Ila Diamond njo kila kitu. Ukitaka kuongelewa, Diamond, ukitaka kiki Diamond. Ila asante Maman Dangote kuwazaliya Abdul Naseeb Djuma AKA Diamond Plantunmz. 🤔
Kwanza mm namuona chizi sn uyu dada maana alipo kuwa ana mausiano na simba alikaa kimy ss kaachwa ndo anasema ili iweje ndo June km nayy alifunuliwa au si akae kimya tuu km alivyo kaa mwanzo au ndo kusema ivyo kutaka kuchafuwa penzi la tanasha we demu mbwa Sana ww yn bora unge kaa kimy ht ungekuwa nashida ungenwambia angekusaidia nahata unge kuwa mchepuko lkn mhhh chizi ww
Dont make me laugh? You just say he respects her? If he was sleeping with women behind Zari's back, and fathered a child with his side chick and he was constantly denying his child, then disrespect the mother of his kids, what the fuck are you talking about?Eti Respects her? Hahahah yani if Tanasha thinks she got a good respectful man, I am fucking laughing my ass off right now. Diamond is an abusive man, he doesn't respect any woman but his mother. He misogynistic and womanizer. Let the woman tell all so everyone knows what a fucking asshole, period!
Movie ambayo itakuwa na Character zinasohusiana na wachezaji wafuatao ,Madebe lidai ,Ray kigosti ,Mafufu na Mzee wa Jerusalem Jacob , Ninaimani hapo tutapata Movie Kali Sana ,Yenye Mjumuisho wa Mawazo ya vichwa adhim Kama hivi ,I hope tutaifurahia Sana , Tuwe na Umoja ili tujenge Soko Zuuri la Film Tz , Tuangarie kwa wezetu , Indian , wamejipanga , na Umoja wao Ni Baba lao , lakini ikiwezekana Ndani ya Hiyo list , Diamond awepo , Ingia UA-cam andika Justine Beatus ,Usisahau kusabcribe ,karibu Sana ,
Dadaaa ma kiki karibu mjengoni. Umepotea si haba🤣🤣🤣 na nyinyi pia kazi munaiyanza na Umbea sasa. Mazungumzo yote ni Diamondi. Duh! Nitawa wahama🏃♂️🤣🤣🤣
Acheni wivu watanzania JEALOUS YA NINI? SHE IS GOOD AND BEAUTIFUL AND CELEBRATE TOO .Watu wengi wanapenda kusikia akiliongelea ili swala la diamond.. that's why media imemchukua ili watanzania na fans wake wapate majibu. Ila nyie baada yakummotivate ndio kwanza mnamtukana kumbeza na kumpa maneno mabaya. Kama amekosea mrekebishe mshauri kumtukana sio solution.!✌️
Stop bashing the girl what about the man who has been doubling women being a womaniser so he's the innocent one and the women are the ones to blame???????wtf
Watoto wengi hapa bongo niwazur ila tatizo lao moja wanapenda mtu kwa mafanikio Yake 2 na Hawajatulia ndo maana masta wanaoa Kenya Rwanda etc hawa niwakuwamega2
Kwa nini mtyuu asiongeleee music mnamuongelea mtyuu ambae ana maishaaa yakeee....hiviii Lyn kwelii wewe interviews zakooo zitakua kuongelea Diamond tyuuu....kwan Nini D ndo aweee wa wewe kufwaaa kwenye interview kwa nini wasiongelee music as music afuu na nyie watangazajiii muulize maswali yenye maaana siooo mahusianoooo n D
There was no day diamond alikutambulisha kama dem wake wacha kujiita X wa diamond coz u was never diamond X chep gold digger slayqueen wa kuaribu mausiano ya watu shetani
Dahh‼ WaBongo mnaingia 2020 na kiki Kiki mchezo kando aisee! Wh now?Mbona kafanya interview sasa?! Haya social media ilipuke I'm sure she can't wait 🙆♀️
Yani waandishi habar za umbea mnapenda kuliko habar za maana wakat Kuna police yule aliye Zima moto sioni kuipaisha Ile habar lkn mambo ya kijinga mnapenda badilikeni cyo vzr uyu dem na mondi mbona kitambo sana
kwa jinsi ziwa ninavyoliona na jinsi anavyojichekesha chekesha. Nafikiri anapenda sana communalism.but kichwani sio smart hakupaswa kuendelea kuwa mtu wa Diamond
Hiv utakubalije mtu aje ajitambulishe kwenu na wakat huo unajua kua yupo na mtumwingne na hawajaachana et yeye alikua anaonekana mim sionekan km sio kupenda hela duh kwel ukiwa nazo unaweza kufunga ndoa hata 10 na watu wanajuana wasikutifue😅
Kama na wewe umeona matiti meupe kama maziwa tambua mwaka huu utakuwa mzuri kwako...Diva tupa kule...ukiwa na pesa kila demu atakutaka..shikamoo babalao.
