YUMO HUMU MWOKOZI Yumo humu, Mwokozi Yesu, Kwenye mzabibu, na ngano tamu Ni mpole ni mwema ni mzima { Waumini (haya), simameni, polepole, kwa maringo, Jongeeni karamuni (mpate) mpate kumwonja Mwokozi Yesu } *2Alisema, twaeni mle, Twaeni mnywe kwa ukumbusho Ni mpole, ni mwema, ni mzimaEkaristi, katuachia, Chakula bora, tufike kwake, Ni mpole, ni mwema, ni mzimaEkaristi ni jina lake, Pamoja nasi, Mungu mwenyewe, Ndani yetu nasi ndani yakeAlitoa, jioni ile, Kwa kumbukumbu, yake milele, Tule tunywe wote tuokokeTugeuze, maisha yetu, Yakafanane, na meza hii Huruma, upendo msamaha
Nimefurahi sana kusikia wimbo huu ni zamani lakn kama umetoka jana huuishi utamu nimeimba toka nikiwa kijijini na mpka leo bado mambo 🔥🔥🔥hongera sana mtunzi wa wimbo huu
my all time favorite choir st Gregory n favorite composer Benard Mukasa moto 🔥 🔥 🔥 🔥 kubwaaaa, you really bless n uplift my spirit. Nehema za mwenyezi Mungu iwe juu yenu hadi tutakapoifikia Yerusalemu mpya
Wa umini aya simameni pole pole kwa maringo jongeeni karamuni mpate mpate kumuonja mokozi yesu asante sana kwamaneno ayo MUNGU awajalie neema nabaraka katika kazi yenu ya utume ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
It's just that in my church we don't dance when it is time for receiving the holy communion . I could be dancing so much🤭 This song is so cool God bless
Hongera Bernardo.Umeshika lile neno>>>>>>>>>>Enendeni duniani kote mkaihubiri Enjili.......Kwa nyimbo na kila namna ya kulitangaza neno lake.Asante sana.Kazi ni nzuri sana hiyo....Big up.
I keep on watching this choir. I like the way all the groups of the church has been represented. Greetings to you all Ongata Rongai choir. My greetings to Christians of Ole Kasasi prayer house.
My Favourite Song that blesses me and uplift my heart...l dance while singing and hearing this song...thank you...waumini simameni twende kumwoja mwokozi yesu...
Only singers knows why this song was burned but at least they have changed the content.. listen new version of it Karamuni Kwa Imani by Sauti tamu..sio Karamuni Kwa maringo
A protestant here but I enjoy catholic songs. So sweet and satisfying 😍😍
😍😍😍likewise my phone is full of catholic songs I sing you might think I'm a Catholic.
@@alicemwangi4909 niiiice
Welcome to the Catholic Church my brother
turyohegwe nutu turirimbo
ua-cam.com/video/_5yntE9JCTA/v-deo.html
Ee,Bwana,Sistahili uingie kwangu sema Neno na roho yangu itapona!🤲🙏🙏🙏🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤💪💪💪💪💪💪💪💃💃💃💃💃🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌❤
anyone listening to this tuma like
YUMO HUMU MWOKOZI Yumo humu, Mwokozi Yesu,
Kwenye mzabibu, na ngano tamu
Ni mpole ni mwema ni mzima
{ Waumini (haya), simameni, polepole, kwa maringo,
Jongeeni karamuni (mpate)
mpate kumwonja Mwokozi Yesu } *2Alisema, twaeni mle,
Twaeni mnywe kwa ukumbusho
Ni mpole, ni mwema, ni mzimaEkaristi, katuachia,
Chakula bora, tufike kwake,
Ni mpole, ni mwema, ni mzimaEkaristi ni jina lake,
Pamoja nasi, Mungu mwenyewe,
Ndani yetu nasi ndani yakeAlitoa, jioni ile,
Kwa kumbukumbu, yake milele,
Tule tunywe wote tuokokeTugeuze, maisha yetu,
Yakafanane, na meza hii
Huruma, upendo msamaha
Reminds me high school so nice and fellow students could sing mpaka father aseme imetosha.
