КОМЕНТАРІ •

  • @mimokassim1887
    @mimokassim1887 4 роки тому +57

    All the from South Africa 🇿🇦 just for ali sale kiba...like to juane

    • @shukurubilali1505
      @shukurubilali1505 4 роки тому

      Kiba Zama zako zishaisha hiyo sikwaya hiyo kaimbekanusani

    • @samiramadenge953
      @samiramadenge953 4 роки тому +4

      @@shukurubilali1505 utakufa kwa roho mbaya 😏😏😏😏😏

    • @hawasaid6024
      @hawasaid6024 4 роки тому +1

      Umeongea kitu konk sana hamisa lazima uangalie maisha yako

    • @samiramadenge953
      @samiramadenge953 4 роки тому

      @@hawasaid6024 tena sanaaaaaa

    • @yasseralikiba2144
      @yasseralikiba2144 4 роки тому

      King kiba uyo na mobeto

  • @youngrichx3484
    @youngrichx3484 4 роки тому +1

    Ali kiba ashukuru mungu kwa kufanikisha na sisahau kama aliye fanya naye kazi nimuzazi mwenzake na mushindani wake wenda njoo imefanikisha iyo muziki kuvuka sana. mimi ni jicho la muziki na kesho nitaviweka wazi Africa nzima .kinois salvaday in South Africa

  • @zenasudishabani4179
    @zenasudishabani4179 4 роки тому +53

    Piga keleeee kiba na hamisa mko vzr

  • @auntysweetysultan3933
    @auntysweetysultan3933 4 роки тому +22

    True king kiba hamissa was amazing gd excellent wrk

  • @brackboy5327
    @brackboy5327 4 роки тому +9

    Watanzania tujivunie kua na star kama king kibaa yebabaaaaaa kizaz san

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 4 роки тому +36

    Tbway Sio host Mzuri Kabisa ...Maswali Ya Ajabu Ajabu Analazimisha Majibu Anayoyataka ...Yaaan Hovyo Kabisa ...Naona Hata Alikiba Alimgundua Mapema Sana

    • @prosperfellan8887
      @prosperfellan8887 4 роки тому

      Einstein duu

    • @yfhff5268
      @yfhff5268 4 роки тому

      Na wewe mbona mnalizimisha mawsali

    • @sao6543
      @sao6543 4 роки тому

      Einstein don’t hate the Host was so engaging and fun to watch hakuforce bamujibu barikatala akakua anaendelea people pple plz .he is there cz he the best one

    • @einsteinmboje4730
      @einsteinmboje4730 4 роки тому

      Yhnpsao RUKEBA He Is Not The Best Anymore In Interviewing Broh ..He Is Just Have Childish Swaggs And He Got Looks .... But Sam Misago Is Far Ahead From Him ... Anajua Jinsi Ya Kuchimba MTU Mpk Akajibu Ila Huyu He Is Just Force

    • @sao6543
      @sao6543 4 роки тому

      Einstein me on my side irikua kama charisma u saw how he inter twinned question in a away of like make them comfortable yani unamjua kiba bangapi banaweza kumukuza vile, mi I liked how he did it and imma used to sam but I liked tbway somehow I like his charisma and intellect of interviewing tactically 🙏🏼🙏🏼

  • @basirmohammed5675
    @basirmohammed5675 4 роки тому +6

    I really liked that song bigup Alikiba,bzy watching from dubai

  • @auntysweetysultan3933
    @auntysweetysultan3933 4 роки тому +19

    Hamisaaa love you mwanangu..Allah blessvyou ...

  • @saalumalasmy8052
    @saalumalasmy8052 4 роки тому +84

    Nlicho kundua kua Ally sio muongeaj sanaa aseee

  • @auntysweetysultan3933
    @auntysweetysultan3933 4 роки тому +5

    Very gd excellent kiba nimefurahi ssnaaaaaa hukujibu.dodo is amazing

  • @elizabethsjoberg5734
    @elizabethsjoberg5734 4 роки тому +1

    Mimi nashauri wawe wanafanya mziki pamoja dodo wamependezeana sana more music please kiba and misa perfect much in Tanzania music industry 💯👌🥂🍾✍✍✍✍

  • @swaumupaji3623
    @swaumupaji3623 4 роки тому +3

    Hamisa una sauti nzuri jamane Maa shaa Allaah

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 роки тому +4

    Kiukweli HAMISA she's pretty🙌🌹

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 роки тому +8

    Hamisa na kiba 😍😍😍😍👏👏👏🔥🔥🔥

  • @fatimaamir7954
    @fatimaamir7954 4 роки тому +24

    Hongera misa piga kazi mambo mengine baadae maisha Ni yako

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 роки тому +2

    King kiba rudi tena zaidi location zakutosha zenjibar hotel mitaa beach good video good song dodo

