PASS MILLION: CHAMA ATAJUTA SANA AENDE ZAKE/ ALIKUWA ANAJIVUNJA SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 18

  • @IsackEzekiel-i4o
    @IsackEzekiel-i4o 20 днів тому

    Baada ya chama kulikuwa na wanyama tena wakal😅😅😅😅😅

  • @skinarugiga6076
    @skinarugiga6076 20 днів тому

    Tunamtakia kila kheri.wacha aendee simba ameikura na ataiacha.cc ndio simba wala hatuna shida ya kuendeshwa na mchezaji.good job viongozi wa simba

  • @izackwiliblod1472
    @izackwiliblod1472 20 днів тому

    Wana Simba wanzanga tusifazaike sana Simba ilianza kabra ya chama warikuwepo wakina okwi waliondoka kwani chama nani

  • @CostarcostarcostarCostar-tx4yk
    @CostarcostarcostarCostar-tx4yk 20 днів тому

    Mm costa magombo nipo msumbiji Wana Simba wenzagu kuweni watulivu kama munauelewa mpila

  • @AdnaneisufomomadeMomade
    @AdnaneisufomomadeMomade 20 днів тому

    Mimi ni simba damu. Kwa hili nawapongeza sana viongozi wa simba kwa uamuzi huu. Kwani simba ni kubwa sana kuliko mchezaji yeyote.

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 20 днів тому

    acha aende tu

  • @Jeremiamakongo
    @Jeremiamakongo 20 днів тому

    Simba wamefanya vzr sana huyo chama kama tungemchukua Simba,angejivuna sana acha aende ila hakuna kitu atafanya MTA ikumbuka kauli yangu

  • @SalumuKidile
    @SalumuKidile 20 днів тому

    Cham matako mwache aendee mla lushwaa uyo tuna pigwa 5 yey si alikuwepo kasaidia nn

  • @martinanney6192
    @martinanney6192 20 днів тому

    Tatizo boss wetu kajanja chama mwamba kilalaheri ntakupenda daima huna baya brow

  • @kitosmayunga8722
    @kitosmayunga8722 20 днів тому

    Viongoz wakovzur

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 20 днів тому

    Aendeeeee siyo yeye peke yake ndo alizaliwa kucheza simba mi nimefurahi kikifika kipindi cha usajili bosi roho juu pia alikuwa anacheza kama hataki mbio hana yupo yupo tu safi sana bossi huko ndo anaenda kuzeeka kabisaaaa kweeeeedraaaa

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 20 днів тому

    Mayele mlifurahi sana zam

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 20 днів тому

    Kwani Chama ni nani na hakuikuta Simba?au yeye ndiyo mwanzilishi wa Simba? Kuweni Wanamichezo aliletwa na Simba Utopolo wajue huyo alikuwa mamluki aende tu.

  • @user-vs8fu1yn3f
    @user-vs8fu1yn3f 20 днів тому

    Kwenda kabisa misimu 3 ulikuwa wap

  • @lukiaanatory4598
    @lukiaanatory4598 20 днів тому

    Kwani misimu mitatu chama alikuwa amefichwa mkunduni kwaufupi tu tumemchokaa

  • @subiralema
    @subiralema 20 днів тому

    Sasaivi watatufunga kumi

    • @Jeremiamakongo
      @Jeremiamakongo 20 днів тому

      Ww unayesema,tutafungwa 10 ni ww TU na mawazo yako