Yaani, huyu dada nzuri lkn kujielezea hajui namuonea huruma na kwenye lugha ndo kabisa bora tu aongee kiswahili kwenye interview zako kuliko English hajui
Jamani diamond sio husband material he likes braging that women he dated still loves him which is not true no one of his baby mamas wants to get back with him
Wadada wakibongo jamani sasa mtu ana mahusiano na watoto alaf unaongea bila aibu eti anaruhusiwa wake wanne.mtamegwa na kuachwa sana tuu kwa tamaaa zenu
Hapo SIMBA BABA Lao anakula mpaka kesho hasara kwa tanasha anajisifu bure asikilize hii Interview watu wanachumbia kila Pahala wanajitambilisha na Waze wake mungu wangu simama
Hi PC kari Kam demu wangu
Wangp wanajua English ya fom 4 ina milima na mabonde tujuane
Ziwa linaimba nibebe nibebe nibebe nibeeebe, nibembeleze nibebe ee Lynn unibebe, kifuani kwako niwe salamaaaaaa😁😁😁
Daaah baharia unachungulia
haaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂
@@nivajulius6356 😁😁😁😁😁
Haha 😂 yani wewe you’re so funny 😂
@@giftqueen4868 😊😊😊😊
Hila lynny ni mzuri jamani kujielezea ndo shida
Yes mzr yuko vzr yes
Yani we dada hakili huuuuuna duuuu la tête vide🤣🤣🤣🤣🤣
Lynn we ni mzur ila akili sifuri yn tena sifuri naiona kubwa kuliko akili yako
🤣🤣🤣🤣🤣
You talk about appearance in face but she is mad empty in head
Jamani nimecheka kama mwehu daah
Yaan interview ndeeeefu. Ila sina nililolielewa kwa kweli
Upuuzi mtupu
Happyness Elisha najihisi mwenyewe ndo sielewi kumbe mob
Kabisa yan mpk keroo
Ulitumwa uangalie?
Oooh kumbe alikuwa school mate wangu kama umesoma msimbazi gonga like...
Zari bora uliondoka,wangekuuwa na maradhi,mtu mpaka anaenda kuchumbiwa kwao lohh
Yani huyu Domo ki shetani kabisa mmmmm kumbe hata kujitambulisha kwao mungu wangu
Kabisa
Huyu zari mwenyewe Malaya mwengine tu
@@ngendadodidonathe Wewe ndiye Mungu sio?
@@freelancer6368 umri ulimfanya atulie
Move on girl, let the past be the past .some thing are better left unsaid.
Nima hassen yes baby
Actually cant she move on with her life and stop this petty petty things
Jamaan alie sikia "Let me aksi you" tujuane hapa hahaaah kinge kigum jamaan
Kumbe hata ww umeckia hiyo😂😂😂😂
😆😆😆😆😆watanzania mtaja tuua,,,,,oongeeni kiswahili jaman
@Dolly an the doligan eloi kuja huku utueleze hata mm nimeskia aks 😂😂😂
😂😂😂😂😂
Ahahahahaha form four D II🤣🤣🤣🤣🤣
Subscribe for more guys🙌
Ila Diamond njo kila kitu. Ukitaka kuongelewa, Diamond, ukitaka kiki Diamond. Ila asante Maman Dangote kuwazaliya Abdul Naseeb Djuma AKA Diamond Plantunmz. 🤔
Balaa wa dada hawa. Mitihaniii
Kweli kabisa
Kweli kabisaa
Kwan huyu diamond mnamwabudu nyinyi
Ana wala kweli kweli mpaka midomo yao inyamazi mondi mondi daaaa 🤔🤔
Huyu alikiwa side chick wa muda mfupi... Ila diamond anatabia mbaya, 😄😄😄😄 wadada jifunzage kupitia matukio haya
Growth, Sam Misago finally making bold moves... Leverage FNL
Simba ni Simba... Yakumbuke hayo mamboooo😂😂😂😂😂😂😂 SIMBA NI SIMBA😂😂😂😂😂💯💯💯
Huyu dada nimujinga sana wakATI WAKO WANA KUULI SI ULIKUWA UNA KATAA IVI AMESHA KUWA NA MWENGINE NJO UNAANZA HA NGAYIKA ACHA UFARA ZILIPENDWA
Kwanza mm namuona chizi sn uyu dada maana alipo kuwa ana mausiano na simba alikaa kimy ss kaachwa ndo anasema ili iweje ndo June km nayy alifunuliwa au si akae kimya tuu km alivyo kaa mwanzo au ndo kusema ivyo kutaka kuchafuwa penzi la tanasha we demu mbwa Sana ww yn bora unge kaa kimy ht ungekuwa nashida ungenwambia angekusaidia nahata unge kuwa mchepuko lkn mhhh chizi ww
Awa si group moja na Diva
"Mm naamini hawajachana wanakulaga gizani" sema huyu manziiee mkali aiseee au macho yngu!!!?