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 4 роки тому +8

    Hongereni sana Hamisa and your daddy king Kiba nyimbo nzuri mashaallah ofcourse nime enjoy Dodo from Muscat 💃💃🌺😘😘😘👍👏👏👏👏👏

  • @ayububakali6136
    @ayububakali6136 4 роки тому +14

    Nimefulah saaaana Ali kiba kufany kazi na huyu mlembo nitakua shabiki wake milele😊😊

  • @terrynjuguna5602
    @terrynjuguna5602 4 роки тому +25

    Well done AliKiba and Hamisa Mobeto

  • @salmasamir1879
    @salmasamir1879 4 роки тому +2

    Host unalazimisha vitu, flow ya maswali nil....good job King n Mtoto mzuri Hamisa

  • @dktsaidpatrickmwankunja9647
    @dktsaidpatrickmwankunja9647 4 роки тому +3

    Hahahhahahaahh keep it up king kiba umenipa amani aiseee your so creative boy

  • @salmaalimusa547
    @salmaalimusa547 4 роки тому +45

    Misa kanenepa MASHA ALLAH

  • @shaniamgunda7838
    @shaniamgunda7838 4 роки тому +24

    Hamisa nakupenda ila umejibunia kitako haaaa ila ngoma umeitendea haki safi Sana

    • @hadijalukas5959
      @hadijalukas5959 4 роки тому

      hamisa anashepu ya kubinuka ila camera ndo imembinuwa

    • @khadijaomar8427
      @khadijaomar8427 4 роки тому

      @@hadijalukas5959 yah camera imetoka kwa upana

    • @mosamossile9113
      @mosamossile9113 4 роки тому

      Demu mzur sanaa Hamisa

    • @hadijalukas5959
      @hadijalukas5959 4 роки тому +1

      @@khadijaomar8427 kabisa camera imewatowa vibaya hamisa anakishepu chake cha kubinuka ila hajajibinuwa

    • @zulfamohamed4549
      @zulfamohamed4549 4 роки тому

      Watu kwakuchunguza watu mupo vizr kwel

  • @almosul1621
    @almosul1621 4 роки тому +4

    King !!!! Naona unajaribu kina cha maji na miguu......🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ppesampingo9042
    @ppesampingo9042 4 роки тому +28

    Kiukweli huyu mtangazaji ni kama alikuwa amelewa ni mtazamo wangu kwa jinsi navyomuona.

  • @jumasaidi8157
    @jumasaidi8157 4 роки тому +2

    Aliy kiba nimekupa 👍 kitendo cha kumshilikisha hamisa umeonesha kuwa wa TZ ni ndugu.

  • @karolpaschal3723
    @karolpaschal3723 4 роки тому +5

    Uyu mtamgazaj amelewa kama naww umeona gonga like apa

  • @globalnewstv32
    @globalnewstv32 4 роки тому +7

    Wangapi wamekubali interview ya kibabe kiba for everybody

  • @munnababygal8460
    @munnababygal8460 4 роки тому +3

    Alkiba si muongeaje Masha Allah

  • @pappykazipamba7398
    @pappykazipamba7398 4 роки тому +13

    Ongerra bwana kipa ngoma nzuru na ya heshima big up big bro

  • @daudisailon9671
    @daudisailon9671 4 роки тому +15

    Aaaaaa kibaa moto majib mazur kwa DJ dea ataelewaaa tuu

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 4 роки тому +2

    Hamsa dodo Alikiba safi sana kesho tanasha

  • @Alihamdulil
    @Alihamdulil 4 роки тому +39

    Journalist your questions is very poor and your very unprofessional job go back to questioning Skool program

    • @Makenashukrani
      @Makenashukrani 4 роки тому

      For sure you just said the truth he's too unprofessional 😏

  • @jomo0220
    @jomo0220 4 роки тому +11

    King 🤴 hongera xana 💪🏽💪🏽💪🏽

  • @juliethiemmanueli3377
    @juliethiemmanueli3377 4 роки тому +1

    King kiba nakupenda jmn

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 4 роки тому +2

    Munaendna kabisa kiba unalusiwa kuwa na wake waine vpi hamisa uwezi kumuweka apo kwa bi amina nawapenda sana

  • @modestmodest8717
    @modestmodest8717 4 роки тому +1

    Namkubali kinoma noma kings & mobeto & na we tbway bila kumsahau DJ professional dea
    DJ NDEVU MORO TZ

  • @stn4873
    @stn4873 4 роки тому +5

    Tbway umezingua sana kwenye hii interview bro, ushajiona superstar unajisahau.

