*HUU NI MWAKA WA KUMILIKI KIWANJA USHINDWE WEWE TUU!!!* *VIWANJA VIZURI, TAMBARALE, HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KAMA VILE MAJI, UMEME, SHULE, ZAHANATI N.K* *VIWANJA VIPO VIKINDU-VIANZI MJINI* *KUTOKA VIKINDU STENDI MPAKA SITE NI KM 3 TU KWA NAULI YA 1000 BODA BODA AU 500 KWA BAJAJI* *VIWANJA VINA UKUBWA WA FUTI 50 KWA 40 YAANI UKUBWA WA KUJENGA NYUMBA MOJA NZURI ILIYOKAMILIKA* *BEI NI NAFUU SANA 2,800,000 TU* *ANZA NA 1,500,000 ILIYOBAKI UTAMALIZIA BAADA YA MIEZI MITATU* *WAHI SASA MAPEMA ILI UPATE VIWANJA VIZURI KWANI SITE BADO NI MPYAAA YA MOTO🔥🔥* *TUPIGIE KWA NAMBARI 0718-563845 AU 0767-781872 KWA MAELEZO ZAIDI* *KIWANJA CHAKO NYUMBA YAKO FAINALI UZEENI*
Hongera sanaa dada snura kumrudia Mungu ndo kila kitu wapo watakaokucheka kukuona mjinga lakini big up sana kma maovu tushafanya sana ni mda wa kumrudia Mungu
Nina miaka 3 toka nimsikie uyu Dada anaitaji kubadilika kwani kwao ni wacha Mungu xna na yeye alitamani kulejea kwa Allah, miaka 3 ajajiushusha na sanaa kabla ajaolewa alisema aya
Allah Akulipe na Azidi kukuhifadhi. Kwenye safari yako hii wako wengi watakubeza na watakuona mjinga. Lkn kwa vile umetia nia kumrudia Allah basi tunakuombea sana na Allah Ameahidi ukija unatembea mie nitakukimbilia. Allah Atakukimbilia mpendwa. Unaweza kukutana na mtihani elewa ni shetani tu anataka kukusumbua. Usijali. Allah Atakulipa kwa nia yako. Mradi umetamka basi Allah Amesikia.
Alhamdulillah,hongera sana dada,namuomba allah akusameh kwa ulipokosea na akuongeze katika njia yake ya haki wewe na familia yako pamoja na sisi sote hadi mwisho wa maisha yetu na akujalie wewe na sisi khatma njema amiin.
Subhanna allah allah akupe hekma na akusamehe madhambi yk uiongoze familia yk kw dini umefanya jambo kibwa sana yafaa kuigwa kw kila mwanamziki mwenye kujielewa binafs nimeona ni jambo kubwa sana umelifanya
Mshukuru Allah kwa kukupa nafasi ya kumrudia tunakuombea na kujiombea mwisho mwema am so happy for you kuanzia kuolewa kwako mpaka kubadilika kwako nakupenda sn kwaajili ya Allah
Subhanallah yarabi mwingi wa rehma yeye ndio mwenye rehma mjaalie Maja wako thibat katika Nia yake yarab mnusuru na yote mabaya msamehe aliopitia yeye ni kiumbe dhaifu bila wewe asingekua hapo alipofikia❤
Alhamdulliah! Alhamdulliah! Alhamdulliah! Allah akuongoze wewe na sisi katika njia iliyonyooka na pia tunamuomba Allah atujaalie mwisho mwema. Allahummma Aaminy!
Safi kabisa allah azidi kukusimamie na ushauli wangu dada yangu nenda madrasa kasome usikubali kukaa nyumbani tu na shemeji yetu awe mkali katika kukusimamia na ujizuie kwenda kwenye mashughuli yasiyo na maadili
Allah akuongoze bi Snura . Binadamu ndie kiumbe aliye pewa utashi wa kutambua jema akaliendea na baya akaliepuka Allah anampenda mja wake aliye potea akajitambua na kurejea kwenye njia sahihi,
Nimerudia kusikiliza mala kaza unafaa kuigwa Dunia mapito2 wangp walikuwepo sasa ivi wako wap sema binadam punzi inatupa kibuli mungu atusamehe mazambi Natubalike tuwe watu wenye kumcha anlla
Allah akufutiye madhambi ya mziki akuongoze katika heri akulinde katika tauba hii ya mziki na wale waislam wanaopiga miziki nao wakuige zambi ya miziki ni kumuasi Allah kumuuzi Allah miziki ni Haram ndugu zangu
لاإله إلا الله!!! قال الله تعالى: ((إلا الذين تابوا وأصلحوا وبينوا..........)) Allah akuhifadhi dadaangu, nakuona unaongea kwa moyo wako zaidi kuliko mdomo wako. Nauona ukweli ndani yako. Allah akuthibitishe ktk haqqi na akufishe ktkk hali hiyo.
