BREAKING: MCHUNGAJI PETER MSIGWA AHAMIA CCM, TAZAMA ALIVYOPOKELEWA NA RAIS SAMIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 62

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 3 місяці тому +4

    🤔😂🤣🤣Hivi kweli ule Usemi uliosemwa Na Mwalimu nyerere kuwa kuna wanasiasa Malaya Malaya ni Ndio Huyu Mmoja wao 🙄🙄🤔🤔😏🫣

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 3 місяці тому

      Leo kawa Mnafiki kwa vile kahamia CCM Msigwa sio mjinga Kama wewe unavyofikili alisema Karume koti ukiona linakubana vua akihamia chadema Mpina utamuhitaje

  • @obinasimbeye1750
    @obinasimbeye1750 3 місяці тому +1

    Mchungajiiiiiii mnalidharirisha Jina la mchungaji.

  • @HarounRashidKuyawa
    @HarounRashidKuyawa 3 місяці тому +2

    Kipind cha usajili hich kama zinavyosajil timu zatu za Mpira navyo vyama vinafanya usajil pia Kwa hiyo msishangae jaman kikubwa tambunieni dirisha la usajili lishafunguliwa.

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 3 місяці тому

    Huyu ni msigwa mwenyewe au mwingine basi mbowe nae atahamia CCM
    Na lisu nae atahamia CCM kweli CCM baba lao msigwa kaingia na ya chama heeee

  • @mponejadavid841
    @mponejadavid841 3 місяці тому +2

    Kwendaaa baada ya kukatwa jina kwenye uenyekiti wa Kanda ndiyo unahamia fccm kwandaa hatutaki lingo lingo sisi karibu mpina chadema

  • @medricksanga5925
    @medricksanga5925 3 місяці тому +3

    siasa sio mchezo, yaan n unafiki sio wa kawaida

  • @GeraldNyasembe-q2d
    @GeraldNyasembe-q2d 3 місяці тому

    Maongezi yake2 niyakuungaunga uyo tunamkabidhi heche2 amkabe mpaka atage kayai kajogoo

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 3 місяці тому

    Nikisema mm chadema hawawezi Tena kuwa chama kikuu Cha upinzani, ni chama ambacho kina viongozi wa hovyo kabisa

  • @allytv1714
    @allytv1714 3 місяці тому

    Baadhi ya wanasiasa wanatabia za kimalaya malaya yaan wapo kama malaya malaya

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 3 місяці тому

    Kuna watu wanapanik hatare umu ndani 😂😂😂
    Hii ndio siasa bwana

  • @MusaMsafiri-k9t
    @MusaMsafiri-k9t 3 місяці тому +1

    Siku si nyingi mkuu wa wilaya msigwa

  • @JeremiaMpozi
    @JeremiaMpozi 3 місяці тому

    Tamaq ya madaraka,kumbuka maneno ya mwl Nyerere

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 3 місяці тому

    Ila CCM bana ahhhh hovyo kwelikweli

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji 3 місяці тому +1

    Nataman magufuli Angeliona hili kweli siasa ni mchezo mchafu khaaa😅😅😅😅nacheka kama maxuri

    • @LeonardDanda
      @LeonardDanda 3 місяці тому

      Nawe unamjadili msingwa kwan magufuli alifanya sawa acheni unafiki

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji 3 місяці тому +1

      @@LeonardDanda
      Unafiki unao wewe mbwaaa wewe

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd 3 місяці тому

    Tanzania inamatatizi makubwa sana

  • @JeremiaMpozi
    @JeremiaMpozi 3 місяці тому

    Wachungaji wa mwili hao

  • @paulomwambanga7119
    @paulomwambanga7119 3 місяці тому

    Mheshimiwa Dkt Samia suluhu hassani Nikiongozi mwadilifu anaye jituma katika majukumu yake.

  • @EzraNganga-p7l
    @EzraNganga-p7l 3 місяці тому

    Safi sana msigwa

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi 3 місяці тому +2

    Safi sana,msingwa nimekuelewa kaka,tupo pamoja.