  • @aminasaidi3195
    @aminasaidi3195 4 роки тому +15

    Kiukweli wamenikomesha mm huwa nawapenda wote misa na kiba🔥🔥🔥

  • @lillianbarongo2807
    @lillianbarongo2807 4 роки тому +42

    The interviewer should improve in questioning skills....🤔

    • @joezeno8
      @joezeno8 4 роки тому +1

      Lillian Barongo I agree with you, interview questions was really poor, very bad

    • @khalidmzee2139
      @khalidmzee2139 4 роки тому

      Mshikaji bado Sana kwenye kufanyia watu interviewer haeleweki Nini anatafuta ufanuzi yy upo kusifia au all question is open question inampa kujibu yes au no Sasa hiyo sio interviewer kachemka na huko sio kumpromot msanii wa kupromot nyimbo akajifunze huo ni mutizamo wangu hapo

    • @abdulijuma919
      @abdulijuma919 4 роки тому

      Ametsha sana namkubari sana

  • @ndolimanaamani9106
    @ndolimanaamani9106 4 роки тому +3

    Hivi alikiba kimekufanya nn mpaka ukamchukua mama watoto wetu hamisa bila kutushirikisha.

  • @jumbemoh.officialac7144
    @jumbemoh.officialac7144 4 роки тому +3

    Iko haja uongozi wa EATV kubadilisha mtangazaji kwenye mahojiano na kama haya na ma star...

  • @frederickkimweri1899
    @frederickkimweri1899 4 роки тому +12

    Wapi Sam Misago, we are missing you bro

  • @lilbobi2347
    @lilbobi2347 4 роки тому

    Baba Ali baba king ukowetu more fire,gonga like za king n queen Amissa

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 4 роки тому +3

    Yaani ww lockdred unamfanyia Alikiba na hamisa umelewa huna adabu hata boss wako anakuruhusu uwe kazini umelewa....nimeangalia hii kwa heshima ya hawa wageni maana wanajiheshimu

  • @charlesgmwinuka6269
    @charlesgmwinuka6269 4 роки тому +30

    Alikiba unanifanya nisifanye kazi
    Napenda xana kazi zako sijui nilini
    Nitaonana na ww

  • @ezekielkambona9719
    @ezekielkambona9719 4 роки тому +3

    Hamisa is a leading girl in Tanzania,🥰🥰😆

  • @laurie_lifestyle
    @laurie_lifestyle 4 роки тому +39

    The interviewer is unprofessional

    • @joezeno8
      @joezeno8 4 роки тому

      lauryn kirimi interview question was terrible, lack of skills

    • @mirajmalick7697
      @mirajmalick7697 4 роки тому

      He's very professional bt he was drunk

    • @alanamani4575
      @alanamani4575 4 роки тому

      Amelewa 😂😂

    • @yonathanyona2926
      @yonathanyona2926 4 роки тому

      You also unprofessional

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 4 роки тому +12

    Kingkiba 4reva alikiba back 2back leta

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 4 роки тому +1

    Mtanfazaji umenichekesha sana mwisho Mwisho

  • @faridaantal7021
    @faridaantal7021 4 роки тому +1

    Kweli mashallah king wetu wasikulazimishe kuongee sana wesimuongeaji

  • @auntysweetysultan3933
    @auntysweetysultan3933 4 роки тому +4

    Wow watoto wazuri sana interview safiiiii na huyo anouliza ndiye naein nice sana

  • @farouqkatana7216
    @farouqkatana7216 4 роки тому +2

    Ali Kiba na Hamisa mobeto sweetchemistry 🔥🔥🔥

  • @sumaiyamohamed9437
    @sumaiyamohamed9437 4 роки тому +2

    Ongera xn brother king ngoma Kali kinma aisee
    Afu kumbe ww hunaga shobo kabisa
    Afu huo mtangazaj ajifunze hapo nikzn asiwe anakuja kazn kalewaa maaana anakell nyingiii xn jamn duh

  • @mamyiyujnadibtih3670
    @mamyiyujnadibtih3670 4 роки тому +6

    Interviewer: U have chemistry?? Interviewee: Na biology😀😀 haki ya mama hamisa umenifurahisha

    • @Esty1248
      @Esty1248 4 роки тому

      😂😂😂😂😂

  • @onesterabayo9067
    @onesterabayo9067 4 роки тому +19

    What kind of interview is that? The interviewer is learning how to or he is into Mobeto

  • @kibongobongo4608
    @kibongobongo4608 4 роки тому +21

    Kitu sikipendi katika interview ni kutafuta mambo au kulazimisha vitu ambavyo vinahusu mahusiano. Utadhani wamekwenda kuzungumzia ishu ya kukutana na Sio nyimbo mpya... Why?? Alafu hamuoni kama mnamharibia mtu na ndoa yake?? Dah??

