Jamani Millard Ayo Uwe Ukiongeza Mda kwa Mahojiano ya Zari na Huyu Mtangazaji.Yani huyu Muhoji yuko Sawa na Anaye Hojiwa naye Yuko Poa. Hongereni sana.
Zari kama mwanamke,Naomba nikwambie kuwa "YOU ARE DOING GREAT"..Kama ulivyosema hata kama Ivan angeacha billions endapo ungekua mwanamke mjinga for these two years toka afariki vingekuwa vishapotea vyote..Usijali kelele za chura,kaza mwendo mama..Kulea watoto watano si mchezo while playing both parts as a mother,father na kazi..Mwenyezi Mungu hatokuacha peke yako kamwe..
My dear Zari, akili yako ni sawa na akili ya wanaume 10 wanaotaka maendeleo. Mungu azidi kukupa nguvu na upendo wa kuwalea watoto wako. Hao ni asset yako ya baadae.Your are really BLESSED.
@@rehemabaraka9895 yule mange ni mjinga sn anapenda kufatilia mambo ya watu sio zari tu hampenzi watu kibao anapenda kuwafatilia kama anolipwa mshahar mjinga yule akingii mwili kwa kufatilia watu na wigi lake moja mika 6 habadilishi😂😂😂😂
Yaani Mondi ungejua ulichopoteza hapa!!!!! Pole sana. Nafurahi kuwa una makazi yako maana hiyo nyumba ya Wa Tz ingekutukanisha sana. Hongera sana mama Tee.
Yan ungejua , maisha halisi ya utafutaji usingeJudge, appreciate kila aliyefanikiwa na usi Judge chochote we wachukulie km chachu ya mafanikio ila usiamin wanachokiomgea
Hongera ZARI nikweli ukiwa na mwanamke MWENYE akili watoto na mali hazito potea...Hongera SN haya wenye michuki yao na roho za kutu. Mukuje mukuje...wakak mjifunze kuoa Madem waenye kujua maisha ni nini na MWENYE kuianda KESHO.....
Love you Zari and very proud of you. I have never seen a smart woman like you. Diamond Platnumz has lost a very bright and intelligent woman in this world.
@@worldposts3377 usiongelee kwa mapenzi ya diamond mi mwenyewe ni shabiki mkubwa sana wa diamond lakini hapa kapoteza mtu wa muhimu sana maishani kwake
If it was da wachafu doing d's interview ma God da noise u would be hearing cheiii luck of professionalism ,thank u Millard ur so professional ,n for zari all I can say is I love u mama Tee
WOW! WOW! That what I call woman with brain and she spits the truth. Nikweli ingekuwa manzi mjinga tugesikia mambo mob especially from Ivan family but they know what kind of woman she is.Love you ZEE your the real🐐🐐🐐 PLS PART TWO!!!!!!
kusema kweli uyu dada #Zari ana akili nyingi sana na ana pesa kuzidi maelezo sio vidada vyetu Vya #Bongo Vime kahaa tu kuchambana hata wakiwa kwenye conference room kujadili mambo ya msingi ni Vijembe tu Shenzi.
Ndio aliomsaidia Diamond kuwa tajiri....niwakumbushe Zari white party iliofanyika mlimani city walipata 3 billion mapato ya show hiyo....ndio ilimpa mwanga diamond
If zari who was bone and raised in Uganda knows how to speak swahili and you find someone who was raised in kenya that she doesn't know swahili .😁😀😀😁😁😁😁
Hibah Majid nakuambia ma blogurs wa IG wana harisha uko hehe comanda yao ni the originaleast app, leo halali ana fufua makabiri nakuambia kuarisha nayo chaiiii
Zarithebossylady tunataka part 2 Beauty with brain 👌🔥😍❤💖mwenyewe anasema ZARI KIBOKO YA MABOGAZI🤣🤣🤣🤣@zari invoice/mangekimavi kuja huku hata kibanda huna
Ooh my dear zari I love you so so so so so so so so much bannage but last time you come in Uganda but I was not in ug but one day I will meet you Insha'allah bby wa ma'am ❣️🌹🌷🥀👍🙋♀️🙋♀️from me 👮♀️👮♀️👮♀️
Zari wew ni role modal wangu ni fan wangu pia unaniinsipire sana actually upo talented Kama unamkubali zari na umeona ni mama bora like yako tafadhal😍😘😋
Millard fanya tupate part two,I love this woman kwakweli...brains baby brains
Hazole Mbushi
We ni shida
Part 2 ikifika niite
you can hate her all you want but this lady knows how to handle her businesses.
