Kwakweli siamini kama diamond platnums huyu ninaemjuwa Mimi amekuwa juu kiasi hiki jamani chukuwa mauwa Yako diamond platnums 🔥🔥🔥⭐⭐✨✨💥💐🌹🌺🌸🌿🍂🌾🌿☘️☘️🌱🌼
Mshenziii amewanyooshaa nyoko zao chezea shibu dangote nini❤❤❤❤❤❤mond wetu twajivunia wewe
Tanzania tunajivunia uwepo wako ,,diamond kwakweli nasema ,mungu akuongoze Zaid kazi zako wtz tunakupongeza Sana na popote inaunguruma,simbaaaa😅😅hongera kwa tuzo
Best artist in Africa.. I say Africa because despite the fact that Simba is from a Swahili nation, he still competes with the best artists
Salute to diamond platnumz this is so amazing
Big performance
Hamonize kweendraaa na umakonde wako wa kikuma simba❤❤❤
Rwanda 🇷🇼 wako juu kwenye mambo ya ukumbi na maandalizi kama Ulaya
Ila Mond yupo juu bnaa alipoingia kwenye nyimbo ya Jux stage ilibadlika na ukumbi ukawaka moto ful shangweeeee
Hatari sana
Yan amemalizia vizur😊😊😊😊
Jux anaenda kimataifaf
I'm Førm Ethîøpîà Díàmóñd Always kîñg Øff Kíñg 💪💪
Vraiment upendo
Uyo ndo simba la masimba dangote mpaka waseme baba 😂😂😂❤
❤❤❤jamaaa anajua mpaka anaboa
Simba kweli baba lao jamn apewe maua yake 🙏❤️🙏❤️👈❤️🙏
Kenya tanzania simba ❤❤❤❤
Like zangu😂
Nasisi tukipata Alena yetu itapendeza Sana Sema mama Bado ananunua magori akimaliza atatuwekea na sisi bajeti
nabado mtasema mpakamseme badohamjasema nautashema simba fanyakaziyako😅
I like the way the cameraman does it well 🎉
Simple marketing strategy.
Kuwa na mangers ambao watafanya research ya nyimbo zako zinazopendwa sehemu Ili ukipaform watu wawe na VIBE.
Hii itasaidia kukujenga kwa siku zijazo.
Huu ujumbe wangu ni kwa wasanii wachanga sio MONDI
Tanzania representing in the house
Simba❤❤😂😢😅😅😅
East africa finest😍😍
Duuuuu ❤❤❤
Amazing performance🫡🫡
❤❤❤❤ super
Umemheshimisha Jux
Umetisha kk
kaka mondi umetisha
Pafomas good
Simba aaaaa
Huyu jamaa hanaga muda wa kupumzika....i sure yu anafanya kaz usiku na mchana, na mkono wenye bidii acha upate...
2:53 ❤❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Je hao kweli ni washirikina
Simba
Baba lao
❤❤❤❤
D mmoja tuu tz
Nawaza huyu diamond asingekuepo Muzik wetu sijui ungekuwa wapi now maan wasanii wengi TZ hawajitumiii kabisa. Diamond umetuheshimisha sana
Simba ni simba na ndo baba lao
Harmonize kwendaaaaaaa!
❤❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😊
Big parfomce
Zambia tunakubali saana diamond,kazinzuli saana burundi mukowapi???😂😂😂
❤❤
Mwingine hajalewa mwingine yupo na chameleone halafu wanajiita wakubwa
🙏🙏🙏🙏❤❤❤
,🤪🤪🤪🤪🤔
Asante diamond platnums 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 kwakutujengea heshima nafurahi sana kuwa shhabiki wa WCB Simba aujawahi niangusha,,