BAHATI BUKUKU ALIVOIMBA "PICHA YA MAMA" YAWAINUA WABUNGE WOTE MPAKA KWENYE STAGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лис 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @masikabijeamne6651
    @masikabijeamne6651 5 місяців тому +14

    Team bahati Bukuku tujuane hapa

  • @IsayaMakwepa
    @IsayaMakwepa 3 місяці тому +1

    hatuwezi kupata ambayo imekamilika kaka🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rachelsimbeye9637
    @rachelsimbeye9637 5 місяців тому +7

    Yaan watu kazi yao kuhukumu

  • @SophiaMogitu
    @SophiaMogitu 2 місяці тому +1

    Mama yangu Bahati bukuku songa mbele nakupenda sana

  • @YasintaMlay-x7w
    @YasintaMlay-x7w 5 місяців тому +2

    Angalia mazingira aliyopo,,,na pia neno la mungu linahubiriwa popote,,,mungu haangalii umevaaje,,,anaangalia usafi wa moyo,,,na kila mtu atasimama kwa nafasi ake siku ya mwsho so usimuhukumu mtu,,,nadhan ilo tukio lililokuwa linaendelea siku iyo mnalifaham kbs,,,huenda aliambiwa tuu aimbe basi

    • @annkim2690
      @annkim2690 5 місяців тому

      Zipo sehemu 2 ukitoka Kwa hii dunia mbinguni na kuzimu uamuzi upo na MTU mwenyewe Amri zipo Kwa Bibilia Kwa waendao mbinguni na Kwa waendao kuzimu Amri zipo Kwa hii dunia

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 5 місяців тому

      Jamani nawaambia tusilahisishe kama.mtu.anasema suruali haituhusu muongo anaangamiza familia ya Tanzania suruali ni vazi la wanawake wasiojua umuhimu wa Mungu au.wasiojua kweli ya Mungu tusidanganyane suluari ni vazi la wanaume fikilia dunia nzima ivae suluari kitakuwa na mwanaume Tanzania heri Taiga ambalo Mungu ni Mungu wao

    • @simonmdune9066
      @simonmdune9066 5 місяців тому

      Kumbe shetani kafunga akili za watu kujua ukweli wa Mungu ni UPI na uongo ni upi pole sana ww

    • @FarajaGidioni
      @FarajaGidioni 5 місяців тому

      Achani kutazama kibazi ndani yajicho lamwenzenu nanyi mnaboliti ndani yenu vazi halimpeleki MTU mbingu mbambana Maisha yakumjuwa Mungu kuliko kumjadiri MTU mwingine

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 5 місяців тому

      @@FarajaGidioni acha kufuga dhambi na kuziendekeza itakugharimu hujui kinachoendelea gizani wewe mwanamke mwelewa.hawezi kuvaa suluali ma'ana ni utukufu kwA mwanaume niutambulisho wa wanaume.lakini leo watu.wanaimbia hadi kwaya mtume paulo.anasema wanawake wajinga watakuwa wengi watatekwa na shetani kama yane.na yabre kipindi cha Musa wanawake wengi.wamerogwa hanavaa vaa tu hatuwezi kuangalia yetu ndio ma'ana Mungu kainua karama.mbalimbali

  • @jacintathoya-r6h
    @jacintathoya-r6h Місяць тому

    Be blessed ❤

  • @lweyakokyo3174
    @lweyakokyo3174 4 місяці тому

    Umetisha

  • @hasimweandrew311
    @hasimweandrew311 5 місяців тому +10

    Kwan kuvaa suruali ndiyo nini kama mmekosa vyakucomment achen

  • @HappinessSophalet
    @HappinessSophalet 4 місяці тому +4

    watu acheni wivu mbona kavaa. kikoi Kuna ubaya gani mbona hakuna anayesema wanamuziki wa. Kibongo. wanaimba uchi hakuna anayesema mnamuandama. mama wa. watu hizo. roho zishindwe kwa jina la yesu mtu kafunga kikoi ubaya gani hapo sasa muelimike

