu kuropok sunajua wabongo bana akili kisoda

    • @MBK92
      @MBK92 День тому

      Halafu huyo Amini akakubali kuburuzwa na waarabu

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 4 дні тому +1

    Iddi Amin alikuwa mkorofi alimtukana Nyerere tusi kubwa siwezi lisema sasa akachukia na akasema anaenda Dodoma kunywa chai akitulia kana kwamba alijiona mwamba hakuwa mstaalabu kabisa kama hamjui.

  • @adambaton5521
    @adambaton5521 4 дні тому +1

    Wenye akili tumeelewa unavosema tungeiweka uganda pembeni halavu tudili na id amini kiaafrica zaidi bila kuathili watu wengine

  • @AbeidMsalla
    @AbeidMsalla 4 дні тому +1

    Ase nyie ni hatari🎉

  • @BakariFatuma
    @BakariFatuma 4 дні тому +1

    Watu wa maana ...naweza kupata mawasiliano binafsi mana Nina mambo mengi sana ya kuwauliza au kujua

  • @dreahmed2336
    @dreahmed2336 3 дні тому +1

    Hivi mnaposema hadharani kuwa Tanzania ina intelligencia ya hali ya juu hua mnakusudia nini? Unajua sielewi hili suala, mimi ni mdau wa intelligencia na nafatilia sana nchi zilizoendelea ki intelijensia ikiwemo marekani na uingereza, sasa ikiwa sisi kila siku inaokotwa miili ambayo haijulikani nani ameuwa, je hapo kuna intelijensia ama uhuni?
    Kwa sababu vikosi vya ki intelligencia hua vinarecruit vijana ambao wamefeli hadi somo la kiswahili unampa jukumu la kuwa agent hii kweli ni intelligencia? Ikiwa mtu ameshindwa kuhakiki vitabu vya Ngungu wa Thiongo anaweza kweli kufundishwa namna ya kutumia hisia za ziada kufanya uchunguzu?

  • @akidashekue163
    @akidashekue163 4 дні тому +1

    Nyerere alitumwa na Kanisa kumrudisha Obote

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 4 дні тому +2

      Usituletee udini mzee wa kaz nyerere hakutumw na kabisa vp mandela nae avopokelewa 1965 kabla ya kufungwa na makaburu alitumwa nanani hata mugabe alimpigia salut nyerere naaakamwita ni simba wa Africa

    • @saiddgsmg
      @saiddgsmg 4 дні тому

      ​@@fasterwalker1464udini wapi mpuuzi wewe

  • @BL52Tv
    @BL52Tv 3 дні тому +1

    Marehemu asemwi jamani

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 3 дні тому +1

    Nyinyi wote wawili ni wasenge imagine mtu anatoka from no where anakuja nyumbani kwako anamzibua mkeo watoto zako. Na unakaa ovyoovyo kama bwege alichofanya Nyerere ni kitu kizuri to protect our country nyie watoto wa 2000 ni ovyo kabisa wasenge nyie

  • @iddymatere5075
    @iddymatere5075 3 дні тому +1

    Ndg yangu Tanzania ni ichi ya mungu na hakuna atakekae iutufanyia kitu kwan hata busitan ya Eden Iko Arusha

  • @AllyShabani-v5i
    @AllyShabani-v5i 3 дні тому +5

    Urais siyo wa familia ,Mmenena sawa

  • @songweforecast9685
    @songweforecast9685 2 дні тому +2

    OYA MMEJIPATA MMENUNUA KAGARI

  • @MseseMagesa
    @MseseMagesa 4 дні тому +2

    Lakini idiamin ndio alianza kushambulia kwani yy alikua haoni kama nidoa

  • @AkaroNdungu
    @AkaroNdungu 4 дні тому +3

    tulirudi nyuma angekuwepo tungemuuliza

    • @LucasGoliath
      @LucasGoliath 2 дні тому

      Waongo Hao...Hayo wanayotaka kumuliza Nyerere wajiulize Leo,,kwani leo tumekamilika???Hiyo akili waliyo nayo waitumie Leo..Wafunguwe viwanda vya aina yoyote tuone mifano..Waende Congo wakamalize utata wakongo waache kuuwana,,,Wawakutanishe Chadema na CCM wakae pamoja waache kutugombania ili wale kodi zetu..Wawa fundishe namna ya kutunyonya kwa zamu bila fujo..Waache kuongea yaliyopita waanzie hapa tuone mchango wao...