  • @user-zm4ht3yu6s
    @user-zm4ht3yu6s 4 роки тому +15

    Mmh hamisa kawa chibonge kumbe mond alikua anamyonya sana😃😃

  • @azizaomary107
    @azizaomary107 4 роки тому +6

    Piga kelele kwa king akeee 😙

  • @youngkingbaddmankiller3006
    @youngkingbaddmankiller3006 4 роки тому +2

    Big shoutout to Alikiba

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 4 роки тому +16

    Well done misa, aliepoteza muda wako mwambie Huna tena kumbukumbu zake😏😂🇰🇪

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 4 роки тому +4

    Bingwa wa inteeview anayeuliza maswali ya point na mwenye usiliasi na kazi yake ni LILOMMY na MILADAYO hawawengine wanaharibu interview

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 роки тому +3

    Huyo mkaka duuh hasa walazimisha watu wamelala pamoja dooh wee noma ally na hamisa mkubalieni aridhike

  • @hadijasalimu1808
    @hadijasalimu1808 4 роки тому +2

    Ile ngoma noma sana ni👏👏👏👏👏👏👏❤❤❤❤❤❤

  • @saideabdala5527
    @saideabdala5527 2 роки тому

    King mimi nampenda oyo demoweque.

  • @muuhhb4787
    @muuhhb4787 4 роки тому +5

    T bway you know why kwann kapiga pombe kidogo..kumhoji kiba bn c kitu rahis bn...ata akina soud brown.😃😃

  • @levinamwaila7847
    @levinamwaila7847 4 роки тому +2

    I love Kibas laughter😛

  • @nasramakau9402
    @nasramakau9402 4 роки тому

    Yani hamisa nilikua sikupenda lakini ulivyojiunga na kiba kipenzi changu nimekukubali kinomaaa hongereni sana sana dodo kiboko

  • @queenbi5477
    @queenbi5477 4 роки тому +18

    Hamisa nakupenda bure

  • @jacksonshiraga7422
    @jacksonshiraga7422 4 роки тому +4

    No more word is on 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @luckyrasulyrasuly9823
    @luckyrasulyrasuly9823 4 роки тому +8

    Amisa ni mzuli jaman

  • @adammbarouk4379
    @adammbarouk4379 4 роки тому +6

    Kwann Kila interview watangazaji mnalazimisha wahusika maswali ya mapenz tuuuuuu na sio kazi....kwann usihoj vitu vyenye kuelimisha na viwe mfano kwa wenye kutaka kufanya kz ya Muzik km hawa au waliotangulia?

  • @shariffrajab6063
    @shariffrajab6063 4 роки тому +27

    Hongera hamisa
    Piga kazi

    • @sifahamisi5872
      @sifahamisi5872 4 роки тому +1

      Hongera Ally wangu Na Amisa wangu majina yenu ni ya wanangu nawapenda sana

    • @rasykizanjbari4996
      @rasykizanjbari4996 4 роки тому +1

      @@sifahamisi5872 hongera

  • @lamecksimwanza1439
    @lamecksimwanza1439 4 роки тому +1

    That is good music bro keep it up lameck from Zambia

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 4 роки тому +3

    Maraaaa pa hamisa na ali wanakuwa wapenzi, kwa sababu hamisa achelewi ku babe mimba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bebetouris2145
    @bebetouris2145 4 роки тому

    Haaaaa !!! Hiyo ni surprise kiba !!!! Ongera sana kiba !!!! Watasema mengi hao

  • @rajimumsoffe9223
    @rajimumsoffe9223 4 роки тому

    Kiba weka ndani mtoto hamisa mnaendana sanaaa na mnafanana sanaa

  • @giftngailo5442
    @giftngailo5442 2 роки тому +1

    Kingkiba

  • @zedyrapper8183
    @zedyrapper8183 4 роки тому +35

    Mondi kama hizi hua anaangalia akijifungia ndani😀😀

  • @kulthummounir4522
    @kulthummounir4522 4 роки тому +17

    Alikiba ni muislam na hamissa ni muislam na dini imewapa uhurru wakuowa zaid ya m1 soooo nisawaaaa tyuuuuu kibaaaa vuta jikoooo huo ubaba na mwana umetoka wap banaa

    • @yusuphhussein4336
      @yusuphhussein4336 4 роки тому

      Kulthum Mounir uko sawa Ali Kiba umuoe tu,hata suratul Mujadila anakataza watoto wa kupanga kuwafanya kama watoto wenu wa kuwazaa

    • @wewe3394
      @wewe3394 4 роки тому

      Nawapenda saana

    • @tonyelshabbaz
      @tonyelshabbaz 4 роки тому

      Waislam ndio mnavaaga hivyo?