  • @NnalaNsangalufuMwangati
    @NnalaNsangalufuMwangati 5 місяців тому +8

    Kuvaa suruali inahusu nn sasa mbona watu mnapenda kuhumu watu bila sababu

    • @StellaLwesya
      @StellaLwesya 3 місяці тому

      Soma neno ungejua neno ungekaa pemben

  • @angelmwanjalila857
    @angelmwanjalila857 5 місяців тому +3

    Ninaipenda dini ya zamani. Inayomuweka MWANAMKE mahali pake. Sio hizi fujo za kwenye madhehebu

  • @miriammustafa5380
    @miriammustafa5380 4 місяці тому +1

    Jiangalie kwanza ww ndioo umuhukumu halafu tumewazoea kila aliyesimama vema hamuishi kumsema vibaya kawafanya nn imba mama achana na wapita njia

  • @ConsoletaConsoleta
    @ConsoletaConsoleta 5 місяців тому

    Consolate Mapenzi siamejifunga leso shida iko wapi 1:14 1:16

  • @rhodayohana9658
    @rhodayohana9658 5 місяців тому

    Nice so much,

  • @antonioandrade5681
    @antonioandrade5681 5 місяців тому

    E verdade que ela faleceu?

  • @EmmanuelPius-kg7mw
    @EmmanuelPius-kg7mw 5 місяців тому

    Nimeupenda ujumbee sanaa

  • @LucasAngwezu
    @LucasAngwezu 4 місяці тому

    mungu asifiwe

  • @nurumollel6245
    @nurumollel6245 5 місяців тому +2

    Suruali ina shida gani, natumai tutumie muda kumuomba Mungu teaches kuangalia mavazi

  • @rukiamadati336
    @rukiamadati336 5 місяців тому +2

    Ukisema ufuatilie Sana kilakitu ni dhambi

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 5 місяців тому

    Mama bahati sasaa heshima Gani jamni mbele za Mungu unavaa trouser how mtumishi wa Mungu Tena mbele ya umati

    • @joycelaura4611
      @joycelaura4611 5 місяців тому

      jmn hapo angevaa gauni si ingepepea na upepo wa hidaya bado upo ? halafu mm naona yuko sawa tu kulingana na mazigira

    • @joycelaura4611
      @joycelaura4611 5 місяців тому

      jmn hapo angevaa gauni si ingepepea na upepo wa hidaya bado upo ? halafu mm naona yuko sawa tu kulingana na mazigira

  • @anniesylvester3601
    @anniesylvester3601 5 місяців тому +2

    Kuna watu huwa wanajua kujudge wenzao utazan wait sag mbele za MUNGU

  • @ConsoletaConsoleta
    @ConsoletaConsoleta 5 місяців тому

    Consolate Mapenzi siamejifunga leso shida iko wapi

  • @roseMkonyi-bz1rk
    @roseMkonyi-bz1rk 3 місяці тому

    Sijui injili ya kristo mnaipelekaje ulikua unavaa nguo za heshima nakukumbuka sana umepata hipsi sijui za mchongo unawaambia watu nini suruali zako sasa tunawaogopa huenda ukawa walewale wa uongo kama unamfuata Yesu yanini mambo meusi

  • @salimabyaka3601
    @salimabyaka3601 2 місяці тому

    Amina

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 5 місяців тому

    Amefukuzwa kazi na mungu kitambo sana, nikopo tupu Hana mafuta ya Roho mtakatifu

    • @DorcusMsukwa
      @DorcusMsukwa 5 місяців тому

      Wewe mwenyemafuta ya roho mtakatifu sahii ukowapi?au unamiliki mamilioni mangapi ?Na umeokoa roho za watu ngapi?ebu acheni kujidai Munguwatu af uzuri Mungu sio km wewe😂

    • @eveliynejoseph7944
      @eveliynejoseph7944 5 місяців тому

      Acha kuhukumu mtu usiye mjua kazi ya hukumu Muachie Mungu ndugu

    • @erastomponda8762
      @erastomponda8762 5 місяців тому

      Mwenzio ana kampuni la ujenzi na mabarabara toka 2013,na ana miradi mingine mikubwa,sijuh wewe mjomba wa Mungu unamiliki nini 😀😀😀

  • @ValledianaHamisi
    @ValledianaHamisi 5 місяців тому +4

    Lakn hapo anafikisha ujumbe wa MUNGU ingawa ni jukwaa la siasa

  • @EsterMachea
    @EsterMachea 2 місяці тому

    Aise voko

  • @florencekombe5503
    @florencekombe5503 5 місяців тому +12

    Ina maana huoni mazingira? Pambana Imani yako binafsi acha kijishika na mavazi ya watu

