Oh I remember this like yesterday 2006 kama sikosei. Featuring vocals from Clara Kitange, the late Anna, Luiza and John Lisu himself doing the tenor backup, keys from Jackson Benty and his vocals kwenye Tunakuabudu Bwana...and so much more. Ni ilikuwa baada ya lead vocals za John zinaingia sauti ya 1 na 2 kisha zote kwenye yoteee then chorus. Aisee. It's almost 20 yrs now. 😭😭😭😭 My favs from this album were Sifa Zivume na Nakuabudu Mungu esp the Live version from Blue Pearl Hotel Ubungo. Old are the days.
Nimeanza kuujua huu wimbo nikiwa shule ya msingi na kwa radio station na MUNGU alinipa kiu ya kuokoka kwa huu wimbo leo ni mtumishiii, Namuomba MUNGU amuweke hai kaka john na waimbaji wa sasa jifunzeni kwake kwamba kwanini yale anafanya yanadumu sana paka sasa najua ni MUNGU sasa kivipi anapata kutoka kwa MUNGU ndio pakujifunza
Nakumbuka huu wimbo ulikuwa masikioni na rohoni mwangu sana 2016, hasa baada ya kumpoteza baba yangu. Kila nikiusikia nasikia kumbariki Mungu. Huu winbo ulikuwa chachu ya mimi kukua kiroho❤ Huu wimbo nahisi kama ulikuja kwangu kama ufunuo wa Mungu kwangu. Asante mtumishi wa Mungu.
Yah nyimbo ya kitambo sana Nikiwa mdogo nakumbuka dady alikuwa akiuweka usiku wa kulala hadi hasubuhi nilikuwa nikilia sana nilipokuwa nikiusikiliza huu wimbo ❤❤❤
Mara ya kwanza kuusikia hii nyimbo ni Rhema Feast, 2023. Boaz Danken aliminister sana nao, kuusikiza Spotify kwa Album ya John Lisu ndio nikaelewa sasa nani mtunzi. Natamani live recording yake sasa, extended version because the song is deeeep! Yakobo alikua amemalia jiwe alipoona malaika wakipanda na kushuka, nd hili ndio onmi langu pia. NImuone Mungu kwa kila stage ya maisha...
Nashindwa ata kusema kitu Kwa uzuli wa wimbo huu. Jaman ivi niseme nn MUNGU azidi kuwatumia watu wake kwaajili ya injili. Nimebalikiwa sana moyo wagu umefurahi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤💯👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hatakam hatupaswi kuhukumu,,,wb semeni hawa wanaoomba hapa utawalinganisha na hawa sijui kina bella,,zollabo ,,eb tuweni wazazi MUNGU anapenda kuambiwa ila c nakilamtu
🙏 Ipo Perfect and relaxing....Lakini kulitakiwa kuwe na Mtu wa kinanda Cha nne Afanye baadhi Ya Michombezo pale Mwanzo Sehemu ya pili Anapoanza Tena "Yesu umejivika Haki" Na mwishoni pia..
ebwana nisimamishe katika kusudi ambalo umeniitia apa duniani najua yapo mambo mema umeandaa kwa kwaajili yangu niuone uso wako ukija kunisimamisha nafisi yangu mwabudu bwana tu ulivyo navyo vyote mungu amekuazima tu usiwe nakiburi siku ukisimamishwa katika uzuli wa bwana
Hii account ni ya John Lisu kweli? John Lisu ana UA-cam account ambayo ina subscribers 77.6K, na jumla ya nyimbo 46. Anyway, Acoustic version ipo vzr sana japo nmeingiwa na shaka juu ya hii acount japo hiyo halizuii mimi kubarikiwa, ila ni kwa mwimbaji kama kuna mtu anatumia jina lake kutaka kujipatia subscribers and viewers.
John Lisu kwa Tz ndo mwanzalish wa live concert. Historia iandikwe vyema
Wee acha uongo kuna new life band
Paul mwangosi ndg
Oh I remember this like yesterday 2006 kama sikosei. Featuring vocals from Clara Kitange, the late Anna, Luiza and John Lisu himself doing the tenor backup, keys from Jackson Benty and his vocals kwenye Tunakuabudu Bwana...and so much more.
Ni ilikuwa baada ya lead vocals za John zinaingia sauti ya 1 na 2 kisha zote kwenye yoteee then chorus.
Aisee. It's almost 20 yrs now. 😭😭😭😭
My favs from this album were Sifa Zivume na Nakuabudu Mungu esp the Live version from Blue Pearl Hotel Ubungo.