  • @daisybelle6485
    @daisybelle6485 4 роки тому +14

    Sema camera ya EATV imezingua jamani tupo 2020 lakini camera kama ya 2010 inatoa vibaya sana

  • @kilimanjarojjcarhire240
    @kilimanjarojjcarhire240 4 роки тому

    Nakupenda sanaa alihuna makuu ivyo utadumu milele uko powa nakuomba nenda kwa koffo olomide ukapige sebene moja

  • @babuysalum8598
    @babuysalum8598 4 роки тому +1

    alikiba mm naomba upige kazi moja na
    ALAIN ITAKUA HAPO UMEUWA BROO

  • @ngwenjumedia8537
    @ngwenjumedia8537 4 роки тому

    Konyagi sio nzuri nimeamini kupitia uyu host bway

  • @sylvainfersing1451
    @sylvainfersing1451 4 роки тому +6

    Nimependa sana

  • @maikoatufigwegemwakapoja8709
    @maikoatufigwegemwakapoja8709 4 роки тому +8

    Kuna sehem zingine hazichimbiki t bway kausha tu

  • @ceciliapeter4995
    @ceciliapeter4995 4 роки тому +3

    Much love 👑 bt DODO is 🔥 🔥 🔥

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 4 роки тому +5

    Huyu mtangazaji ndiyo maana Bezz alim chengia haki maswali yake hapana

  • @mwaamwetahussain1110
    @mwaamwetahussain1110 4 роки тому +3

    ManshaAllah nawakubali nyie wtu jmn

  • @rangalmas8833
    @rangalmas8833 4 роки тому +13

    Tbway eti ukiekewa Tanasha na Hamisa wachagua nani king uwaga hana shobo brooo mobeto is the best fire

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 роки тому +3

    Allykiba bahnaa sasa unashika ndevu ili iweje 🤣🤣🤣😁😁😁mara fuku kushika uso 😝😜😂#DODO

  • @halunamaneno9986
    @halunamaneno9986 4 роки тому +10

    Mumependeza kweli

  • @misheckmrk8848
    @misheckmrk8848 4 роки тому

    Safi sana kwa kazi nzuli bro kiba sema tuu unachelewa kuachia ngoma

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 4 роки тому +22

    huyu jamaa anazingua interview mbovu, yupo wapi sam misago.

    • @oscarxavier2229
      @oscarxavier2229 4 роки тому +1

      Sure kabisa,jamaa hajui kabisa hata kuhoji full kuharibu,daaah kaifanya show iwe mbaya..halafu sijui alilewa

    • @dalancydevin4302
      @dalancydevin4302 4 роки тому +1

      @@oscarxavier2229 😂😂

    • @dalancydevin4302
      @dalancydevin4302 4 роки тому +1

      @@oscarxavier2229 kwel ana boa 😏

    • @issarama568
      @issarama568 4 роки тому

      Bora atoke

  • @lisadovino748
    @lisadovino748 4 роки тому +8

    Hawa watu nawapenda sana

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 4 роки тому

    Yaani interviewer unapata chance kama hii ya ku interview hawa superstar wawili and the only thing unafanya ni kuuliza maswali ya linings hivo😭😭😂😂😂,

  • @namitalasharifah8633
    @namitalasharifah8633 4 роки тому

    Kingkib your the best this is your year sky is the limit though the interviewer was not on point the point here is music big up to hamis and kingkib you really did avery good job👑👑👑

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 роки тому +13

    Hamisa kanenepa

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 4 роки тому

    Hongereni kwa mazungumzo ya kawaida sana imeojyesha kuwa heshima si lazima ukaribishwe kwenyebmasofa mahojiano yenu yana mafunzo kwa viongozi na vyombonvya habari ambavyo inahisi kuwa bila ya kutengewa sehemu maalum mtu hawezi akahojiwa katika mazingira tofauti. Tujifunze.

  • @peteremmapeter7615
    @peteremmapeter7615 4 роки тому +4

    Hatariii kingkiba

    • @mohdiswafi6820
      @mohdiswafi6820 4 роки тому

      Wazeewaviduwara mkowapia naona ddkavimba