mashaallah ila dada wetu hilo linapendeza sana cha kufanya tafuta namna ya kufuta hizo kazi zako kwenye mtandao ka youtub zisipatikane tena kwa sababu hata yeyote akiskia umeachana na mambo ya sana anajaribu kutafuta ulivyo kua ukiimba yaani ulivyokua ukipafomu . mwenyezimungu Akupokee katika waja wake wema na akupe akhera nzuri na akusamehe madhambi yako. asalam alaykum
Ma Sha Allah, Allah akuongoze siku zote nasi pia. Tusiache kumuombea na Daimond aache njia za shetani, aache zinaa awe na mke halali, Jehanam inatisha.
Hongera dasnura mungu akupe subira na moyo na msimamo huohuo ila ujutio huo uwe endelevu na hio ndio dalili ya mtu mwema na akujaalie uwe mwema hivyo hivyo umependezaje boss wangu mavazi yamekupendezesha sana
Maashaa Allah Snura Allah anajua Niya yko dada Allah akuongoze Zaid uwe km Sumalee na Yule Kaka alyeimba imekaa vibaya nae kaongoka mashaa Allah kaacha kabisa muzik sasa hiv niustaz anasomesha din😍🤲🏻🕌🕌hakika Allahu Akbaru🕌🕌❤️ hakika Allah anawapenda wenye kutubia🤲🏻❤️
Mashallah Allah akuongoze zaidi kwa hakika Allah humuongoza amtakae kwa hakika umefanya jambo zuri sana muombe msamaha mola wako Lia sana kwa Allah Allah atakusamehe na sisi waislamu tumuombe Dua dada sunura pamoja na sisi wenyewe
Masha Allah Masha Allah, Allah akuongoe zaidi na zaidi... na akupe wepesi wa kubeba hali nzinto unayoipitia kwa sasa. Allah azithibitishe nyayo zako usije ukateleza tena. Nasi pia asimame atuongoze kwa wema In Shaa Allah. Ameen.
Uwo ndo uwisilamu sasa mwisilamu akifanya makosa ana jirudi Allah aku simamie dada Angu maana sheytwani waki jini nama sheytwani waki binadamu wana vitimbi mnoo Allah akupe nguvu uwashinde masheytwani waki binadamu na wakijini Amina Amina
Mbona ali kiba kajenga mstiki tabata daimond kajenga msikiti kigoma kwa kazi hiyo ya mziki hamku mwambia aache huyu mama kapata pakujiangusha ila alisha filisika kimziki ndo maana kasema zisi pigwe kwenye radio ange takiwa afute kabisaa
@@BarnabasFabiani acha upuuzi wako,mtu amerudi kwa mungu maneno gani hayo unayosema,hao kila Ali kiba na Diamond pamoja kujenga misikiti lakini bado wako kwenye ushetani wa musiki hawana radhi ya mungu mpaka na wao wabadilike kama huyu dada vinginevyo hakuna walichonacho kwa mungu.
Mashallah ila nakuombea sana sana kwa Allah akuhifadhi na akupe mwisho mwema kwa upande wa pili mimi shabiki wako mkubwa sana napenda sana nyimbo zako ila kwa hili niko radhi sitosikiza kabisa na pia nikisikia mtu anasikiza niko tayari kupapana nae na tatu Allah akupatishe na mitihani yote usirudi nyuma kabisa dadangu . Inshallah kheiri
Dada snura ameonga kwa ikhilwas kabsa, anaongea akimaanisha, usjal dada Allah ashasema katika Qur'an suratul Zumar aya ya 53., Mwenyezi Mungu anasamehe madhambi yote kwa mwenye kufanya toba ya kweliii.