    • @VictorGosbert
      @VictorGosbert 5 місяців тому +1

      Pambana na hali yako

    • @florencemichael3538
      @florencemichael3538 5 місяців тому

      Kwani kuna shido?😂

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 5 місяців тому +1

      Hilo ni vazi la.mazoezi
      Wewe.kwenye mazoezi huwa una vaa dera?
      Tena hapo kajitahidi nakanga kajifunga. Acheni kuhukumu. Watu kila mtu apambane naimani yake.

  • @rosemoshi9088
    @rosemoshi9088 3 місяці тому

    Mungu anaangalia moyo syo mavazi

    • @MaryMgeji-x9z
      @MaryMgeji-x9z 2 місяці тому

      Ndugu vyote vinahusika kwa MUNGU kama MUNGU anaangalia moyo hakuna sababu ya kwenda kwa MUNGU na mwili tungeenda na moyo tu anaoangalia

  • @leticiamachibya1851
    @leticiamachibya1851 5 місяців тому

    Mseme na yenu kaz kuhukum watu utasema mlimsaidia Mungu kuziandik amri zake.sasa hapo mama kakosa nn mbona kavaa vizuri et kopo Tu wewe umehuniri nn mpaka sasa bahati mchango wake unaonekana nyie mnaotoa hukum VIP😭😭

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 5 місяців тому +1

    Huyu nimwehu Sasa, unaacha kwenda vijijini wanashida ya injili unajipendekeza Kwa mpuuzi

  • @petermbayi5885
    @petermbayi5885 4 дні тому

    siku hizi ni longi.ehii kweli dunia imeisha

  • @deborajoseph5270
    @deborajoseph5270 5 місяців тому

    Kwan kuvaa surual ni dhambi mbona kawaida tu

  • @elizabethbethy7267
    @elizabethbethy7267 5 місяців тому +1

    Kwani ni yeye gospel singer wa kwanza kuvaa trouser?!!! Watu tusianze kuleta our economic problems kwa post za wenyewe...mimi sijaona baya lolote huku

  • @ColletaNekesa-rq5xs
    @ColletaNekesa-rq5xs 5 місяців тому

    That's why people has to listen to the message of Mega prophets of Yahweh,, Holy dressing matters alot,,

  • @VictorGosbert
    @VictorGosbert 5 місяців тому +4

    Sikilizeni ujumbe

  • @rachelalinda7007
    @rachelalinda7007 5 місяців тому

    Binadamu jamani kwa hiyo we umemuona Muimbaji tu ndo kavaa suluali hao wengine spika na wabunge wengine wamevaa nini? Baadhi mnapenda kuhukumu! Mathayo 7:1-5

  • @BernardMwaitalako
    @BernardMwaitalako 4 місяці тому

    Njaa mbaya

  • @ReginaFrank-yv6kw
    @ReginaFrank-yv6kw Місяць тому

    Kufeni nyiye kwajina layesu

  • @blandinavchedego8936
    @blandinavchedego8936 17 днів тому

    🎉😊

  • @RashidJosephat
    @RashidJosephat 5 місяців тому

    Wakorintho 15 :18

  • @AtukuzwePanja
    @AtukuzwePanja 5 місяців тому

    Sikiliza ujumbe mengine yaache...

  • @AsiaBakari-rb2ok
    @AsiaBakari-rb2ok 5 місяців тому

    Wengine mna hangaika na mengine kwani amevaa sketi fupiii tujuane kwenye comment

  • @TheopistaMaganga
    @TheopistaMaganga 5 місяців тому

    Ni dhambi

  • @DominathaFaostin
    @DominathaFaostin 4 місяці тому

    Raruen mioyo siyo mavazi

  • @RashidJosephat
    @RashidJosephat 5 місяців тому

    Mathayo 24 :24

  • @lusogoalbert138
    @lusogoalbert138 5 місяців тому

    Namkubari saana uyuu mama sauti yake

  • @ev.hellenwagio
    @ev.hellenwagio 5 місяців тому

    Ako Sawa kulingana Na Aliko dada

  • @JoyceDaud-n1u
    @JoyceDaud-n1u 4 місяці тому

    Ushetan tu

  • @RashidJosephat
    @RashidJosephat 5 місяців тому

    Kama mwana mmke akivaa nguo ya kiume mungu asema anaraniwa na kira kiumbe swali je sululi