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 2 місяці тому

    Ufala mtupu

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 3 місяці тому

    Ukienda kutafuta ukikosa unarudi nyumbani kwa baba na mama maana nyumbani chakula hakikosi siku zote nyumbani ni nyumbani huwez kufa njaa. Karibu sana mr MSIGWA Nyumbani

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 3 місяці тому

    Nchii hii

  • @enockezekiel4125
    @enockezekiel4125 3 місяці тому

    😢

  • @light-global
    @light-global 3 місяці тому +1

    Si-hasa maana yake hakuna la uhalisia ndani yake

  • @silvangabriel3592
    @silvangabriel3592 3 місяці тому +1

    Aende jinga sana

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 3 місяці тому

    Safi sana ameona
    Kule wababaishaji bora arudi nyumbani kwa mama. Karibu MSIGWA

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 3 місяці тому +1

    Msigwa ndo habari ya leo💪💪💪💪💪💪

  • @joshuagidabayda8146
    @joshuagidabayda8146 3 місяці тому +1

    Mwal Nyerere was very right mercenary

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 3 місяці тому +1

      🤣😂🤣🤝🙌🙌🙌Huyu ndio yule wa wale Malaya Malaya 🤣😂😂🎷🎷🎷🗣️

  • @rahplenyengerahplenyenge722
    @rahplenyengerahplenyenge722 3 місяці тому

    🐶🐶🐶 umbwa uyu nimujinga

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 3 місяці тому

    Njaa ni mbaya sana, mchungaji ungefungua tu kanisa injili iendelee

  • @THEQUILLSTORY
    @THEQUILLSTORY 3 місяці тому

    HII NI SAWA NA CHAMA KUJA YANG

  • @JosephJasson-fx6rq
    @JosephJasson-fx6rq 3 місяці тому +1

    Mhhh. Siasi bahna

  • @JeyderNgendanyi
    @JeyderNgendanyi 3 місяці тому

    Ccm wameanza kuchukua watu wao waliowaweka ccm kiujasusi
    Ko now ni mwendo wa kuvunja vunja upinzani

  • @JohnsonWazaza
    @JohnsonWazaza 3 місяці тому

    Njaa mbaya sana huko nako akikoswa mfupa ataibukia NCCR

  • @living_creature99
    @living_creature99 3 місяці тому

    Ccm oyeeeeeeee … hakuna Chama kama ccm dunianiiii …. Utaruka utapaaaa mwisho utarudiii tu kwa baba la vyamaaaa ❤

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa 3 місяці тому

    Haya wanachadema mmeyakanyaga mjumbe wa kamati kuu wenu sasa atawaibisha mchana kweupe tuseme hili ni pigo la haflaaa sasa atatoa siri njeeeee!!!!!

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 3 місяці тому

      🤔Usione Ajabu ndio Nae Atafutia Tumbo Lake Wamempiga Na Dili Safi😂🎷🎷🥳🥳🥳🥳🎤🗣️Tusubiri move 🤔Au Kitabu Tuandike🤝

  • @AliKhamis-j9z
    @AliKhamis-j9z 3 місяці тому

    Mausalama yataifa hayo yanapandikizwa kwenye safu zawapinzani

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 3 місяці тому

    Nenda wakuvalishe majoho

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 3 місяці тому +1

    CCM oyeeeeeee

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 3 місяці тому

    Nenda msigwa njooo mpina

  • @LameckZakaria-qg9vv
    @LameckZakaria-qg9vv 3 місяці тому

    ivi uyu makala haoni uchawa unazidi

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 3 місяці тому

    Nilikua nampenda Msigwa siku nyingi sana katika wapinzani wa tz Karibu sana nyumbani

    • @mnamamnama2732
      @mnamamnama2732 3 місяці тому

      Kwa yanayoendelea chadema..msigwa anaona Hakuna upinzan

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 3 місяці тому

    Msigwa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @joshuagidabayda8146
    @joshuagidabayda8146 3 місяці тому

    Just mecenary busness

    • @Thadei_kameta5458
      @Thadei_kameta5458 3 місяці тому

      They switched sides just for money mercenary business everywhere 😂😂😂

  • @JninjaH2R
    @JninjaH2R 3 місяці тому

    Amefata ugali tu

  • @JansanMokiwa
    @JansanMokiwa 3 місяці тому

    TOKA HAPA HATUKUTAKI

  • @shabannayopa5406
    @shabannayopa5406 3 місяці тому

    Mama umeupigwa mwng karb mh Msigwa

    • @obinasimbeye1750
      @obinasimbeye1750 3 місяці тому

      Anafuata mbowe na lisu, Mimi naona ibaki ccm tu upizani wote waunge MKONO ccm

  • @alishauri6506
    @alishauri6506 3 місяці тому

    Siasa bwana

  • @JeremiaMnanka
    @JeremiaMnanka 3 місяці тому

    Kweri

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 3 місяці тому

    CCM oyeeeeeeee❤❤❤❤❤❤❤

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 3 місяці тому

    SSH❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ZechKejo
    @ZechKejo 3 місяці тому +1

    Kumekucha