Allah anasema "Enyi wanaadamu ,laiti ingelikuwa hamnikosei Mimi mola wenu basi ningekuondosheni na nikaleta viumbe wengine watakaonikosea na KUNIOMBA msamaha (Toba)"" ""Ewe mola tuoneshe Haki na aturuzuku kuifata na utuoneshe batili na uturuzuku kujitenga(kuiacha ) nayo""
Ukiona mtu amefanya jambo zito kama Hilo amekuwa mja wa Allah ☝️ mashaallh mashaallh mashaallh mashaallh
Ya❤
Hongera san nko hapa namsubiria Zuchu nae aache mziki in sha Allah
Dada snura hongera sana kwa maamuz yak mazur samahan pia mm nipo oman ningependa kukuletea zawad japo ya mswala inshaallah ❤❤🎉
*HUU NI MWAKA WA KUMILIKI KIWANJA USHINDWE WEWE TUU!!!*
*VIWANJA VIZURI, TAMBARALE, HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KAMA VILE MAJI, UMEME, SHULE, ZAHANATI N.K*
*VIWANJA VIPO VIKINDU-VIANZI MJINI*
*KUTOKA VIKINDU STENDI MPAKA SITE NI KM 3 TU KWA NAULI YA 1000 BODA BODA AU 500 KWA BAJAJI*
*VIWANJA VINA UKUBWA WA FUTI 50 KWA 40 YAANI UKUBWA WA KUJENGA NYUMBA MOJA NZURI ILIYOKAMILIKA*
*BEI NI NAFUU SANA 2,800,000 TU*
*ANZA NA 1,500,000 ILIYOBAKI UTAMALIZIA BAADA YA MIEZI MITATU*
*WAHI SASA MAPEMA ILI UPATE VIWANJA VIZURI KWANI SITE BADO NI MPYAAA YA MOTO🔥🔥*
*TUPIGIE KWA NAMBARI 0718-563845 AU 0767-781872 KWA MAELEZO ZAIDI*
*KIWANJA CHAKO NYUMBA YAKO FAINALI UZEENI*
Hongera sanaa dada snura kumrudia Mungu ndo kila kitu wapo watakaokucheka kukuona mjinga lakini big up sana kma maovu tushafanya sana ni mda wa kumrudia Mungu
Allah akuongoze dadayetu na akusimamie atupokelee touba zetu sote
Mashaallah ❤❤❤❤Allahu akbar
Maa Shaa Allah, Allah akujalie zaidi na zaidi
Atoe na Hicho, kipini,, sasa,,
Yaaani,, safi, sana'' *Mungu Haangalii Mwanzo' mzuri' Bali''' Mwisho, Wenye Ushuhuda,,,'''*
Nmefrah kuona rafki angu snura kuingia kwenye njia ya mola wetu inshaalah mungu akfnglie milango ya pepo
Nimejisikia kulia mungu akuongoze my manshallah atuongeze na Sisi Alhamdulillah 😊
Tujuane dada angu maana hua naonaga komenti zako
Amiin
Mimi nalia haswa,Allah aliye muongoza atuongozo na sisi.
Amiin
@@munayussuf4255 aamiina rabi amiina
Hongera Sana habibty Dada Allah akufanyie wepesi habibty ❤
Mashallah mungu akupe Iman kwa kurejea kwa allah usijekuwa kama mzee y
DADA JUA KUPITIA HILI ALLAH ATAKUTAHINI ATAKUPA MITIHANI MBALI MBALI JITAHIDI USIRUDI NYUMA NAMIMI NAKUOMBEA PIA
Swadakta
Jitahidi na omba kushinda mitihani sababu ALLAH atakutahini
Kwa kweli kubadilika sio shida ni hiyo mitihani atayotahiniwa mfano kwa kaka yetu mzee yusuph
Allahuumma Aymen insha'allah 🤲
Hongera dada umetangaza vita na sjeytwani pambania nafsi yako dada hongera
ALLAH AKUWEZESHE USIJE KUWA KAMA MZEE YUSSUFU ALIACHA NA BAADAE AKARUDIA TENA
Narudi mjini😂
Hilo nalo neno haswaa
Nina miaka 3 toka nimsikie uyu Dada anaitaji kubadilika kwani kwao ni wacha Mungu xna na yeye alitamani kulejea kwa Allah, miaka 3 ajajiushusha na sanaa kabla ajaolewa alisema aya
Naam
Mashallah Allah akukubalie ibada zako
Mashaallah Allah akufanyie wepesi dada angu mungu akujaze Imani zaidi
Ukisikia mtu anaomba khatma njema ndo hii, Allah akuongoze Dada yangu, usiwe km alierudi mjini
Jmn Mpk nahisi kusisimkwa Mwili
ALLAH akuongoze vyema dada yangu na atupe mwisho mwema
Allahumma Amiiiin 🙏🙏🙏🙏
Ameen
Ameen
Mmmh menaogopa
Mashaalah Allah akuongoze dada yangu
Allah Akulipe na Azidi kukuhifadhi. Kwenye safari yako hii wako wengi watakubeza na watakuona mjinga. Lkn kwa vile umetia nia kumrudia Allah basi tunakuombea sana na Allah Ameahidi ukija unatembea mie nitakukimbilia. Allah Atakukimbilia mpendwa. Unaweza kukutana na mtihani elewa ni shetani tu anataka kukusumbua. Usijali. Allah Atakulipa kwa nia yako. Mradi umetamka basi Allah Amesikia.
