Dada zuuh nliwahi kukuomba movie ya angel na kweli ukatekeleza ubarikiwe Kwa Hilo ila Leo nakuomba Tena dada utuletee bongo Kung Fu kiukweli ntafurahi sana dada mwenyezi Mungu akufanyie wepesi inshallah 🙏❤️
Jay Plus & Seba. Mmejitahidi Kwa Story nzuri Sana yenye Kufundisha Maadili mema. ILA mmetupunja Sana Fans wenu Kwa Quality ya Actions. Yaan Bado Kuna shida kwa Characters KUVAAA UHALISIA. Mfano. Mapigano yotee ninayapa 30% hayana Uhalisia kabisa yaani watu mnapigana KUFA Na Kupona kama vile mnafanya Mazoezi? Jimmy na Seba mnapigana Kuokoa Watoto wenu hata hamtiki Jashoo kweliii! Tena mmevaa Mikoti kwelii hata kama mlikuwa Njombe siyo sawaaa. Scene ya mwishoni hapo kiukwelii Imeboa Sanaa. Au hiii movie iliactiwa miaka 10 iliyopita? Mama Cute, Junior na Cute walionekana kweli Wanaigiza (No reality) Kibaya zaidi Hali Karne hii Movie inaisha Kwa kutuandikia Captions Kweliii? Kweli Nina Amini Sasa Kurusha Ndege siyo Kazi KAZI NI KUTUA NDEGE (Landing) Movie imeisha Kwa Kutuachia Swali la ....KWAHIYO? Jitahidini bana ... Ile Movie ya Misukosuko ya Miaka hiyo imewashinda Kuvunja Record yake mazeee. @Markseven
Wallah ubarikiwe hii movie nimeitafuta miaka 4 sijaiona
Kweli kabisa myezi nyingi sana tena sana
Kwakweli Ni Miaka Mingi Sana imepitaaaaa 🤗🤗🤗🤗⛹️⛹️⛹️
😮😮😮 wapo jprs na seba duhh
Aiseeh nimeiomba sana hii movie😂😂😂
Warirusha part 1 alafu part2 awakuweka😅
Dahhh movie tamu sema imechezwa Seba ashachoka hatujashuhudia mkono mkali kama wa Misukosuko Part 1&2
Wow movie tamu sana yenye mafunzo nilikuwa nimeingoja sana🎉🎉🎉🎉🎉
Asant sana daa zuu ila nilikua naomb Foolish age part 1 na 2 plzzzz
kwa kweli hmanga kazi chafu nyie jamaa nawamubali sana toeni nyingine bhs
I was searching this movie from 2019 to 2024 nimeona leo gonga like hapa much love from Zambia ❤🎉🎉
Dah hongera kwenu move nzuri pia imeisha vizuri sana
asante sana zuu 👏 kwani nilikwa naitafuta sana lakini leo nime enjoy 🔥🔥🔥 kazi zuri ❤❤
Yan sisi hatuna meng mana uyo faza jy anatisha sana Kwa kazi zake hongera zake Hana mbaya hata kidogo
Wewe ndiye msani wetu wa ngumi na kipasi aliye baki Tanzania hongera sana kaka
Bro Jimmy endendelen na kuigiza kazienu nzur sana mungu awasaidie mtoe zaid kaz zingine
6 full years nilitafuta hi movie,,,,,,,thanks be to you again
Dah shukran san kwa kutuekea hii bongo movie ni nzur san nimeangalia mwanzo mwisho nimeenjoi san hawajaamaa wanajuwa kwel pongezii kwao
Hiii movie ni mzur sana wallah❤❤❤
Nawapenda xanaaa lakini seba umeshAzeeka xanaaaaa❤
Jblas we noma.unajua sna.na sna broo bigpu
asante sana kwa movie hii nimekutafuta mtandao mzima sijaupataa
Asante sana, Zuuh! Much love kutoka 🇲🇿 (Mozambique).
