Nipo kwenye zoezi la kujifunzi kupika , leo nitajaribu kupika hawa dagaa. napenda sana nimpikie mke wangu leo nitampa hii ya dagaa asante sana. wewe ni mwalimu mzuri upo simple mpaka inavutia . Nimependa unavyomfundisha mtoto wako kupika.
Kwa walaji WA dagaa na maharage, Mimi sikuwahi kujua kama kwa wanaopata maumivu ya viungo hasa miguu, hawawezi kuamini kwamba ukiacha kula maharage na dagaaaa! Utashangaa!!( hakuna maumivu Teena! Tena! Tena kabisa!!. Mi ni shahidi. Nina mwaka mzima sijaugua au kupata maumivu ya miguu au mwili Kwa ujumla. Huwezi kuamini. Utaniambia.
Waoookk mtoto mzuri Mashaallah' unatufundisha mapishi na wewe Mashaallah
I'll like dis video beautiful mum n doughter
Ahsante kwa mapishi mazuri tumejifunza mengi
Salam alekum mashaallah mtoto mzuri sana
Mummy baby times are best when both are learning from each other 🥰🥰🥰 I love this video. Usiiache njia hii. Mbarikiwe sana🙏
Shemelaaaaa lakeee unajua mwanangu anakusalim sana
Very kind...I love your CO cook ...your daughter,easy to follow recipes
Jiongera hapo
Leo nimejifunza upishi ule sijui and looking 👌 yummy 😋 😍 😜
MashaAllah Nana anajitahidi
Asante mommy umeniboresha kwa hilo
Good daughter.
I like your recipe, I will definitely try it with some coconut.
Mashaallah mapshi mzr
Tamu sana,ukiongeza Nazi kidogo na kapilipili
Safi sana, leo nimejifunza kupiga
girl is fine a best insipiration ever
The small girl did a very good job
Umejua kupika dada hongera
Wow nimeipenda iyooooo😄😄
Nimempenda mwanao jaman ❤❤
Mie napenda niwatilie nazi thanks sister
yummyyyyyy mmm nakuja kula sister
Karibu sana zipo za kutosha😊
Wow nice Mwanza Dagaa recipe n results supper with Ugali huh 2 good I'm pleased n happy watching ur post from TANGA amen
Ahsante sana kwa feedback, nimefurahi umeipenda recipe na umefurahia ugali wako. I hope utafurahia na recipe nyingine pia😍😍
Wee ni fundi sanaaa nmeelewa had bas
Nimempenda mwanao😁😁
Maahallah napik sana madagaa hiv Matam ajaab inaenda nakila kitu😋😋😋Hapo upat kwaugal au mkate boflo au wa ajem😋😋😋😋😋😋😋😁🙈🙏
Mapishi mazuri mashalaah
Smart girl ☺️
Nimependa sana unavyotuelekeza na kutufundisha
Cutest baby ❤😊
Masha Allah
Nipo kwenye zoezi la kujifunzi kupika , leo nitajaribu kupika hawa dagaa. napenda sana nimpikie mke wangu leo nitampa hii ya dagaa asante sana. wewe ni mwalimu mzuri upo simple mpaka inavutia . Nimependa unavyomfundisha mtoto wako kupika.
MashaAllah very pretty girl
pretty nice recipe for my favorite meal!! #UgaliDagaaGang all the way. beautiful daughter btw😇😍.. definitely subscribing
I will try this😍
Its the baby for me 🥰🥰😍😍
kapika vzur limao ao ndimu so kila mtu anapenda uchachu kama nisho kaweka viungo au angeweka swaum tangawizi
Uk vzr
Dagaacwa mwanza mchanga sana...mnasafishaje jamani?
Mamii ungeweka na ndimu au limao kupunguza shombo
Mbona nyanya hazijaivaa bdo nzma nzmaaa ndim hkna Wala pilpil mmmh cjpenda
😂😂😂😂😂
Acha kula😅😅
Mwanza oye
Asante sana
Vip Royce haiwekw kwa dagaa
Napenda upishi wako
Ahsante sana, enjoy:)
Nimependa mtomto
Ndio mtoto mzur anapenda kupika Kama Mimi
Beautiful
Hogera sana dad kotot kazuri kwer daah 💞💞👍
Nyumban tunapenda dagaa na tunapikaga hivyo hivyo Mimi pia napendagao liwe na maji kidogo mchuz
The daughter 🥺🥺🥺❤❤❤
Jaman haka katoto hai kananikosha kweli
Kwa walaji WA dagaa na maharage, Mimi sikuwahi kujua kama kwa wanaopata maumivu ya viungo hasa miguu, hawawezi kuamini kwamba ukiacha kula maharage na dagaaaa! Utashangaa!!( hakuna maumivu Teena! Tena! Tena kabisa!!. Mi ni shahidi. Nina mwaka mzima sijaugua au kupata maumivu ya miguu au mwili Kwa ujumla. Huwezi kuamini. Utaniambia.
Safi sana! Namaliza kupiga dagaa kufwate recipe yako! Unaishi wapi? Asante!
Nice
Yummy
Unaish wapi mdada nimependa jinsi ulivo
Nyanya mbichi kabisa, mi sijakuelewa
Hao dagaa huweki ndimu na kapilipili ka mwendo kasi ili wanoge zaidi mamy? Bila ndimu c shombo?
umeona eeee
Bongevla shombo utatapika
Kitunguu swaumu kinaondoa pia shombo
Kiukweli cjamwelewa🤣🤣🤣upishi wangu unanitosha🤦🤦
Hawana mvuto Wala Nini,shombo tu hapo
😘😘😘
I like your daughter 🤣🤣🤣
👍👍👍👍👍👍
Cute gal
I love everything in there
😍😍
Hi
Nahizo kiss zenu msitemee mate sasa
❤دjjv😂
Napataje hao dagaa wa mwanza? Niko Uk
Katoto kazuriiiiiii
Ahsante kwa niaba yake😊😍
Once ob it
Je nikiweka nyanya ya kusaga itanoga
Mwambye huyo dogo aache kiherehereee
😂😂😂😂mwache digo
Mi milaa ndo kanivutia zaidi fujo zake na ubize wake....
Sorry dada pishi lako zuri, nataka kuuliza ni lazima kuweka binzari
Siyo lazima, weka ulichonacho ☺️
Huo mkono wa sufuria ungegeuza uwe mbali na upande wa mtoto
P
Hudagaa bila ndimu no. Uchafu
Mmmhh jamani uchafu tena duh
Owa umekosa kaziii hadiii utufundshe kupikaaa dagaaaaa😾😾
We mbwa nn
Shoga una makasiriko Kwan ulitumwa uangalie😏
Dah basiii yaisheeee mbwa tna
@@raven-mele7496 sawaa bana moi fellow Mbwaa😂😂😂
@@maliamkagali5814 sasa wenzako hatujui kupika dagaa vizuri, su kwa design hii🤣🤣🤣🤣🤣, do tunahitaji muongozo
Mtoto anafujo huyo mama toa mtoto huyo nje ataungua bure
Kabisaa,mtoto hatar
Boring
I can totally understand you, I pray you find love and happiness in life, we all need it😊
Jaman naenda pika leo
Nice
Nice