    • @bainambisa9332
      @bainambisa9332 5 місяців тому

      Aliekwambia suruali ni nguo ya kiume ni nani maana tunaona zamani walikuwa wanavaa ma kanzu wanaume je suruali wapi na wapi mbona wakivaa madera hamsemi maana ndo yalikuwa mavazi ya kiume zamani

  • @desderianyenza4726
    @desderianyenza4726 5 місяців тому

    Wazungu wanavaa kanisan sulual nyie bahat kawashangaza kituu gan achen ushamba

  • @moyojubeki6330
    @moyojubeki6330 5 місяців тому

    Wewe ni myumishi wa mungu acha udunia huooo

  • @gracenziavake2957
    @gracenziavake2957 4 місяці тому

    Mume muona kwenye nyimbo zake zote ana vaje? Nazani ku vaa huyo anajua.

  • @johntarimo-mb5xx
    @johntarimo-mb5xx 5 місяців тому

    utukufu Kwa Yesu

  • @SophiaCharles-z8m
    @SophiaCharles-z8m 2 місяці тому

    😢😢😢

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 5 місяців тому +3

    Waimbaji wa injili na majukwaa ya kisiasa hapo asomae na afahamu mtakapoona chukizo la uhalibifu

    • @tinajoe5487
      @tinajoe5487 5 місяців тому

      Hapana mnajua kuhukumu jamani,hivi Yesu alivoenda kwa Zakayo,zakayo alikuwa ameokoka?Kazinya Mungu muachieni Mungu mwenyewe.

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 5 місяців тому

      ​@@tinajoe5487KAZI ya mungu hatumwachii mungu KAZI ya mungu inafanywa na binadamu pia ujue zakayo hakucheza mziki kwenye majukwaa ya kisiasa

    • @tinajoe5487
      @tinajoe5487 5 місяців тому

      @@SmilingCityMap-xb9md siku nyingine uwe unaandika Mungu na sio mungu ukiandika hivo unamaanisha miungu jifunze hilo.

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 5 місяців тому

      @@tinajoe5487 nashukulu Kwa kunielimisha asante sana

  • @SubiraMpendu
    @SubiraMpendu 4 місяці тому

    VEFM TANZANIA

  • @TusajigweMwaipopo
    @TusajigweMwaipopo 5 місяців тому +1

    Amevaa n'a kikoi jamani

  • @lydiabochela9363
    @lydiabochela9363 5 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @nurumollel6245
    @nurumollel6245 5 місяців тому

    Situation ina shida gani,

  • @irenemwaijengo1779
    @irenemwaijengo1779 4 місяці тому

    Usihukumu kabla hujahukumiwa yeye katimiza uinjilist wake inatosha

  • @jepchumbamildred8265
    @jepchumbamildred8265 5 місяців тому

    Haki naomba mtazame nyimbo zangu pia

  • @McChuma-tm7lu
    @McChuma-tm7lu 5 місяців тому +2

    Suruali yake inakusu nini wewe uoni maxingira ulitaka ave kimini mamaye pambna na hali yako na imani yko suluali yke aikusu malaya wakuchunguza watu wewe komaaa

  • @DIANASAUSI
    @DIANASAUSI 5 місяців тому

    Nashangaa na waimbaji wa simu hizi,kwani hamjui suruali ni vazi la wanaume,na make yeyote anayevaa suruali Mungu hapendezwi kabisa, wewe ni kielelezo gani kwa wasichana wanao kuwa?imba duniani ,jehanam inakungoja

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 5 місяців тому

    Waimbaji binafsi na majukwaa ya kisiasa kila mbegu itajulikana mwisho ikishakomaa ndipo twajua uhalisia wake ni ya mungu au ni ya yule mwovu

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 5 місяців тому

      Hapo ilikuwa kwenye.marathon sasa unataka aimbe tu kanisani kuna ubaya gani hapo

    • @AmyeSanga-u4c
      @AmyeSanga-u4c 5 місяців тому

      ​@@siaammo1104. Sio Kila sehemu unaenda kisa umealikwa lazima uchunguze. Naishia hapo .