Usije ukawa kama mzee yussuf
Masha Allah Allah akuongoze pamoja na sisi pia atupe mwisho mwemaaa!!!
Allah akuongoze dada...
Allah akusimamie iwe toba yakweli na sio unaingia unatoka
Alhamdulillah,hongera sana dada,namuomba allah akusameh kwa ulipokosea na akuongeze katika njia yake ya haki wewe na familia yako pamoja na sisi sote hadi mwisho wa maisha yetu na akujalie wewe na sisi khatma njema amiin.
Na mzee Yussuf pia Allah muongowe tena inshaallah muhimu mwisho mwema
Subhanna allah allah akupe hekma na akusamehe madhambi yk uiongoze familia yk kw dini umefanya jambo kibwa sana yafaa kuigwa kw kila mwanamziki mwenye kujielewa binafs nimeona ni jambo kubwa sana umelifanya
Nyieeee mwenzenu nmeccmka mwili 😭😭😭😭 mashaaalah dada Mwenyezimungu akucmamie .....nasisi sote tuwe wenye kumcha ALLAH tukumbuke kumrudia ALLAH😭😭😭
Mashaallah tabarakallah Allah akuongoze dada yangu umefanya jambo sahihi sana,Allah awanusuru waislamu wote waliopotea njia..
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen Na Islaam jamii 🤲🤲
Amina Yarab
Je umesha futa akaunti yako ya nyimbo zako? Vizuri ufute, Hongera sana Dada ❤
😂😂😂😂😂
Msikie hadi mwisho yote ameyasema
Wimbo gani uliupenda?
@@emanuelwakawenga4023 majanga
Hajafuta kamsaidie kuzifuta we bwege nazi.
Mwenyezimungu akupokelee Toba yako na akuongoze katika njia iliyonyooka Inshallah.
Jiandae qushindana na shetani hachezagi mbali na watu wanaotangaza quachana nae,,mungu aqupiganie
Amina in sha Allah
hongera sana dada bali wajinga utakuwa umepalilia siunajua tena
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
huu ukweli
Mshukuru Allah kwa kukupa nafasi ya kumrudia tunakuombea na kujiombea mwisho mwema am so happy for you kuanzia kuolewa kwako mpaka kubadilika kwako nakupenda sn kwaajili ya Allah
Allah akufanyie weps na akusamhe pia
Atışameh kwa sote
Mkamilifu ni Allah tu
Amiyn amiyn amiyn
Allah akujaalie kila lililo la heri ndugu yngu na asimame kwa haja ya moyo wako
Kila lakheri kipenz Allah akupenguvu uweze kushinda kila mtihani itakayokuja mbeleyako
Mashallah Mwenyez mungu ukuongeze dada yetu na Akupe Mwisho Uliokuw Mwema Ww Pamja na sisi Hta Hvy iwe N 7bab ya wengne kumrdia Allah
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
Masha Allah
Allah aendelee kukuongoza na atuongoze mpaka kifo chetu na kesho Akhera tuwe wenye hesabu nzuri na makazi mema
In shaa Allah
MashaAllah hongera sana Dada yetu. Allah akuhifadhi na akupe subra, akupe ighfari.
Wallahi mpaka umenitoa machozi wa binti. Allah Akuhifadhi sana.