Wangekua pamoja huyu angekua anatoapija ama were humujui vizuri
@@peterobwoge1636 kweli huyu hana akili
@@KladesKladseee huyu ni joko na hats kujieleza hajui,hats angekuwa anadate na dai angempa aibu ndio maana kawekwa private hasilete aibu mitaani
@@peterobwoge1636 hahahaha yani hajui kujieleza hata kidogo
Mi pia nahisi wako pamoja lakini ameambiwa chini ya maji mchezo
😁😁😁 Duh! eti waislam wanaruhusiwa kuoa mpk wake 6,TUNARUHUSIWA KUOA KISHERIA Y DINI YETU MWISHO WAKE W 4 TU
Move on gal leave him alone he has some one already he respects her a lady with big minds don't take on him coz your desperate
Dont make me laugh? You just say he respects her? If he was sleeping with women behind Zari's back, and fathered a child with his side chick and he was constantly denying his child, then disrespect the mother of his kids, what the fuck are you talking about?Eti Respects her? Hahahah yani if Tanasha thinks she got a good respectful man, I am fucking laughing my ass off right now. Diamond is an abusive man, he doesn't respect any woman but his mother. He misogynistic and womanizer. Let the woman tell all so everyone knows what a fucking asshole, period!
Naima Nimo very true
Heshima gani aknayo yule mbwa? Ww subiri zamu ya tononoka inakuja ndio uta mjua heshima yake
@@albs1448 you have said it all👏👏👏👏👌
@@bahatimchuwa1733 Preach! Mueleze aelewe manake anatuchekesha akati tuna jino moja moja midomoni😂😁😁🤣
mnapenda kujidharirisha mweee🤣🤣🤣🤣🤣
Nimekupenda bure😘💖💞🔥😍
Kweli elimu ni ufunguo wa maisha ila milango mbn ipo wazi na watu wanaishi mjini bila huo ufunguo 👏👏👏
Hahahahaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Sijui kwann huyu dada interview zake nikiangalia natikisa kichwa kwa kumshangaa na kumsikitikia 🤤
Mi macho yangu yote kwenye hilo Nyonyo tu 😋😋
Haha
We fala kweli sana haaa
Nyonyoz
Nakuona katoto ndo kwanza wakaa kanyonye 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Movie ambayo itakuwa na Character zinasohusiana na wachezaji wafuatao ,Madebe lidai ,Ray kigosti ,Mafufu na Mzee wa Jerusalem Jacob , Ninaimani hapo tutapata Movie Kali Sana ,Yenye Mjumuisho wa Mawazo ya vichwa adhim Kama hivi ,I hope tutaifurahia Sana , Tuwe na Umoja ili tujenge Soko Zuuri la Film Tz , Tuangarie kwa wezetu , Indian , wamejipanga , na Umoja wao Ni Baba lao , lakini ikiwezekana Ndani ya Hiyo list , Diamond awepo , Ingia UA-cam andika Justine Beatus ,Usisahau kusabcribe ,karibu Sana ,
Hii interview ya mond ilikuwa kali...dame bado anamtamani mond lakini hataki kusema
Dadaaa ma kiki karibu mjengoni. Umepotea si haba🤣🤣🤣 na nyinyi pia kazi munaiyanza na Umbea sasa. Mazungumzo yote ni Diamondi. Duh! Nitawa wahama🏃♂️🤣🤣🤣
Fanya kuhama chap
Ni kweli wanakeraaa
More of a sheep🐑, not Simba.
