Sio lazima dua uombe kwa kiarabu unaweza kuomba kwa lugha yoyote ile acha kujidai umetafakar tatizo hamjui dini hamsomi halafu mnapayuka mitandaoni soma dini yako
🌍🌍🌍🌍👍✊🤞 #wachokonozi... Maana Kila tukio watu wanataka waifanyie kazi, NA uyo jamaa alie lala na wanawake 400 watafanya PRACTICE... UZUNI SANA MAMBO YA TV NA SIMU.....,📺
Hii media gani hii. Wanaitikia tu "mmh kwel kwel.. mmh" hata kweny upumbavu anao ongea huyu jamaa. Macho ndo yanaona kwa kutengeneza image ya kitu inachokiona kwa kutumia mwanga alafu image hiyo inasafirishwa kwenda moja kwa moja ktk ubongo kwa ajiri ya tafsiri ya picha hiyo ili kutambua hicho kitu ni nin, kikubwa au kidogo rang nk. Ukifunika macho uzuia mwanga kufika ktk jicho na hivyo jicho halitengenezi picha yeyote na ubongo unakosa cha kutafsir kutoka katika jicho na hapo tunasema hakuna uchokiona.
Radio zile zao Wana leta matangazo ya habari mbaya juu ya Africa jioni na asubuhi watu wanajua ni habari nzuri kwetu
11:08
Wachokonozi for life❤ Kwa mara ya kwanza nilijiuliza suala la dini why niombee Kwa kiarabu wakati mi ni muafrica kumbe ni asili yangu inafunguka
Sio lazima dua uombe kwa kiarabu unaweza kuomba kwa lugha yoyote ile acha kujidai umetafakar tatizo hamjui dini hamsomi halafu mnapayuka mitandaoni soma dini yako
Nawapata vyema wakuu 🤜🤛
Mbona imekatika wajombaaa.....
Mm wachokonozi toka niwafaham nawasikiliza kila siku niwalimu wazuri safi sana
Kazi kazini Wanajeshi wangu nawaelewa sana
Great thinking
Vitu vizuri saana..munatuelimisha saan kk❤️❤️🌹🖐️
🌍🌍🌍🌍👍✊🤞 #wachokonozi... Maana Kila tukio watu wanataka waifanyie kazi, NA uyo jamaa alie lala na wanawake 400 watafanya PRACTICE... UZUNI SANA MAMBO YA TV NA SIMU.....,📺
Safi sanaaa wachokonozi
Waooooooo!!! Waooooooo!!! Miamba hiyoooo the africaniiiiiiiiii!
Wa kwanza leo
Wachokonozi
Hii chanel watu wamaana kabisa tunawapata Kwa umakin
critical analysis 🎉🎉🎉
Uhakika mwalimu wangu
❤❤❤❤
Wachokonozi ❤🎉
Genius
wachokonoziiiiiiiiiiiiiiii
❣️
Kwl kbx
Kwl kbx mnaxema point.
Huyu nani? mmeikata sana
Upper triangle au round shape ?
Bangi tuu hizi😂😂😂..hamna mtu wa round,,mnarudia tuu vitu mmewahi kuskia ila utumbo mtupu 😂😂,,
Akili yako imeishia hapo kweli?
Hhhhhhhhhhh
Elimu yenu inatakiwa watoto wafundishwe kuanzia shule ya msingi.......itawasaidia
Labda wa kwako
Hii media gani hii. Wanaitikia tu "mmh kwel kwel.. mmh" hata kweny upumbavu anao ongea huyu jamaa. Macho ndo yanaona kwa kutengeneza image ya kitu inachokiona kwa kutumia mwanga alafu image hiyo inasafirishwa kwenda moja kwa moja ktk ubongo kwa ajiri ya tafsiri ya picha hiyo ili kutambua hicho kitu ni nin, kikubwa au kidogo rang nk. Ukifunika macho uzuia mwanga kufika ktk jicho na hivyo jicho halitengenezi picha yeyote na ubongo unakosa cha kutafsir kutoka katika jicho na hapo tunasema hakuna uchokiona.
Unaona kitu vile ulivyo sio kitu kilivyo
Hakuna unachokijua
Jamaa washakamatwa nini?
😅😅
Kwani kuna tofauti gani ya kujua na kuelewa? Nisaidieni.
Ndo maana tunasoma darasa Moja lkni ufaulu unapishana