  • @mariamhassan360
    @mariamhassan360 5 місяців тому

    Ww waona suruali uoni kikoi

  • @tumainmwamatenge4575
    @tumainmwamatenge4575 5 місяців тому

    Hakika

  • @gracenehondo3942
    @gracenehondo3942 4 місяці тому +1

    Dunia na vyote ni ma ya Bwana daudi alipocheza nguo zilianguka akabaki Uchi bado ni mboni ya jicho la Mungu! Mwenye hukumu ni sehemu ipi ya Mungu,nani kakuweka hakim ?hypocrite mkubwa ngoja zamu yako iwapo utaimba tukuone

  • @GilbertNzoyikorera-ms9xv
    @GilbertNzoyikorera-ms9xv 5 місяців тому

    Kuv suluwali simakos muwac mama wet

  • @JaneLaizer-tb6zl
    @JaneLaizer-tb6zl 5 місяців тому

    Mhh

  • @estersteven5914
    @estersteven5914 5 місяців тому +13

    Muimbaji.mchungaji unavalia suruali kweli

    • @scholarmawala1403
      @scholarmawala1403 5 місяців тому +1

      Wewe unaona tatizo wapi.kila kitu mnahoji siku hizi.

    • @LydiaJoseph-eh6li
      @LydiaJoseph-eh6li 5 місяців тому +11

      Katoka kwe mbio ange enda kukimbia na steti au gaun?

    • @nusrathmanyawa4501
      @nusrathmanyawa4501 5 місяців тому +4

      Kuna watu wanapenda kukosoa jamani tena amejifunga mtandio lkn bado, Bora umemjibu vizuri

    • @TumainKamendu
      @TumainKamendu 5 місяців тому +7

      Kwani kuvaa suruali ni dhambi? acha ushamba

    • @VictorGosbert
      @VictorGosbert 5 місяців тому +3

      Pambana na hali yako

  • @YasintaMlay-x7w
    @YasintaMlay-x7w 5 місяців тому +2

    Angalia mazingira aliyopo,,,na pia neno la mungu linahubiriwa popote,,,mungu haangalii umevaaje,,,anaangalia usafi wa moyo,,,na kila mtu atasimama kwa nafasi ake siku ya mwsho so usimuhukumu mtu,,,nadhan ilo tukio lililokuwa linaendelea siku iyo mnalifaham kbs,,,huenda aliambiwa tuu aimbe basi

    • @LodvolaLameck-jl5vs
      @LodvolaLameck-jl5vs 5 місяців тому

      Mungu hana excuse ya hivyo hayo mawazo yako tu Kumbukumbu 22: 5

    • @issacklyandala7023
      @issacklyandala7023 5 місяців тому

      Mungu anaangalia moyo, sisi tunaanglia mavazi, huyu ni mwanamke mpumbavu

    • @issacklyandala7023
      @issacklyandala7023 5 місяців тому

      Nahuu ndio ushilika wamashetani,muonekano wa ndani ndio muonekano wanje

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 5 місяців тому

      Msiwe wepez Wakuyatafasili mambo Noheri Tujamaze tuu Na Kila Mtuu Apambane na Yake unahaja ya kumsahihisha Mtu ,maana Unaenda kukosea Kwamba MUNGU Anaangalia moyo na Sii Njee Jaman Heri tunyamaze we Haya tyu wokovu Siii Mchezo Mchezo ,sii Usista duu wala Ublaxa MEn Ukiamua Kuwaa Vugu vugu ,sawa Ukiamuwa KuSIMAMA na MUNGU SIMAMA ipasavyo ROHO AKUONGOZE na Kukuonyesha Na Kukufundisha UIfahamu Kweri ikuweke uhuru Kweri Kweri

    • @josephinemusa6211
      @josephinemusa6211 5 місяців тому

      Dressing means nothing,,,keep up our champion 🏆,,, continue spreading the gospel to the world,,, No backwards.

  • @beryljumu8154
    @beryljumu8154 4 місяці тому

    😢

  • @AbianaPiason
    @AbianaPiason 5 місяців тому

    😭😭😭

  • @SubiraErnest-o7t
    @SubiraErnest-o7t 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