Jamani wadada wa bongo mazoba kweli,dah!
Huyo msichana ni muongo sana na pia ni malaya sana, kwa maelezo yake mwenyewe.
Omeona huyu Ndo zoba hasa
Interview yote diamond tu hmn kingne sam chagua presenter wengne hawa hawako creative
Mond alikuw anapiga zar amisa lilyn
We we Dada nimnzuri ilaungekuwa msiri mondi angekupenda lakini we we unasifa
Am now single 😂😂😂😂😂😂
Kwani lazimagani uonge kizungu wakafi hujuwi kujichora tu mwachieni zari mambo yake hayo 💃💃🇰🇪
Lynn, you are pretty but it seems that you are easily manipulated even by these guys, its not a must for you to answer something that is confidential.
Collin Davis, I think the girl is just stupid and immature too.
Hujui Kiingereza dada, ongea Kiswahili tu, siyo dhambi. Zingatia hilo.
Beautiful slay queen
We diva njoo hapa uone vifaa ambavyo SIMBA anakulaga mamae.
😅😅
Nimecheka mno
Hatar sana
Li diva kama lijini
Hahahaha😄😄😄😄😄😄
Daa kama mama diamond alimshindikiza kweli mtoto wake nawakati anajuwa yuko na Zari basi unafki wake niwakiwango cha juu kabisa
Weka like kama haumuamini huyu dada
Acheni wivu watanzania JEALOUS YA NINI?
SHE IS GOOD AND BEAUTIFUL AND CELEBRATE TOO .Watu wengi wanapenda kusikia akiliongelea ili swala la diamond.. that's why media imemchukua ili watanzania na fans wake wapate majibu.
Ila nyie baada yakummotivate ndio kwanza mnamtukana kumbeza na kumpa maneno mabaya.
Kama amekosea mrekebishe mshauri kumtukana sio solution.!✌️
Jack Judy this is the best comment I have seen👌🏾
Sio Rangi za mtume, tunaita udongo wa maka😂😂
Let me aks you Lyn umevurugwa ask or aks 😂😂😂😂
Yuko sahihi unaweza itamka kam alivyoitamka au pia kuitamka kama inavyoandikwa..... Alivyotamka lyn wanatamka sana wanigeria @Noor Ntisi
Aks wanaigeria waghana ata wajamaica. ..me aks me tell dem. ..
Nigeria wote usema aks ishazoeleka
@@alfredinafelix836 HAHAHA
Ana ziwa kubwa linachungulia tu watangazaji na watizamaji🧐🧐🧐 linatosha kutunyonyesha wote hapa😁😁
Lkn zuri safiiiii
@@bahatimchuwa1733 😁😂😂si ndio mana tumeliona, mana linaita pande zote wake kwa waume😁
Yaaaaan wewe😆😆😆😆😆😆😆
shepu sasa kma muhindi
Alieskia let me aksi you tujuwane
🤣🤣🤣
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Mm naangali interview kwasababu ya Ziwa tu.
Hahah jamn
Kkkkkkk iwewe
Stop bashing the girl what about the man who has been doubling women being a womaniser so he's the innocent one and the women are the ones to blame???????wtf
If beauty without brains was a person 😂😂😂😂
Finally someone else noticed how brainless she is.
