Asante kaka. Wimbo huu na Asia ni nyimbo nzuri sana. Nakumbuka Kakere alikiri nyimbo hii ilitungwa na Mdogo wake Juma Kakere ni wanamuziki wachache wenye kuthubutu kukiri hilo.
Remmy, wimbo mwanana unaimbwa na Belesa Kakere. Kwa sasa Belesa anauza kaduka pale Tanga, kuna vocha za simu etc. Anasema labda siku moja akarudi jukwaani.
Very sad kwa kweli.....kukengukuwa na utaratibu wa kuwaenzi hawa wazee wetu walifanya kazi kubwa sana kwenye sanaa ya muziki kuliko hivi sasa tunawasubiri wafe ndio tuwasifie.
Wimbo huu unanikumbusha Kuna siku ndugu yangu mmoja alininyanyasa Sana
Mungu ni mkubwa
Asante kaka. Wimbo huu na Asia ni nyimbo nzuri sana. Nakumbuka Kakere alikiri nyimbo hii ilitungwa na Mdogo wake Juma Kakere ni wanamuziki wachache wenye kuthubutu kukiri hilo.
Imetulia sana kwa kweli!
Nawakumbuka bima lee mwaka 1980 kwenye sherehe za sabasaba kitaifa walipiga dansi uwanja wa sabasaba matarawe songea bonge la muziki muhenga nipo
Njogopa ulikuwepo wakati huo? Mbona nakuona bwana mdogo sana
Sauti tamu wakat mzuri na amani ya moyo
This song has a special place in my heart. Ni hayo tu
Hahahaaaa....mchumba akapatikana 🔔
Hongera sana
Wimbo wa Asia wa bima Lee haujakamilika, pia naomba wimbo wa Tabia njema ni silaha popote uliopigwa na super Volcano ya Morogoro
Bwana Eddie hebu tafuta huu wimbo wa Dar es salaam jazz band unaoitwa -amina usimuache bwana wako
Naomba uutoe asia wa bima lee
Remmy, wimbo mwanana unaimbwa na Belesa Kakere. Kwa sasa Belesa anauza kaduka pale Tanga, kuna vocha za simu etc. Anasema labda siku moja akarudi jukwaani.
Very sad kwa kweli.....kukengukuwa na utaratibu wa kuwaenzi hawa wazee wetu walifanya kazi kubwa sana kwenye sanaa ya muziki kuliko hivi sasa tunawasubiri wafe ndio tuwasifie.
Belesa kakele amefariki wiki iliyopita
@@paulnjogopa9346oh masikini wee
Eddie, thanks - nina wimbo huu somewhere lakini the quality was terrible. This song quality is great!!
Anthony Kisondella Karibu tena
Ninapata mkanganyika hapa kati ya Beresa Kakere na Raymond Bashekanako kwenye solo vocal. wakati wa kuanzisha wimbo na muimbishaji kwenye chorus
Anayeanzisha wimbo ni Belesa Kakere. Wimbo matata sana, halafu kauwekea mwambe.
Kakere,oyeee
Kuna wimbo moja ulikua unasema mshenga kapokea pesa zangu hakupeleka kwa wakwe plis bendi gani hiyo
@@wanjohipaul9371Biashara jazz,kaimba Jima Ubao