Harusi yafanyika bila Maharusi Kufika Ukumbini | MC Atokwa machozi akielezea ilivyotokea | PODCAST

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @EuphrasiaNtawatawa
    @EuphrasiaNtawatawa Місяць тому +3

    Pole sana Mc Kato,changamoto ni njia mojawapo ya kwenda kwenye level nyingine(ukuaji katika kazi yako)

  • @monicambarikiwa9532
    @monicambarikiwa9532 Місяць тому +3

    Pole sana…..
    Ila cha muhimu uzima.
    Ni kumshukuru MUNGU kwa kila jambo…

  • @EuphrasiaNtawatawa
    @EuphrasiaNtawatawa Місяць тому +1

    Mungu akupe maarifa zaidi

  • @gracebuhatwa6359
    @gracebuhatwa6359 22 дні тому

    Uchawi hupo ,lakini watu awamini kama uchawi hupo.hata serhe ndogo pia wachawi wapo

  • @evelynchitambo4728
    @evelynchitambo4728 Місяць тому

    Huko ndiko kuimarika lkn pia kazi zina changamoto zake Na Mungu hukupa ujasiri na jinsi ya kusimama ktk hilo...

  • @RoseJohn-js7kb
    @RoseJohn-js7kb 3 дні тому

    Mbona kama sioni machozi Bali unajifutafuta jicho kavu!!!

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs Місяць тому

    Duuh pole sanaaa maana hapo nikuimarika kaka yangu mungu akutie nguvu2 pole

  • @lulumasangwa9962
    @lulumasangwa9962 Місяць тому

    Dah!! Pole sanaaa

  • @mcswai3317
    @mcswai3317 Місяць тому

    Hii ilinitokea juz juz mzee kwaiyo i can feel what u say bro

  • @habibanasoro9024
    @habibanasoro9024 Місяць тому

    Pole sana 😢

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 Місяць тому +1

    Sasa unalia kwa sababu hawakutokea? Au kwa sababu hukulipwa? Sijaelewa nisaidieni 😢

  • @banajuliana758
    @banajuliana758 Місяць тому

    Pole sana Denis😊

  • @MylleneMuna
    @MylleneMuna 29 днів тому

    Dah so sad inauma sana jmn 😢😢

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 Місяць тому +1

    usikute kuna mkono wa mtu wenye D mbili wataelewa 😢😢

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i Місяць тому

    Subhannallah kweli huo ulikuwa mtihani daah

  • @MillenMlay
    @MillenMlay Місяць тому

    Uchawi upo jaman mtu ukiwa una funga ndoa mtafute Mungu haswa....mim ndoa yangu ilifungwa saa 12 na nusu usiku sitaki kukumbuka jaman ... mume wangu ali konda gafla siku iyo

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 29 днів тому

    😢😢😢ume niliza waAllahi💔😒

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 24 дні тому

    Katokisha umeumia mno inabid ukaze tu.utupe mrejesho sasa ilikuwaje

  • @vailethlubida8255
    @vailethlubida8255 29 днів тому

    Lakin si walikulipa hata advance

  • @wilfredmbussa4930
    @wilfredmbussa4930 Місяць тому

    Baada ya sherehe kupita, hali zao ziliendelea vp.. Itapendeza mkiwapatia interview

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 Місяць тому

    Walipatwa na nini? Kuhara au?😢

  • @christerrevelian2302
    @christerrevelian2302 Місяць тому

    Inabidi kuwaombea maharusi na shughul kwa ujumla

    • @mc_turuka
      @mc_turuka Місяць тому

      Ndicho Nilichojifunza Kwa Vitendo hiki kitu japo huwa nakifanya kwa Maharusi wangu na wateja wangu wote.
      Kungu atusimamie sana

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Місяць тому +1

    Pole sn ila mm naona chamuhimu ulipwe tu wao wtajuwa wenyewe