Let me aksi you! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂 nilijua xijacikia vizur
NLIJUA MIMI TU😂😂😂😂
Makubwa 🙄 mwakitombile Mungu anakuona kwahiyo umeenda kujitambulisha wakati umekuwa na Zari
Naskilia Tanasha huruma sana
Nilimuhurumia sanaaaa the day I confirmed that alikua preg
Pooole tanasha
Uyu dada malaya sana uyu ameliwa na simba aturieee Tanasha ndo mama Lao
Watoto wengi hapa bongo niwazur ila tatizo lao moja wanapenda mtu kwa mafanikio Yake 2 na Hawajatulia ndo maana masta wanaoa Kenya Rwanda etc hawa niwakuwamega2
Raha San bong anazungumziwa diamond platnumz tyu cc hawatujui
Rahaaa sana kusahau ulikopangiwa mkiwa wapenzi jmn😆
Kwa nini mtyuu asiongeleee music mnamuongelea mtyuu ambae ana maishaaa yakeee....hiviii Lyn kwelii wewe interviews zakooo zitakua kuongelea Diamond tyuuu....kwan Nini D ndo aweee wa wewe kufwaaa kwenye interview kwa nini wasiongelee music as music afuu na nyie watangazajiii muulize maswali yenye maaana siooo mahusianoooo n D
There was no day diamond alikutambulisha kama dem wake wacha kujiita X wa diamond coz u was never diamond X chep gold digger slayqueen wa kuaribu mausiano ya watu shetani
Sawa huyu ni kicheche lakini mondi alikua anapita nae kweli kabiss sio uongo
@@mufasamufas6023 Leo kaweka ukweli wazi
dimond alienda kujitambulisha kwao, kwan hata ya hamisa si alibisha mpaka mambo ya mimba na sasa wana mtoto dimond ni kiboko ya wanawake
Usihukumu hvyo mpaka kumwita shetani kila mtu ana dhambi zake
Dahh‼
WaBongo mnaingia 2020 na kiki Kiki mchezo kando aisee!
Wh now?Mbona kafanya interview sasa?!
Haya social media ilipuke I'm sure she can't wait 🙆♀️
Yani waandishi habar za umbea mnapenda kuliko habar za maana wakat Kuna police yule aliye Zima moto sioni kuipaisha Ile habar lkn mambo ya kijinga mnapenda badilikeni cyo vzr uyu dem na mondi mbona kitambo sana
Aliyesikia "....tukakuwa wapenzi..." na "....yeah....." Gonga like.
Duu! Me Nimekosa hata cha kuandika nyonyo hilo limenichanganya kabisa 😚😚
We mzuri sana Lynn mdongo wangu utabaki kua juuu 🔥♥️
nimekwama hapo pa "'lemmie AXE you!!'' Chesos, Kizungu yawa
Min Leon 🤣🤣
😝😝😝
Aliyesikia I don't why kwa nini,😁😁😁😀😀😀
Halafu mimi niliamini kuwa alisha kula mzigo .
Kwasababu hata hamisa mond alimtukana sana kumbe nikweri
Diamond bana,anatubuthu sana😂
🤣🤣🤣🤣
Ni mswati
Sio ana uthubutu, anajua kuwaona wanawake walio desperate ndo anaruka nao🤣
Buguruni rozana kuna wadangaji sana 🙆♂️🙆♂️
Tena Kule Kuna maraya kibao nahis nauyu ndo ivyo yn
😂😂😂
Pumbavu
Lynn unatuona tumezaliwa jana ehh
kwa jinsi ziwa ninavyoliona na jinsi anavyojichekesha chekesha. Nafikiri anapenda sana communalism.but kichwani sio smart hakupaswa kuendelea kuwa mtu wa Diamond
21:23 nani mwingine kaisikia hiyo let me AKS you badala ya ASK you hahah
😂😂itakuwa kachapia
😂😂😂😂😂
😂 😂 😂 😂
Hiv utakubalije mtu aje ajitambulishe kwenu na wakat huo unajua kua yupo na mtumwingne na hawajaachana et yeye alikua anaonekana mim sionekan km sio kupenda hela duh kwel ukiwa nazo unaweza kufunga ndoa hata 10 na watu wanajuana wasikutifue😅
Diamond cheated on zari with hamisa,cheated on hamissa with Lynn.. diamond said atajenga 'nyumba' nchini zote africa.anatimiza ahadi
No he was with both of them Lyn and Hamisa and many more while with Zari
@@coin9007 simbaaa😂😂😂😂😂😂😂
She's so beautiful cute and adorable much love from Kenya
More beautiful
Yan modi n parte after parte
Sas mbona unajichekesh sn km arusi ya maskin 😉
Nasra Nahimana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nasra Nahimana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗🤗🤗
@@harrisonlihenga9996 haha
Nasra Nahimana haha
🤣🤣🤣🤣doh
Kama na wewe umeona matiti meupe kama maziwa tambua mwaka huu utakuwa mzuri kwako...Diva tupa kule...ukiwa na pesa kila demu atakutaka..shikamoo babalao.