Kama unamkubali zari gonga like twenzetu mbele kwa mbele
She is bright. Shida moja ana hasira
Hibo Muslima I think she can work on that you know all this social media bullying sometimes it takes it toll
Salma Lope Salma Lopez she is great
Me apaaa
Hana shobo ndio maana nampenda
She's a very smart lady.... beauty with brain
Nasibu kapoteza kitu cha maana😂😂😂mwanamke mzuri pili anajielewa❤❤😘
Salmah Tz umri
Mzuri ila malaya
Salmah Tz anaumia sana mondi ila anajikaza
Mond hakumpenda alitaka watoto tu alivyopata akasepa
@@kassimrajabu7805 😏😏😏
Wah! Nakupenda Sana vitu vingine na Soma kwa Zari. Nani anasikiliza Zari kwa makini Kama mm?
Pia Mimi kuna vitu nimesoma kwake
tuko wengi tuna msikiliza yuko vizuri sana daimondi kazoe kuche puka ndiyo basi tena ,,akae na tanasha wake
mwanamke anajielewa mpaka laha zari good
nakupenda sana mama mtafutaji
Mm namsoma
Jamani Millard Ayo Uwe Ukiongeza Mda kwa Mahojiano ya Zari na Huyu Mtangazaji.Yani huyu Muhoji yuko Sawa na Anaye Hojiwa naye Yuko Poa. Hongereni sana.
Zari utabaki kuwa juuuuuuuuuuu
Penda sana dada zari
@@anadavid9865 Kabsaaaa Mwanamke bora wa Kujituma.
Kama unamuelewa zar twende pamoja
MWANAHALIMA MWACHILI umeona eee
Zari kama mwanamke,Naomba nikwambie kuwa "YOU ARE DOING GREAT"..Kama ulivyosema hata kama Ivan angeacha billions endapo ungekua mwanamke mjinga for these two years toka afariki vingekuwa vishapotea vyote..Usijali kelele za chura,kaza mwendo mama..Kulea watoto watano si mchezo while playing both parts as a mother,father na kazi..Mwenyezi Mungu hatokuacha peke yako kamwe..
Irakoze Mariette Amina
Irakoze Mariette ndio maana Mungu anamuingezea riziki maana watt watano co mchezo wale wavae wasome
Kweli kabisa
Nakupenda xanaaa
Beautiful woman with Beautiful Brain ❤️💪🏾
With love from Seattle 🇺🇸 ❤️❤️❤️😋
VELVINE JOBIESE hey what state you reside ?
Good
samson mweta Washington
What about you guys
Velvin wish could have your contact like email currently in Tz but Soon in Knoxville TN.
Yaani Millard Huyu vidox yuko pouwa sanaaa,the way he asks his questions napendaaaa..always reserved n composed...thumbs up for you n Zari.
Sella Obinya
Katulia
I love you Zari God bless you and your family 😍
Du zar kweli anakubalika mana naona l love Kwa wingi so nice
Mashallah
I love zarina hassan
I 😍😍😍😍Zarina
Zari wewe ni bonge la mama, kama na wewe unakubali zarina tujuane kwa like👍😘
My dear Zari, akili yako ni sawa na akili ya wanaume 10 wanaotaka maendeleo. Mungu azidi kukupa nguvu na upendo wa kuwalea watoto wako. Hao ni asset yako ya baadae.Your are really BLESSED.
Zaaaaaaaaaaari jembe lawanawakeeeee
Hakiri moja ya zari nisawa nawanaume 50
Zari ribalikiwe tumbo lilio kuzaaaaa Dada angu
si kweli mpe sifa kwamba ni mwanamke aliyetumia uzuri wake vyema na dont compare with man
Amina
That's what is called beauty and brain..... Much love Zari
Zari to the world..she is a strong and intelligent woman....
Mama mchapa kazi na mlezi,she is the best of all
natamani uwendelee kuongea ukovizuri zari ongera sana
🙌🏾👑🥂
Exactly 😍😍😍
i ALSO ASK THE SAME QUESTION. SHE IS THE BEST WOMAN EVER
Nyumba ni nzuri jaman,sjui wa tandale wanajisikiaje kutukana huyu mama..I love her😚😚😚😚😍😍
Kama unakubali zar ni mzur kuliko mademu Wote wa diamond gonga like
Mwanamke wa .kuigwa wao love you.