Ma-ash-ALLAH snura Allah akuongoze ivoivo ktk njia iliyonyooka hatimaye akuingize ktk pepo yke tukufu y firdaus ameen ❤️💯❤️
Subhanallah yarabi mwingi wa rehma yeye ndio mwenye rehma mjaalie Maja wako thibat katika Nia yake yarab mnusuru na yote mabaya msamehe aliopitia yeye ni kiumbe dhaifu bila wewe asingekua hapo alipofikia❤
Allahuumma Aymen 🤲
Mwenyez mungu akujalie kher zaid
Safi sana Dada etu snurah hongera kujiokoa umesha win
Yesu ndio kimbilio letu bado shetani atakutafuna MUNGU WA kweli aumjui
Allah atuogeze ktka maadil mema inshallah
Alhamdulliah! Alhamdulliah! Alhamdulliah! Allah akuongoze wewe na sisi katika njia iliyonyooka na pia tunamuomba Allah atujaalie mwisho mwema. Allahummma Aaminy!
Safi kabisa allah azidi kukusimamie na ushauli wangu dada yangu nenda madrasa kasome usikubali kukaa nyumbani tu na shemeji yetu awe mkali katika kukusimamia na ujizuie kwenda kwenye mashughuli yasiyo na maadili
Shukran kwa nasah namuomba Allah tuzifanyie kazi sote
Allah azidi kukuongoza mama
Usije ukashawishika abadan kurudi mjini kama watu wengine, Allah akustiri sana ❤
Mashaallah Dada...Mwenyezi mungu azidi kkuongoza katika njia iliyonyooka inshaallah
Namuomba Allah Mwenye huruma zaidi kwa waja wake akusamehe wewe na sisi atukubalie toba zetu na yako na atupe mwisho mwema.
Allahumma Aamiina
ماشأالله .Allah akukubarie toba yako nakuongoze ktk haki umefanyavizur kutoka
Mashallah mashallah mashallah ❤❤❤❤❤❤❤
Karibu sana kipenzi tunakupenda Kwa ajili ya ALLAH
Mashallah umeamua maamuzi yamaana sana mungu akujalie leo mpaka akhera nimependa maamuzi yako🇰🇪
Umepwndeza sana
Allah akuongoze bi Snura . Binadamu ndie kiumbe aliye pewa utashi wa kutambua jema akaliendea na baya akaliepuka Allah anampenda mja wake aliye potea akajitambua na kurejea kwenye njia sahihi,
Nimerudia kusikiliza mala kaza unafaa kuigwa Dunia mapito2 wangp walikuwepo sasa ivi wako wap sema binadam punzi inatupa kibuli mungu atusamehe mazambi Natubalike tuwe watu wenye kumcha anlla
Allah azidi kukuongoza kwenye njia iliyonyooka na sisi sote kwa pamoja
Allah Akibar walillah lihamdu ♥️❤❤
Allah apokee toba yake Amuongoze njia ktk ilonyooka.amjalie huu UWE mwisho mwema wake dhidi ya miziki msamehe pale alipokosea .
Amiin
Masha Allah Allah akuw3z3she nyimbo zake inabidi zitolewe mitandaoniii mote
Allah guide who he want alhamdulilah may Allah make it easy for you and the believers
Mwenyeezi mungu amesema mtu anae omba toba ya kweli husamehewa
Allah akufutiye madhambi ya mziki akuongoze katika heri akulinde katika tauba hii ya mziki na wale waislam wanaopiga miziki nao wakuige zambi ya miziki ni kumuasi Allah kumuuzi Allah miziki ni Haram ndugu zangu
yaani dada snura umenifurahisha sana, furaha isiyo kifani na mm nakuombea mambo mawili kwanza mwisho mwema na usitoke tena katika dini ya uislamu
لاإله إلا الله!!! قال الله تعالى: ((إلا الذين تابوا وأصلحوا وبينوا..........))
Allah akuhifadhi dadaangu, nakuona unaongea kwa moyo wako zaidi kuliko mdomo wako. Nauona ukweli ndani yako. Allah akuthibitishe ktk haqqi na akufishe ktkk hali hiyo.
Snura hongera mweyezi Mungu akutangulie zaidi
Mashallah allah(s.w) akuongoze kwenye hili inshallah
Ongera dada yangu, mungu akuongoze!!umechagua mwisho mwema.
Ongera sana dada Kwa ma mazito lkn mazuri kama hayo.