Old are the days.
I love this song , siusahau ulinifanya nikaokoka
Nimeanza kuujua huu wimbo nikiwa shule ya msingi na kwa radio station na MUNGU alinipa kiu ya kuokoka kwa huu wimbo leo ni mtumishiii, Namuomba MUNGU amuweke hai kaka john na waimbaji wa sasa jifunzeni kwake kwamba kwanini yale anafanya yanadumu sana paka sasa najua ni MUNGU sasa kivipi anapata kutoka kwa MUNGU ndio pakujifunza
Jamani Mimi sjawahi kupata hata like moja 😢🙆
Ubariwe sana kaka Joel wimbo wa Baraka sana ,Waliobarikiwa kama Mimi tulike
Huu Wimbo , kwa miaka zaidi ya 10 sidhan kama kuna siku siusikilizi 🙌🙌🙌🙌
John Lissu is my favorite male gospel artist of all times 🙌
@@homeeconomicstz5229 likewise
Agree, he is the greatest worship leader I have ever seen
Joel Lwaga is talented.... may God reign always....
Nakumbuka huu wimbo ulikuwa masikioni na rohoni mwangu sana 2016, hasa baada ya kumpoteza baba yangu. Kila nikiusikia nasikia kumbariki Mungu. Huu winbo ulikuwa chachu ya mimi kukua kiroho❤ Huu wimbo nahisi kama ulikuja kwangu kama ufunuo wa Mungu kwangu. Asante mtumishi wa Mungu.
Glory be to JESUS forever more, MUNGU mara nyingi kwenye nyakati ngumu huwa anazungumza na sisi kupitia nyimbo.
Amen ❤@@athanaskitime1484
Hallelujah Lisu na Boazi God bless you abundantly for carrying this generation along with you
John Lissu thanks for this master piece, a beautiful song that will live for all generations..
Yah nyimbo ya kitambo sana Nikiwa mdogo nakumbuka dady alikuwa akiuweka usiku wa kulala hadi hasubuhi nilikuwa nikilia sana nilipokuwa nikiusikiliza huu wimbo ❤❤❤
Roho Mtakatifu Akupe Kibali Cha Kuzirudia Zile Nyimbo Za Miaka Ile Naamini Itakuwa Baraka Mno Mno..
Glory be God..
Hii song imekua ikinihudumia tangu zamani kudos brother joel and our very own legendary lisu🔥🔥
Mara ya kwanza kuusikia hii nyimbo ni Rhema Feast, 2023. Boaz Danken aliminister sana nao, kuusikiza Spotify kwa Album ya John Lisu ndio nikaelewa sasa nani mtunzi. Natamani live recording yake sasa, extended version because the song is deeeep! Yakobo alikua amemalia jiwe alipoona malaika wakipanda na kushuka, nd hili ndio onmi langu pia. NImuone Mungu kwa kila stage ya maisha...
Ila Joel jamaniii😊😊😊 barikiwa sanaaaa very powerful and anointed song🙇🙇🙏
God bless you Lissu! Moja kati ya waandishi Bora sana!
Nashindwa ata kusema kitu Kwa uzuli wa wimbo huu. Jaman ivi niseme nn MUNGU azidi kuwatumia watu wake kwaajili ya injili. Nimebalikiwa sana moyo wagu umefurahi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤💯👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿
john lisu thank to have a song with the powerful minister as you!
Mungu akupe zaidi Kigali kwa wimbo wa unyenyekevu sana
MUNGU aendelee kuwabariki Mtumishi John Lisu, Joel Lwaga kwa nyimbo nzuri 🙏🏾🙏🏾🔥🔥
Ameeen....acha Jina lako Bwana litukuzwe kote ulimwenguni🙌🙌🙌🙌
Hadi nasikia kulia😢😢😢😢 wimbo mzuri sana
Joel unaimba juuu sana kaka
Wewe ndo hizo mbingu sasa
MUNGU awazidishie karama kuu zaidi watumishi wake🙏
Nisimamishe katika mlima wa utukufu wako. Siku zote za maisha yangu
Wimbo mzuri Sana utukufu kwa mungu
Tangu nakua naliupenda huu wimbi asante kw urudia huu wimbo una kitu kikubwa kwa ajili yangu
Very calm and angelic, meen, it 's so beautiful 👼
Aloooooo❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🙌
Mungu akubariki Joel kwa moyo huu mwema
Feel like busting in tongues.. 🙌 oooh God ❤
One of my favourite songs from John Lisu...thanks for doing this song agaiin....