Fatmaa Baraka usitudanganye
Zari mzuri kuliko wote kabisa hata Tanasha hamufikie
Tanasha ni Mwisho wa matatizo
Zar anajituma sana ndo mwanamke wa kuigwa kabisa
This woman is beutful in n out!!love you zari😍😍
ukiongea kweli lazima atokee wa kukosoa utafikili yeye ni mungu
Hongera zari
❤❤❤❤
tusubiri majibu ya kimambi😂😂
Hasubutu mange tulingilia hilo mana yy mwenyewe hana llt angelikuwa kashapost instaa kwa umbea wake 😂😂😂
Kashapost facebook
Mange kimavi kaishamchamba huko insta
@@rehemabaraka9895 yule mange ni mjinga sn anapenda kufatilia mambo ya watu sio zari tu hampenzi watu kibao anapenda kuwafatilia kama anolipwa mshahar mjinga yule akingii mwili kwa kufatilia watu na wigi lake moja mika 6 habadilishi😂😂😂😂
Yaani Mondi ungejua ulichopoteza hapa!!!!! Pole sana.
Nafurahi kuwa una makazi yako maana hiyo nyumba ya Wa Tz ingekutukanisha sana. Hongera sana mama Tee.
Ndio maana domo aishi kumkashifu sasa uso ata uweka wapi kumsimanga mtu kwa sababu ya kijumba kimoja
We we nimhaya nn ingekutukanisha inamahanisha yaneijaukujumisa 😂😂😂
Yan ungejua , maisha halisi ya utafutaji usingeJudge, appreciate kila aliyefanikiwa na usi Judge chochote we wachukulie km chachu ya mafanikio ila usiamin wanachokiomgea
Hongera ZARI nikweli ukiwa na mwanamke MWENYE akili watoto na mali hazito potea...Hongera SN haya wenye michuki yao na roho za kutu. Mukuje mukuje...wakak mjifunze kuoa Madem waenye kujua maisha ni nini na MWENYE kuianda KESHO.....
Kabisaaaa my dear
Daaaah kweli kabisa
Ushuhuda kwaya TV manemane
Nakupenda zarii unaakili leo wanoko mtasema nn zarii kwafunga mdomo haaaa nakupenda Hadi naumwa
Love you Zari and very proud of you. I have never seen a smart woman like you. Diamond Platnumz has lost a very bright and intelligent woman in this world.
True she was mature and good
Kweli kabisa yeye mwenyewe anajua kama in wife material
DIAMOND Yuko sawa huwezi elewa
@@worldposts3377 usiongelee kwa mapenzi ya diamond mi mwenyewe ni shabiki mkubwa sana wa diamond lakini hapa kapoteza mtu wa muhimu sana maishani kwake
Wanao mkubali huyu dada tujuane tafadhali
Naah jalaman 💪💪💪👍👍✋✋
Mi naona wakwanza
Namkubali vibaya sana uyu dd
Mi naona ndo wa Kwanza😘😘😘
Mimi jmn
If it was da wachafu doing d's interview ma God da noise u would be hearing cheiii luck of professionalism ,thank u Millard ur so professional ,n for zari all I can say is I love u mama Tee
I Love you Zari. Keep shining and may God protect your children.
Watching from Lebanon Beirut much love to zari No one like you no matter how u are smart mom for ever
Mommy Tee can't wait for de wedding
naombeni like za huyu dada,ana akili sanaaaa
Nakpenda sana zari
Very smart
Saanatuu, kunawatu wakohuko ,ila bogas kbsa, ila Zari nikifaa namenda saaana!.
much luv 4rm Uganda
i even dont know Swahili buh am very attentive
hjhihi me too babe
Zari nakupenda bure coz unajielewa sana your are super woman
Me too
Play wid your brain not beauty..# smart woman indeed!! All respect to Zari mama yao😙😙
mercietha i
interview za zari mngekuwa mnaweka hata masaa 3 jamanii😊😊...I love this woman
Me too
I love you so much Zari❤
Allah azid kukupa miaka mingi na wepes kwa kila jambo
Millard ayo kazi nzuri. Asante sana mungu awabariki na kuwatia nguvu😘⚘⚘
I love you so much Zari and may Allah bless you and may your wedding be the beginning of a beautiful story
Fatma Lugogo AMEN
Ongeza volume hajaskia mwambie hasuu yuampenda piaaa
M sijuti kumpenda Zari kabisaa😍😍😍😘😘😘😘😘😘😘
Hongera sana Dada,Zari wewe nimalaika mwanamke mzuri sana na una akiri sana Ubarikiwe sana.