😆🤣😂
Just one of the best. Been on repeat mode ❤❤❤
Loving and loving this song daily..... proud to be a Catholic 💗
Who is proud of being a Catholic like me😊😊😊😊😊😊😊
Me
Me
I am so much proud 😊
Me❤❤❤
Me
Naipenda songs hii love catholic inanikumbukusha nilivokuwa naimba shule choir ...😂 im enjoy
Proud to be a Catholic
hongera hongera hongera mmetulisha kwa nyimbo tamu tamu mungu na awazidishie
Yes yes naringa yesu wangu Yuko hai,milele tumsifu yesu kristo.
Utukufu na sifa ni kwa Mungu aliyewapa vipaji hivi, hongereni sana waimbaji wenzangu
kazi ya mungu iende mbele
Once a Catholic always a Catholic
hongera ziende kwa Bernard Mukasa mtunzi waimbaji na mpiga kinandaa kwa kweli mbarikiwe sana kazi ya Mungu
Kazinzur xana mbarikiwe nabwana 🙏
Proud to be a Catholic and love it by the song encouragement
Nice song and aproud to be a Catholic
Hongereni sana kwa utukufu huo kwa karamu ya Bwana wetu Yesu Kristo.Mmechangamka hadi rahaaa...!Mbarikiwe pamoja na mtunzi
Nimefurahi sana kusikia wimbo huu ni zamani lakn kama umetoka jana huuishi utamu nimeimba toka nikiwa kijijini na mpka leo bado mambo 🔥🔥🔥hongera sana mtunzi wa wimbo huu
my all time favorite choir st Gregory n favorite composer Benard Mukasa moto 🔥 🔥 🔥 🔥 kubwaaaa, you really bless n uplift my spirit. Nehema za mwenyezi Mungu iwe juu yenu hadi tutakapoifikia Yerusalemu mpya
Barikiwa sana .
Wimbo mzuri saaana
Nimebarikiwa
Bernard Mukasa Mungu na azidi kuibariki kazi yako na wanakwaya hongereni kwa sauti nzuri
I can see lawrence my church mate Gaciigi shrine ..be blessed
it never gets old....Tuzidi kujongea kwa karamu, Tunaalikwa na Kristu
Asante mungu kwakuwapa upeo hawa wanakwaya kwa kuweza kuimba wimbo mzur kama huuu wamenikumbusha mbali sana Enzi nipo oliver nikiwa mwanachama wa tycs
Very soft voices and nice song too.....always a catholic
...Tupate kumwonja Mwokozi YESU
A very beautiful peace(karamuni kwa maringo)
Nice song.though I don't understand but like it.Watching from Ghana
Wow
Aki kama ni Atlanta munayo ,na ujumbe nao: woouh! Hata sisemi kitu. Endeleeni hivyo. Amen.
Huu wimbo tulikuwa tunaupenda Sana kipind niko TYC MTSS ilikuwa ni 🔥🔥🔥 Mungu awabariki
Sisi pia yaan hadi raha
Amina
Me tuliupenda pindi tu sec TYCS nikiwa m/kiti wa tawi
Wa umini aya simameni pole pole kwa maringo jongeeni karamuni mpate mpate kumuonja mokozi yesu asante sana kwamaneno ayo MUNGU awajalie neema nabaraka katika kazi yenu ya utume ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
Hii nyimbo inanikumbusha TYCS....Wana Usagara .... Mpooooo
It's just that in my church we don't dance when it is time for receiving the holy communion . I could be dancing so much🤭 This song is so cool God bless
Am proud to be a Catholic
The song is a vibe and it's a blessing 🥰🥰🥰
Catholic is always my church wow what a sweet and blessing song
Hongera Bernardo.Umeshika lile neno>>>>>>>>>>Enendeni duniani kote mkaihubiri Enjili.......Kwa nyimbo na kila namna ya kulitangaza neno lake.Asante sana.Kazi ni nzuri sana hiyo....Big up.