  • @bakarithegeoinformatician7406
    @bakarithegeoinformatician7406 2 дні тому +1

    Amini alipinga utawala wa muingereza na alikuwa hataki kabisa upuuzi wao, huyo wa taifa alikuwa kibaraka wa wazungu

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 4 дні тому +1

    lakini kagera aliitaka Idd Amin ndio maana ilibidi Nyerere atetee ardhi yake kama alivyokula kiapo…

  • @LusekeloSikaponda
    @LusekeloSikaponda 4 дні тому +1

    Leteni nadin 🎉🎉mengine ili tuzidi kuelimika

  • @NelsonJackson-z7r
    @NelsonJackson-z7r 3 дні тому +1

    Dogo uji kitu ukuwepo

  • @YamusahSudy
    @YamusahSudy 3 дні тому +2

    🙏🙏🙏 wachokonoozi

  • @fevactv
    @fevactv 4 дні тому +2

    🔥🔥

  • @hikupskikons8914
    @hikupskikons8914 2 дні тому +2

    Upande wa wenye kanzu ni nani??

    • @hajiramadhanihaji355
      @hajiramadhanihaji355 2 дні тому +2

      Kwani ndugu huwajui wenye kanzi kuwa Ni waislamu?

    • @hikupskikons8914
      @hikupskikons8914 2 дні тому +1

      @hajiramadhanihaji355 okay kumbe

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 День тому

      KANZU KUANZIA MAPOPE
      WA VATIKAN
      HADI NYERERE NA POMBE
      Wakuu wa Makatoliki Mapope (Popes) wa Mji wa Vatikan wanavaa Kanzu na Kofia. Makatoliki Nyerere na Pombe walivaa Kanzu na Kofia.
      Paul Makonda, Tundu Lissu na Freeman Mbowe huvaa Kanzu na Kofia.

  • @stephanojmafumbira5369
    @stephanojmafumbira5369 3 дні тому +1

    Nani kasikia kikawaidi uwezi ilewa ila kimungu unaweza kuilewa

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  2 дні тому +1

      @@stephanojmafumbira5369 "kilimwengu" sio kimungu sikiliza uelewe usisikilize kujibu.

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 4 дні тому +2

    Nimekuwa wa tatu kuiskia hii

  • @BarnabasFabiani
    @BarnabasFabiani 3 дні тому +1

    ❤🎉

  • @peterconrad6546
    @peterconrad6546 4 дні тому +2

    Nahitaji vitabu vyenu jmn nita vipataje?

  • @angelousfrank6945
    @angelousfrank6945 4 дні тому +1

    ❤❤❤

  • @SaidKhamis-q4b
    @SaidKhamis-q4b 2 дні тому +1

    acheni ujinga

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 4 дні тому +1

    🤔🤔✍️✍️

  • @AbdulhalimHafidh-s2m
    @AbdulhalimHafidh-s2m 4 дні тому +1

    Hunui wewe nyerere ndie aliyetumiwa

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 4 дні тому +2

      Kuna watu viraza atari

    • @leecode6135
      @leecode6135 3 дні тому

      Unganisha Doti ndugu yangu tulie soma North corea tumeelewa huyo kazungumza kinyume umeelewa hapo

  • @MosesMulambya
    @MosesMulambya 2 дні тому +1

    Hawa vijana wanajiropokea tu hovyo hakuna wanachojua sasa kama taifa mtaendejeza Tabia you basi ili siku mtajuta.

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 4 дні тому +5

    Africa kupigana na Africa niujinga mweupeeeeeeee

    • @LucasGoliath
      @LucasGoliath 2 дні тому +1

      Kwahiyo ulaya wanaopigana wenyewe kwa wenyewe wajinga??Kumbuka kuna Mabara 7 American ndiyo anafanya mpigane.. Kwahiyo hupigani na Mwafrica mwenzie

    • @golebenson4597
      @golebenson4597 2 дні тому +1

      @@LucasGoliath Bado upo usingizin

    • @LucasGoliath
      @LucasGoliath 2 дні тому +1

      @@golebenson4597 wewe uliyeamka nenda kawaambie Congo na Rwanda wasigombane...Ukiona umeshindwa,,ujuwe hata wewe upo usingizini,,vitanda ndiyo tofauti

    • @LucasGoliath
      @LucasGoliath 2 дні тому

      @@golebenson4597 Wengi wanajuwa history ya Aldof Hitler..Ila ujasili wa kusimama wafanye kama alivyofanya Aldof ndiyo tatizo..

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 4 дні тому +1

    Leo mimi niwakwanza kuwasikiliza

  • @SaluMaige-m1v
    @SaluMaige-m1v 4 дні тому +1

    Iddi amin kilikuwaga kichwa kingine asingeweza kusikiliza busara za mwalimu. Lilikuwaga jitu fulani hivi lililoshindikana na lilikuwa tayari kwa lolote lile.

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 4 дні тому +1

      😅😅😅😅jamaa aliwapogisha kwata wazungu... yule mwamba kweli busara za father yetu asingeziweza ilibidi tuu vita

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 4 дні тому +1

      Idd Amini hakuwa hivyo 😂😂