Nakupenda Dada mungu akubariki uendelee kuendesha familiya yako malkia wangu
Huh that's my virtuous woman Zari the boss lady very strong n courageous... love u for who u are...all the best of luck
Millard💪👍👍mama tee mwenyewe 😍😍
BIG BRAIN MA TEE I WILL NEVER REGRET FOLLOWING YOUR LIFE LINE I LEARN ALOT FROM YOU💞💞💞💞🙏🙏🙏🙏
She is just a hero...... love her ❤❤❤
WOW! WOW! That what I call woman with brain and she spits the truth. Nikweli ingekuwa manzi mjinga tugesikia mambo mob especially from Ivan family but they know what kind of woman she is.Love you ZEE your the real🐐🐐🐐 PLS PART TWO!!!!!!
True
Mama Tee wangu 😍😍😍😍😍i don't even understand swahili but am enjoying😘😘
Kafeero Joy I can translate for you☺
vituko
Hapo kweli bora uzae na Mwanamke mbaya Lkn awe na Akili Big Up Zari💪💪💪💪
I still ask....why would someone hate on this woman? Really......
Beatrice Daudi please ask them ooohh
Jealousy
Jelous
The haters have nothing
The only thing they know is to search othe people business all day long.
Hapo sasa
Good question🤔🇬🇧
Zari keep doing you, never mind the haters. Keep moving you are a strong woman .
Hongera sana zari wewe ni mwanamke shupavu na unaejitambua safi sana
Watching from kenya.may god bless you madam boss
This interview was conducted really well. Lovely mama tee. Tunangoja part two sana
ZARI Kipenzi cha watu , mwanamke ana akili nyingi sana huyu MashaAllah
Ash AS nipeni namba zake nijipendekeze naona kama bd anatka mtanzania naomben uwakilishi
@@daudisima797 muswaili wewe
Ongela zariiiiiiiii
Woow! Lady with bright mind and everything, stay blassed Zari always you talk point 😘😘😘
Beauty with brains.
Beautiful with brain my Zarina nakupenda mpk bac
kusema kweli uyu dada #Zari ana akili nyingi sana na ana pesa kuzidi maelezo sio vidada vyetu Vya #Bongo Vime kahaa tu kuchambana hata wakiwa kwenye conference room kujadili mambo ya msingi ni Vijembe tu Shenzi.
Umeona eee..CHUKI KAKA ZITATUUWA
Kweli kabsa brother
Point bro
Vinajishebedua na kusema ooh yes no hakuna ha umombo wizi mtupu
Ndio aliomsaidia Diamond kuwa tajiri....niwakumbushe Zari white party iliofanyika mlimani city walipata 3 billion mapato ya show hiyo....ndio ilimpa mwanga diamond
Zar my dada nakuelewagaaaa,kwakwel nafuata nyanja zako japo ntachelewa lkn nitafka tu,I love xo much😘
Am a proud minion😘😘😘,wish you a happy life queenbae
zari the general .
Same here love, our boss is always making us proud
@@exclusive704 😘😘😘😘
@@neysesy4370 she is a Major General😍😍😍😍😍
yani nampenda zari Mimi adi naumwaaa we
Kama ulikuwa unasubiri kwa hamu hii story like twende sawa kwa zari.
Aky mpaka SA kwa sababu ya zari 🤪🤪🤪🤪😂😂😂I love you #zari🌹🌹🌹🌹🥰🥰🥰🥰wachezea mama t wewe
Uhuhuhu
Zari ni sabuni kiboko yakuondowa madowa dowa sugu
Umeonaee
Zari unaakili mpaka kero
Natamani enterview isiishe jmn loooh i love this guy
Nakupenda wewe mdada uko very intelligent. ..tofautisha na mabogus wengine unajua unafanya nn. .lv u zar bosslady 😍😍😍
Kumbe ata her first born ajafikisha eighteen years nandio mimi usikia eti Zari ana watoto rika ya Diamond watanzania mna mambo
Wallah
😂😂
Mtoto wake wakuanza Ana 15 year
Watanzania dada waache tu wana stress ya maisha yao kutwa kumtukana dada wa watu
@@nasrafazal3520
Watapata tabu sanaaa
@@evelynehazayah6223
Waaaw
Zari ni mwanamke mzuri wa sura na akili pia. Hujakosea kujiita boss lady. Big up. Sana ayo tv kwa interview nzuri
Zari Una. Akili l salute u fight for Ur kids
If zari who was bone and raised in Uganda knows how to speak swahili and you find someone who was raised in kenya that she doesn't know swahili .😁😀😀😁😁😁😁
jojo Allonzo tanasha grew up in europe
Its born mr not bone....and am from Kenya but do I say.