Leo nimefarijika Sana kupitia wimbo huu,😍😍😍😍
Big up guys.👏👏👏beat iko sawa
💕💕💕👌👌woooooooow God bless you Nancy,Kenyan
wow......its sooooo lit....i love it...forever catholic
My pride,,,,born in catholic forever ad ever❤❤
I love this song,,,,, it makes me be proud of being a Catholic
Be blessed kabisa
Very good melody bless u
Najivunia ukristo wanangu mimi mkatoliki
May God bless the group it makes feel am flying to heaven when I listen may do more than this
Turinge mbele ya yesu mbarkiwe sanaaa
The keyboard master Ochieng'
Big love from st. Mary Catholic Church North Carolina Greensboro. 🇨🇩🇺🇸
Mbalikiwe sana nimefunguliwa sana na hii nyimbo.
I remember this song in the year 2016 during the the confirmation mass at st John's Tongaren parish
Iyo song n tamu hadi unafeel Mungu mwnyw ameshuka
I keep on watching this choir. I like the way all the groups of the church has been represented. Greetings to you all Ongata Rongai choir. My greetings to Christians of Ole Kasasi prayer house.
turyohegwe nutu turirimbo
ua-cam.com/video/_5yntE9JCTA/v-deo.html
Reminds me of our school choir Sr mary Stephen
My favourite song 🙏🙏
Safi kabisa
So nice ,,,,,,,proud to to be a Catholic
Proud Catholic..God is good
❤nyimbo za Catholic zinaletanga shangwe
So ...nice I'm proud to be a catholic
Naipenda sana wimbo huu,mwaaaaa
kwa maringo na mbwembwe zote katika yeye atutiaye nguvu
nice be blessed
Amina
🤣😇😇🤠
Illlllljpo
Nice song
Currently being taught this song at the school choir
Mbarikiwe sana kwa uimbaji wenu mbarikiwe sana sana
Mbarikiwe sana ongata Rongai.
Mambo ya Bernard mukasa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nice voices big up choir asanteni sana
Mkmkm.kkkk
Benard Mukasa is always 🔥🔥💯
My song ever am blessed
Hongera sana mukasa kwa kipaji ulichopewa.
Tunamuenzi sana mtunzi huyu. Mungu azidi kumwezesha
Asanten san watu wa mungu
Bernard Mukasa, Ubarikiwe kwa utunzi uliotukuka, nanyi Wanakwaya Hongereni Sana kwa Uimbaji mzuri.
awesome.thats my church choir
My all time song
Wooo proud to be a catholic 🙏🙏
Forever catholic in my veins
Wimbo mzuri sana mbarikiw
😍😍😍
Niceee...
Proud to be a Catholic...
Mpiga kinanda unikosha moyo kaz nzuri sana
Mpate kumuona Yesu
Mpate kumuonja sio kumuona
Reminding me at church serve at alter boy
wale wasioupenda wimbo huu ni kama wale ambao hawajui kuimba
Mmeimba vizur sana
Asante ubarikiwe
I heard it 12 years ago. Good song brethren
Amen! Mbarikiwe sana kwa wimbo mzur
Bernard from Tz and ochieng odongo kutoka siaya,,big up guys
Ochieng Odongo is from migori not siaya
Thanks for correction
My Favourite Song that blesses me and uplift my heart...l dance while singing and hearing this song...thank you...waumini simameni twende kumwoja mwokozi yesu...
caroline ruguru wow
Wonderful choir like the one of Nsambya Uganda. Be blessed.
Nice song be blessed
Huu wimbo ni sabuni ya roho✨
Avery good one keep it up Bruno blessed
I'm proud of being a catholic forever ❤❤
tamu tamu kweli
finally this song can be found
Bright Obadiah Yes, it can found
Only singers knows why this song was burned but at least they have changed the content.. listen new version of it Karamuni Kwa Imani by Sauti tamu..sio Karamuni Kwa maringo
A blessing and wonderful song
Kwl kaz nzur xn
i love your songs thx
Be blessed
Bigup to God through B. Mkasa
I really enjoy listening carefully proudly Catholic archangels koibarak parish🎉