Bado tu Double J final ya mzee J. Plus
Estamos juntos, dona Zuuh. Amo-te bastante! ♥️
Good sana nimeitafuta sana hii party 2 🎉
Safi sana Zuuh tuletee Double J hasa hasa Part 4 final
Ume wakilisha kaka 😊nakukubali miaka 100
Kaka j Plus upo vizur sana na vandame wa bongo❤❤kazi tulisubir sana na imekuja kazi kweli ❤❤❤
asee love much nilikuwaga naitafuta sanaa ii movee jmnii😂
😂😂😂😂❤❤❤ kumbe tupo wengi
Hilo biti naombeni mnisaidie linaitwaje🙏🙏
Hapa umetishaa mbaya leta na hile ya Tino inaitwa Cid ya ngumi hb
Mpunguze kelele sasa hiyaaaa shashaa hiyaaaaa nyingi sana
Hii movie kuna vipande hasa hiyo sehemu ya beach nazani walirekodi sauti wakaiingizia itakua sauti halisi ya kwenye video ilikua sio nzuri 😂😂😂
Mwaka wa tatuu natafuta nimeona tana leoo ❤❤❤❤❤
Daa sio pw😢
@@ZakayojrZ ila sasa tumeipata. @Mpemna. Mmoja#
Hellow zuuu naomba movie ya mwalimu masemele.
Dada zuuh nliwahi kukuomba movie ya angel na kweli ukatekeleza ubarikiwe Kwa Hilo ila Leo nakuomba Tena dada utuletee bongo Kung Fu kiukweli ntafurahi sana dada mwenyezi Mungu akufanyie wepesi inshallah 🙏❤️
Ni komedy yupo Ringo zimwi joti yani washiriki kibao tu
Jay Plus & Seba. Mmejitahidi Kwa Story nzuri Sana yenye Kufundisha Maadili mema. ILA mmetupunja Sana Fans wenu Kwa Quality ya Actions. Yaan Bado Kuna shida kwa Characters KUVAAA UHALISIA.
Mfano. Mapigano yotee ninayapa 30% hayana Uhalisia kabisa yaani watu mnapigana KUFA Na Kupona kama vile mnafanya Mazoezi? Jimmy na Seba mnapigana Kuokoa Watoto wenu hata hamtiki Jashoo kweliii! Tena mmevaa Mikoti kwelii hata kama mlikuwa Njombe siyo sawaaa. Scene ya mwishoni hapo kiukwelii Imeboa Sanaa. Au hiii movie iliactiwa miaka 10 iliyopita? Mama Cute, Junior na Cute walionekana kweli Wanaigiza (No reality) Kibaya zaidi Hali Karne hii Movie inaisha Kwa kutuandikia Captions Kweliii?
Kweli Nina Amini Sasa Kurusha Ndege siyo Kazi KAZI NI KUTUA NDEGE (Landing)
Movie imeisha Kwa Kutuachia Swali la ....KWAHIYO?
Jitahidini bana ... Ile Movie ya Misukosuko ya Miaka hiyo imewashinda Kuvunja Record yake mazeee.
@Markseven
Nmekuwa wa pili haki movie 🎉❤
Uyu dogo mweupe (Inno ) rafiki wa Hancy anajua kuigizaa
Next tuletee inspector seba 1 na 2 pls pls pls..... ata kukulipa niko tayari kwa izo movies
Hii hata mimi naitakaa
Nina miaka 5 naitafuta part 2 nikuipata dada kweli umetisha❤❤
❤❤❤❤ tupo wengi subscriber tu
Aaasantenisana mkipata double j part 4 mutuekee nawavuliakofia tokakenya
Sawa tutaiweka
J plus anajitahid kutunga stori za mafundisho n hisia sana...
Nikiangalia movie za jp na seba huwa napata burudani sana
tutafutie pia movie ya inspector seba
Boss tuwekee na ile Double j
Now is 2024 Still is Bonge la Muvi ...!🔥🔥🔥🔥🔥
Wanafunz wamekomaa suraa😂
Duuh!, kawaida ya wahun tuh!