Nakuomea Kwa Allah akupe mwisho mwema inshaAllah
mashaallah ila dada wetu hilo linapendeza sana cha kufanya tafuta namna ya kufuta hizo kazi zako kwenye mtandao ka youtub zisipatikane tena kwa sababu hata yeyote akiskia umeachana na mambo ya sana anajaribu kutafuta ulivyo kua ukiimba yaani ulivyokua ukipafomu . mwenyezimungu Akupokee katika waja wake wema na akupe akhera nzuri na akusamehe madhambi yako.
asalam alaykum
Allah akubaariki dada yang kwa maamzi ulio yafanya
Maasha Allah,Allah akuongoze ila ilikuwa sio lazima ujitangaze,matendo na uchamungu ungedhiirisha unachokibainisha. Toba niwewe na Allah tu..
Mashallah ila una jukumu kubwa kwa jamii Tafadhali bc usijee ukawa kama yule Mnafiki Mzee Yussuff.
Nami nilitaka sema hivyo
😂😂😂😂
Ma Sha Allah, Allah akuongoze siku zote nasi pia.
Tusiache kumuombea na Daimond aache njia za shetani, aache zinaa awe na mke halali, Jehanam inatisha.
Allah akudhibitishe Katika hilo isije ikawa kama ya mzee Yusuphu
Na kweli maana huko Kuna umasikini balaah
Jmn hkun umasikin kubwa imani na subra tu kwa allah
Allah amuongoze
Nakuomba Allah akuhifadhi dada yangu...uishinde mitihani.. nakuombea sana...tunakupenda kwa ajili ya Allah😢😢😢😢😢@@ngolocomedian
Alhamdhulillah 🤲
Maa Shaa Allah. Allah atuongoze na sisi na wengine wote
Watu wote wamekumbea duaa da snura sasa kaa katika haki Allah atukusimamia na Allah akupe nguvu na subra
Ongera Dada Allah awe pamoja na wew, Allah ameshakusamehe mwisho mwema ni bola kwakila Mja.
Alhamdulillah dada etu katika iimani allah akuongoze ufe kwenye huo msimamo
Mashaallah tabarakallah,, kikubwa mlilie Allah dada Snura. Allah no mwenye kuzuiya nyimbo zako zisipigwe. Tazama kali p mashaallah
Hongera dasnura mungu akupe subira na moyo na msimamo huohuo ila ujutio huo uwe endelevu na hio ndio dalili ya mtu mwema na akujaalie uwe mwema hivyo hivyo umependezaje boss wangu mavazi yamekupendezesha sana
Dada snura. Usijefanya kama alhaji mzee yusufu. Mungu akusimamie
Huyu vile anavyoongea ndo vile vile alivyokuwa akiongea mzee yusuf kwamba watu wasipige nyimbo zake sasa kurudi mjini anajua Mungu
Tumuombeeni sana dua huyu dada, amefanya jambo la msingi sana na lamaana.
Allah akulinde
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
Amiiin
Haleluya Asante Mungu , mweny dhambi akitubu Kwa dhati Mungu na malaika hufurahi. Njoo mwimbie Mungu kanisan
Kwakwambia Yeye ni muislam sasa kwenye hilo kanisa lako afuate nini
Mashallah Mashallah mashallh mungu akuandalie pepo kwa kutubu
Maashaa Allah Snura Allah anajua Niya yko dada Allah akuongoze Zaid uwe km Sumalee na Yule Kaka alyeimba imekaa vibaya nae kaongoka mashaa Allah kaacha kabisa muzik sasa hiv niustaz anasomesha din😍🤲🏻🕌🕌hakika Allahu Akbaru🕌🕌❤️ hakika Allah anawapenda wenye kutubia🤲🏻❤️
Hongera sana yangu umefanya jambo zuri sana nimepena sana
Mashallah Allah akuongoze zaidi kwa hakika Allah humuongoza amtakae kwa hakika umefanya jambo zuri sana muombe msamaha mola wako Lia sana kwa Allah Allah atakusamehe na sisi waislamu tumuombe Dua dada sunura pamoja na sisi wenyewe
dada mungu akujalie kwa uamuzi wako uishie mwisho mwema
Mashallah mungu akuzidishie na imani yako 😢
Masha Allah habibty Allah atuongeze sote na taupe mwisho mwema
wazo zuri dada yangu kuacha Sanaa mungu ni mwema
Dada shetwan anakusikia kazi kukaza kuacha maisha ya kidunia sio kitu rahisi allah akulinde inshaah
Dada MWENYEZI MUNGU atakurinda dada ubarikie sana
Masha Allah Masha Allah, Allah akuongoe zaidi na zaidi... na akupe wepesi wa kubeba hali nzinto unayoipitia kwa sasa. Allah azithibitishe nyayo zako usije ukateleza tena. Nasi pia asimame atuongoze kwa wema In Shaa Allah. Ameen.