Glory to God🙏🙏🙏
Hii cover brother u kill it bro be blessed bro
Kuna waimbaji wa gospel wengi Tanzania ila lisu kwa uandishi ni namba 1,hizi lyrics nikisikilizaga na melody zake ni direct from heaven.
Ameni ameni na amini kuwa umekua inspiration kwa new generation
Hallelujah Hallelujah Glory be to God 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Awuwuwuwu wanaojua wakikutana..be blessed ministers
Naimi ndakuja kuwa hivi
More blessings,this reminds me way back 2010,John Lisu more blessings........Joel🎉
Original version remains the best
Toa ujinga faraa
Amen!amen!amen!
These were the songs
Masinduma nakusikia, Bwana akuinue bro
Hatakam hatupaswi kuhukumu,,,wb semeni hawa wanaoomba hapa utawalinganisha na hawa sijui kina bella,,zollabo ,,eb tuweni wazazi MUNGU anapenda kuambiwa ila c nakilamtu
AMEN AMENINUA 😢😢❤❤❤❤🎉
Nimebarikiwa Sana Sana🙌🙌✨
Ibarikiwe mioyo nyuma ya wimbo huu
🙏 Ipo Perfect and relaxing....Lakini kulitakiwa kuwe na Mtu wa kinanda Cha nne Afanye baadhi Ya Michombezo pale Mwanzo Sehemu ya pili Anapoanza Tena "Yesu umejivika Haki" Na mwishoni pia..
Nimeuelewa zaid neno moja baada ya jingine alvyoimba joel lwaga
Nakumbuka nimeenda live mara ya kwanza ni ya john lisu
Wooob woooh MUNGU awabariki
live music us all matters...bravoooo
Gloire a Dieu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Neema imetosha sana; wimbo mtamu sana uliotulia.
amen barikiwa
Hivi ndo vitu twa taka aisee sio kuiga south africa tu
🎉🎉 more anointing watoto wa huyu Mungu ❤❤❤
😅gi 3:00 😅jl😅😮😮l😮so 😅
Asante sana nyimbo nzuri ya utukufu🎷🎙️
Glory Glory
The song to Sing to the all lifetime
Haleluyahh
🙌🙌🙌
Asante Yesu
Hongera Kwa kazi ya Baraka
wow! minister joel lwaga is the best in all sort of singing.
Glory to God
AMEN !
Kuna sehemu percusions zinaacha tempo
Wooow nice
Powerful Brother
Wow be blessed
Hongera 🙏🙏
jamani Mungu akuinue kwa utukufu mwingine, tunaoangalia wimbo tusiache kusubscribe chanel hii ni mpy😢😢😢
joel lwaga zaman ndo alikuwa anaimba kiroho
Masterpiece ❤
Aww❤❤❤❤🙌
Amen amen❤
🙌🏼
Waooooo❤
My GOD
John Lisu Come back
❤❤🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤🙇🏾♂️🙌🏾🙏🏽
Top blessings
Miongoni wa watumishi wakubwa wa Mungu hakika John Lisu ni miongoni mwao Yesu Kristo azidi kukubariki kaka❤
Next Season plz imba na @Bigronny from NGC na @Rosemhando
🔥🔥🔥🥰🥰🥰❤️❤️
Kaka John
ebwana nisimamishe katika kusudi ambalo umeniitia apa duniani najua yapo mambo mema umeandaa kwa kwaajili yangu niuone uso wako ukija kunisimamisha nafisi yangu mwabudu bwana tu ulivyo navyo vyote mungu amekuazima tu usiwe nakiburi siku ukisimamishwa katika uzuli wa bwana
❤🎉
🎉🎉
❤
Hii account ni ya John Lisu kweli? John Lisu ana UA-cam account ambayo ina subscribers 77.6K, na jumla ya nyimbo 46. Anyway, Acoustic version ipo vzr sana japo nmeingiwa na shaka juu ya hii acount japo hiyo halizuii mimi kubarikiwa, ila ni kwa mwimbaji kama kuna mtu anatumia jina lake kutaka kujipatia subscribers and viewers.
Ni account mpya. Nenda kwenye account zake za social media ametoa wito kufollow account yake mpya!
@@prospermwakitalima2799 Thanks
Ila Bado naipenda original ndo Ninayo Kwa cm yangu
🎉🎉🎉🎉