Hii movie mbona kali sana
Ebu tutafutie hizi movie za Jimy master
-kifo haramu
-shamba kubwa
-unga adui
-usia
Namezitafuta sana
Zuu vp kuhus mtemi part 2 tunaisubiria pia
Hongera kwa zu
Aky walipotelea wapi tena napenda kazi zao❤❤
Jimmy mponda na seba Wanajua aisee
Wale tulilipia vi miambili tuje hapa
Mbona unatumia kazi ya wenyewe kupata posho
🎉🎉🎉🎉🎉 woyooo ❤❤❤❤
Aloieka hiii movie agunguliwe mambo yake nimeitafta Moka nimechoka
@@MuslimHamdani 🙏😇
Tunaku misi sana kaka jplus
Tuletee movie ya Haji Adam , Dr. Chen inaitwa MASAA24
Kuna movie moja inaitwa Maskani bonge moja la movie linahusu mapenzi ni movie moja ya muda sana
Fanya Mpaga ipector seba tuletee
Hii ndio mizigo yangu sasa
hii move jmnii
Bonge la movie walai
❤❤nimeypenda sana
Noma sana nafuraha kwaku ongeza kukuona
LIKE nyingi kwa zuu maana hii movie imetafutwa sana hatimaye zuu katuletea gonga like kwake
Part ya 5 ya double jj please 🙏
ZUU KAMA ZUUU FANYA MPANGO WA DOUBLE J FINAL PLEASE 😢
ni kweli kabisa ata mim nimetafuta kwa muda
Movie nzuri ❤❤
Movie zenye mafunzo mazuri kwa rika zote
Zuu eeeh Tupe namba yako tuwe tunakutumia ata mia5 mia5
Tutafutie machupachupa ya koko biyanko plz
Dahh hii movie kitambo sana
hii nzuri tunaomba CID ya tinno
Yaani huyo demi anavopiga kelele ananiudhi
Naomba mni like me
Move nzur lkn hawa hawajui ngumi
Zuuh kwema naomba ukipata filamu ya more than a woman ya wema sepetu
The Best filamu
Mlinzi anachekesha😊😊
Hia hiaaaa😂
Miaka ming san hii movie naitafuta hakiamung
sema nn dada zuu vp zako saut zinakata sana
@@KadustaBoy ni simu yako tu hii movie sauti haipo hapo mwanzo tu sehemu ya majina ya washiriki.
KAMANDA JAY PLUS (JEBLASI ) NA SEBAAAAA 🤗🤗🤗🤗⛹️⛹️⛹️⛹️
kwani siku hizi jay plus atoi movie
Part 2 ya The Foundation Msingi niliitafuta kwa muda mrefu sana lakini sikuipata, Dada angu umetisha Kuiapload Part 2 The Foundation Msingi 💕💕💕
❤❤❤❤
good job
Big up🎉🎉
Mpo vzuri sana
Na vipi kuhusu huyu Jay plas je ni kweli ni mwendawazimi sai
Sio kweli
@@Sangaproduction okay shukran kwa hilo
Ni balaa uwez choka kuangalia miaka na miaka😂😂
Jblasiii tulikumisi
M nainjoi tu apa
Hello dada zuu unajua kutugrahisha jamani laikin me nilikua naomba move Moja iv inaitwa yai viza sehem ya kwanza Naya pili lakin pia double j yote
Karibu dukani kwetu tunanzo hizo move
@@KaroLeonadiduka lenu lipo wapi maeneo gani
Fire sana💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Hello Zuuh nilikuwa naomba Ile movie ya Boss mchawi sehemu ya pili
Season 2 bado hawajatoa
Igizoo la zaman ulikuwaga ujapat chanel mkuu
bro. unajuwa kama movie tangia 2017 mbona kimya sana
safiii sanaaa
barikiwa
Tunaomba sinema nyingine tafathal
Mi nitailipia movie inaitwa yolanda ukiweka
Mbn hansi hakukamatwa
@@faharuissa tangia umeanza kutazama Hans umeona amefanya uhuni gani hadi akamatwe?
Ila pididy kitambo kumbe😅
Safi sana inafaa sana
Naomba misukosuko