Mashaallah dd Allah akuongoze san kwa naamuzi mazuli san ❤❤❤❤❤
MA SHA ALLAH. DADANGU ALLAH AKUZIDISHIE NA AKUDUMISHE KATIKA IMANI MPAKA KIFO CHAKO
Uwo ndo uwisilamu sasa mwisilamu akifanya makosa ana jirudi Allah aku simamie dada Angu maana sheytwani waki jini nama sheytwani waki binadamu wana vitimbi mnoo Allah akupe nguvu uwashinde masheytwani waki binadamu na wakijini Amina Amina
Mbona ali kiba kajenga mstiki tabata daimond kajenga msikiti kigoma kwa kazi hiyo ya mziki hamku mwambia aache huyu mama kapata pakujiangusha ila alisha filisika kimziki ndo maana kasema zisi pigwe kwenye radio ange takiwa afute kabisaa
@@BarnabasFabiani acha upuuzi wako,mtu amerudi kwa mungu maneno gani hayo unayosema,hao kila Ali kiba na Diamond pamoja kujenga misikiti lakini bado wako kwenye ushetani wa musiki hawana radhi ya mungu mpaka na wao wabadilike kama huyu dada vinginevyo hakuna walichonacho kwa mungu.
@@BarnabasFabiani kujenga msikiti na kanisa kwa pesa za muziki haifai ni kama kujionesha kama wanawez kufanya
Haram ni haram
Kujenga msikitini sio tija@@BarnabasFabiani
@@BarnabasFabianiusingiliye uwamuzi wa mtu wewe huwezi kumuombeya Duwa basi ni uzuri tu kunyamaza
Mashallah ila nakuombea sana sana kwa Allah akuhifadhi na akupe mwisho mwema kwa upande wa pili mimi shabiki wako mkubwa sana napenda sana nyimbo zako ila kwa hili niko radhi sitosikiza kabisa na pia nikisikia mtu anasikiza niko tayari kupapana nae na tatu Allah akupatishe na mitihani yote usirudi nyuma kabisa dadangu . Inshallah kheiri
Hongera kwa bahati hiyo ulioipata Maan a si rahisi
Mashallah jazakallah lkheiry Allah Akufanyie wepes dada njia ilionyooka
Tusikate tamaa juu ya rehma za Allah
Dada snura ameonga kwa ikhilwas kabsa, anaongea akimaanisha, usjal dada Allah ashasema katika Qur'an suratul Zumar aya ya 53.,
Mwenyezi Mungu anasamehe madhambi yote kwa mwenye kufanya toba ya kweliii.
Allah anasema "Enyi wanaadamu ,laiti ingelikuwa hamnikosei Mimi mola wenu basi ningekuondosheni na nikaleta viumbe wengine watakaonikosea na KUNIOMBA msamaha (Toba)""
""Ewe mola tuoneshe Haki na aturuzuku kuifata na utuoneshe batili na uturuzuku kujitenga(kuiacha ) nayo""
Mie mwenyewe nataman niache Kla k2 nwe 2 m2lvu ndio naomba MUNGU hapa kmya kmya itokee cku nkae mbal na vshawsh 😢
Allah ni Raheem Kareem Atakupa ya kheri Duniya na Akhera usivunjike moyo🤲🤲
Tuko pamoja ndugu yangu naamini ipo siku Allah atafanya wepesi na Nia yetu itatimia inshaalah 😢
Mi pia jamani ee Mwenyezi Mungu nifanyie wepesi wakuachana na mambo ya dunia maana kila nikijaribu nashindwa niokoe Mungu wangu
@@agnesjohn9382karibu katika uislamu Agnes
Allah atakuongoza in Shaa Allah
@@agnesjohn9382 🤲🤲🤲
Mashaalah allah akuongoze ndugu yangu ktk imani
اللهم صل على محمد وآل محمد و عجل فرجهم
Mashaallah hongera sana Allah akijalie riziki ya halali mungu akiongoze kwa Kila njia
Tulio angalia video za sinura tena ya wasafi media gonga like😂
We muombee mt akisha juwa kakossa wap na kurud kwa Allah 🤐 jifunze kunyamaza kama huna cha kuchangia
@@MrangiOgsahih kabisa