😂😂😂😂
Ye
Waoooow mungu akulinde mama tee inshallah yarabi 🙏🙏🙏🙏
may the almighty keep guiding you zari...we love you mama
BOSS LADY❤
I love how she answers questions with maturity
For the first time I fell in Love with you.Just ignore swahili people.Usijibishane nao.
Nakupenda zaidi ya sana
Who is waiting for part 2 like I am?see confused haters starting 2 dislike the video?hahah choke on it dimwits! I love u zari
Hibah Majid nakuambia ma blogurs wa IG wana harisha uko hehe comanda yao ni the originaleast app, leo halali ana fufua makabiri nakuambia kuarisha nayo chaiiii
penda sana mwanamke mpambanaji PETA tu wanoko
Mzuri, pesa ipo, akil kama zote duh...kwa kwel mbagala ni mbagala tu
raymond kanyama 😁😁😁
Beautiful intelligent and strong woman
I can say she know to keep things for future use (sustainable resources) keep it up mama wa5🤗🤗🤗
Tamali Jafari
I love you Zari..... So inspiring... You secured that house for your kids (Tee and Nee)so they can count on that in the future 🙌❤
nakukubali Sana zari wanguuu
Natamanigi niwe karibu yako maana akili zako ni za wanawake 1000000000
Zarithebossylady tunataka part 2
Beauty with brain 👌🔥😍❤💖mwenyewe anasema ZARI KIBOKO YA MABOGAZI🤣🤣🤣🤣@zari invoice/mangekimavi kuja huku hata kibanda huna
Mange ataambia watu nini sasa hivi, I love this woman for free 😘😘😘💗❤️
Staki kuzaa na mwanamke MZURI NATAKA KUZAA NA MWANAMKE MWENYE AKILI
Good
Zari anajielewa saaana mungu akusimamie
I never believe in role models but u really insipires me zari
I will always love Zari,God bless u and ur children too, mwaaaaaaaaa...
Mungu akupe nguvu mama tee,,akulinde na mahasidi ,good talk
Nasibu kapoteza woman material, she is very mature, love you Zari,
Watching from Norway
She is such an intelligent beautiful woman God bless you zari keep working smart
Wanayo sema zar uzur wake niwakuu édit waje waseme tena zari ww nimuzur afu unahakir hatar mung kagupenderey jaman
I love Zari so much you are Strong woman keep doing ❤️
Zari n mwanamke wa kuigwa Africa
Zari, mama tiffa hodariii🎤🎵🎶
Hodarii wa akiliii hodariii yupo juuu
Big up zari
I can't wait to support big women
ZARI she's so brilliant i never seen
She's too wise as well
Ila uongo zambi zari is cute
Ooh my dear zari I love you so so so so so so so so much bannage but last time you come in Uganda but I was not in ug but one day I will meet you Insha'allah bby wa ma'am ❣️🌹🌷🥀👍🙋♀️🙋♀️from me 👮♀️👮♀️👮♀️
Give your life and your heart to God and that will be your best whealth in your account forever.
Poor people you always come with the best ways to confort yourselves..🤣🤣🤣🤣
@@The90roman 😂😂and that's the attitude, don't know why, gotta check this out bro 🤣🤣
I love you my super lady, super iron woman. ❤️
Love you so much zariiiiiiiii your woman strong 💪
The smart lady I ever known in East Africa, Diamond think twice, for sure you're a boss lady 💃
Zari wew ni role modal wangu ni fan wangu pia unaniinsipire sana actually upo talented
Kama unamkubali zari na umeona ni mama bora like yako tafadhal😍😘😋
Nice interview, Zari seems very relaxed and confident! All the best boss lady! You r smart and beautiful! Much love and respect to you!
Big up my queen zari ❤❤❤❤❤
I envy this woman aise.lov u zari😘
I lov u Zari, well come zanzibar 😘😘❤️