Pesa sabuni ya Roho banaaaa
Haaaa ramadhani shabani mungu anakuona
Desperate, Tanasha and Diamond are tight move on woman 😨😨
She's silly
sasa iyo interview ni ya mond au lyn
Nashangaa...ii interview ni ya mond
😂😂😂😂😂😂
Yaani, huyu dada nzuri lkn kujielezea hajui namuonea huruma na kwenye lugha ndo kabisa bora tu aongee kiswahili kwenye interview zako kuliko English hajui
Kweli kujielezea hajui amezidi mapozi
Kweli English hajui
Slay queen
🤣🤣🤣
😂 Hi slau queen 👑
mwasapili charlie say it again
The best diamond had was zari,,if diamond couldnt be tamed by zari,,,he can never be tamed any one,,he is loose
Jamani diamond sio husband material he likes braging that women he dated still loves him which is not true no one of his baby mamas wants to get back with him
Wadada wakibongo jamani sasa mtu ana mahusiano na watoto alaf unaongea bila aibu eti anaruhusiwa wake wanne.mtamegwa na kuachwa sana tuu kwa tamaaa zenu
haiwezekani eti hakumjua Rayvanny....kama tyr rayvanny tayari alishatoa wimbo...
Kazuri lakini hakaji amini, contradiction mwingi
Sioni jipya ataaa, baada ufanye mishe za bingo wamuwaza mtu ambae ataaaa hakuwazi. Tupo biz na Tanasha tupo biz na La Vie huku
Huyu dada simuelewagi kiukweli.. hapa nikama kupoteza muda tu🏃
mzr kwl ila sasa
Unacheka sana adi unaboa...Unaweza sema mtt wakidato kumbe mtu mzima!
Irene Mosha na wakati mwanzo alikuwa anaringa bora apa anaongea maneno yanaeleweka mwanzo ma yeah yeah mengi
Hapo sawa
Miss u know
Hapo SIMBA BABA Lao anakula mpaka kesho hasara kwa tanasha anajisifu bure asikilize hii Interview watu wanachumbia kila Pahala wanajitambilisha na Waze wake mungu wangu simama
Madhurii madhurii sana..jaman huu uslay unatepeleka wapi😂🖐
akisikia diamond anajichekesh kama malaya mbovu jamn jibu maswali wew
Muongo huyu mala sinza mala mbez mala mmmh jmn
Kitu ambacho hujui dai haja muacha huyu binti ame mpumzisha tu
😂😂😂😂
You can't make money without diamond's name jamani
diamond hawez kua fara kuacha kumla hy dem hat mm lazima nmle
Uyu dada simtu poa. Anataka tu kuaribu mausiano ya mond na Tanasha 🤔 sio poa ivyo
Amechelewa jamvini na karamu imeshaliwa. Ni ajipange na maisha yake sasa. Kiki tu
Magy Magy true
@@pichunakichuna2111 aisee
What is wrong with Africa stupid live the girl alone because we know all musicians are facker not lovers
Mungu Tunusuru..Yani hata aibu .
Dada muongo huyu umeishia form two msimbaz
Kkkkkk 😁😁😁😁😁 Data 🤔🤔
hah ah haha haswaaaa
Hahahahhahahahahahahahhaha umetishaaa
😂😂😂😂
Maskini ZARI DUUH, DOMO hafai hata kidogo , ni muuaji wallahi
wala usimuhurumie alijisahau sana, mtu mzima na watoto juu unaigiza kama tineja ni ujinga
@@mrs2918 kweli kabisa zari pia hakutumia akili alitaka umaarufu Zaid
Sanaa yani
Na bado ww
Ni bora hakukuowa ulibaki kuwa side-chick umbea mpaka kwa unayoyafanya mwenyewe unajitolea uliyoyafanya ama unatafuta followers n kiki
Uyu dada anapenda Diamond sana
darlene nyambikiwe kweli
Hamupendi atapenda umarufu wa mond
Wajuwa anampenda kwasababu mond anaonekana anatumia uongo mwingi katika mahusiano na uyu bint bado mdogo
Nimegundua watangazaji ndio tatizo maana nyinyi ndio wachonganishi wa mitandao mbona mnampangia maneno ya kuongea acheni izo
Ajamfikia demu wangu aise (+_+)=_==_=(TT)(TT):-|🎨🖼️😂😂😊labda kawazidi uzur mademu zenu ila kwa mpenzi wangu haingii hata robo😋😋😋😋😂😁🦍🐵🐵🦄
Ata mm amfikii dem Wang hat lobo
Hhhhhh dah
Kabisa
Me mwenyewe hanizidi uzuri
Hahaha